Mwizi wa ftari - kachara part 1 (old is gold)

  Рет қаралды 127,236

Kachara Media

Kachara Media

Күн бұрын

Пікірлер: 99
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Kachara watukumbusha mbali sana alooo, tangu enzi hizo tukiwatembelea bibi zetu na nyumba zao kama hizo zenye vibanda vya kupikia nje. Ukifika hapo unapewa ndizi ya kijakazi kwenye senti (sinia) na birika ya chai na dagaa nchele. Wala huku jasho likikutoka
@hadijarajabu8243
@hadijarajabu8243 5 жыл бұрын
Salim Khamis shumireta
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Hadija Rajabu Sijakufahamu
@mohdabdi4157
@mohdabdi4157 5 жыл бұрын
Salim Khamis 😁😁😁😁
@hanifaahamad3161
@hanifaahamad3161 5 жыл бұрын
Salim Khamis
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Hanifaa Hamad Naa Hanifa
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 жыл бұрын
Ooh kake kachara nakukumbuka. Na nakumbuka kwetu pemba wallah nilikaa kwa amani na Furaha 🌹😂😁🌹
@ghaniaghalib1136
@ghaniaghalib1136 Жыл бұрын
Yohohoo ndio mapenz yet hayoo siku hizoo 😁😁
@saidsalim2386
@saidsalim2386 5 жыл бұрын
Napenda lafdhi ya Pemba, mna ongea vizuri, hela nitaftiani nke wa Pemba mie, nitakuwa sitoki nje, namsikiza tu akiongea😘😘❤️
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
Nadhani mwenywe watoka Pemba(nke)😅
@idrisabakari688
@idrisabakari688 2 жыл бұрын
Hmm! Nimekumiss kwetu jaman pemba raha sana
@mohamedshaaban3297
@mohamedshaaban3297 5 жыл бұрын
PEMBA Nkwe2,,,,,,Ananikumbusha Zaman Sana Kienda Pemba Kumtembeleya Bibi Na Babu Huteta Km Hivi Na Mazingira Haya Haya
@shafiikhamis2336
@shafiikhamis2336 5 жыл бұрын
jamani hyi kaswaida jina lake linatambulikajeeee
@jumakandy2075
@jumakandy2075 2 жыл бұрын
Kazi ni kazi kachara good movie
@handhalhandhal4608
@handhalhandhal4608 4 жыл бұрын
Uigizaji wako ni mzuri sana na wala hauchushi hata kidogo. Hongera sana kaka. Kutoka Konde, tupo pamoja.
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f 4 ай бұрын
Nakumbukia utotoni wallah
@ahmedmohd6889
@ahmedmohd6889 4 жыл бұрын
Ilovee you lmiss you PEMBAA YETUU MWAAAAA🥰🥰🥰🥰🥰
@ssdd647
@ssdd647 Жыл бұрын
Huu mchezo kila ramadhan bs napenda kuuwangalia
@m-barukhamad2734
@m-barukhamad2734 5 жыл бұрын
Nimependa cn hii I love you pemba yetu
@shafiikhamis2336
@shafiikhamis2336 5 жыл бұрын
Hahahah, hap n mwendo wa muhogo t mamaaa
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Shukran sana naomba muendelezo plz, Umeitishwa ngano wenda iba Muogo.
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 5 жыл бұрын
Hahahaha bayna surrat wa rukba, asante
@abdallahhamad298
@abdallahhamad298 5 жыл бұрын
Nayapenda mandhari ya kwetu ya Pemba
@abdkhalidi6625
@abdkhalidi6625 5 жыл бұрын
Daaaah mzee t shirt umeuwa big up
@nihifadhiabdul5211
@nihifadhiabdul5211 4 жыл бұрын
Taratibu nqilo panga😃
@tatuamna8234
@tatuamna8234 3 жыл бұрын
Hongereni
@saidihaji4137
@saidihaji4137 3 жыл бұрын
Janaman naonba jina LA iyo qaswida
@kacharamedia
@kacharamedia 3 жыл бұрын
"Tumeandaa nini waja"
@SafiaSeif-gw4ut
@SafiaSeif-gw4ut Жыл бұрын
Masikini hati makubwa unga robo kilo tu😢maisha ya pmb ni tabu sn.masikini
@wambaamwambaje1272
@wambaamwambaje1272 5 жыл бұрын
Hhhhh hogoo hiloo😂😂😂
@saidmohd5090
@saidmohd5090 5 жыл бұрын
Aloo kachara mmi nahisi wanifahamu nishakuziya sana sigara kwenye duka la hamod finya
@khamikhan5091
@khamikhan5091 5 жыл бұрын
kachara muungu akuona unavyomuua mwenziwo kwa hogo chungu
@billylovebilly9418
@billylovebilly9418 5 жыл бұрын
Nice movie ukopow kabisa tupeni part 2
@omarjoombi8802
@omarjoombi8802 5 жыл бұрын
Kaz nzur
@salumjuma3514
@salumjuma3514 5 жыл бұрын
Asante kachara gud jop
@nassormohd09
@nassormohd09 5 жыл бұрын
Very nice
@luqmanalhakeem1062
@luqmanalhakeem1062 5 жыл бұрын
Kaswida gani hii?
@salimmaalim7540
@salimmaalim7540 5 жыл бұрын
kunaonapo ln muhogo kuliwa kwa nyama?
@AliOmar-td3yq
@AliOmar-td3yq 4 жыл бұрын
Duud jmn
@othmanmohd8078
@othmanmohd8078 2 жыл бұрын
nice this film
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 5 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@msramadhan2810
@msramadhan2810 5 жыл бұрын
dagaa bakari siwataki😂😂😂😂
@msramadhan2810
@msramadhan2810 5 жыл бұрын
jamani hamu yangu niolewe na mpepa penda sanda wapemba😂😂
@phahadyally6825
@phahadyally6825 5 жыл бұрын
Hujachelewaa badoo vijana tupo
@alysalim8761
@alysalim8761 5 жыл бұрын
Usijal mm nipo
@hajikhamis1033
@hajikhamis1033 5 жыл бұрын
Upo wapi
@hajikhamis1033
@hajikhamis1033 5 жыл бұрын
O776297820
@yussufkarim9276
@yussufkarim9276 4 жыл бұрын
Tunakupenda pia
@khalidkhan8389
@khalidkhan8389 5 жыл бұрын
Wapemba tujuane na ramadhani kariim.
@abdallamohd1937
@abdallamohd1937 5 жыл бұрын
Sw pa1 japo wengne 2ko mbal Ramadhan Kariim
@شيخةصالحاليعربي
@شيخةصالحاليعربي 5 жыл бұрын
😍
@lailatmohd1264
@lailatmohd1264 5 жыл бұрын
Unatisha sana kachara
@zainababbas4242
@zainababbas4242 5 жыл бұрын
Naam mashaallah
@saidmohd5090
@saidmohd5090 5 жыл бұрын
Mma hataki dagaa bakar kichwa kashalcho kachara mtafute japo nyama 😂😂😂😂
@risepili5250
@risepili5250 5 жыл бұрын
Side vipiii
@aseelaaseela4913
@aseelaaseela4913 5 жыл бұрын
Jaman plz naitak hiyo qaswida yenye inaimbwa humu mweny anaijua anijuze yaitwaje?
@aliarkam1413
@aliarkam1413 5 жыл бұрын
Duuu hatar kweli unapeka futar ya kuiba ,peleka mchele na harage
@Shabalala99275
@Shabalala99275 4 ай бұрын
2024
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
kunsimama utasema Arafa
@saidahmed9688
@saidahmed9688 3 жыл бұрын
mwizi wa ftari
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 5 жыл бұрын
Mjirekebishe hakuna sauti
@thneikhamis6414
@thneikhamis6414 3 жыл бұрын
Hahahah hawa kumbe una mali tumboni watu tunaitafuta gesi kumbe we unayo tumboni
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Musha chokana mke akuzomea
@omaryabdallah5931
@omaryabdallah5931 5 жыл бұрын
Hogo baya mpka linnitia gesi
@albait5227
@albait5227 5 жыл бұрын
Kachara weee
@majaliwaamissi6548
@majaliwaamissi6548 5 жыл бұрын
busara za mtawara zimezidi sasa
@omaryabdallah5931
@omaryabdallah5931 5 жыл бұрын
Hahahah bakari asumani c dagaa mibaaaaaa
@halimatwaha1944
@halimatwaha1944 5 жыл бұрын
hatar muhog umemtosha kaMua aseme
@rahmamshiraz2223
@rahmamshiraz2223 5 жыл бұрын
Haha
@QuranFirst610
@QuranFirst610 5 жыл бұрын
Tunaomba utuwekee na nyengine please
@adhkaar3250
@adhkaar3250 5 жыл бұрын
Hii nnaitoa photocopy uuuuuwiiiiii.pemba nkwetu
@thierryt7689
@thierryt7689 4 жыл бұрын
Hii qaswida yaitwaje?
@kacharamedia
@kacharamedia 4 жыл бұрын
"Tumeandaa nini waja"
@thierryt7689
@thierryt7689 4 жыл бұрын
@@kacharamedia shukran
@zubeirrashid4774
@zubeirrashid4774 5 жыл бұрын
Mbona umetuma kipande tu tuma mzima
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 5 жыл бұрын
Asalam alaikum, aloo pemba nkwetuu lkn mpemba akifika unguja hataki tena muhogo ataka walii sijui wali sirie nini jmnii?
@saidmohd5090
@saidmohd5090 5 жыл бұрын
Pelaka unga watu wafanye mkate wa gale 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Said Mohd gale au gole?
@sisterhala3916
@sisterhala3916 5 жыл бұрын
yani hatar
@munnababygal8460
@munnababygal8460 5 жыл бұрын
Hilo hogo chungu limemchokesha
@maryamm7765
@maryamm7765 5 жыл бұрын
😆😆😆😆hogo tamu shinda kate
@mbaroukali3795
@mbaroukali3795 5 жыл бұрын
bakari kichwa
@tundaclassic2704
@tundaclassic2704 5 жыл бұрын
👘😁😁😁😁🔥
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 5 жыл бұрын
Kachara ilo panga na hayo makali ulivyolinoa umkamate mtu akuibia madafu bondeni lazima umkate masikio
@biommy6700
@biommy6700 5 жыл бұрын
Hahaa
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 5 жыл бұрын
Mkate wagole ndio upi?
@radhiasalum260
@radhiasalum260 5 жыл бұрын
Mkate wa maji au chapat za maji
@radhiasalum260
@radhiasalum260 5 жыл бұрын
Mkate wa maji au chapat za maji
@faaabuboy1900
@faaabuboy1900 2 жыл бұрын
Mkate wa maji
@adhkaar3250
@adhkaar3250 5 жыл бұрын
Hapa kitaliwa kitakacho patikana hahahaaaaa
@zayoumbintaus6232
@zayoumbintaus6232 5 жыл бұрын
Haha mwizi wa hogooo....
@omytv3081
@omytv3081 5 жыл бұрын
dahhhh KACHARA umenikumbusha mbali sana lakini pamoja na yote nilikuwa naomba msaada wa hii qaswida mana nimetafuta online niikosa @please alonayo anitumia apa +255672274354 @MWIZI WA FUTARI@
@PrinceEddyCool
@PrinceEddyCool 5 жыл бұрын
OMY TV ONLINE mm pia ukiipt naitaka hii Qasweeda. +966581599508
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 5 жыл бұрын
Kaka edycool mpaka huku ukoo
@mohamednassormohamed3027
@mohamednassormohamed3027 5 жыл бұрын
Anasema hii inaitwa fotokopii dah raha
@Shabalala99275
@Shabalala99275 4 ай бұрын
2024
@mbaroukali3795
@mbaroukali3795 5 жыл бұрын
bakari kichwa
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 5 жыл бұрын
Asalam alaikum, aloo pemba nkwetuu lkn mpemba akifika unguja hataki tena muhogo ataka walii sijui wali sirie nini jmnii?
Mwizi wa ftari - kachara part 2 (old is gold)
7:09
Kachara Media
Рет қаралды 61 М.
MTAMBUE 02...............Kachara
28:55
Kachara Media
Рет қаралды 19 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Kachara haibiwi
24:19
Kachara Media
Рет қаралды 193 М.
Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo
13:15
Save the Children Tanzania
Рет қаралды 5 МЛН
kachara kumbe ni daktari wa meno!
15:27
Kachara Media
Рет қаралды 124 М.
MKIMBIA SWALA Part 1 - Salum Abdallah, Hawa Suleiman (Official Bongo Movie)
1:04:27
#-10-MWANA KULITAFUTA- MAU MPEMBA- FUMBUA MACHO
14:20
Mau Mpemba
Рет қаралды 46 М.
Kumbe kitatange anawatoto watano
32:16
MZANZA STUDIO
Рет қаралды 88 М.
PENZI LA MASKINI 💞 Love Story | Full Movie | DONTA TV
18:16
Donta Plus
Рет қаралды 72 М.
kachara na uke wenza
12:07
Kachara Media
Рет қаралды 204 М.
Mwizi wa nazi ~ kachara & kake simba
8:25
Kachara Media
Рет қаралды 69 М.
#MIZENGWE: Talaka
18:08
ITV Tanzania
Рет қаралды 40 М.