MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

  Рет қаралды 49,149

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@robertmwagandi4186
@robertmwagandi4186 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,huduma ya mana imeniinua sana sana nikiwa huku Mogadishu Somalia.Mungu awabariki nyote mnao husika na huduma hii.
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 5 ай бұрын
Ninamshukuru Mungu mimi kwa kujifunua kwangu namna hi,jina lako litukuzwe milele e Bwana na utukufu wako usiguswe milele.Amina
@felicienntakobajira6470
@felicienntakobajira6470 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa na Mungu kwa mafundisho iyi,Mungu akubariki na aendeleye kujifunuwa kwako mutumishi
@theonestrenatus954
@theonestrenatus954 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa BWANA
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 3 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana mwalim Christopher mwakasege Mungu akutunze
@paulomwalimu6731
@paulomwalimu6731 3 жыл бұрын
Natamani sanaa ck moja niuzulie katika semina zako Baba mwakasege yaan naona nguvu za MUNGU zikiwa pamoja napi kupitia maombi na mafundisho yako
@daudisebastian4935
@daudisebastian4935 3 жыл бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu barikiwa na Bwana
@jasperlutakyamirwakwesiga2340
@jasperlutakyamirwakwesiga2340 3 жыл бұрын
Amen Mwl endelea kutufundisha neno la Mungu
@estherndosi8100
@estherndosi8100 3 жыл бұрын
Mungu haufanishwi na kitu kingine!!🙌
@nemaodhiambo7274
@nemaodhiambo7274 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana sana Mungu wetu ni mwaminifu
@kalengatherese1608
@kalengatherese1608 3 жыл бұрын
Ssi tupo huko DRC;mazingira ni za vita hazikome
@seebs1156
@seebs1156 3 жыл бұрын
Ameni mtumishi ubarikiwe sana Mungu akuinue zaidi baba
@bibianameney8950
@bibianameney8950 3 жыл бұрын
Mwalimu Mungu akutunze.
@winiemmary968
@winiemmary968 3 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza
@hanamogiro1001
@hanamogiro1001 3 жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏watching in Qatar
@GeofreyMhagama
@GeofreyMhagama 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaaa na semina zako mwalimu...!
@noeljaphet6339
@noeljaphet6339 3 жыл бұрын
Ahsante Yesu kwa neno hili🙏🙏🙏🙏
@ruthjohn4317
@ruthjohn4317 3 жыл бұрын
Heshima na Utukufu unaMungu daima🙏🙏
@gloriamwalingo9694
@gloriamwalingo9694 3 жыл бұрын
Asante Mungu kwa neno la wakati
@Johnsonkayila
@Johnsonkayila 3 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa Huduma hii,ila angalia mlivyo andika kichwa cha habari hususani Neno la kwanza
@zithalazaro6288
@zithalazaro6288 3 жыл бұрын
Wanaopost hizi video wajitadi kuwa specific kwenye kuzipa majina au title hizi video
@magrethmboya5285
@magrethmboya5285 3 жыл бұрын
Hili neno zurii sana
@bilhakamarara4435
@bilhakamarara4435 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@noelmeshack718
@noelmeshack718 3 жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu
@verrynicemushi2563
@verrynicemushi2563 3 жыл бұрын
Amen amen amen barikiwa
@jonasiarex8914
@jonasiarex8914 Жыл бұрын
Amina
@nyanzalapaul6726
@nyanzalapaul6726 3 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@brysonmwakina
@brysonmwakina 3 жыл бұрын
This is great 💓
@vedastogwido5311
@vedastogwido5311 3 жыл бұрын
Ee MUNGU nisaidie Mimi pekeyangu siwezi nakuhitaji YESU unishike mkono tena
@vedastogwido5311
@vedastogwido5311 3 жыл бұрын
MUNGU akutunze zaidi mwalim
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Ameen
@nehemiahkishaluli6853
@nehemiahkishaluli6853 3 жыл бұрын
Amen
@sarahboniface9157
@sarahboniface9157 2 жыл бұрын
Amen
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 жыл бұрын
Ameni
@angelsappy168
@angelsappy168 3 жыл бұрын
Ameni ubalikiwe 😭😭🤲🙏🙏
@prophetfravius5927
@prophetfravius5927 3 жыл бұрын
Ameen Sana
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 жыл бұрын
Amin
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 жыл бұрын
Amen baba
@bonifacemwakiomrashui7551
@bonifacemwakiomrashui7551 3 жыл бұрын
Kama kuna majibu kutoka kwa MUNGU,ndio haya niliopokea kwa haya mafundisho. MUNGU wa mbinguni,abariki chombo chake...
@nyanzalapaul6726
@nyanzalapaul6726 3 жыл бұрын
Mtumishi mimi nina siku mbili mfululizo naota kuna kisima kwenye mlango wa kuingia kanisani kwetu naomba nisaidie maana ya ndoto hii mtumishi
@catherinemwaibale
@catherinemwaibale 3 жыл бұрын
Kupata msaada wa haraka si rahisi, ila kama unanena kwa Lugha iombee kwa kunena kwa lugha, Roho mtakatifu atakupa kuielewe tu lazima
@angelsappy168
@angelsappy168 3 жыл бұрын
Ameni ubalikiwe 😭😭🙏🙏🙏
@deborahdelly6254
@deborahdelly6254 3 жыл бұрын
AMEN
@josephnyamoga1484
@josephnyamoga1484 3 жыл бұрын
Blessing 🙏🙏
@EnestFSoka
@EnestFSoka 3 жыл бұрын
Seminar hii inafanyika wapi na ipo kwa sku ngapi? Mwenye anajua tafadhali aniwezeshe kufahamu na mimi
@marcoyohana3734
@marcoyohana3734 3 жыл бұрын
Ilifanyikaga zamani
@noelpaul640
@noelpaul640 3 жыл бұрын
🙏🙏
@dozzar_tz1110
@dozzar_tz1110 3 жыл бұрын
😭
ISHUGHULIKIE SIKU ILE ULIYOZALIWA UBADILISHE MAISHA YAKO  || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:22:57
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 17 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: FAHAMU JUU YA MAONO YA HUDUMA.
2:20:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 51 М.
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 14 МЛН
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 249 МЛН
SANCTIFY ME - Pastor ALLEN CAIQUO
1:10:23
ENCOUNTERARENA TV
Рет қаралды 77
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
54:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 124 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  KUSHUKURU KAMA ISHARA YA KUIMARISHA UHUSIANO WAKO BINAFSI NA MUNGU.
1:16:59
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 137 М.
MWL MWAKASEGE, APEWA ZAWADI YA HESHIMA NA CHAMA CHA BIBLIA CHA TANZANIA.
21:31
The Bible Society of Tanzania
Рет қаралды 17 М.
SEMINA YA WANAUME DAR ES SALAAM TAREHE 28 APRIL 2018
3:05:38
KKKT - DMP Usharika Wa Mbezi Beach
Рет қаралды 96 М.
FAIDA ZA KUPOKEA UPAKO WA MFALME NA KUHANI MKUU MELKIZEKI WAKATI WA KUSHIRIKI MEZA YA BWANA
1:19:18
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 160 М.
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA NENO LA MUNGU IRINGA DAY 1 2021
2:12:32
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 8 М.
MWL C MWAKASEGE: FAIDA ZA KUJAZWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU MWANZONI MWA KIPINDI CHAKO KIPYA.
1:22:47
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
🔴LIVE | SUNDAY SERVICE | IBADA YA JUMAPILI | 01 DEC 2024
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 305
MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE, SEMINA YA NENO LA MUNGU ARUSHA
39:27
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 325 М.
快乐总是短暂的!😂 #搞笑夫妻 #爱美食爱生活 #搞笑达人
00:14
朱大帅and依美姐
Рет қаралды 14 МЛН