Рет қаралды 695,070
Follow Injili Bora Choir
Itunes: itunes.apple.co...
Apple Music: itunes.apple.co...
Spotify: open.spotify.c...
#Injili_Bora_Choir
#NYIMBO_ZA_WOKOVU_107
#SHIMWA_AKALIZA_GAELLA
Audio recording: Simeon
Mix & Mastering : Ndaje Music @NdajeMusic
DOP ( Roger, Birori, Simba, Mugemana, Prosper, Canaan, Desire,Ngabo)
Leader: @Shimwa_akaliza_gaella
Pianist: Justin
LYRICS:
1. Alipoteswa yesu peke’ katika Gethsemane, akakinywea kwa upendo kikombe cha uchungu.
Mwokozi wangu alichukua yote, uzima wake ali’toa; kutuokoa alitufilia.
2. Akasimama peke yake kuchekwa na kupigwa, uchwani akatiwa taji iliyo ya miiba.
Mwokozi wangu alichukua yote, uzima wake ali’toa; kutuokoa alitufilia.
3. Akachukua msalaba njiani kwa Golgotha, na akajeruhiwa sana kwa’jili yetu sisi.
Mwokozi wangu alichukua yote, uzima wake ali’toa; kutuokoa alitufilia.
Connect with us:
Call & Whatsap: +250782732909
Whatsap Group : chat.whatsapp....