Mwonokia Lyrical Video_Justin Bundi ft Luciana

  Рет қаралды 724

Justin Bundi

Justin Bundi

Күн бұрын

In Christ we have life & life in abundance
Mwokozi wetu anatupa furaha duniani,
(mwonokia wetu, Twi , nthinguru niautukenagia)
atuongoza kwa neema na anatushibisha.
(Mututongeria ni atûmaga tunyira nii utugi )
Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe!
(Tegeni, Ngai ee amwe natwi, utugi buria bitithiraga )
Haleluya, haleluya, haleluya, Amen!
Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa,
(Nii bwega kwendana na Ngai uria watwonokirie)
vizuri kuwa mtu wake, sitapotea
kamwe.
(Nii nkanya kumutungatira gitumi atintiga)
Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka.
(Giiiikeno, gietu nakio gituure, kinya muthiro Jwa nthinguru iji )
Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
Ikiwa giza mara nyingi, na jua
likifichwa,
(Muundu Jwa tumana, riua nario ria kunikirwa)
na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda.
(Twatirimana na Magerio tumenye jakathira)
Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena.
(Iguru tuti-iithikiiria kairi kana turira methori ringi)
Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba,
(Bûkaithangîka nii biakuria, kana ikaaro bienu)
maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu.
( nii-untu into nii bia Ngai tuejagwa na maagi)
Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu.
(Njirene niatutongeretie, akamatite mirigo yetu)
Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!
Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu,
(Twonaga mawega nthinguru Gweterera Mwathaani)
furaha gani huko juu kuona uso wake.
(Iguru ndiuria tugakena atia kwonana na Jesu)
Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha,
(Tukoojurua gikeno na ukumio bwa Mwathani buria butithira)
Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!

Пікірлер: 16
Mutharaba & Jesu ni mucoore weetu Mashup_Kimeru hymns
4:04
Justin Bundi
Рет қаралды 2,6 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 12 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 1 МЛН
PRAISE AND WORSHIP SONGS L.G.R.M MERU KENYA
37:09
APOSTLE DOMINIC KIYUKI
Рет қаралды 212
Mwathani Niantumite refix Justin Bundi ft Mercyline
3:52
Justin Bundi
Рет қаралды 1,6 М.
Jeremy Jeradi - Nimekutana Nawewe ( Official Live Recording Video )
12:47
Jeremy Jeradi Official
Рет қаралды 435 М.
Agape Gospel Band ft Sarah Ndosi - Amenishangaza ( Official Music Video )
8:26
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 28 МЛН
JUSTINA SYOKAU - NAJILETA KWAKO (Official Video) SKIZA DIAL *487*65#
4:58
Justina Syokau
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kethira Ti Gwe
5:13
Justin Bundi
Рет қаралды 4,2 М.
Meru top best gospel mix 1
31:51
Justin Bundi
Рет қаралды 16 М.