What message do you have for our guest? You can reach her on 0705280082
@jennjaja15864 ай бұрын
I don't andastand. Lazima muolewe?
@chemchemfridah4974 ай бұрын
Naona vitu zingine nikama ni sisi tu tunajitakia how comes mtu unakaa na mtu akiendelea ivo na still unavumilia😢😢kwani augenda kwenu🤦♀️🤦♀️
@mimsbaibe6mimsgul7374 ай бұрын
Hugs 🫂🫂 mummy take heart wengi wanateseka Kwa ndoa me to shinda ilianza nikipata mimba ya pili kuzaa nlijaribu kuvumilia ikashindikana nkajitoa now the boy is 29 yrs God is great
@carolinetalam58324 ай бұрын
Some men will never know peace, women it's a high time we value ourselves hii maneno ya sina otherwise na huku unatumika vibaya it's not good, may God see you through sister
@millyadhiambo2384 ай бұрын
The 1st miracle she needs is to accept Christ as LORD and saviour surrender totally to Jesus then the demons will have no legal ground on her life,tena true baptism not springing of water
@shamimtv2543 ай бұрын
True
@legallytallm77024 ай бұрын
Please don’t judge people who say ‘sikuwa na otherwise’ some people don’t have alternatives or options
@MableGayi4 ай бұрын
Mama nilikua kama wewe lakini niliokoka nikakataa hizo vitu katika jina la yesu
@estherturi92084 ай бұрын
Advice to all women.please don't ever let any man to take advantage of your life be it what.usinynyekee Hadi kifo ikulambe.
@tida37274 ай бұрын
Never accept manipulation in the name of being obidience.. Acha wapedane waede wakiedanga...mungu atakutumia malaika wakupede.Aaaasi😮😮 Ukiachwa jifunze kukaa peke yako na watoto,sasa mtu achome mtoto wako cz hujazaa na yy.Hakuna baba wa kambo siku hizi.😢
@shikohshikoh83804 ай бұрын
Am so sorry this a lesson taught to other women out there if you are there are letting an evil man take advantage of you get out and go live on the street let’s value ourself I better be homeless than living with evil in same roof
@susanbaumgartl78814 ай бұрын
Im so sorry mom but you need Delivarence,,total lakini siyo kwa ezekiel tafadhali tafuta Pastor waukweli ambae anae tumikia madhabau ya mungu wakweli utapona mama,,mungu akupe nguvu na neema kwa jina la yesu kristo
@susanbaumgartl78814 ай бұрын
Na huyo hulala nawewe anaitwa spirit husband,,hudanganyi mama nikweli kabisa unaitaji maombi ya nguvu huwa ni majini,,,sana huwa inaletwa, ni marinkingdom ,,,,lakini mpaka uwe na amani utapona kwa damu na jina la yesu kristo
@chefjaji42254 ай бұрын
Kayg you need to have serviettes for your guests please some stories are very emotional
@RukiaSalum-n4m3 ай бұрын
Mama mungu anakupenda sana mpe yesu maisha yako akutaware
@irineadisa72894 ай бұрын
Mtu mbona asifanye kazi ya nyumba juu kuna accomodation,why is everyone starting prostitute,why😢😢😢.kazi ya nyumba hata ukipata shida boss can help.Hizi kazi za umalaya sitakagi kuskia mimi,it is sad😢😢😢😢😢.
@LOGOSNew4 ай бұрын
Yaonekana kuwa huyu mama alikuwa anahangsishwa na Monitoring Spirits. So sad😢
@tida37274 ай бұрын
True..
@MariamNakoa4 ай бұрын
Hii story ni kali one day nitakutafuta mummy ❤❤❤
@KOMANDO2544 ай бұрын
Pia mim unitafute mariam ❤
@janetmwende53744 ай бұрын
She's.. I think these ladies they messed up for long time.. she's not really.. I'm tired of these kind of people
@josphinengugi49784 ай бұрын
Hiyo ni spiritual husband Mungu amukubuke akuponye
@janetmwende53744 ай бұрын
But please guys I'm asking this lady how can she Carry of a dead body alone.. .. is not possible guys
@mildredakinyi98554 ай бұрын
How do you know??)it's her story
@shamimtv2543 ай бұрын
What are you saying
@lydiagathoni90924 ай бұрын
Jini mahaba
@irineadisa72894 ай бұрын
Mwanamke ananiwekelea kofi kama nani,kama sijui kufight l'll make sure nimetafuta wakora,if you marry me make sure you respect me otherwise utavunjwa vunjwa miguu na malaya wako pia m baki viwete.Belive me not.I hate everyone who doesn't respect women.Carrying pregnancy is not easy.
@kezzybett11424 ай бұрын
How do u sleep with a dead person? Kindly make me understand
@EstherNyambura-r6c4 ай бұрын
It's very heartbreaking story bt our God is faithful and merciful, may God have mercy on you and change your story... Bro you are doing great job bt I don't think it's wise to share someone's ID in the public, it's better to give out her number and if ID needed, she can give to where it's needed
@Kaygmtotowamungutv4 ай бұрын
Thank you so much for your support and feedback I really appreciate. Noted 🙏🥂
@nanaritho68503 ай бұрын
Nenda kanisani hakuna kubwa kwa Mungu! Pole sana dada
@CharityChao4 ай бұрын
Mbora ungekimbilia kanisani ama polisi unakubali kuteseka na Kuna watu Kwani hakukuwa na jirani hata mwenye huruma
@LydiaKaranja-j4z4 ай бұрын
Pole mum. We learn through mistakes. In the first place hungeoleka the second time immediately after the first one... he took advantage of your situations n desperation. Pole sana. It shall b well..
@leilahassan56023 күн бұрын
Enda ukaombewe na watumishi wenye pawa.ya mungu
@risperachoki20174 ай бұрын
I am pissed of with this lady.... repeating ati juu sikuwa na otherwise....how....mtu hutoka na anajipanga mwenyewe.... people will treat you kulingana na vile unajieka... anyway the bible says people perish for lack of wisdom...she chose to suffer
@margaretnjeri61944 ай бұрын
I also hate that phrase with passion, 'eti sikuwa na otherwise '
@janetjanet6164 ай бұрын
We appreciate your good job Kay G Mtoto wa Mungu but please STOP making that 'tttttttttttt' sound......because it really irritrates!!!
@Kaygmtotowamungutv4 ай бұрын
Thank you for your support and feedback I really appreciate. And I will work on that 🙏🥂
@nyarsakwa14924 ай бұрын
Wah! Hakuna shortcut kwa hii life
@Glorytv51113 ай бұрын
Tafuta mtumishi wa Mungu wa kweli akuombee na umrudie Mungu naye atakuonyesha Rehema,watu wanaibiwa destiny zao kueni makini na maamuzi mnayo chukua kwanza omba toba na ujitenge na watu wote ulio jiunganisha nao kiroho na kimwili utafunguliwa
@RukiaSalum-n4m3 ай бұрын
Hivi wakenya mmerokwa. Na. Nani binadamu unaweza kumfanyia mwenzio hivyo
@alicewangara4 ай бұрын
Dada jaribu kuombea maji harafu uweke vhumvi you sprinkle kwa bed. All will be well
@ZippyLove-xs1ry4 ай бұрын
Wamama mliamua kupea vijana wadogo story za aibu
@SokinaChapiaАй бұрын
Hyu mama,ule mwanamke ulilala na yye ni pepo hyo damu ikakuingia na uko tu comfortable badala uende maombi uamini mungu utolewe hio peo likuondokee kwa imani uwe na mfungo kafu itatoka kwa imani but pole sana kwa yote na la mwisho nimeskia uchungu sana hyo mume alikuingia kama umezaa,achomwe tu hafai kuishi mnyama kabisaa mama mungu akutetee🙏
@morongwatsela88839 күн бұрын
Mama im so sorry for what you went thru, May the Lord see you thru and wipe away your tears, Kenyans stand together to save lives, so sad to listen such painful story of i was the i would make sure to visit Mama an help where i can for her safety.
@shakilazuwena76683 ай бұрын
Hii story inatisha let me postponed it ill listen later😢😩
@mosesmauda57184 ай бұрын
One of the saddest story a've ever come across,take heart mum but seek deliverance,it's not normal.
@Kaygmtotowamungutv4 ай бұрын
Thank you for your support sir I really appreciate I don't take for granted 🙏🥂
@Nise84 ай бұрын
Mbona mtu apeane I'd online honestly? mbona unafanya hivo mtoto wa mungu?
@AminaCuisine6924 ай бұрын
Is she really speaking from her own experience ama ni story telling tu
@Glorytv51113 ай бұрын
Katika maisha ukiachana na mke au mme usiingie kwenye mahusiano haraka cz utajikuta unaingia mahusiano mabaya zaidi Mungu atusaidie
@catemunani51303 ай бұрын
You just need delivance and a serious one.sleeping with a ghost sio mchezo.
@ThankGod20244 ай бұрын
🙄!! Not every action is related to poverty 😧This world is rotten better be cautious 😢
@ak-bt2qi4 ай бұрын
The host have a very good listening skills and doesn"t ask questions unnecessary
@JaneMuthoni-m5o4 ай бұрын
Nauliza tu na v kwa ubaya..unawezaje toka kwa mwanaume na uingie kwa mwanaume,my sister c ungeenda kwenu...anyway so sorry
@EstherWangare-nd9ocАй бұрын
Mtoto wa Mungu ukuange na wet wipes au handkerchief unapea your guests wajipanguse machozi
@beryltammybee91364 ай бұрын
ungetafuta bible uombe na unamkemea,huyo Baba aliingia kwa a group of devils
@josephmaroa94144 ай бұрын
You need kutembea na servitte bro for your client
@COLLODERAPPER4 ай бұрын
Thanks for sharing
@AnastasiaKilonzi3 ай бұрын
Pole dada
@AnastasiaKilonzi3 ай бұрын
Hiyo nibays kwani akuna Mzee wa mtaa
@jacksonogwindi16534 ай бұрын
Thats a spiritual spouse .Please give your life to Jesus and seek deliverance.
@judithaura34314 ай бұрын
Hugs mummy,but why share her id no publicly?
@josephmaroa94144 ай бұрын
Tembea na servitte bro ya kusaindia in case of running nose
@meg-iv1sw4 ай бұрын
That part sikuwa na otherwise? Is not a good statement..come on mtu umempata ukiwa mzima kwani ni Mungu wako....tembea na yesu.. its hard but this treatment is so traumatising not worth it
@VetulaShimule4 ай бұрын
Madam.never.solve.aproblem..with.a.problem
@AlexisLexah4 ай бұрын
Please acha kuambia watu wapeane ID number for safety reasons. Avoiding fraud tafadhali.
@Kaygmtotowamungutv4 ай бұрын
Okay 👍👌
@janetmwende53744 ай бұрын
Hey mazee.. wewe wacha kuuliza mtu ID number please don't
@janetmwende53744 ай бұрын
I'm sorry for her ..
@janetjanet6164 ай бұрын
We support you but you need to stop that "tttttttt" sound that you make as you interview guests since it truly irritates. Otherwise keep up your good work!👍
@EstherWangare-nd9ocАй бұрын
😂 anyamaze askize story akiwa kimya tu
@fridayE1864 ай бұрын
Oh Lord...
@nellywasuna24974 ай бұрын
Tafadhali be coming with serviette.
@estherturi92084 ай бұрын
I would request you to visit pastor Ezekiel at Mavueni kilifi of New life prayer and church for total deliverance