Daaah😂😂 anko nzala amemaliza mchezo kishua sanaaa yaan ameua sana big up kwa new generation anko nzala umefinish game ki bad man😅
@FredrickNdyamkama9 күн бұрын
Uyu demu wa clam anazo dimples nzur sana
@slimmuhabesh24009 күн бұрын
Sana Dimpoz
@mohammedkidody56186 күн бұрын
Sana ni dimpoz yn ni mzuri sana❤
@stephanoplugendo38618 күн бұрын
Hongereni CAST nzima ya muvi hii. Asanteni sana mmeniburudisha sana
@SadamHidja3208 күн бұрын
tume jifunza mengi sana kwakweli mungu akubariki Kaka mungu akubariki sana akupe umri mrefu 🙏🙏🙏👍
@FabianNyirabu8 күн бұрын
Najua kwann umefanya hii movie iwe mwisho coz ilianza vizuri ila umeangushwa na kijana wako mmoja ila pia usijari mungu akuongoze baraka tele uzidi fanya kazi vizuri zaidi🎉🎉🎉❤
@CléverOkundji-m1s9 күн бұрын
Clam tunaongojea big Boss 🇨🇩🇨🇩
@NaomiKemunto-f5p9 күн бұрын
Yaani huyo mlevi mchawi ananimbamba sana 🎉🎉🎉 🎉🎉 apokee 🎉🎉🎉yake
@HaidaHachimfrida9 күн бұрын
Mze zumali anasaut nzuri naipenda iyo voic yako
@godfreythobias17039 күн бұрын
mpe utamu
@YahyaMakame9 күн бұрын
Namm nakupenda
@KevinOnchwari8 күн бұрын
😂😂
@geffbizzo4738 күн бұрын
huyu mchawi mlevi unibamba sana kazi safi clam na crew yako nakufuatilia sana toka kenya
@Abuuhamda2569 күн бұрын
Mwenyez mungu awatangulie ndugu zangu kwenye Mambo yenu
@VailethJohn-u3y9 күн бұрын
Amina kubwaa
@gerardniyonkuru-y1k9 күн бұрын
Amen
@NeemaFaustine-n7r8 күн бұрын
Ameen
@dayanahamis37078 күн бұрын
Ameen🙏🙏
@mohammedkidody56186 күн бұрын
Amin
@hamzaIlunga9 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤❤
@rodgersmwagu2399 күн бұрын
Nzuri sana from Dodoma bungeni mapemaaaa sanaaaaaaa tupo pamoja
@NanzariuAwadhi-jp3qw8 күн бұрын
Mbon yule kimu haonyweshi
@Hilalimalidayi-qs6sw8 күн бұрын
Uwakika jiji letu ilo❤
@salmingeana-v8x8 күн бұрын
hili Tamthiliya nilikua naion mbaya ila iikua inaonesha kama itakuja kua nzuri ila kumbe ni MBAYA🙌🙌🙌 #CLAM me ni shabiki ako sana sana✊
@elizabethkabanda41052 күн бұрын
Nimecheka kwa nguvu wallah 😂😂😂😂
@StanoRugger-ee9ei8 күн бұрын
Tunayataka maisha jamani ila tunamsahau mola tufanye pia tukikumbuka kesho yetu wapi like za wakenya wenzangu walio ifuatilia kazi hii na kuimaliza🇰🇪🇰🇪 pokeeni mau yenu
@JacklinebosiboriMomanyi9 күн бұрын
Ni wangapi tunao angalia movie hii tukiwa tumelala na hii baridi😂😂😂nipitieni basi🎉❤
@FadhilaMwalala9 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mimi hapa
@Ema-p7z9 күн бұрын
Weeee 😂😂😂 yachoma
@JacklinebosiboriMomanyi9 күн бұрын
@@Ema-p7z😂😂😂
@JacklinebosiboriMomanyi9 күн бұрын
@FadhilaMwalala😂😂😂
@feisalmasoud-ut1zi9 күн бұрын
Upitiwe
@janviernzosaba71459 күн бұрын
Asante sana vevo season my daughter ilikuniwa ninzuri Sana na nitamu Sana mno tupe sasa big boss nao kaka
@RoseAchungo-lo9pn9 күн бұрын
Wap wa Kenya 🇰🇪 wenzangu naomben lik za john😊 mwaka huu wa2025 mungu awabariki❤
@GrandePiquiGrande8 күн бұрын
Haaaaaaa clam unazinguwa Sasa mbona mapema ivyo??umetwangusha kwakweli naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏
@JenipherDamian-c1j9 күн бұрын
Ili goma baraaah yan❤🎉
@MwanneRashid-d2p4 күн бұрын
Mungu awabariki wote mlioshirik💕❤️🙏🙏
@FloiceKhakasa9 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪 hello tuko fainally na kutoka mwanzo sina hata like 😢
@NaimaHamis-h2j6 күн бұрын
Kazi mzur sana nataman isiishee. Jaman. Chukueni mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉. Sana kwa enjo nampenda sana enjo chukuwa mauwa yako mtoto mzur 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@PendezaPendo-k6i9 күн бұрын
Mwisho umekua mzuri sana aky
@kunguricomedian9 күн бұрын
Good work mr. Clam Vevo nimefwatilia sana hadi dakika ya mwisho thanks for this big entertainment 😊
@DjumaCuxHkz-fv3zx9 күн бұрын
Uyu Uncle zumo njo Kiongozi wa Kijiji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ElishaKyando-u6f8 күн бұрын
Mwenye uyo cheusi WA mwanya dada Ake Kim nampenda naomba naomba zake🙏🙏😭😭
@paulolupaso80546 күн бұрын
😂😂ila elisha
@johnrogeo21618 күн бұрын
Movie safi, kwa wale tulianza pamoja na tumemaliza 🙌tuombee Clam atulete ingine 👍👍
@officialgypsum129 күн бұрын
Daaaah! Kwanini umeimaliza mapema wakati ndo movie imenoga nimeumia sanaaa CLAM 😭😭😭
@MohamedHassan-op4lk9 күн бұрын
waache mchezo
@gabonmaseru26869 күн бұрын
Toa kivuli chako nawewe kianze kusumbua ili movie iendelee 😂😂😂😂
@ChristopherKayombo-o5m9 күн бұрын
Maninaaa😅😅@@gabonmaseru2686
@officialgypsum129 күн бұрын
@@gabonmaseru2686 😭😭😭😭😭
@dantez_keys9 күн бұрын
@@gabonmaseru2686😂😂😂
@kago99life9 күн бұрын
Wa Kwanza Leo Naomba Liki Hata moja From Zanzibar
@HhdGrhr9 күн бұрын
🎉🎉🎉
@mohammedkidody56186 күн бұрын
🎉🎉🎉
@MaimunaNangabo7 күн бұрын
😊😊😊i really like this daughter she is ausome🎉🎉❤❤❤ good job girl utafika mbali🎉🎉❤❤❤😊
@FursikaPodcast8 күн бұрын
Ime kuwa moment nzuri sana Hongela kaka Kwa kazi mzuri sana all team Big up❤❤❤
@FreemanRichard-z1p8 күн бұрын
Aisee hii ni Bonge moja 😊 la Amazing Movie 🎥..... Sasa tusipoe sana nyingine lin clam vevo🎉🎉💯💯💯💯
@YasinSaid-n1k9 күн бұрын
tunaompenda mwenyezi mungu like hapa❤️❤️ InshaAllah atupe mwisho mwema amiiin
@NaimaHamis-h2j6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@BaxterJere-d4u9 күн бұрын
Mbona imeisha haraka ivyo kazi nzuri nafundiahp pia❤❤❤❤
@MwajumaNdale8 күн бұрын
ANKO NZALA YOU ARE THE BEST UMECHEZA PADOGO ILA UMEUWA SANA T
@Mandala-Tv19 күн бұрын
Kama unaamini mungu ni mwema kuliko kitu chochote naomba usispite bila kusema amen
@marialumbanga7 күн бұрын
Amin
@MohammedyJuma-wf3jc9 күн бұрын
Najuwa humu kuna wachawi pia kaz kwenu😂😂😂😂😂
@RichardMwelefu9 күн бұрын
😂😂😂
@LettyLussi8 күн бұрын
😂😂😂
@MarthaEdward-s1e8 күн бұрын
😂😂😂 kwaiyo wanaangalia km kakosea kuigiza wanamcheka duuuh
@mohammedkidody56186 күн бұрын
😂😂😂
@RehemaJuma-o3r9 күн бұрын
Khaaaaaaaaaa kumbe Leo nd ilikua mwisho eeeeeh haaaaa Ila si mbaya ❤❤❤❤ hongera kaka vevo na suda yanga kwa kazi nzr Masha Allah 🎉🎉🎉🎉🎉
@profesamakame51799 күн бұрын
Hongera. Clam kwa move yako nzur we waiting another
@mohamedlopa84109 күн бұрын
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe yeyote atakayesoma hii coment uwe na maisha marefu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Godmaletz9 күн бұрын
Thanks amen🙏
@AbdillahKhamis-n5j7 күн бұрын
Akhy soma dini yako
@AbdillahKhamis-n5j7 күн бұрын
Acha upumbavu
@Winniepaul-l6l9 күн бұрын
Movie ilikua kari sana japo kua imeisha ila maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Mr_Roofing9 күн бұрын
Sarah kampotezea dira ya hii move, clam kaonesha kama bado anaweza kuibadilisha stor lakini ameshindwa ili iwe bora kushinda stor ya mwanzo tuwe makin jaman usariti umejaa sana kwa binadam🎉
@HhUhh-io8ix8 күн бұрын
Kweli munooooo
@MamelthaMjuni8 күн бұрын
Inaonesha inatakiwa kuendelea ila ndo ishaisha masikini
@anjelmoses6248 күн бұрын
kwani imekuaje sijaelew kwan clam na sara wapenzi kwel
@PrinceAmuri-hp3kb9 күн бұрын
Leo wakwanza kutokeya congo 🇨🇩🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali Clam vevo
Wenzio wako busy na vita ww unaraha gan mpka unaangalia move😂😂😂
@PrinceAmuri-hp3kb8 күн бұрын
@@MonicaMlacha-ce4fb sasa ulipenda mimi nika pigane iyo vita toka ao vita wewe njo uko napigana iyo vita
@SuzanMairy8 күн бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@DishaniDisha-zm2gm9 күн бұрын
Kazinzuri sana Mr clam vevo ✌ ✌ ✌
@RajabSufian9 күн бұрын
"Nailew hiyo Mama".....Clam vevo mapema sana kuimaliza movie maua yako season kali sana🎉🎉..❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@shadyarif6539 күн бұрын
Kwa mara ya kwanza kuona main actor akifa,Sio rahisi wao kufa😂
@avelynbetty16809 күн бұрын
Kwan ye nd main jmn si ni mtot huon ata jina la igizo
@shadyarif6538 күн бұрын
@@avelynbetty1680 mashamba kweli
@Mumfortune9 күн бұрын
Mungu akufungulie njia ya mafanikio yako 🙏 🙏🙏 ww ambaye unasoma hii comment 🎉🎉❤❤❤
@KakumbaJeanEric8 күн бұрын
Ameen
@SophiaSaid-t9i8 күн бұрын
Amin
@RicheRachid-y9g6 күн бұрын
Amina 🎉🎉🎉🎉🎉
@AlfaMbungu-f1l6 күн бұрын
🙏🙏🙏
@MANYANYA569 күн бұрын
Karibu kuangalia move yetu ya dunia
@Winniefrank-k6b9 күн бұрын
Asante tunaangalia mbna manyanya
@KhanifaJacoub9 күн бұрын
Ahsante big kaka tena inafunza mambo makubwa 🎉🎉🎉
@DeodathaClarence9 күн бұрын
Ishatoka?
@HamisiMachinda9 күн бұрын
Inatoka lini?
@sikudhanimohammad76929 күн бұрын
Manyanya wa nyoko
@Far-hatMohd9 күн бұрын
Clam ndonini kuimaliz mpm iy movie movie ishaanz kunoga ndo umeimaliz basi toa nyengn zaidi yahii tunakukubali bro😘😘😘💞💞
@ronzevannyboychui16619 күн бұрын
Weeeee sija chelewa sana nipo kabisa kama unamkubali Calm vevo weka likes hapo 15th ila nawapongeza sana kitu kizuri kabisa jaman ❤❤❤🎉
@gadafimuemede29859 күн бұрын
Wakwanza Leo from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AshuraSiri-r7t9 күн бұрын
Duuuuu hii ngoma kali sana na inafunza jama tumcheni allah aiseee clam uko good
@KingKEPeter9 күн бұрын
Kenya ya kwanza apa ninyimeni tena🇰🇪
@gudygudy-qx5xc8 күн бұрын
Asante sana clam.Ila Bado tunatarajia makubwa zaidi ya haya..Thank you from Kenya ❤
@HUpendo8 күн бұрын
Uy dem ana madimpo paka laahaaaa❤
@SaidAli-g8z2 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 we Kenyans are proud of you guys
@ChaqueAmane-w1k9 күн бұрын
Kutoka Msumbiji pemba 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇹🇿 sucesso sempre
@JalomePauli8 күн бұрын
🎉🎉mungu yupo mahana tunaishi kwa uwepo wake kama unahamini sema Asante mungu kwavpumuzi unayo nipa
@Djbentusheetz9 күн бұрын
Mwamwisho🎉🎉🎉🎉 naombeni namimi t Jamaica 🇯🇲 🇹🇿
@HusseinKagabo8 күн бұрын
Vip kaka na Jamaica mkoje?
@Katuni8628 күн бұрын
Muna habari dawa za ARVs zinasitishwa africa😢😢😢
@rosemerymwalongo58588 күн бұрын
Watatoa mbadalaaa😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 күн бұрын
Tutakufa bas 😭😭
@LkTokyoman9 күн бұрын
Niko naona kitandani Nani kama mimi????😂😂😂😂❤❤❤
@FatumaAthuman-p7c9 күн бұрын
Finally nipe like jamani sijawahi pata wakati mm ndy kindakindaki sijapenda😢
@SamG-hs9xe9 күн бұрын
Wakwanza Leo again bwane😮😂😂😂
@SkeetoSsaa8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂uwiiii enjoy kaamua kumuuwa baba ake dadekiii
@GospelPrince2549 күн бұрын
Habari zenu😮 habari zenu😮 habari zenu😮 habari zenu tena😊😅 habari zenu
@PatienceNkolomba8 күн бұрын
Asante sana kwa sana yenu ni nzuri sana nimeipenda sana ❤️🎉
@Kaloki-hv7dx9 күн бұрын
Vevo umepoteza sana, kipara,zumba Sandra and director kakoso so Fanya kitu.
@KevinOnchwari8 күн бұрын
Umesahau mwakatobe
@AbdulMwakilachile6 күн бұрын
Kipara alikuepo scenes za mwanzo kama gateman
@SaidAli-g8z2 күн бұрын
We Kenyans are proud of you guys 🎉🎉
@michaelbuta73889 күн бұрын
Leo wakwanza jamani naombeni like zenu
@JoyceSindibu9 күн бұрын
Tunakusubili kwakazi yako nyingine nzuli mungu akujalie ubunifu zaidi🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@OmarShevo9 күн бұрын
Mko vzur bnh mnaeza bila kakoso chapeni kazi
@OscarAmbayi9 күн бұрын
Wapi like za clemvivo anafanya kazi nzuri kwa hakika hongera ndugu🎉
@BeniHavyarimana9 күн бұрын
Mungu akujaliye kwakazi zuri unayo ifa kaka clamu🎉🎉
@MussaPaul-s9q8 күн бұрын
Mungu jamani tumueshimu mungu jamani sema kama umenielewa sema amen thank you God 🎉🎉
@PetroMsita9 күн бұрын
Ngumu sana movies zetu kuendelea wChawi wanatumia kingeleza (clam pindi anauliwakasema no no no)
@RosemaryWilbard9 күн бұрын
Clam macho yako ni yakimalaya malaya 😂😂😂😂😂
@Salimaisaac9 күн бұрын
Kwel 😂😂
@RosemaryWilbard9 күн бұрын
@Salimaisaac kumbe na wew umeona 😄😄😄
@ZZawadi-s5v9 күн бұрын
Hapa mumeitisha sanaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JacobBukuku8 күн бұрын
Story tamu sana japo imechanganyikana kidogo kwa mzingatiaji ameona muv ina story kama 3 tofauti thou naona ni wahusika wako tu wamekuangusha kama ulivosema katikati ya tamthilia but nasema ur genious en u killed it coz hta hapo umetumia akili mingi na story ikapoa... congrats boss
@AlbertoMzwanas9 күн бұрын
wakwanza leo nipen like zangu from kenya
@OfficialMaxKing9 күн бұрын
Wanaho subiri big boss season two weka like hapa ❤️
@Winniepaul-l6l9 күн бұрын
Jaman nalikua bado na hitaman iendelee jaman ni nzur sana😂😂😂😂😂😂😂