Mamah fanya kazi....heri...wewe...unaedaga..home,..unaona mtoto wako...ss tuko gulf... life n gumu...kwaza makimboi....tuko huku Hadi wamalize kusoma...bac...nkufumilia...tunawa miss...Hadi tunalia...tuliogea n wao..bat hatuna..............😢
@annemacharia18895 ай бұрын
Avumilie afanye kazi juu mtoto Ako karibu kumaliza shule Niko na neighbour amesomesha watoto watatu na third born Ako form 3 na anafanya kazi ya nyumba .hakuna time refu atakuwa nayo na huyo mtoto juu ako shule .ajikaze afanye kazi Mungu amempea good health na wengine wanalea watoto na wako cartal I wish her all the best
@annieestherwambui7045Ай бұрын
Mwana umwe agakurema,wina gathina
@teresiawanjiru665 ай бұрын
Bona hungeenda kwenu unafanyiwa matharao unarundi saitani