Please fanyeni DNA to clarify the situation, but on my side I can say that the kid belongs to JB, the face of the child says a lot 😂
@carolinekara7603 Жыл бұрын
Zi, the kid looks like Wickliffe
@Mercymagie966 Жыл бұрын
Aii wewe uliwatch dem akilandi jkia mtoi ako 1 and half yrs na walikua na jb 2yrs ango jb nibaba mlezi wa hizo weeks na ata mwenye ako na mtoi hueda sio wake queen hajielewi juu alikua Canada na jamaa walikua 🇰🇪 so watupee story ya huyu amekidnerp mtoi
@User96612 Жыл бұрын
@@Mercymagie966 Jana queen alisema alipofika Canada aligundua alikuwa na mimba ya 2 months before aanze kazi so it means alipata mimba akiwa bado ako Kenya
@florencemumbe5230 Жыл бұрын
JB acha vita
@j.asenath6870 Жыл бұрын
The kid looks like Wickliffe kwanza mapua na mdomo,
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
Never destroy a pot that once gave you water 💧 Even if it's no longer important to you again just respect the days it serves you
@achiengruth6428 Жыл бұрын
thank you so much for this, watu wanaona tu makosa ya Wiki, they don't care how he feels...nkt
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@achiengruth6428 yeah men We are all sinners and we sin differently
@phinahogolla6290 Жыл бұрын
Very true mi sioni makosa ya Wycliffe
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@phinahogolla6290 That's why we need the DNA test because we don't understand why alikuwa anatumia JB 8k and the kid sio wake
@SharonEndesha Жыл бұрын
@@achiengruth6428 wiki is so humble
@josephineontiri7600 Жыл бұрын
Jb is aman i can like 1000 times team jb come we gather here plz
@Thekasukusfam Жыл бұрын
As a medic, this drama is useless to us, we need DNA tujue who is the father, Moha advises this guys,
@SdFft-j5g Жыл бұрын
I second hand you ❤
@joycebosibori6984 Жыл бұрын
True
@CharityMuli-yi6lz Жыл бұрын
I wish JB was my husband aki the way he's fighting for the kid na sio wake,,,aki mungu queen ametosha baraka nibariki pia Mimi.....baby daddy wangu alitoroka na ajali mtoi...,. JB mungu akubari you can be a good dad
@barsla0093 Жыл бұрын
❤😂
@magdalene-f4j Жыл бұрын
Allow me to laughing 😂 😂😂😂😂😂😂
@lilianonyango541711 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SheilaOndari10 ай бұрын
Me too aki nimempenda tu a lovely man
@jecintawanjiku9858 Жыл бұрын
Moha, mwambie huyu chali asitese mtoto ni innocent. Na wawache kutesa mtoi juu ananyonya Ngai.
@Adisamoureen Жыл бұрын
True spoken
@Sophia-ih5ti Жыл бұрын
True this man might have hidden agenda.i feel pain for that kid😢
@Mama-Essy Жыл бұрын
Mtoto apeanwe kwa mamake coz mtoto bado ananyonya that kid still needs the mothers love and caring. Please wacha kutesa mtoto 😢
@selinacharo9350 Жыл бұрын
Mamake ana ukware kila mme ana mtaka yeye jb ali lala na dadake lkn bado ana mfata tu😢
@Mama-Essy Жыл бұрын
@@selinacharo9350 but mtoto hana hatia ako innocent
@selinacharo9350 Жыл бұрын
@@Mama-Essy ee ndo akachukuliwa na babke si alimwambia ni wake na akue makini kumbuka neno alisema naeza kunyonga so yy alchukua mtoto wake ju ana plan za mauti ya queen
@jemimabonebana230 Жыл бұрын
You right ❤
@JuneTamata3 ай бұрын
Kweli@@selinacharo9350
@غديرسعيد-س2ذ Жыл бұрын
The way JB is asking for the kid is on another level, you may think they are living together with queen
@uoolmgioo8705 Жыл бұрын
That kind is for JB
@zahraabdul9652 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@genny8430 Жыл бұрын
JB ata mtoi WA Sabina alipigania,je alimpata?? Mandevu naye ni nani
@pamphilianauma7423 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@brendaakoth6478 Жыл бұрын
Ameanza kukua na kiherehere 😂
@JecintahMuthoni-mk8je Жыл бұрын
Team JB always 💪💪💪💪
@joanneliyengwa4094 Жыл бұрын
I like how JB is concerned about the kid. ❤❤
@tabithanganga-fv1bv11 ай бұрын
You are supposed to be arrested
@tabithanganga-fv1bv11 ай бұрын
I hate double dealing
@jacintambithe5970 Жыл бұрын
Uyu mwanaume ni mjinga sanaa arudishe mtoto wa wenyewe
@DelvinKemi Жыл бұрын
Yap huyu boy ashakataa queen alaf mbona achukue mtoto
@ruthsanta936 Жыл бұрын
Huyo. Boy child. Hana. Makosa. ,, musilaumu. Hao. Wana ume. Mschana. Mwenyewe. Ndie. Mjinga. Kulala. Na. Kila. Manaume. Halafu. Ukipata. Mimba. Hujui. Ni yanani. Lazima. Achukue. Mtoto. Kama. Baba. Si. Yy. Mwenyewe. Alisema. Ni. Wahuyo. Kijana. Acha. Mtoto. Akae. Na. Baba
@RitahNash-yg3yf Жыл бұрын
@@ruthsanta936yea
@shiraburuhani6073 Жыл бұрын
Wicliif is only wrong for kidnapping the kid but if you wear his shoes u would understand how he feels
@sheilagg1503 Жыл бұрын
Imagine after DNA wote si Baby Daddy 😢
@phidesmachaki-nd5vu Жыл бұрын
JB alikataa mtoto airport JKIA the day queen alikuja bona saa hii na behave like hebcare soo much
@annmurimi3130 Жыл бұрын
I love how JB is fighting n asking for the kid he is a good guy n caring ❤❤
@maureenkea5585 Жыл бұрын
Gal go back Canada with your child and always pray for guidance, provision from God to raise your child. Your child will never lack just move on alone.hope u all find peace
@Knowledgeably2023 Жыл бұрын
Btw, what was that about freezing her accounts? What kind of nonsense talk is that? Are banks in Canada different from others across the globe that a stranger can freeze your account?
@carendeborah5687 Жыл бұрын
Wenye wanasema ni WA JB si nafikiria Jb alisema hakuonja walikuwa tu friends??Halafu queen amekaa canada for how long ?
@jecintawanjiku9858 Жыл бұрын
Alienda na mimba, siku ya kuenda alisema alilala na wote wawili for good bye. Then huyu dame hajui mtoi ni wanani anasema mtoi ni wa huyu juu ni wao walimsaidia kwenda Canada ndio asiwafilishe vibaya. She feel guilty
@carendeborah5687 Жыл бұрын
@@jecintawanjiku9858 wafanye DNA itasolve everything but akuwe ready kuloose everything
@gmctoktgtr7584 Жыл бұрын
Elizabeth Moha huyo jamaa apeane mtoto kwa queen juu hata bado ananyonya. Mtoto hana makosa wacha wafanye DNA tujue mtoto ni wanani na huyo jamaa aliiba mtoto bila kuelezea yeyote hio ni makosa
@CatherineMumbua-ue5pn Жыл бұрын
There is no judge in this country who can give a child of that age to the man !plus what he did is kidnapping.Atleast the child has somebody fighting for him.proud of you Jb
@emmainyele2700 Жыл бұрын
Wicky must give a baby to his mama
@evylinkarimi194 Жыл бұрын
Queen weee ni mjinga sana mtoto ako missing na two days now na uwezi ata report uendee mtoi wako na karau na u report even her sister for threatening u dont be. A foolish woman
@gracekaranu9110 Жыл бұрын
I blame her for all this
@rosemuthoni8135 Жыл бұрын
Foolish woman
@elijahomwenga8987 Жыл бұрын
Very foolish indeed, wasting time, instead ungekua kortini saizi
@matildamati9222 Жыл бұрын
Analeta ujinga huyu
@gfcxddxss4707 Жыл бұрын
Desperately gal
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
Bythway moha we need the guys phone 📱 to be sanitised Quickly quickly so that we know the way alitumia kufikia mtoto..juu it's as if the guy is full of jealous and lies # sanitising the phone 📱 will help you find the right track 👣
@scolar..n Жыл бұрын
I second you
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@scolar..n congratulations 🎊
@kidsonikah5747 Жыл бұрын
JB awache hizo dramas zake na alikua amekata mtoi kwa airport.........this man he is acting mature simply because anaget insults na harudishi na ubaya ata mtoto akue anafanana na nani mama ndio hujua Nani Baba so huyu kiherehere JB anyamazishe angoje kuface law and also to do DNA test.... Queen should also have her standards as the mother of the kid
@DailyTrends-l9m Жыл бұрын
True
@violetmokaya622 Жыл бұрын
😂😂kwanza wakiachwa wapigane ako sure utawezana na huyo jamaa
@MarthaGathika Жыл бұрын
Jb akuna pahali alikataa mtoi he was shock finally alimbeba
@Theecaptain202311 ай бұрын
Jb was just in shock he never denied about the kid ata kwa video zote we see jb holding the kid
@eduhscott59985 ай бұрын
Yaani nyinyi mnaona opposite
@malaikabernadette9691 Жыл бұрын
Young women need to understand, double dealing men is the worst thing to do, worse than messing with lions,🙄😴
@lizzymwangi994010 ай бұрын
Volume 🗣️🗣️🗣️comment Tena hpo Juu coz n mbya kwni ata yeye alikuwa kifangio🤔
@Phoebenafula Жыл бұрын
The child is innocent rudisha mtoi Kwa mamake Na mgojea DNA
@everlineeverlinewamalwa243 Жыл бұрын
Jb huyo msichana alkuwa malaya hajui baba mtoto ni nani, but mtoto ni wako jb, anakufanana uso kabisa, ile pumbafu hakuna sura yake hapo
@wilkstermunyao8284 Жыл бұрын
Yes my friend.,...alikuwa kiruka njia Halafu utajua tu hana plan juu akiulizwa kitu kwanza ananyamaza ndio ajibu 💔.
@aquillahkyalo9507 Жыл бұрын
For sure umesema ukweli, Queen was user ro double dealing men, the child might not be for any of them, anaweza kuwa wa another man in Canada.
@everlineeverlinewamalwa243 Жыл бұрын
@@aquillahkyalo9507 🤔 I can agree with you queen seems to be careless, hajipendi, ni kila mwanaume Tu kumwingiza
@ShamimNabusoba Жыл бұрын
jb alikula dem first...so ...mayb mtoi ni wa jb
@SdFft-j5g Жыл бұрын
What if I turn out the baby doesn't march both of them😂😂😂😂
@muturijudith9793 Жыл бұрын
Kama jb akona feelin yenye mtoi hayuko sawa that is,he is a caring dad and because anataka kujua kwenye mtoto ako na ako safe
@christinekaloi5420 Жыл бұрын
That house gal is soo malenge. unawezaje acha mtoi achukuliwe tu hivyo with a stranger
@vanenyakundi643 Жыл бұрын
U love the way jb is fighting for the baby❤may God protect this kid🙏 ✨
@loboi1042 Жыл бұрын
What a Trauma for an innocent kid😢
@yvonnemutheu4344 Жыл бұрын
Mamake ndo stupid hana akili
@marryeliasmarryelias928911 ай бұрын
Huyo kaka aliye chukua mtoto anaweza hata nyonga huyo mtoto aondoke!!
@judithmulupi Жыл бұрын
Anakufanana bro niwako damu ni nzito mtoto asiishi bila baba
@gracemakhwari6493 Жыл бұрын
Anamfanana kabisa
@patiencemwandairo5434 Жыл бұрын
JB cheza chini first mtoto arudishiwe Queen mama mtoi second wait for the DNA mambo fiche itafichuka simple, I don't why mnakeleleshana JB take it easy things will come to reality.
@isoemoreen1026 Жыл бұрын
Kudos JB, I like the way he is fighting for the kid . Wycliffe kidnapped the kid which is illegal, please give the kid to her mother
@JanetKan-xw5bo Жыл бұрын
Jb is so emotional about the kid...this man should return to the mother and jb deserves to be the father of the kid and a caring dad wow❤
@sheidahkerry3806 Жыл бұрын
Absolutely
@DailyTrends-l9m Жыл бұрын
Being a dad is more than just fighting for the kid.
@anjelaalmare3504 Жыл бұрын
Even if the kid is your, the law doesn't allow a man to be with the kid of that age with out the mother, Wickliffe ur being tough for nothing just bring out the kid mufanyeni DNA maybe the kid doesn't it even belong to you that's my prayer coz there's a beast in u God let the results turn positive for JB
@wilkstermunyao8284 Жыл бұрын
Sasa vita ni ya nini....JB cool down na mfanye DNA ...halafu wewe queen hii vita yote ni juu yako...huyu sijui nani alijua kwako aje na tena unakaa mtu amesoma..hujui mtoto ni wa nani?Mnapea Moha na JB stress...nkt.
@elizabethmunuve8245 Жыл бұрын
😂Am proud of you JB,,i like the way jb is fighting for the kid. God is revealing something here..this baby belongs to jb
@DailyTrends-l9m Жыл бұрын
That's immaturity. fighting won't help and that doesn't make him man enough .
@eunicekalama6601 Жыл бұрын
Peana mtoto ju sheria inasema mtoto under 18yrs anafaa kukaa na mamake, congratulations jb for fighting for the enocent kid
@evangelistgrace5278 Жыл бұрын
According to the law of Kenya, the child should be with the mother up to 18 years.then a child is free to choose who to stay with.
@christabelotieno2631 Жыл бұрын
Nullified long time ago both can stay with the child
@beatricebeatrice5113 Жыл бұрын
JB you're such a caring husband.. you're fighting for the kid though si wako
@phylliswambui3251 Жыл бұрын
Huyo mtoto ni wa jb damu inafurutana
@marymwikali3926 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@patiencemwandairo5434 Жыл бұрын
JB is difficulty na Ako na hasira eeeeh, cool down JB.
@preciouskyompaire5214 Жыл бұрын
This should be a lesson for us ladies don't just watch this video stop 🛑 open your legs to everyone
@harrietkatushllme6960 Жыл бұрын
I wish JB had accepted the kid on the first day when Queen surprised her with the kid. My only advice to those two guys is that let them go for DNA with the kid.
@lizanasambu2125 Жыл бұрын
JB pliz huyo mtoto anakufanana usiache hadi mtoto arudishwe! Na ww queen mbna uko confused hivyo kwan hujui baby daddy mtoto wako na hata sisi huku inje tunaona n copy ya JB ? Acha kupiganisha wanaume pliz! Huyu mtoto n wa JB sio wa huyu wicky ama DNA ifanye kazi huu n upuzi mtu awezi kataa mtoto na baadae kusikia JB anasema atachugua mtoto na mtu anenda tu polepole kuiba arudishe mtoto
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Umeona Ila Mi Naonelea Uyu Demu Ametumiya 2 Kusema Mtto Bbake Ni Uyu Jamaa Juu Anaona Ako Na Kitu,Juu Jb Anamuona Ana Kitu Ya Kulea Mtto😂😂😂
@josephinekahira973 Жыл бұрын
This should be reported to the police immediately. That child needs to be with the mother until DNA is done. That is child trafficking
@maureenmonda8585 Жыл бұрын
Queen haya yote ulijitakia mwenyewe kama ungeeka mtoto wako mbali na hizo drama hayo yote ungepata
@RitahNash-yg3yf Жыл бұрын
Alitaka mwenyewe
@maureenmonda8585 Жыл бұрын
Kabisa
@RoseKamiti-t3h Жыл бұрын
I wish Jb could be my husband. He is trying his best to fight for the kid walai
@janepherkhisa8581 Жыл бұрын
The two baby dadies wanafanana
@judybundi3314 Жыл бұрын
Ukweli kabisa
@nancymusembi617 Жыл бұрын
Hii ndo comment nlikua natafta
@KendyJames Жыл бұрын
DNA FOR LIFE😊 twendee DNA tuache scandles moha hawa watu wataumizana apa aiiii moha plz push uyu jamaa twende DNA tu
@rehimar8555 Жыл бұрын
JB huyu mtoto niwako mmefanana pambana umuchukue
@mwanaharusimohamed2408 Жыл бұрын
Aki n kweli mtoi anafanana sna n JB
@preciouskyompaire5214 Жыл бұрын
Queen 👑 the issue is simple just go to the police and report rather than all this drama with confusion and make sure u go to the DNA
@JanethNyamanga Жыл бұрын
Mtoi anakaa JB venye niliona wanafanana wafanye DNA period 😊
@kipronotanui8246 Жыл бұрын
Kwani haujui hii ni kipindi😂😂
@neshnina3122 Жыл бұрын
Pia mimi niliona hivo
@emilykilwake1991 Жыл бұрын
Kwan huyu dem hajui babake mtoi hata sijaona hata dem akishutuka na jb alisema hajawahi lala na queen ni drama ama
@kipronotanui8246 Жыл бұрын
After kipindi ya moha kuisha moha alichukuliwa kila kitu hadi Camera 😂😂😂 ndo nyinyi mumwonee huruma, najua tu kuna fala tu fulani alitoa pesa kumsaidia moha.. Haya tungojee hiii ya Jb pia guys, kuna drama tu flani itatokea ndo mkue na huruma..Niko na swali 😂 mbona kila time hizi vipindi inahusisha wasichana wa Gulf... mara ooh moha ameendea sijui nani airport haya ndo huyu Jb tena.... Hii ni vipindi ya kuterget wasichana wa Gulf, Pesa yenu mchunge sana..
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
JB wacha kiherehere juu ulisema hujawai kulala na huyu mama...Munaboo tu sana
@nurusaid4698 Жыл бұрын
We Pengine Ilikupita Moja Demu Alisema Wote Aliwapa God Bay Ya Kuenda Cjui Kanada Siku Moja Wanaume Wawili Ndio Yanamtatiza Baba Ya Mtto Ni Nani😂😂😂😂
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@nurusaid4698 wacha tu nikondeshwe na zangu
@aminarama711 Жыл бұрын
JB mshenji sana huna ata guvu hapo mwanjo bona mlimpelekea
@margaretmargaret5744 Жыл бұрын
@@aminarama711 JB ako na jealous sasa anaona kaa yeye ndie mtakatifu..wana boo sana
@alimamtuli1466 Жыл бұрын
Jamani msitese mtoto, but huo mtoto anafanana huo jama
@faithwanjikugitau83 Жыл бұрын
True anafanana na huyo jamaa
@جسيكاكينيا Жыл бұрын
Ukiangalia vizuri tna Wycliffe na JB wanataka kufanana pia ssa adi mtoi ako mix but ukizum Wycliffe vizuri na mtoi wanafanna kabisa.... Naye JB bado anapenda queen
@wanguiwahomet2716 Жыл бұрын
JB na huyu jamaa wanafanana
@angieblessed Жыл бұрын
I said it
@patiencemwandairo5434 Жыл бұрын
Acha ujinga JB listen to MOHA please.
@benardkamaukamau1418 Жыл бұрын
I said JB is so immature, this is not hasira, alikataa uyu dem siku ya kuland saa izi anafaa kuchapwa, hana self respect, na anajidai sana
@DailyTrends-l9m Жыл бұрын
True 💯
@Theecaptain202311 ай бұрын
U getting it wrong jb was just in shock ata after that alibeba mtoi even the next episode jb alichukua mtoi time Wycliffe alikuwa anamkataa ..jb is there for the boy he is caring si kujidai if u are a dad u will understand
@CynthiaAmakombe Жыл бұрын
Please mwache kutesa mtoi,hakuandika application letter ya kuletwa duniani then mjue mtoto ni baraka, sifeel poa
@BernardJumah Жыл бұрын
Both the Beast and JB have shown bad manners whenever they meet and it seems they are dishonest the both still love the lady and reacting like nothing exists.
@joycenjoroge7421 Жыл бұрын
Jb is a good dad
@phylliswambui3251 Жыл бұрын
Mtoto anafa kuka na mama
@esperanceharimenshi4181 Жыл бұрын
Na uyo queen alikuwa malaya atoke apo nakingine siyo rahisi kufika mutoto na hakuambiwa kama yiko na mimba
@charitykendi9213 Жыл бұрын
Huyu jamaa,hata km n babake,ukistakiwa lzm ushikwe,u r a thief,Moha this is a police case,wizi wa mtoto,under age,anafaa akae na mamake until 18 years,bro utashikwa walai,peana mtoto kwa usalama wako
@neemachristine2666 Жыл бұрын
Huyu queen mbona asiende police anamtaka JB
@hamidaabdul6004 Жыл бұрын
Mnamuliza nini na account yake what does it have to do with Accounts she used her own sweat ..This devil needs to go prison 😮😮😮😮wish i was there nisaidie queen
@LaureenOduor Жыл бұрын
JB mtoto mnafanana sana...Queen aseme tu ukweli hajui ni nani alimpea mimba kati yako na yule mwingine...
@Theecaptain202311 ай бұрын
Byther i noticed that
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
Ila tukiyangalia vizuri uyo mtoto niwa Jb mana wanafanana sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@peshly1248 Жыл бұрын
I love the way jb is fighting for the kid. may God bless you, gentleman
@ruthwambua4861 Жыл бұрын
We moha husaidii hata......peleka huyo Wycliffe mbele
@achiengruth6428 Жыл бұрын
Huyu mtoto ni wa JB, the girl hangeficha kama mtoto angekuwa wa Wiki. She knew she might loose her job huko Canada wangejua that mtoto sio wa Wiki.
@matildamati9222 Жыл бұрын
U hv a point
@smylintotoo7591 Жыл бұрын
MBWA ANASHIKA MANDEVU NDIO KUSEMA NINI?????... The man has already called himself A BEAST!!!!... POLICE... PLEASE HELP!!!!!.... How can the child be safe with A BEAST!!!!...; POLICE!!!.. PLEASE HELP!!!!....
@HOI555 Жыл бұрын
Hii series itawaacha hanging vibaya sana😂😂😂😂
@lilianjuma8634 Жыл бұрын
JB uko juu sana....na pia ukuje upate mtoi si wako utado?...acha kiereere mwanzo mfanye DNA
@wanguiwahomet2716 Жыл бұрын
JB Wacha ujinga Sasa mtasuruhisha hii kesi aji na magombano
@selinacharo9350 Жыл бұрын
Kesi yanini si amechukua chake lengo lakumuambia ilkua nnn dada uliachwa ugawe uloda ju huna msimamo wa Mapenzi shame on you
@paulkavale4830 Жыл бұрын
💪💪
@inyaboroakaco Жыл бұрын
I thought the kid is breastfeeding. Involve the police
@FaFa-e8y Жыл бұрын
Ufanani na mtoto wewe 😮 mtoto ni WA JB
@ruthondieki8567 Жыл бұрын
Na Sisi wanawake don't sleep with different men in a month utajikuta kubaya advice tu
@susanmuraguri8946 Жыл бұрын
That's kid is for Wickliffe,wanafanana sana,queen please before mtukane Wickliffe remember amekutoa wapi, you are the way you are coz aliplay role kubwa iliuende ngambo bona madharau sasa
@maggiewambui1864 Жыл бұрын
Moha uyu apelekwe mbele apeane mtoto kwa mamake mtoto anafaa kukaa na mamake till 18yrs
@lynnvion3466 Жыл бұрын
Jovan should calm down to solve this issues, fighting isn't everything go for DNA.
@esthernjoroge7819 Жыл бұрын
Hii life ni noma 😂😂😂Yaani mtoi wangu alikataliwa kabisaa na hapa kuna mwenye anachapana juu ya mtoto asio wake 😂😂😂😂fear world ;;;
@elizabethmwelu475911 ай бұрын
Not fair ooh😂😂😂😂
@hamidaabdul6004 Жыл бұрын
Money is nothing you will come here and beg us to forgive you
@RitahNash-yg3yf Жыл бұрын
Wat if he's ur brother cld u talk lyk that
@hamidaabdul6004 Жыл бұрын
He's stealing the child because he has money and had already denied the child.
@esthertheuri985 Жыл бұрын
How can a common mwananchi/random person freeze someone's account? And freeze it where? In Kenya or Canada?
@inviolatahnyakoa6167 Жыл бұрын
Rudishia tu Queen mtoi ulimchukua without mom's consent
@anyesimburu6918 Жыл бұрын
Moha ulipasuliwa kichwa ukakaa rude.we love u bro by be about humble
@zipporah.xhex.6694 Жыл бұрын
,😂😂😂😂😂😂aki wewe
@CartlineMoraa Жыл бұрын
Mtoi ni WA JB ata damu you inaamuma I love JB is caring man na mtoi anafanana JB you are right ❤❤❤
@carlynnyambura6073 Жыл бұрын
Fuata episodes zote uache conclusions 😂
@JamalKhan-le9ud Жыл бұрын
Bora DNA maana wote hawa mara ya Kwanza walimkataa mtoi na mama wa mtoi ajui baba wa mtoi ajui kikubwa Hapo DNA
@mwaget0815 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mtu poa sana na hawezi kuwa violent kwa mtoto. Hamjajua kumu-handle.
@jacintakitogho9837 Жыл бұрын
True he's a gentleman
@dorksnyaga1752 Жыл бұрын
I agree
@Ann-to4cz11 ай бұрын
We unaskia aliua bro wa Queen
@joykenya Жыл бұрын
Waaa JB Pia wewe umekuwa ngaindi nowadays waaa navenye ulikuwa mpole endeni DNA wacheni mdomo mingi
@SdFft-j5g Жыл бұрын
Mm sidhani ka hii rudeness ya jb itasaidi popote,,
@muthonibernard5841 Жыл бұрын
You need to report this don't waste time it doesn't matter kama ni bake or not he had no right kuchukua mtoto bila ithini ya mamake
@esthertheuri985 Жыл бұрын
So,why did Queen say the baby belongs to Wylife, then say,she's not sure
@margretKariuki-g8y Жыл бұрын
JB ni mature sana..
@rabeccawakoli7250 Жыл бұрын
Moha please kesi badae we need the DNA please tumechoka na hii kesi
@neemachristine2666 Жыл бұрын
Huyu mtoto ni wa JB
@جسيكاكينيا Жыл бұрын
Mtoi Anafanana JB kabisa but JB ujinga ulikuingia ukakana queen eti ukuwai lla na yye ssa sai ona chenye imetokea na mtoi Anafanana ile mbaya sana
@paskalinapa6177 Жыл бұрын
Suluhisho ni DNA juu munaweza umizana bure mwisho wa siku nyote wawili sio mtoto wenu😏😏😏😏
@achiengruth6428 Жыл бұрын
Na urudishe mtoto wewe Wiki,, that boy is very innocent
@EmmaculateAtieno-fw7nu Жыл бұрын
Moha please talk to this guy to return the baby to her mother please
@doreennyangena1850 Жыл бұрын
The kid belongs to jb I can see the pain he feels 😮
@Lucyluciano254 Жыл бұрын
Mtoto iyo sura Ni ya Jb huyu dem alishachanganyikiwa but angeangalia tu sura ya mtoi
@nancykinara4543 Жыл бұрын
Queen what I can tell u think twice...if u knew the Baby has he's Daddy u were to come direct & face father of the kid coz her sister knows u were carrying pregnancy of he's brother... coming all way from Canada direct social media JB is Baby Daddy... Queen think of Ur self