Zatity leo umenifurahisha sana kai acha kukasirika ngoma ndio inaanza so tuliza nyavu❤❤❤🎉🎉🎉busati yani mko vizuri sana
@MwanamisiMuna2 сағат бұрын
Kai kai kai nmekuita mara ngap,acha kuinua hiyo mijinyusi yko kaa manyoya y tausi😂😂😂😂ubaya ubwela daddy,,zatiti swadakta kwa kipigo ulicho mpiga nacho kai majuto ndo hao msiba w kujitakia hauna kilio
@nasraAl-b1w9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ila zatiti😂😂😂😂❤❤❤
@Najmahnyangasi5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂sania anasema siyò mayai ya kukarangia chips😂😂😂😂😂ni mayai ya kuzaaaa😂😂😂😂😂 mbavu zangu mimi😂😂😂😂
@BintmohamedNasiri8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 kai anachomeka roho 😂😂😂😂na bado hiyo ni trela baba😂😂jinsi zatiti alivyokichuna waona ataoka mtu kweli nyooooooooo 🎉team zatiti tukutane nyuma ya tent
@EvethaSimba-i1c5 сағат бұрын
Kai wee kai hahahaha jishikilie kijana huyo ndiyo zatiti jipange acha makasiriko,ulmlijua mna mkomoa sasa nawe shuhudia halafu kama yeye alivyotulia na maumivu yake juu yako na batuli endelea kutumika kwa batuli halafu jipange utaachwa siku sio nyingi
@HoHo-l1r8 сағат бұрын
Mmmmh sasa kai ulivyo muacha zatiti kwa zarau ulitegemea wewe ni wa mwisho wanaume wote wamekufa yatakushinda hayo 😂😂😂
@SarahWanyonyi-nu5zc11 минут бұрын
Kai unajam nini sasa na bado hujasema yaani mpaka useme lazima tu useme😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@شاميمشاميم-ر9ت8 сағат бұрын
Mmm bibi zuu hujambo bado hali gani mwenyee huna baya asikwambie mtu 😂😂😂😂😂
@عائشةال-ل6ص9 сағат бұрын
Kai moyo n mmja2 huwezi penda wawili jicho limekutoka tena kwa zatiti n ulimwambia hutaki tena😂
@buru12359 сағат бұрын
Zatiti Wangu jmn mbona unateseka ivyo bt usijali utakuwa poa soon wallai Yani Mungu ako n you Always Kwa kai nayee nataka kimrembe kabisa
@AnnoyedMarsh-is4nr4 сағат бұрын
Yaan leo zatiti umenifurahisha sanaa kwakwel umejuwa kumuumiza Kai na matamaa yake yakupenda pesaa🎉🎉
@NeemaAnita9 сағат бұрын
Zatiti umejua kunifurahisha Kai kula chuma hicho wamwisho Toka oman team strong ❤
@DellyCruiz5 сағат бұрын
Ila kai ni class moja na mwanaume wangu hanipendi lakini hataki kuniona na mwanaume mwingine😅😅😅😅😅
@MariamuKulumba6 сағат бұрын
Nimeipenda hiyo zatiti mwache huyo kai na huyo anaye mdanganya na yuko na waume wengine kula chuma hiko kai😂😂😂
@JaneMhango-yl7xo7 сағат бұрын
Mm kutoka 🇿🇲 dada zatiti nimeipenda sana tabia yako mana najifuza vutu vingi kupitia kwako mungu akubariki
@jacklineteresia26296 сағат бұрын
akia ya mungu kai leo ndio leo mauwa yako zatt 🎉🎉🎉🎉umenifulahisa sana apo vile umekomoa kai
@mummyjei56347 сағат бұрын
Kia jicho lishamtoka kweli wanaume hawaridhiki good job zatiti
@aishaomar22879 сағат бұрын
Zatiti kama umejua kupeana dozi kwa kai basi ni leo...weuweeeh🎉🎉🎉🎉💃💃💃
@dayanaunique76983 сағат бұрын
Mm naon niko tofauti zatiti u kill me napenda unavovaa always smart & unapendeza sanaaaaa, una mitoko mitamu kweli ❤
@tabithanzisa97557 сағат бұрын
Zatiti leo umenikosha sio kwa kumuonyesha kai kuwa ata ww unaeza kupendwa asikuzoee ety ww ni mnyonge❤😂
@mariambakari-h9n6 сағат бұрын
Kai kula chuma icho 😅 siku zote aanzae haumizi kai ila amalizae pole sana ila ulipuuza maneno y mamako na bado unampenda zatiti ulitupa dhahabu ukaokota jiwe acha kikurambe sasa😂
@ggfwtgg16528 сағат бұрын
Weeee za titi hapo umenifulahisha sana muvuone ka kai ili maisha yako aendelee nakupenda sana ❤❤❤❤
@VivianMbokigwe7 сағат бұрын
sijawahi coment ila leo zatiti amejua kunifurahisha😅 nimejikuta nafurahiiiiiiiiii
@EvethaSimba-i1c5 сағат бұрын
Mama fridausi ukiletewa hela pokea wala usiuluze ila zimetoka kwa wake wenzio maana baba fridausi hataki kufanya kazi anataka kulelewa tu
@marymwatsum988 сағат бұрын
Zatiti dadangu utakunywa nn kwa ajili yangu ndowanaume mjifunze mtu wapendwa wajifanya muelewa
@MaryIsaac-l3e7 сағат бұрын
Zatiti hapo umeweza chukua maua yako baby girl🎉🎉🎉
@joselynedusabimana80464 сағат бұрын
jamani zatiti nkupenda sana ubarikiwe mahari uripo❤❤❤❤❤
@ShamieWise9 сағат бұрын
Kwani bff in full ni nini??
@ireneevaristo55528 сағат бұрын
Best friend forever
@ShamieWise8 сағат бұрын
@@ireneevaristo5552 ohhh nimekuelewa dada
@mejumaabaraza39895 сағат бұрын
Zatiti Safi Sana my love Kai kula chuma icho😂mwanaume anataka kufanya yy lkn akifanyiwa yy wanakufa 😅😅
@DevothaRobert-y6q5 сағат бұрын
Zatity umejua kunifrahisha👌👌😘🥰kai ad aite maji mma😂😂😂
@rukiasalum6316 сағат бұрын
Kai utabaki na mwanamke wako asoheshima humpendi kidhati najua umefata hela😂