My People - Msodokii Young Killer

  Рет қаралды 15,374

Msodoki Young Killer

Msodoki Young Killer

Күн бұрын

Пікірлер: 121
@francismwakalile2310
@francismwakalile2310 Ай бұрын
Nice work brother nimeielewa hii Ngoma very simple yaani
@danielaloyce8418
@danielaloyce8418 2 ай бұрын
TUNAMTAKA MSODOKI WETU... WACKU HIZI AMEKUAJE
@brightramsonhb3517
@brightramsonhb3517 3 ай бұрын
Kwenye mmoja hakuna umoja ili kuwe na umoja Lazma muwe wengi🔥🔥🔥💯@msodoki
@OmarRamadhan-c6k
@OmarRamadhan-c6k 6 күн бұрын
Ase alie kuleta duniani aliweza napata raha Nanyimbo zako dhaa Jamani msodoki👈🙏
@JenitaEriyas
@JenitaEriyas 3 ай бұрын
sema msodock we nimkali skuping ila naona upo tofaut na zaman fngka mwanang utuonyeshe vitu am killer boy from kahama
@trippiewrld-hn3vn
@trippiewrld-hn3vn 3 ай бұрын
dah production km hizi n za ma underground kabx.., unatuangusha mashabiki zako killer
@Gsmprevu
@Gsmprevu 3 ай бұрын
Yeah
@michaelchris365
@michaelchris365 3 ай бұрын
Kabisa mkuu young killer sijui kimempata nini kashuka kiwango sana asee
@YOUNGSIX6RAPPERMBISHI-t5w
@YOUNGSIX6RAPPERMBISHI-t5w 3 ай бұрын
2006 msodokiii broo we nakukubali Sana sa mi kama shabiki ako naomb andika nyimbo yakufoka kama ulivyo kuw unachana mwanzo tumemix iyo michano
@rizickkalamata257
@rizickkalamata257 3 ай бұрын
We killer duuh unazingua 😢 ujue skwizi
@GosbartGeorge
@GosbartGeorge 3 ай бұрын
Mabiti yamepoa sna mwanangu unatuangusha Bora uimbe kama mwanzo mwane2 mabiti ya kisenge mwane2😢
@michaelchris365
@michaelchris365 3 ай бұрын
Youngkiller xx hivi liimebaki jina tu asee mwamba kaisha kinoma yani album ni mbovu kinoma kwa sasa hivi young lunya ana haki kutamba asee😢😢
@benjaminalex9968
@benjaminalex9968 3 ай бұрын
Kumamae mim saiv nimekukataa sasa aya ndo ma nyimbo gan umekua Zuchu lalaa mamaaaaa ndo ma nn afu tqngu uchukue ilo demu umekua mshamba kweli tunakutetea huko Instagram tukiwapondea afu wewe unakuja na ma goma ya kiseng mwanamke kakufanyaaa utuimbie lalaaaaaaa kama manyimbo ya zuchu saiv nikisia unashoo hata siji saiv unaimba kama una pesa unatuboa saiv sio poa ila nin endelea hakuna kinachodumu hapa duniani😢😢😢😢
@zachariaJohn-m6y
@zachariaJohn-m6y 2 ай бұрын
Ww nae mshamba tuu kama humuelewi pita hivi
@27code519
@27code519 Ай бұрын
UKIONA HUMUELEWI NDO USHAMUELEW HIP HOP SIKIVU HUELEWI FATILIA SEBENE 😂
@kazezengwa
@kazezengwa 3 ай бұрын
MSODOKI WEWE NI MC MKALI SANA ILA MBONA UNAKUWA UNASHUKA KIWANGO BROTHER DAAAH LUDI KAMA MWANZO BHANA MZEE WANGU SHIDA NINI
@DekelvaSoujaboy-mb8ps
@DekelvaSoujaboy-mb8ps 3 ай бұрын
Young killer msodoki unyama mwingi Sana na kukubali Sana from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥🎉🎉🎉🎉
@yohanafumbuka1979
@yohanafumbuka1979 3 ай бұрын
Goma la ubaya Ubwelaaa 🔥🔥🔥🔥🙌
@Abraham_official-3
@Abraham_official-3 3 ай бұрын
Hamja lala nyie watu msodoki the king
@hemedmgomi4450
@hemedmgomi4450 3 ай бұрын
Killer More firee 💥💥💥 More money 💸💸💸
@tamadunilife943
@tamadunilife943 3 ай бұрын
Hapa faza umeanza kutupoteza, achana na hizi beat za wachumba stay on ur lane tupe kazi heavy mzee🔥🔥
@Thatboyhumble_95
@Thatboyhumble_95 3 ай бұрын
Kama umbiona Mimi Yani Daah Unyama nakubari mzee mwendo huo huo 🇹🇿🎶🎬🌍🌍🌍💪💪💪
@YonasKylian-el7vv
@YonasKylian-el7vv 3 ай бұрын
Umetisha ma people
@PerezuAroma
@PerezuAroma 3 ай бұрын
From kenya,,,msoodokiii 🔥
@NestoryMapunda-gq3kb
@NestoryMapunda-gq3kb 3 ай бұрын
Msodoki michano mikali biti izo kele nyiny zina fanya nyimbo ionekan mbaya jitahd kupiga bit ilie tulia mashabiki zako tuko pamoja nw❤
@tff2022
@tff2022 3 ай бұрын
Jamaa sikuizi anafeli sana,,,shida beat zake ni zabei nafuu afu ajui kutembea na beat kama zamani 🚮
@NestoryMapunda-gq3kb
@NestoryMapunda-gq3kb 3 ай бұрын
@@tff2022 amin kaka.zaman da alikua 🔥🔥🔥
@footytyme
@footytyme 3 ай бұрын
Khaa we jamaa what a rapper 🔥 🔥
@JamesWisdomtz
@JamesWisdomtz 3 ай бұрын
Leo wa Kwanza
@IsmailJuma-z6d
@IsmailJuma-z6d 3 ай бұрын
Kwann broo chorus usiwe unawapa shavu ata wakina mapanch au wasanii wengne nyimbo zinoge kaka
@cellestinelucas165
@cellestinelucas165 3 ай бұрын
toka umeanza mpaka umemaliza nmeelewa tu my people hii mbaya mwanangu
@RichardAlex-f9b
@RichardAlex-f9b 3 ай бұрын
Alf beat za young killer saiv zimepoah sanaa producer anatakiwa aongeze ubunifuu
@jayexclusivemusiq
@jayexclusivemusiq 3 ай бұрын
Based on minor scale
@kevo_da_clever
@kevo_da_clever 3 ай бұрын
Young killer wa saivi amekua underground
@capperreal3128
@capperreal3128 3 ай бұрын
Msodookii 🔥🔥🔥💯
@lildee_Vevo
@lildee_Vevo 3 ай бұрын
S/o Wanangu tunasonga lyka soldiers 🗽
@shaabycj7536
@shaabycj7536 3 ай бұрын
mimi ni shabiki wa sio kila young ni Killer. brother hizi ngoma kusema ukweli hakuna nzuri hata moja, nime dow loads nyimbo zote ila finally nimefuta baada ya kuzidikiliza, so Ugly 💔🥺
@jamerude3753
@jamerude3753 3 ай бұрын
Production mbovu
@Debora-j2j
@Debora-j2j 3 ай бұрын
Young killer wa saivi sijui ana shida gani ukiangalia michano yake ya zamani ni mikali kuliko saivi mfano new girlfriend interview mtafutaji sinaga swaga uwezi.kufananisha na nyimbo za saivi zà killer
@zakaliaalberto9252
@zakaliaalberto9252 3 ай бұрын
Kwani wewe wazamani na sahivi mpo sawa ??
@chibbuimsodocki
@chibbuimsodocki 3 ай бұрын
Ukiona hujaifaham ujue so kw ajili yko😠
@Debora-j2j
@Debora-j2j 3 ай бұрын
@@zakaliaalberto9252 so sawa kwa sababu nimekuwa bora zaidi ya jana
@Debora-j2j
@Debora-j2j 3 ай бұрын
@@chibbuimsodocki ifikie muda tuseme tumechoka ukweli tuseme hata mkiwa mnabisha
@ErastoJoseph-tr3ui
@ErastoJoseph-tr3ui 3 ай бұрын
Kaka umesema ukwl mpaka adi mm nimeumia san young killer .. mm ni shabiki Ake lakin now dy sio kama zamani but forever killer😞✊🙅
@DullahXella-xb4cz
@DullahXella-xb4cz 3 ай бұрын
Msodokiii🎉🎉
@Kadesablack
@Kadesablack 3 ай бұрын
Wote wanaitana mwanangu sasa sijui mzazi nani😂😂😂 dah!
@mrsavage7603
@mrsavage7603 3 ай бұрын
I like the vibe nama punchlines 🎉🎉🎉
@manenolugome934
@manenolugome934 3 ай бұрын
Young killer msodokiiiii🔥🔥
@aBoyfromBnd
@aBoyfromBnd 3 ай бұрын
No one like my people 😂🔥
@BabAlma_Ke
@BabAlma_Ke 3 ай бұрын
Unyamaa kaka 🎉🎉😂❤
@yussufmohamed5875
@yussufmohamed5875 3 ай бұрын
Killer msodokiii 🔥🔥🔥
@avii9971
@avii9971 3 ай бұрын
Mimi ndio wa kwnz... kitu kimesimama💥
@innobenzol4119
@innobenzol4119 3 ай бұрын
❤️🔥🔥🔥Msodoki
@Officialhidja
@Officialhidja 3 ай бұрын
Mtu Wangu sana jameni ❤ Young 😢
@keem892
@keem892 3 ай бұрын
Badilisha producer mzee
@SunivaInsurance
@SunivaInsurance 3 ай бұрын
weweeeeeeeee
@HassanYassin-ju5rf
@HassanYassin-ju5rf 3 ай бұрын
Nouma sana
@Luckdee663
@Luckdee663 3 ай бұрын
Mdodokiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@KadustaBoy
@KadustaBoy 3 ай бұрын
Killa
@ibrahimsaid7032
@ibrahimsaid7032 3 ай бұрын
Producer kazingua huyo
@TheopistaMakarius
@TheopistaMakarius 3 ай бұрын
Msodoki young killer tuipeleke goma ile
@kinglongoiofficial8553
@kinglongoiofficial8553 3 ай бұрын
Noma sana chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@wilbertkemeli8869
@wilbertkemeli8869 3 ай бұрын
Youngkilker hu usenge sasa mambo gan haya
@gidionjames1683
@gidionjames1683 3 ай бұрын
My 🐐 is baaaaack
@ChristopherMpangala-bl7jc
@ChristopherMpangala-bl7jc 3 ай бұрын
alright my people michongo muhmi sku za kawaida sio lazima weekend
@ArcSonda
@ArcSonda 3 ай бұрын
ngoma kali
@zeydkombo1776
@zeydkombo1776 3 ай бұрын
Hii imeenda kaka
@dizzonofficial2600
@dizzonofficial2600 3 ай бұрын
Ngoshaaaaaa
@yussufmohamed5875
@yussufmohamed5875 3 ай бұрын
Unyama ni mwing san
@NabalegwaAhamad
@NabalegwaAhamad 3 ай бұрын
Young Killer is a Monster on M.I.C
@muza_boy_9
@muza_boy_9 3 ай бұрын
Kazi ni zakwenda ila bit kaka😢
@Malindtotheworld
@Malindtotheworld 3 ай бұрын
Kwa mfumo huuu siwez kukufananisha na lunya bro
@luckyboy_ke
@luckyboy_ke 3 ай бұрын
Ukiona huu wimbo hujauelewa ujue hujaandikiwa wewe😅😅😅
@London_singa
@London_singa 3 ай бұрын
Daaah Ivi huyu ni young killer kweli au....???
@RenardRaymond-m1k
@RenardRaymond-m1k 3 ай бұрын
Sema bit sasa changamoto
@eugenepaulsondthomas7365
@eugenepaulsondthomas7365 3 ай бұрын
Fire!!!!!!
@LugyPlan
@LugyPlan 3 ай бұрын
Msodokiiii
@rostermwakimata81
@rostermwakimata81 3 ай бұрын
Msodoki 👊👊👊
@evaristrodgers1802
@evaristrodgers1802 3 ай бұрын
Hujawahi kukosea kuchana kaka , shida ni producer anakurusha mabeat gan haya ya kipopo jah sa hadi tunashindwa kukutetea tena mahomies wako kaka piga beat acha huu ushuzii
@mdouharoon66
@mdouharoon66 3 ай бұрын
Msodoki the son tuko naww mpk mwisho
@Georgevasco-ld8be
@Georgevasco-ld8be 3 ай бұрын
My people 🎶🎶🎶
@AngosoBedezoPirate
@AngosoBedezoPirate 3 ай бұрын
💥💥💥💥✨✨✨🎧
@rmtizy3148
@rmtizy3148 3 ай бұрын
Killer ataree
@chibbuimsodocki
@chibbuimsodocki 3 ай бұрын
Na nina story za kumwaga ila hazijamwagika🔥
@geohmakerseven
@geohmakerseven 3 ай бұрын
#msodoki GONGA LIKE Kama wewe ni Mwaisaaa au ngosha
@georgelukonge8803
@georgelukonge8803 3 ай бұрын
Ukisikia njaa kisela kula story shushia. Na maji msodoki UNAJUA ile ile watoto wanachukulia mmbo
@DatiusStansilaus-zk3gl
@DatiusStansilaus-zk3gl 3 ай бұрын
Kingdom 🎉
@rasvegas8991
@rasvegas8991 3 ай бұрын
Mbovuuu
@tygarjunior2695
@tygarjunior2695 3 ай бұрын
Tunataka ufoke
@AmarNgai-v1x
@AmarNgai-v1x 3 ай бұрын
Respect msodok
@nkairforce5819
@nkairforce5819 3 ай бұрын
Leo wakwanza like zangu plz kwa msodoki
@shihemicetamol6260
@shihemicetamol6260 3 ай бұрын
Killer❤
@michaelthomas5002
@michaelthomas5002 3 ай бұрын
G.O.A.T
@fabigeniustz976
@fabigeniustz976 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SilentKiller-c9z
@SilentKiller-c9z 3 ай бұрын
🙌
@ahmadaallyee6461
@ahmadaallyee6461 3 ай бұрын
🎉🎉
@RickBoe-o3c
@RickBoe-o3c 3 ай бұрын
💥
@SitaniRongo
@SitaniRongo 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Plan-Bofficial-p5b
@Plan-Bofficial-p5b 3 ай бұрын
Nice
@keem892
@keem892 3 ай бұрын
Unainba nn mzee unatuhaibisha mashabiki zako jitahidii kuweka beat kali unatia beat za kizee kama hizi kweli nyimbo ya kwendea bar hii mzee piga ile michano yako kama nyimbo nani, mrs me, hzii beat change mzee
@KherryMsofe
@KherryMsofe 3 ай бұрын
Vp huko wanasemaje
@JumaJumaaliymuhammed
@JumaJumaaliymuhammed 3 ай бұрын
Ukion humuelew msodoki basi Jua wewe ndie hueleweki maana sio lunya mpiga kelele kama kengele ambayo siku zote mlio wake huwa ni mmoja tu.
@Debora-j2j
@Debora-j2j 3 ай бұрын
@@JumaJumaaliymuhammed aiseeè kaka huoni kama killer kashuka kiwango tofauti na nyuma
@JayDee-w1q
@JayDee-w1q 3 ай бұрын
Msodoki
@josephgregory7154
@josephgregory7154 3 ай бұрын
Michano ila producer kashiba
@breezytv3315
@breezytv3315 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@elishamnyone1526
@elishamnyone1526 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@HenryJohn-b4g
@HenryJohn-b4g 3 ай бұрын
Binafs uniambi kitu kuhusu young killer na tattoo yako ninayo mzee ila dah sahv sijui shida nn bro mashabiki tunataka hit song kila siku nakuaga na imani utakuja kuludi kwenye chat bro wanakudiss bro unatoa diss track kama upo bedb watto wa juzi ambao rhymes zao zakirembo🥴 wanatk kukupoteza killer ni kwer upepo upo kwao sawa iyo haijalishi just SHOW THEM WHO YOU ARE😡’nigga umeshuka all in all “ appreciate you brother” sisi tupo na wewe mpka jasho la mwisho
@issakalinga8673
@issakalinga8673 3 ай бұрын
Am 1 like plz
@DogoAldomapesa
@DogoAldomapesa 3 ай бұрын
Like apa
@brainbuzzsystemtech.9408
@brainbuzzsystemtech.9408 3 ай бұрын
Hii ya leo nisidanganye this is not your rap style
@chaubizz1949
@chaubizz1949 3 ай бұрын
@msodokii✊🏾🔥
@ArcSonda
@ArcSonda 3 ай бұрын
ngoma kali
Nkondo
5:21
Release - Topic
Рет қаралды 9 М.
Chidi Beenz-Simuoni(official Audio Wa2wangu Album)
4:00
ChidiBeenz
Рет қаралды 7 М.
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
ChindoMan Ft Wise Man - Haikupangwa ( Official Music Video)
4:22
Umbwa Umbwax
Рет қаралды 240 М.
Jua Kali Leo Jumtano Full HD 15/01/2025
14:26
MUVI FULL HD
Рет қаралды 15 М.
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 208 М.
Msodoki Young Killer - Sitaki Kuwa Single (Official Video)
4:42
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 272 М.
YOUNG KILLER: Young D na Dogo Janja nitawafanya vitu vibaya Sana
17:26
Mjini Shule
3:38
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 12 М.
Asake, LUDMILLA - "Whine" (Official Video)
3:49
ASAKE
Рет қаралды 1,7 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН