Pst Monicah Njaramba na nduri thoni lipa pesa za Ann aki wee wi mukora con-woman na vile huwa tunapitia huku gulf aki😭😭😭😭💔💔
@Fearnot9692 жыл бұрын
Sometimes your enemies are those of your own household! Take heart my daughter! You are smart and hard working. God will restore everything you lost in due time.
@halimazuberi89042 жыл бұрын
Pastor Mungu atamlanani yy na kizazi chake
@shishrembo52512 жыл бұрын
God continue blessing my only bro for me..khai people can becruel..take heart
@master-lw8hn2 жыл бұрын
Yaani from grace to grass😭😭And this is the reason I don't trust pastors at all🙅wanafiki, manipulators
@wambuievelynwaithira2 жыл бұрын
Mungu tuhurumie sababu kazi hii ya Saudi ni ngumu sana.yaani mtu anakula pesa ya sister yake without caring.God fight for her rights
@estherisaac76152 жыл бұрын
Pole sana my sister wihe hinya onanii ndatumagira my son na gutiri kindu ndakorire on na ciringi after 2years na my daughter niarenda kuingira from one. Ndaririre magithira mutwe no ngihe hinya ngicoka ringi omuthi gutiri mundu kana kindu ingihokira mbeca ciakwa
@edithkiragu11172 жыл бұрын
Mwathani turirikane nikijua mattress ni urimi na kulala chini saa tisa may God bless my sisters they are my trusties making mi growing financially
@kamrembomuthaka46452 жыл бұрын
Ngai hope sio monicah mukurino,siku hizi waragae wako wengi mpaka mtoto umezaa anaweza kukupitisha kwa shinda Mungu tu
@stacylinckonstacy47762 жыл бұрын
Pole sana my sister.mungu atakulipishia hayo yote.hiyo ni kazi ya mikono yako
@جانستاالشهراني2 жыл бұрын
We need to shout out for that pastor and I wonder how do you use money without permission I wish ppl can be given a chance to go to Saudi or gulf and work as a house maid for just a month it's very painful 😭
@CindyNjuguna-v6u6 ай бұрын
Am late to see your comment but do you know the meaning of the word shout out or you just used kujifurahisha na kizungu😂😂😂😂😂 hata ndio ndio maana Wambui haku like comment yako I think juu you have used the wrong words to the right story or the right words to the wrong story😂
@kamuraangeline21572 жыл бұрын
I feel your pain gal be strong mamii me to i have a story working in saudia for four years from 2013 to 2016 going back to kenya me no find my money '' ni uchungu nikikubuka story of my life
@sarahngugi27792 жыл бұрын
Karma never loss it's address they will pay for it our gulf friend be strong
@margaretkalondu85542 жыл бұрын
Thank u my brother aky kioko my brother i love u so much..hajawahi kula hata peni ..yy hunisevia kila kitu.. God bless u
@catherinemuthoni75262 жыл бұрын
Uko sure? Do you access your bank statements?
@calornyambura25732 жыл бұрын
How sure are you
@margaretkalondu85542 жыл бұрын
@@calornyambura2573 caro imsure mm pesa yangu yote iko bank ...ido check nahata si mara ya kwanza gulf mm huenda home napata everything...even project nimefanya ni yy husimia hahawahi kula hadi peni
@ndichuwanjiru48562 жыл бұрын
Pole aki watu wa family hawafanyi poa afathali basi kukaa kenya njuu ata pesa watu wanatumia pesa zetu ovyo ovyo
@annerosepeter1802 жыл бұрын
So painful,there are so many obstacles in life,I feel you Anne,what I can assure you,God will do you good and marvellous things,may you heal and you'll achieve what you desired,lots of hugs and love
@judyngaita9862 жыл бұрын
Wonders shall never end, that not a pastor she is a big thief, huyu mmama anajiita aje kwa fb kwanza tumpate huko?
@ruthwarira39342 жыл бұрын
I just love your hundling of these matters Wambo... nakupeda bure
@janecyprian32352 жыл бұрын
Pole sana dear am a victim hata nilifanya interview kwa Wambui... I know the pain of been conned pesa haswa za gulf, may God punish those conmen and conwomen mercilessly, pia mimi l was conned by pastors... May God heal your heart and move on... Kupata justice in kenya lazima utumie pesa ingine pia....
@amblessed50342 жыл бұрын
It pains but MTU afungue account yake b4 travelling that's my advice tuache kutrust watu wa home🏠🏠 no one will ever know what you have
@simonpeterdiasporachannel18892 жыл бұрын
It is very painful & emotional story. Huyo pastor mkora auze hicho kiwanja cha kanisa alipe. Not only 100k BUT 400 -500 k I was duped by a pastor, nice & nephew. Pole sana dadangu. God will see you through. Congratulations wambui...
@Annet6712 жыл бұрын
Ngai aromaturia na maithori take heart sister ata Mimi nimepitia hiyo but I thank God am still moving 😭😭😭😭😭
@funkejames74822 жыл бұрын
We have to move dear
@Annet6712 жыл бұрын
It heart alot
@kamrembomuthaka46452 жыл бұрын
Naulisa pastor Monica kwani ni mukurino,swali tu?
@jullyjanet56322 жыл бұрын
Aki my dear wacha kusema hivo navenye tumewatrust🤦 Wooi Ngai gitira mbeca ciitu🙏
@teresiahkiarie26262 жыл бұрын
Ati pastor this people no Ngai ugutuigwitha tha wametumaliza kabisa i feel for you my sister may God grace be upon you get well soon my sister
@humblegal27932 жыл бұрын
Aki vile tunafanya kazi ngumu Saudi Arabia then your own sister akule savings zako it's so painful,,,,,,I wish wangejua behind the scenes vile tunafanya kazi hawaezi kula ata bob kama hujapeana ruhusa😭😭😭😭😭😭,,,,may God give you strength girl it's not easy
@susankibe79532 жыл бұрын
Mimi nilikopesha my siz 50k in 2020 cov season 1 let me tell u anakaa na mtoto wangu nilikuwa nalipia mtoto wake na wangu shule juu ni agemate nilikuwa nafanya shopping once once even today she don't talk to me never refunded my 50k nilimwachia mungu chuki nilingia Hadi akakataa kukaa na mtoto wangu Niko Saudi mambo ni mingi only GOD knows
@emmahnjuguna97442 жыл бұрын
Me naeza ua mtu walai I swear
@humblegal27932 жыл бұрын
@@susankibe7953 mungu afungue njia ingine juu hatuendi out countries juu ya fun but kutafuta maisha ya badae Woiye😭😭😭😭😭
@leahwanjiku35662 жыл бұрын
God give you strength it's not easy sis
@susankibe79532 жыл бұрын
@@leahwanjiku3566 Amen siz
@rachelmaina26802 жыл бұрын
Woooi😭😭malipo ni hapa duniani tu,mungu aonaye kwa Siri atakupigania
@janecyprian32352 жыл бұрын
Very true soon they will harvest... Fake pastors and relatives
@estherwambuies17822 жыл бұрын
Maithori macio megutura gwa pastor ucio gutiri andu mariritie andu a gulf ta ahunjia pastor ucio tokorwo niwe waguikiirie roho wa ngoma ague wi saudi ukuuire guku nake Ngai waku noegukugiria maithori😭😭
@blessedwachera71332 жыл бұрын
This is why people sometimes help strangers than their own family members. Family feel entitled to what you have so wanakukula wanakumaliza.
@galicia15592 жыл бұрын
Ukweli kabisaa
@marymugo12072 жыл бұрын
Very true
@phylliswambui93672 жыл бұрын
That's true families weee
@Nestaesther3602 жыл бұрын
Eeee baadaye wanakutusi na hawajui zile mateso unapitia ukitafuta pesa
@erenestawanjiru19352 жыл бұрын
True ❤️
@marthamwangi68472 жыл бұрын
I wish ppl would understand what we go through when we r working outside the country. It's not easy.
@annewanjiru61512 жыл бұрын
True it's not easy
@perrymaish10302 жыл бұрын
Very true
@marynyambura51752 жыл бұрын
Very true
@erenestawanjiru19352 жыл бұрын
True
@serahkibunja62212 жыл бұрын
Iam shocked beyond 😮may peace be with you
@shirowkihara65772 жыл бұрын
When I watched her in another channel I partially blamed her for overly trusting her sister and ignoring all the red flags my apologies coz this time I have really felt her pain. And may she finds justice and healing is her potion her and her daughter.
@evalynewanjiru96852 жыл бұрын
May she find justice,but huku kwa channels sidhani atasaidika
@nancywambui30822 жыл бұрын
Do not blame her cos scumstances forced her this things happens. She did her best but things did not work. I pray that God give her her money back through othermeans
@MuigaSNjoki022 жыл бұрын
Aki hawa watu hukula pesa zenye wajachokeya mungu awalaani. 😭😭😭😭😭nika nitabuy panga nikirudi home coz hapa life ni ngumu sana then ukose pesa.
@milkahwairegi85282 жыл бұрын
Sarah juraga uthike hahahaha pia naona ivoh uuweeh ile hasira nko nayo 8m bila dooh walai wacha ntarudi wacha nifungwe langata
@shikuhsymoh28592 жыл бұрын
Wah this sad aki,na venye huku huwa tunachoka na kulala Late. This is very painful 💔😢😞 Be strong mama
@doreenwairimu25722 жыл бұрын
Very sad aki
@gracegrace19942 жыл бұрын
Khai nikikumbuka Ile kazi iko uku alafu mtu akule pesa zako woi Mimi zangu wasinijaribu nazo juu ata naeza ua mtu take it easy Dia painful 😭😭😭😭Adi Hua tunasarvive n Panadol badala upelekwe hos aki watu
@murathime49532 жыл бұрын
Huyo chief alihongwa na huyo Pastor coz angemchukulia hatua wakati alikataa kushika simu
@ruthnjeri12912 жыл бұрын
Mm vitu kama hizi siezi ongelelea...... Nikuwaweka ndani wote ata huyo dada.... Ikifika pesa mm siezi jua kama ni dada aii aca
@petermacharia96352 жыл бұрын
Huyu pastor ndo prophetess aki anaweza fanya hivo na vyenye hujiweka makeup na kuvaa expensive sometimes back alikuwa anahubiri kwa priesthood JJ church
@millicentwangari57112 жыл бұрын
Pole aki mimi nililia hio 2014😭😭😭pesa yangu ilikuliwa na mum n my brother 😭😭😭😭sikukuta ata peni
@essykim21002 жыл бұрын
Huko peke yako
@margaretngithi40312 жыл бұрын
The only way to solve this matter both of them Ann and Emily they should sit together and talked. Pastors wengine niwaongo kabisaa may be her sister was brainwashed by that pastor, May God give them peace so that they can forgive each other and solve this matter with no difference.
@veronicahnderitu3212 жыл бұрын
Wambui that story is so painful.i know by the grace of God you will reach that paster.cjui ama hubiria kina Nani?
@marywachira37452 жыл бұрын
Aki maa,umetumia enangy yako nakuteseka sana ,alafu mtu akule doo zako ,woooi 💔😭,pole dadangu Mungu Yuko ,I wish urudi job kule ulikuwa lk 2rys ,najua Mungu atakubaliki than ever before,upate kaplot Kako naujenge my dear
@annemercy60762 жыл бұрын
I will nikipona
@Brandon-g3v7m2 жыл бұрын
Tamaka!
@mercykarori95232 жыл бұрын
Pastor Monica njaramba lipa pesa ya Ann.ukihunjiria and marihe Gicunji gia ikumi. Ukoragwo ukimina ati.????
@pinnahmungai14002 жыл бұрын
Wooooooiee Wooooi 😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭mimi nilikua nimepokonywa 100k Nilikua naogq na chai mikono juu ya depression na over 500k wuuuiii nitakufa wambui woie Sisi hapa gulf huumia woie😢
@hildawambui42132 жыл бұрын
For sure 😘 keep going I also lost my first Saudi 3 months salary
@milkahwairegi85282 жыл бұрын
Woishe pole swee....mi pia salary ya 4m imekunywa tu maji I'm depressed ...sijui nianze wapi nko na mtoi ilibidi nikuje gulf ndo nieze kulea mtoi since nilikua married for 2 yrs but dint work I decided nikuje gulf mwenye niliachia mtoi she's draining me nko na mwaka sasa fighting depression I'm a young mum aki life imenichosha nateseka mtoi pia anateseka gulf life mi ngumu hawaezi kuelewa ni kuitisha dooh now en then ....
@faithn52132 жыл бұрын
@@milkahwairegi8528 I wish nilikujua uniachie mtoi pole lakini
@bintidaviswamum38042 жыл бұрын
@@milkahwairegi8528 ..save your money direct to bank account..it is possible
@elizabethmagu81102 жыл бұрын
Zangu 100k mtu alinikopa akakataa kulipa, walahi bilai huyo naroga
@sarahngugi27792 жыл бұрын
Jehovah kae guthiaga atia wooiye 😭😭😭😭🤔🤭
@wambuinjuguna14312 жыл бұрын
Namesake umekuwa mrembo🤗🤗🤗 kube mtu akinjifugua anarundi kasichana........huyu mgeni wako ni handworking sana Mungu ampinganie tu🙏
@tamarikimani57012 жыл бұрын
Na anasamehewa dhambi na Mungu🙏🙏❤🇮🇱🤗
@annemercy60762 жыл бұрын
Thanks gal,more love
@lydianyambura63532 жыл бұрын
Ukitaka kujua alitoa pesa gapi unaweza itisha statement ya bank huwa inatoa Hadi picha na pesa zenye alitoa alafu uwede kortini I know atalipa
@edithmugure30802 жыл бұрын
Exactly bank watampatia statement picha ya ule alitoa na Branch ya bank. #Justice Justice #
@annemercy60762 жыл бұрын
Statement ndio hiyo nimeekelea kwa nguo
@MyJOSE20132 жыл бұрын
exactly. aende kwa court
@Renee1974-v6l2 жыл бұрын
Yeah... Kuna ile statement yenye PICHA ya yule mtu alitoa pesa
@wanjiru81562 жыл бұрын
Wambui you should bring a financial advisor to educate people on how you can send money internationally
@user-jn4on7ds3s2 жыл бұрын
Exactly 💯 too many of these cases of the girls working hard in gulf countries only for their blood relatives to waste their hard earned money
@maryannwanjiru4022 жыл бұрын
That's a good idea.. gals in diaspora get duped alot. Imagine working so hard and denying yourself alot of luxuries only to find out that someone somewhere was busy gallivanting on your 💦 imagine it's very frustrating
@veronicaekirapa98742 жыл бұрын
But i guess when you load cash to your mpesa line,ikiwa na credit you can send money to your account directly via paybill,
@bintidaviswamum38042 жыл бұрын
Am in gulf country..and you can easily load your money to mpesa and transfer to your bank account..the only money you send to your family niya matumizi
@kevinmuini66312 жыл бұрын
A very idea shiru I second you😔
@gracemuthemba84802 жыл бұрын
Wambui I had started missing you its long before I listened from you gal.welcome
@estherwambui25782 жыл бұрын
Jesus of Nazareth this is too much ..woi maaa.aki ihav cried fr this lady...aki family.mi isay icant trust anybody
@ziporahwidmaier71522 жыл бұрын
Ngai ndunia imeisha waangalieni.watoto kwanini unakula jasho.ya MTU bila uonga mungu.naye anakuona
@mercyk26722 жыл бұрын
Woie, pole. I just pray for the day we will not have to leave our country to look for greener pastures. We've suffered too long
@shuma34422 жыл бұрын
Jesus tutatrust nani sasa,si parents,si sisters,si brothers na si pastors tukimbilie wapi na vile saudi nikujisacrifice aki,,,,may God remember you darling
@carolinewambui8642 жыл бұрын
Woie it's so painful,Betrayal from your own blood sister,brother all I can say everything happens for a lesson,pole may God heal your heart ♥ it's so bad pole mamaa
@evalynewanjiru96852 жыл бұрын
Gaii mtu atakopeshana pesa sio yake aje?Hana aibu.may God punish such siblings.
@peterkariri79912 жыл бұрын
Sorry for this... kindly don't be sending money to people even your relatives.......
@NYAMBURAJUDE2 жыл бұрын
Some bosses are cruel they don't want you to stay with your salary they make sure all is sent home...
@susankibe79532 жыл бұрын
@@NYAMBURAJUDE una weza weka Doo zako kwa mobile wallet na singine fix account mswali Niko Saudi na Niko na Doo zangu kwa simu
@NYAMBURAJUDE2 жыл бұрын
@@susankibe7953 elewa dear sio mwarabu wote hutaka hivyo I have seen such cases with those under contract wengine Hadi wakiuliza rate yenye ilitumwa nayo ni shida....
@NYAMBURAJUDE2 жыл бұрын
@@susankibe7953 and still not all arabs has that knowledge of STC mobile wallet 89% they don't know even if you try to enlight them they still insist tuma Kenya 🤣
@MyJOSE20132 жыл бұрын
@@NYAMBURAJUDE na ukiacha umefungua accounts ya bank??
@mamakap86922 жыл бұрын
Mimi nikiwa saudi nilipee bro yangu 114k kumuitisha after 6 years kumuitisha alisema ati nilimpee 64k mangai andu anyu nomakuharie ma
@anisiamwaniki41532 жыл бұрын
I think something needs to be done about these mushrooming churches in Kenya. Deni za wanyanganyi
@gigglebeen1052 жыл бұрын
Churches nowadays ni business
@MyJOSE20132 жыл бұрын
@@gigglebeen105 labda kwenu. not ours
@nicholastuukuo70752 жыл бұрын
Church in Kenya is a business. That why we have soo many problems .
@maggiekui62932 жыл бұрын
Ngai i feel to faint of this story i can imagine what we go through in gulf Ngai arotuigwira tha😭
@edithmugure30802 жыл бұрын
Me anything to do with pastors or to trust anyone with money me no 🙅♀️
@auntiepiarants22382 жыл бұрын
Sorry sis.. Demons in family is real I am a victim of family dishonesty. First hand betrayal. I hate them 😒
@evakendi79662 жыл бұрын
Same to me here my friend
@simongitu73112 жыл бұрын
You should blame yourself first for trusting them
@lucyboby25012 жыл бұрын
Samehea sister yako juu nikama ako na depression coz anything I happen maybe akufe juu ya stress hutawai jisamehea pesa ni Pepo kuna ss sasa tulitumia wazazi na ukifika ukisema upewe pesa unasikia ata kama Kwa bank kuko na pesa mingi ati labda ni 20k unasema hakuna shinda lakini inside me nilikuwa napiga nduru 😭😭😭😭 na hauna ata mtoi lakini sini life🤷🤷
@mercywambui34002 жыл бұрын
Pole sana . We respect your pain, we wish you a speedy recovery wholesomely. God speed.
@jerem49642 жыл бұрын
Watu wajiepushe sana na hizi kanisa za nyakati za mwisho maana zimepotosha wengi....Aki pole my sister i feel ur pain.
@ceciliahcyra8712 жыл бұрын
Hizi kanisa zitatuonyesha maneno na hao fake pastors
@Clouncymng302 жыл бұрын
😭😭😭😭aki nkiskia Ivo na vile nmeachia siz bank yangu naskia stress na sina lakufanya , Mwathani tuigure thaa maaa 😭😭
@joycewanja90102 жыл бұрын
Hauko peke yako
@Clouncymng302 жыл бұрын
Woiye aki God atuhelp aki
@joycewanja90102 жыл бұрын
@@Clouncymng30 God is there for us
@Brandon-g3v7m2 жыл бұрын
Write the bank an email.....request for the bank statement and then give instructions canceling the use of your ATM or any other method of withdrawal!
@RealTBTKenya2 жыл бұрын
Wah! Mambo yenye watu wa gulf hupitia ...
@sarahngugi27792 жыл бұрын
The love of money 💰 is the root of all evil haki pastor Monica Mungu akuone hizi pesa tunapata na shida Sana it's sad may God heal this lady and change her situation together with the daughter.
@rayray81372 жыл бұрын
It is not money,it's the LOVE for it..
@sarahngugi27792 жыл бұрын
@@rayray8137 🤗👏
@maryannkarimi4872 жыл бұрын
Aki relatives,that's why I say I don't have any friend nor sister or brother am me me and my God
@martinkaranja46652 жыл бұрын
Soo sad story and may justice prevail na pesa zake zipatikane
@annenjeri25302 жыл бұрын
my aunt did the same with my money... mnapanga kununua land na MTU anakula my share the whole amount I sent to her.. hivio lazima utarudisha I cnt work myself tirelessly in gulf nikunonoshe Mimi..
@evelyngitau56732 жыл бұрын
So sorry dia but mm huyo sikumsamehe walai ningemmaliza niwekwe ndani coz wee yaani zile mashinda ziko gulf alafu mtu akule pesa zako jeso aki ndio maana si sister yangu juu mm ni mungu 2 anajua
@gracejohns61082 жыл бұрын
Painful painful... Sad story... Pole may Justice be found. May God restore you. Anyone who used your money, may they never know peace.. Sad😭😭
@dorcaswambuigichuki602 жыл бұрын
Wooi pole sana.
@staresther49142 жыл бұрын
Nani ataambia waschana especially Wanao fanya kazi za nyumba before watravel wafungue accounts? This is very sad that even pastors are conning poor members.
@humblegal27932 жыл бұрын
Sio ati hatuna accounts it's just that some bosses pretend they don't know how to send money direct to your account so they use western union then mwenye ako home anadeposit kwako ukidhani home ziko safe kumbe hujaekewa kwa bank then some lines Huwa zinatupa network huna access ya kuangalia balance au zimewekwa gapi💔💔💔💔💔💔💔
@staresther49142 жыл бұрын
@@humblegal2793 woiye aki it's complicated in such a situation.
@marymacharia96272 жыл бұрын
Pole sana dadangu lakini si hii issue mlisolve na dadako na akasema atakulipa hizo pesa.Nilimuona leo pahali na akakubali alifanya makosa na sasa amebakisha tu pesa kidogo akamilishe deni yote.Kwa nini sasa uende kila channel ukimharibia jina na hajakataa kukulipa?Tena kutoka 2017 hadi 2022 ni miaka mitano,kwa nini sasa umeona ni vizuri uende kwa social media?Umekuwa wapi huo wakati wote?Sema unataka uchangiwe,lakini unatafuta njia mbaya.Jaribu uondoe hii stori kwa mtandao coz hutasaidika.
@annemercy60762 жыл бұрын
Have you checked the date I did this interview, ama unaandika tu,
@babygurlll9682 жыл бұрын
Pulpit bandits aki🙂🙂mungu akufariji my sister
@carolkingaru54372 жыл бұрын
Enda kwa hiyo church ufanye maajabu mummy
@simonwainaina73602 жыл бұрын
atii😆😆
@carolkingaru54372 жыл бұрын
@@simonwainaina7360 yeah apeane haki ya wenyewe si dame ako na papers
@teresiawanjiku68902 жыл бұрын
This is so sad pole sana dada my that pastor lack peace wherever she is
@rebeccahnjoroge99132 жыл бұрын
I feel for this lady na venye gulf watu hujinyima wasave pesa.. walipe pesa zake ajipange
@luccie_moh2 жыл бұрын
Ooh sorry dear.... hope utapata justice huyo pastor ni mwitu
@murathime49532 жыл бұрын
Wambui tupatie namba yake tuchangie kitu apate pesa ya kutibiwa
@trecywambui18672 жыл бұрын
How I wish they know what we go throw here..it's very bad yaani tunajinyama hata kula vizuri tujisaidie pamoja na watoto then mtu ale...imeniuma sana aki am watching from Saudi 😭😭😢😢
@joycemaina21262 жыл бұрын
Pole sna..
@Susan-ie7ev2 жыл бұрын
Aki people should just stop eating money from people who are working so hard to earn. It's just painful
@gracekariuki66882 жыл бұрын
Hakuna Pastor anaweza fanya mtu hivo, I think she is just a conwoman. For the sister, why would she do that to her own sister? Pay your sister back all the cash that was spent from her account because she was the custodian. Saidia sis yako aende hosi.
@mamakap86922 жыл бұрын
Dear pole twire kuria pastor ucio kuria akoragwo tumpee adabu nkt pastor mukora
@davidkinyaki2 жыл бұрын
AKI Na ndivyo Hawa wasichana wanafanya Kazi Ngumu Aki,Mimi Ni home driver nandivyo nachoka Hii Kazi ya Warabu Ni jito
@Annet6712 жыл бұрын
True job ni hard huku
@CoolkenyanInisrael2 жыл бұрын
Woiiee
@mercywamucii17862 жыл бұрын
Aki don't trust anybody with your money
@sarahngugi27792 жыл бұрын
Waaaaa 🤭🤭miaka iri oguo ashio kae matari tha ma
@franciscataiti53012 жыл бұрын
This daughter has spoken to Monica . Let's start moving from this point and we will succeed.
@marywachira37452 жыл бұрын
Sister yako aki nilimskiza naniukweli alikuwa hataki kuumiza coz anaonyesha angekuwa nazo angekuwa amekulipa,anaskianga vibaya sana tena sana
@njokindungu3132 жыл бұрын
Zangu zishawakuliwa 500k na family member....ni painful Sana aky.just forgive n you wil heal.
@ruthmburu26432 жыл бұрын
I know Anne. Sometime back, I was her a good customer.....fresh juice. I didn't know she has been through so much. Smiles can hide a lot. I wish you well Anne. You will be well. You will be.
@bettynjoki31152 жыл бұрын
Never trust anybody with money, mbeca itiri murata, and those who spend other peoples money(sweat) that they have worked so hard for, surely may God purnish you, its painful
@lucynjine39442 жыл бұрын
The sister contributed to all this.....bona alikubali kupeana ata ATM........angirohia nda agicunga na matikanagie thayu nginya magakuriha
@mamakap86922 жыл бұрын
Ati PASTOR ningi??😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 jesu
@susanwatiri95972 жыл бұрын
May our God guide you and walk you thgh.too painful
@janewanjiku62902 жыл бұрын
Take heart gal,it will be well,uko kwa mikono mzuri
Mimi zangu zilikuliwa ikaniuma nikakoda because of stress but what hurts most ni vile mtu anaongea vibaya anakuongeza uchungu on top of what you are going through.