Baada ya kumuangalia udakaji wa Camara naulinganisha udakaji wa Marehemu Mambosasa wa miaka ya 1973 na nayakumbuka magoli pamoja chenga na magoli yake King Abdalla Othman Kibaden
@AbutwalibuMohamedyАй бұрын
Huyu msichana hana ADABU
@joelmichael9752Ай бұрын
HIVI KUMWAMBIA MTU ALIEKUZIDI UMRI HESHIMA YAKO IMETOKEA WAPI? INAMASNISHA NINI?NI SALAMU AU UPUUZI TU!!
@MohammedSaid-tf5qcАй бұрын
Huyo dada hana adabu
@salumyusuph6633Ай бұрын
Huu ni upuuzi, kuna mzee mmoja wa Simba aliambiwa kama hivi na mwandishi akamuuliza "ndio naitikiaje?"