Zawadi yako furana ya simba muandishi naomba namba ya yauyo baba 🇹🇿🇴🇲
@bernardmboma14613 күн бұрын
Mm najua huwezi ukasema makosa yetu maana hapo sitesheni kuna ushabiki mwingi lkn ukweli kocha wetu abadilike sifa zinamjaa nimeshamuona.
@AshaShariff-lr6ry2 күн бұрын
Sasa coach kosa lake nini? Aingie yeye akafunge? Katoa maelelezo wachezaji wenu hawafungi na pia bravo mmewaonaje?
@bernardmboma14613 күн бұрын
Mm Simba damu lkn huyu kocha wetu anatakiwa kubadilika ameanza dharau ku rotate kikosi mechi muhimu kama ya Jana. Kwa kipindi Cha kwanza kikosi kikuwa kibaya sana maana sikuona straika bora angemwanzisha barua alafu ateba badae. Kapanga kikosi wachezaji wanakimbia kimbia tu. Mm binafsi mkwara na barua namchangua barua hiyo mkwara kz yake ni kukimbiakimbia tukama nyumbu
@fuad_fx_Күн бұрын
Simba ni kawaida yetu hata manura aliwahi kutoa penati mbili mechi moja tena huko huko shirikisho dhidi ya asec
@Josephtibu-l9e2 күн бұрын
UBAYA UBWELA
@bernardmboma14613 күн бұрын
Huyu kocha akizidi kumpanga kikosi Kwa dharau tutalia kama yanga. Gamondi nae alijaa sifa mumeona kilichompata? Simba tusimalize maneno alafu tusisifie ujinga kocha hana first eleven nyinyi amuoni . Tuwe makini tuache ushabiki. Jana mechi tulikuwa tunapiga wale watu mbili bila kipindi Cha kwanza tu lkn huyu kocha abadilike.
@adrianorayner65512 күн бұрын
Acha ujuaji man
@Christian-j1j2w2 күн бұрын
Acheni kocha afanye kazi yake, akipangiwa kikosi mnalalamika, akipanga mwenyewe, mnalalamika, kikubwa ni hizo points 3.