MZEE WA MIAKA 75 KWENYE TUHUMA NZITO ZA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA 4, "JIRANI YAKE"

  Рет қаралды 12,076

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@abdulihafidhali5379
@abdulihafidhali5379 3 жыл бұрын
Duu huyu mzee hafai hata kuushi duniani anapaswa ashuhulikie haraka iwezekanavyo maana alichokifanya hata kuku hawezi kufanya. INNALILAHI WAINA ILAHI RAJIUN
@mohdmbarouk8465
@mohdmbarouk8465 3 жыл бұрын
Mhhh mtihan kweli wazeee wetu hata Iman Aibu zimeondoka kabisa
@雪丽名字
@雪丽名字 3 жыл бұрын
Kesi hizi kwa kweli wasitolewe nje maisha yao wazazi tunaumia
@rahimasaid4702
@rahimasaid4702 3 жыл бұрын
Huyo anyongwe mana inaonekana ameshanajisi wengi ndio maana asingemnajisi Hasbiya Allah Allah atamdhalilisha kama alivyo mdhalilisha mtoto watu looh!😭😭😭
@fatmajuma9065
@fatmajuma9065 3 жыл бұрын
Inauma sana Allah atuhifadhi ya rabiy
@kholaalmahrizi8525
@kholaalmahrizi8525 3 жыл бұрын
jamani hata police kwenda kuchukuwa uthibitisho kwa wananchi hana gari
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Mtihan wallahi
@mobincheba
@mobincheba 3 жыл бұрын
Umri kama huo baada ya kushkuru kuufikia ukarudi kwa Mungu ndo kwanza Unafanya Upuuzi uo
@topaviator
@topaviator 3 жыл бұрын
Ndo ivo yani dah hili zee limelaanika
@sweetylove9918
@sweetylove9918 3 жыл бұрын
Anaanzaje kushukuru uyu usikute mwanga analaana
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Tuseme hao wabakaji wanafanya kusudi au wamerogwa mana kila leo matangazo ndio hayo hayo au hawasikii taarifa hizo redion. .hebu wapigeni mapanga hao mapolis wote makhanisi eti na wabakaji ndio wao . Nyie wazanzibar waginga nyote washenz wakubwa. Mbona mwiz munamuuwa kwa kuiba kuku to au nguo - je hao wanao wanao waharibu maisha ya mtoto au nyote makhanisi
@nasser89nasser20
@nasser89nasser20 3 жыл бұрын
Innalillah wainna ilayhi Raajiuun Mtu mzima hasidi inaonesha ndio mchezo wake lkn mwizi ni siku arubaini Mola amemfedhehi
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 3 жыл бұрын
Wallah inaumiza sana mtt mdogo libabulizima lambaka mtt sawa na mjukuu wake halafu serikali yapuuzia wallah hatuwalaum raia kuchukua sheria mikononi mwao
@mariamkhatib5386
@mariamkhatib5386 3 жыл бұрын
Mtu kashindwa na nauli ya mnazimmoja halafu akatoe ya mafuta hee
@jumamatao3628
@jumamatao3628 3 жыл бұрын
Ngoja tuone huyu mzee kesi yke itafikia wpi, mana juzi kuna kijana alikuwa na kesi km hii na amefungwa miaka 70 ..
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 2 жыл бұрын
Poleni
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Ttzo sheria z ubakaji zilowekwa nyepes Hao wabakaji wangekuwa wanakatwa izo sehemu zao bs wangepunguza
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 2 жыл бұрын
Duh mtihani mzito pole
@fat-hiyakhatib8132
@fat-hiyakhatib8132 3 жыл бұрын
Moto kariako
@tumakassim6286
@tumakassim6286 3 жыл бұрын
Dah!maisha haya
@khadijaa815
@khadijaa815 3 жыл бұрын
Mtihani mtu unakupata na polic mtihani mpk gari watafutiwe
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Lakini wakati wa uchaguzi wanakuwa nazo gari za kwenda kupiga watu na kuuwa watu na kubaka watu. Ila kwenye mambo muhimu hawana gari
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 жыл бұрын
Nao Mungu Atawahukumu
@othmanali7408
@othmanali7408 3 жыл бұрын
Hii inauma kiukweli . Allah atuhifadhi sisi na wenetu Amin
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 жыл бұрын
Jamoon nimelia Zanzibar imeisha laanatullah zimshukiye huyo mzee mbwa
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Walokwisha hao wabakji
@tumakassim6286
@tumakassim6286 3 жыл бұрын
Dah! Ni huzuni kwa kweli
@sweetylove9918
@sweetylove9918 3 жыл бұрын
Wallahy mie ningemchinja kamakuku uyu mzee kimyakimya mana awa polisi atahawanafaida asa
@amirybeka9602
@amirybeka9602 3 жыл бұрын
Dahh mthn Rais w2 tunaomba Ukomeshee vitendo hivi. Kwa kumchukulia hatua Kali za kinidhamu... Ili iwe fundisho kwa wengine INSHALLAH.
@mursalsaid3327
@mursalsaid3327 3 жыл бұрын
Ushauri wangu hao Askari ambao walikuwepo hapo kituoni wachukuliwe hatua kushindwa kumpeleka mahakamani .mtuhumiwa wakati ushahid upo.
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 жыл бұрын
Inasikitisha sana
@samsungoman5626
@samsungoman5626 3 жыл бұрын
Hatari tunakoelekea kubaya mzee mzimahunautu Kafie jela
@mobincheba
@mobincheba 3 жыл бұрын
Bi Castico watu kama hawa wachkuliwe hatua kali
@tim5hos846
@tim5hos846 3 жыл бұрын
Uchumi wabullu oyeeee ccm mapinduzi daima
@fatmamohamed1099
@fatmamohamed1099 3 жыл бұрын
Innalihh jamaniiiiii
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 жыл бұрын
Ekeni number za simu tuwasaidie chochote
@jarsjam8894
@jarsjam8894 3 жыл бұрын
Kifungo cha maisha ndio dawa yake
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 жыл бұрын
Hatuna maoni tunaomba numberi ya baba mtoto tusaidie kama inawezekana, tumechoka kuona watu na watoto wanadhalilisshwa
@moudys
@moudys 3 жыл бұрын
Police wakodiwe gari, zanzibar never change
@blacksimba6967
@blacksimba6967 3 жыл бұрын
Zanzibar ... Iliuwa. Sasa. ZaAmsibar..
@mursalsaid3327
@mursalsaid3327 3 жыл бұрын
Boos wacha maneno nenda wizarani haraka,moja kwa moja,hapo police.hapana msaada wowote, police hapana haki.
@mobincheba
@mobincheba 3 жыл бұрын
Jamani dunia haitutaki unyama huo Mungu anatuona duhf
@aliamar6807
@aliamar6807 3 жыл бұрын
Hii ndio shida tunayopata wananchi kwa hata police ambapo inaanza haki ,ni dharau, rushwa kupoteza mda bila kuangalia ukubwa wa tatizo, kwa ufupi wenye pesa ndio wanaothaminiwa na police
@user-pf9cd6zj1g
@user-pf9cd6zj1g 3 жыл бұрын
Hukumu yake mzee kama huyo kama ni kweli auwawe
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 жыл бұрын
Kabisa anyongwe
@ruqiyaruqiya3197
@ruqiyaruqiya3197 3 жыл бұрын
Kwakweli nikifungo tuu zamana wakipewa ndio matukio ayaishi wanazidi kutualibia watoto wetu
@alafasyprintingservices660
@alafasyprintingservices660 3 жыл бұрын
Allah atujaalie khatima njema jamani dah hili tukio sio masihar jamani tulifikirien kw makin jamani
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Askari wenyewe wanahitaji elimu kubwaaa...kuna baadhi ya askari wanashirikiana katika kuficha makosa haya ya udhalilishaji.
@msemakweli371
@msemakweli371 3 жыл бұрын
Leo siku yangapi? Wazanzibar mnamuongelea huyu mzee. Serikali iko wapi? Kwani yeye tupo juu ya sheria ya serikali ya Zanzibar??? Mimi mtanzania imaniuma sana nikisikia wazee kama hawa bado mnawaogopa. Lakini naamini serikali ya Hosen Mwinyi kama ya Magufuli , hilo Zee litakamatwa na sheria itachuku mkondo wake.
@nasser89nasser20
@nasser89nasser20 3 жыл бұрын
Mheshimiwa raisi Mwinyi tunakuomba utusaidie suala la udhalilishaji wa wanawake na watt usilinyamazie
@somoh7589
@somoh7589 3 жыл бұрын
Hii maskini mototo washemegi yangu huyu mdogo babu zima hili limeniuma sans na bububu hapana kituo cha polis pana urafiki tu kituo like hakifai wafukuzwe kazi hao
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Imepigwa Simu na nani?
@雪丽名字
@雪丽名字 3 жыл бұрын
Masheha wote wanaotoa karatasi ya dhamana bc wao ndio wapelekwe kituoni waone jinsi ugumu unakuwaje .mana na wao pia wanachangia kwa nn watowe karatasi ya dhamana wakati Raisi anasema masuala ya udhalilishaji yamekosa dhamana .masheha nao wachunguzwe, na askari wa vituoni nao pia wachunguzwe hawana uwadilifu.
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Hao Askari wenyewe wanataka hizo pesa tu na wala hawana jengine. Ivi wewe Askari mushaambiwa Gari tayari lakini masaa matatu yanapita bado? Nakwambia Askari wetu wenyewe wanamatatizo Wallahi naapa kwa hili. Kama umeyasikikiza vizuri haya maelezo ya huyu kaka anayezungumza Askari wanashiriki katika mambo haya ya udhalikishaji.
@theroots2743
@theroots2743 3 жыл бұрын
Hapo sheria ichukue mkondo wake kwa udhalilishaji pamoja na hao polisi kufunguliwa mashtakana na kufukuzwa kazi
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 3 жыл бұрын
Huyo mzee ni hasidi haoni km ni kitukuu chake
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 3 жыл бұрын
Turushieni no tuwasaidie ps za dawa
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 2 жыл бұрын
Dah babu ana wake watatu lakini bado afanya upuuzi dawa yake huyu ahasiwe tu huko jela na muhali tunao jitu kama hilo bado watu walitizama tu
@hajimohamed7007
@hajimohamed7007 3 жыл бұрын
Tatizo la polis ukienda na tatizo basi ujuwe unaenda kujiongezaea tatizo mana ukienda kushtaki kesi ukihitajika upelelezi gharama zote u atakiwa utowe wewe pia mwisho unaambiwa uwape hela ya vocha ilimradi usiende umeibiwa ukadhan utafanikiwa kwa kwenda polisi nakule wanaenda kukuibia tana
@mursalsaid3327
@mursalsaid3327 3 жыл бұрын
Huyo raia chukueni Sheria mikononi mwenu wakati munaamjua . serikali wameshindwa.acheni story hizo sio suluhisho.hilo .mnyongeni.huyo
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 3 жыл бұрын
Zanzibar nimtihan raisi wa Zanzibar lisimamie hili
@topaviator
@topaviator 3 жыл бұрын
Huyu mtangazaji analia au vp
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 жыл бұрын
Kama ni kweli basi huyo ni mchawi .kateni kichwa tu hana faida huyo mzee
@muzneali387
@muzneali387 3 жыл бұрын
Hivi Polisi hakuna gari???
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Ukimuuwa mbakaji utakwenda jela na ukiuwa mwiz huwendi jela na mbakaji akibaka hafungwi . Hebu wakamateni muwakate uume au mzamisheni chupa na yeye
@jumamngwali2836
@jumamngwali2836 3 жыл бұрын
Aibu police hata gari basi
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Yeye kapigiwa Simu na nani? Huyo Askari ni shidaaaa. Unapoenda na matatizo yako Askari wanadharau kubwa mnooo. Mimi kuna siku nitawachana hata mbele ya Rais kisha nimuone Askari aniletee shida aone. Wallahi anapiga Albadri saba tuu. Unasikia majibu ya Askari aliyoyajibu kwa huyu kaka. Halafu chukuweni Simu munapoenda vituoni na murikodi mazungumzo ya Askari pale munapozungumza naoo.
@ameirkhalfan6339
@ameirkhalfan6339 3 жыл бұрын
Tunawasema.wabaraa.kutwa..ama.kweli.ubaya.hauna.kwao.
@ameali5606
@ameali5606 3 жыл бұрын
Na huko bbb Kun mambo San.
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Kata kitendea kazi tu halafu waachiliwe huru wajenge taifa. Jela watatia hasara serikali.
@chocolatebaby8533
@chocolatebaby8533 2 жыл бұрын
Ao polisi nd wenye dhambi namb 1 alaf unasikia wanakwend makka kwa fedh za haramu kaz yao rushwa tu na kubabaisha kesi
@muzneali387
@muzneali387 3 жыл бұрын
Saa nyingine Polisi wanapenda kulaumiwa sasa hapo wanafanya uchunguzi gani? Zaidi ya uchunguzi wa kitaalam alifanya daktari au Ndio njia za rushwa? Muheshiwa IGP kiangalie hicho kituo cha POLISI BUBUBU kinaharibu sifa nzuri ya JESHI LA POLISI
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Жыл бұрын
Kituo cha Bububu hakifai mbona kinamaovu yote
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Жыл бұрын
Kituo chabububu nirushwa kwenda mbele
@dulabori9922
@dulabori9922 3 жыл бұрын
Askari polisi ungja mtihani mtupu bora mtuhumiwa umpige panga afilie mbali ufungwe wewe mzazi kuliko kuwaachia polisi
@ramadhanally3240
@ramadhanally3240 3 жыл бұрын
Kama dhamana ni haki ya mtuhumiwa bac police hawakua na makosa
@tatotato3914
@tatotato3914 3 жыл бұрын
Kabs Yan Wana ufala haw
@shamisjamal8392
@shamisjamal8392 3 жыл бұрын
Kwasasa makos km hy hayatakua n zamana soo
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Hahahahaaaa s yakucheka
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 жыл бұрын
Inaonyesha huyu babu anatumia ulevi sio bure
@safiayussuf9308
@safiayussuf9308 3 жыл бұрын
Tunakuomba mwihishimiwa Rais. Hawa maduwi wa kubaka watto. Wapate Adhabu km Bara. Na wasipewe dhamana. Hawa ni wauwajii.
@mobincheba
@mobincheba 3 жыл бұрын
Nasema hivi police bado hawajui majukumu yao
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 жыл бұрын
Huyo mtu ni wakufungwa afie jela maluuni mmoja
@ismailjuma3692
@ismailjuma3692 3 жыл бұрын
Mh
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 3 жыл бұрын
Washenziiiiiii sanaaaaaa
@sultannassor9756
@sultannassor9756 3 жыл бұрын
dawayao hao nikipigo tu akibaka mtu apewe kichapo
@kholaalmahrizi8525
@kholaalmahrizi8525 3 жыл бұрын
watu kama hawa dawa yao ni kunyongwa tu
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Watu wanachukua advantage kuwashingiza uwongo wanaume, ukiwa mwanamme humpendi unapanga uwongo unamfungisha kirahisi ukisema kalala na na mtoto mdogo au kakubaka hata ikiwa ni uwongo.
@muzneali387
@muzneali387 3 жыл бұрын
Utaani Mpumbavu mkubwa wewe na daktari pia kamsingizia inaonywesha na wewe umo kundini sasa unamtetea mwanachama mwenzio
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 3 жыл бұрын
SUBHANA ALLAH
@sabraham5308
@sabraham5308 3 жыл бұрын
Jeshi la polisi,linachelewesha kesi kwa makusudi?,kuna nini hapa,rushwa,uzembe,kwanini asipelekwe mahakamani,akamalizikia rumande kwanza,waziri wa tamiseni,aliingilie hili haraka,ipatikane haki.
@madinaomar679
@madinaomar679 3 жыл бұрын
Rais tunakuomba wasaidie hawa wanyongee, tumezichoka hiz kes unguja
@tim5hos846
@tim5hos846 3 жыл бұрын
Hakuna hata Dawa noma zanzibar
@sabraabdilnasir8826
@sabraabdilnasir8826 3 жыл бұрын
Subhannallah huu mtihani mkubwa viongo kuanzia polisi mawaziri wabunge wakuu wamkowa mashekha uadilifu upite nawakumbusha maisha ya dunia ni mafupi mtaenda kuulizwa na allah tusomeni kwa mtume muhammad tusomeni kwa abuu baka swadik tusomeni kwa omar bin hatwaab hawa ndio wakuwafuata jee mnafuata nyayo zao mtaenda kuulizwa jitahidi kuwa waadifu allah atawasaidia
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
Kwanza utawezaje mtoto wako kumuwachia na watu wengine. Unazaa kisha huwezi kulea mtoto wako nyie wanawake watu wa ajabu sana. Huna muda hata wa kukaa na watoto wenu. Kazi ujinga tu muda wenu wote munatumia kuchat na kuongea na simu mambo yenu ya kijinga
@mariasaid6053
@mariasaid6053 3 жыл бұрын
Umeelewa lkn kasema alienda mazkon ndo akamuacha kwa jiran
@zenjibartvonline2622
@zenjibartvonline2622 3 жыл бұрын
Huyo halijamkuta
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
@@mariasaid6053 hata akienda wapi nenda na mtoto wako, usimuwachie mtu mtoto wako. Ukimuwachia mtu mtoto wako atambaka tu
@utaani1
@utaani1 3 жыл бұрын
@@zenjibartvonline2622 umewezaje kumzaa mtoto wako kama huwezi kumshughulikia na kwenda nae unapoenda wewe mzazi
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Inaonesha hujazaa ww mpuuzi mmoja huyo mtoto kwan ni tako kiasi ambacho kila sehem unaenda nae
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 10 МЛН
Как не носить с собой вещи
00:31
Miracle
Рет қаралды 1,2 МЛН
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
SABABU ZA VIJANA KUPENDA MISHANGAZI HIZI HAPA
7:57
Wasafi Media
Рет қаралды 4,6 М.
HAYA NDIO MABAKI YA VITA VYA PILI VYA DUNIA - ZANZIBAR
15:05
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 3,5 М.
HOUSE GIRL EP 40  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:41
BUSATI TV
Рет қаралды 34 М.
ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI ZANZIBAR
10:01
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 2,4 М.
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН