Samahani wapenda miziki ya kale : yaani nauliza huu wimbo ni wakweli ? Stella ni bibie Hamza Kalala ? Hai nmeona hata njina la babake huyu Stella. Weee wee weee, wimbo kibao sana. Bila shaka alikaa chini na kufikiria sana maneno. Maneno ya kweli ukiafuata. Kalala alijaribu na hogera mzee Hamza Kalala. Basi naomba wimbo wao " vijana Jazz " wakwe zako. Tafadhali naupenda sana. My special thanks go to this man Hamza Kalala and John Kitime. Mercì beacoup kila mtu kwa kupenda these old songs.
@AmiriHakimu-z2n5 ай бұрын
HAKIKA SAUTI HEMEDI MANETI HAITOSAULIKA NA SOLO SAFI YA HAMZA KALALA KAMA AMEIKUNH,UTA SOLO VZR SANA MUZIKI WA ZAMANI UTAENDELEA KUISHI, MH A HAKIMU MHZ TANGA ❤❤❤❤❤❤❤❤
@stevengangisa79185 ай бұрын
Daaa!namkumbuka kaka marehem mathew alikuwa anapenda xn miziki hii daa 😢😢😊
@batsajilo32442 ай бұрын
Wimbo mzuri hongera kwa kumpa heshima mama wa watoto wako.
@mazikuraphael59357 жыл бұрын
Hapa Hamza Kalala alimtungia wimbo mke wake Stella mtoto wa John Cheyo, Stella ndio mama yake mzazi Kalala Juniour na Toto Kalala.
@erickwambia265310 жыл бұрын
One of my favourite Vijana jazz hit.Sifa za Stella with maestro Hamza Kalala 'Commando'.inzua hisia nzito nzito tu.shukran Eddie
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena ndugu
@sangomamourice32515 жыл бұрын
kaz ni moja tu huku ughaibuni kurudisha hisia nyuma
@frankmakoba96939 жыл бұрын
Back were the days bwana... Wimbo unanikumbusha majonzi na furaha za ajabu....Asante sana
@kokombwana86255 жыл бұрын
Kwakivesa shule ya msingi,Handeni
@gefrfiedhaule54089 жыл бұрын
Moja kati ya nyimbo matata na bomba sana...kazi nzuri bwn Eddie Nassor kwa kutukumbusha
@shehanidege62916 жыл бұрын
Tupia baba jeni og maana nautafuta siupati
@Sufa077 жыл бұрын
Hamsa Kalala solo kama linasema kitu...hisia za Kalala na gitaa vimeungana na kuwa kitu kimoja! Asante Eddie kwa memory!
@rodrigobenton11673 жыл бұрын
i realize Im kinda off topic but do anyone know of a good site to stream newly released tv shows online?
@amirdariel13033 жыл бұрын
yup, I have been using flixportal for since march myself :)
@jafaripaje53666 жыл бұрын
Hatari sana....hata usipoingiza nyimbo bado utaendelea kuburudika na muziki wa Ghala!
@sangomamourice11033 жыл бұрын
Hamza kalala na stellah wake asante sana
@ogetoj62458 ай бұрын
Kisha unga kazidi maji juu ya mapenzi baina yake Hamza Kalala na Stella! Yaliyobaki tu ni kuoana hata kama sura ingekua mbaya, walakini sura yake, sawa na maji machanga bila dosari!! Tabia yake, Stella ilikua nzuri kwa maoni ya wengi.Mapenzi sawa na sumu. Dr. Ogeto International
@AshuraMpili11 ай бұрын
Kalala mkali wa solo. Hatari na nusu
@abuukarata96536 жыл бұрын
this was my best, I did not know about love those days, but I was crazy on hamza Kalala with his guitar, and his family story. sometimes i got emotional, so emotional
@mansourahmzinga50615 жыл бұрын
Maneti mungu akupunguzie azabu ya kaburi
@josiahmwendwa79228 ай бұрын
Sorry l was about to forget the saxophonists, they did good job and surely good only the recording machines which were not bien, yaani hazikua sawa e.g kama ASL or Polygram. Good. Am in kenya mombasa mtwapa
@hajijangwa30144 ай бұрын
Hamza kwa ujumla ni Mwamba,anapiga, anaimba,anatunga ni wanamuziki wachache sana wa aina kama yake
@najmasaleh92317 жыл бұрын
Hamza kalala upiga solo kwa hisia sana pia hiyo gitaa aitofautiani kabisa popote anapoipiga kwa style yake hongera commandoo
@AmiriHakimu-z2n5 ай бұрын
HAKIKA HAMZA KALALA AMEPIGA SOLO KIUFUNDI SANA ANASTAHILI PONGEZI HV MBONA VJANA WA SASA HAWAIGI MUZIKI HUU WENYE MAUDHUI SAHIHI NA UNAO ISHI A HAKIMU MHZ TANGA
@gemmstore4 жыл бұрын
Huu wimbo ni mtamu sana
@shanjami18318 жыл бұрын
max bushoke,,,embe nyonyo,,,uko wapi huu?
@winstonmassam74117 жыл бұрын
The legends ever. RIP Maneti. Mungu akuweke miaka mia Comandoo Hamza Kalala.
@abdallahlibwela97614 жыл бұрын
Eddy Nasoro naomba nipigie ule wimbo wa (hayo maneno yenu mmeyaanza wenyewe) wa kalala
@safinabakari91403 жыл бұрын
Ngondo igwa
@allykindamba98005 жыл бұрын
Hatar hiyo kitu
@twilamtumbi26478 жыл бұрын
Maneti lala pema ulipo, kalala hamza upo vizuri na soro lako
@aifellosichalwe26017 жыл бұрын
Twila Mtumbi ...kaka ukipenda utaongea yote yaani mwimbo huu we acha tu
@emmanuelpatrick67875 жыл бұрын
Mungu mwema🙏
@mariamabdullah4893 жыл бұрын
@@aifellosichalwe2601 Nakuambia yani huwa nafadhaika sana ninapousikia huu wimbo, kwanini? uasilia wetu wetu na ngoma zetu zimepotea zimekwenda na wennye muzikiwao nalia sana, sikia hilo solo linavyoongea kaka
@denislikwelile14212 жыл бұрын
daaah, kitambo sana hiyo
@mwitasogorya30933 жыл бұрын
Hamza Kalala mtoto wa NASA ni mmoja ya watunzi wazuri achilia mbali ucharazaji wa gita la solo
@tatumatata24283 жыл бұрын
Hatari sana
@josiahmuthemba1156 жыл бұрын
Infact I confuse Kalala Mbwembwe na huyu Hamza Kalala. Kalala Mbwembwe kaimba na Marquis du Zaire
@AmiriHakimu-z2n2 ай бұрын
Solo ya Hamza kala SIO mchezo jamaa Amelia miongoni KWA wapiga solo wazuri KTK inchi YETU vijana WETU hebu muige ufundi HUO
@gugasaidi33757 жыл бұрын
wapi wimbo Zainabu
@rogersakhwale10 жыл бұрын
Sifa za Stella ulifwata wimbo mwingine mzuri kwa jina Stella mwenye fikara nzuri. Bila shaka tunzi na sauti za Chiriku Hemedi Manneti na Hamza Kalala zakumbusha asilia ya mziki wa Tanzania. Alale pema Manneti na maisha marefu Commando Hamza Kalala. Mimi ni mpenzi wa Vijana jazz tangu nyakati za kokakoka, Takatuka na Pamba moto.
@felixmagulu13838 жыл бұрын
sifa za Stella ni wimbo uliotungwa na Hamza Kalala na gita la solo anapiga mwenyewe.
@mbarakamwande40712 жыл бұрын
Rogers hata mimi toka. Udogo wangu mpaka leo huwa najikumbusha
@mariamabdullah4893 жыл бұрын
kaka Eddie, hive hapo Bass G kappa nani?
@josiahmuthemba1154 жыл бұрын
Kazi mrua sana lakini bado mimi ninalo tatizo moyoni juu ya huyu Kalala : is he Kalala Mbwembwe yule aliimba na marquis ama huyu Hamza Kalala mwigine ?
@saidfundi6535 Жыл бұрын
Huyu ni Hamza Kalala wa Vijana Jazz yule jina halisi ni Kalala Dembwe japo aliitwa Mbwembwe
@NowelaRaymond-zq4ys4 ай бұрын
😭😭😭
@saadmazen452810 жыл бұрын
Hapa ni vijana jazz iliyokamilika...sauti ya Maneti na solo la hamza kalala
@malelabmalela50163 жыл бұрын
Hhakiika
@josiahmwendwa79228 ай бұрын
Q : is Hamza Kalala a Tanzanian or from Zaire ? Pls give an answer.