Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili #DRC #Rwanda #m23 #Goma #tanzania #SADC #EAC #bbcswahili #bbcswahilileo #tshisekedi #kagame #samiasuluhu #samiasuluhuhassan #RUTO
Пікірлер: 37
@danwayne7863 сағат бұрын
Leonard Mambo Mbotela tutamkumbuka daima. Mungu amlaze mahala pema peponi.
@GesaMajogoroСағат бұрын
Mungu ibarki African
@USALAMADRCONGO5 сағат бұрын
Kwanini msi wahusishe pia Wachambuzi toka DRC? Wapo pia Wachambuzi wazuri sana, ila nashaanga kila wakati mna wahusisha Wachambuzi wasio juwa hali halisi ya kwenye Eneo la tukio
@ezekielezekiely84765 сағат бұрын
Viongozi wa Kiafrika,walivyo wanafiki hivi.kuna kitu kutafanyika hapo kweli,ni mashaka.hao wote ni madikteta kwa raia wao.kwa njia ya uchaguzi, reo inawezekana chooni tupate asali.itakuwa mara ya kwanza,wote hao ni wezi wa demokrasia.hiii!hamo sasa.
@AishaAssumani5 сағат бұрын
Mungu asaidiye waskirizane
@JedyKandul4 сағат бұрын
Kuongea na m23 nisawa na kuuza nchi ya Kongo Kwa wanyarwanda wanamipagona Kongo
@LucySimba4 сағат бұрын
🙏🏼🙏🏼❤
@juliusmwaniki89844 сағат бұрын
Paul Kagame kama yeye ndiye ameleta taabu congo Mungu amwadhibu vibaya sana na jamii yake. Amani ni bora kuliko madini ya congo
@kevinrugenza17693 сағат бұрын
Toka Kule wee,unauhakika??
@LucySimba4 сағат бұрын
Ombi langu ni kagame na shisekedi Wakae wasikilizane ili kuokoa Maisha ya Wa Congo Amani ipatikane katika Taifa hilo Asante umoja wa Mataifa Mungu Awe nanyi
@ngongosamuelapela812 сағат бұрын
Ni mambo ya inchi que Dieu nous viennent en aide
@omarykipepeo8004 сағат бұрын
Allah ijalie congo
@WamburaThomas-s3u5 сағат бұрын
Mungu2 awasaidie alafu wakae wenyewe chini wazungumuze 🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🇰🇪🙏🙏🇰🇪🇰🇪🙏
@thenostressteam30143 сағат бұрын
😢
@josephkajumulo19942 сағат бұрын
Tuombe Mungu tu mazungumzo yaende vizuri baadae hii leo DSM!
@YohanaAyoub4 сағат бұрын
Mungu awatetee ndugu zetu was Congo jamani
@silvadebaba97694 сағат бұрын
Tutaingia Rwanda bila kizuwizi na rwanda ita subir action
@kamrudinelias39223 сағат бұрын
Vikwazo vya marekani sawa na kula karanga siku hizi, angalia nchi za north Korea, Iran, China, Russia na mengine mengi yalivyopata MAENDELEO na vikwazo vya marekani zikirundikana...marekani linazidi kupoteza umaarufu na marafiki duniani kwa kasi...
@silvadebaba97694 сағат бұрын
Est-ce que wazazi wa wa tutsi hao walio zaliwa congo Walikuwa na urai wa ki kongo?
@USALAMADRCONGO4 сағат бұрын
Rais Felix, haja wai kataa kukutana na kuzungumza na Kagame, ispokuwa tu alisema hawezi zungumza na Askari wa M23. Kumbuka mkutano wa ivi mwisho wa angola, Félix alikiwepo ila kakataa kagame, na kuja kukubali ule wa EAC, ulio itiswa na Ruto, sababu Ruto wako pamoja na kagame. Ila huu wa SADC-EAC, Na amini kuna kitu kizuri tukacho kipata.
@salehkhamis-ob8ln3 сағат бұрын
Rwanda inatengenezwa iwe kama izrael kujitanulia maeneo kwa manufaa ya wamarekani na England na magharibi yote
@USALAMADRCONGO5 сағат бұрын
Rais Felix, haja wai kataa kukutana na kuzungumza na Kagame, ispokuwa tu alisema hawezi aungumza na Askari wa M23.
@ALIKIBEJUMA-h7r2 сағат бұрын
Ni mambo ya ovyo kwa viongozi wote wa afrika ivi ujinga unao pitikana kongo kuna mtu asie juwa sasa kuna aja gani ya kukaa chini waelewane wakati wana jeshi wa inchi izo wanadayi wapo kongo kulinda amani naona ni ujinga mtupu akuna lolote
@josephkajumulo19942 сағат бұрын
R.I.P Mzee Leonard Mambo Mbotela! Hakika ni huzuni kubwa kwa tasnia ya utangazaji katika juma hili!Kufuatia pia kifo cha mchambuzi maarufu wa siasa na diplomasia Ahmed Rajabu week hii huko London uingereza!!
@juliusjaliwa98874 сағат бұрын
Wachambuz mandazi, kwahio ninyi muko tayari kiseket akubaliaane na maamuzi yoyote yale ambayo itatolewa hapo hata kama haya maslai kwa wacongo? Chombo cha wamluki hamna lolote
@silvadebaba97694 сағат бұрын
Jibu nihapana nikusema congo ina mamlaka yote 100% yakufanya jisi inavyo jisikia. d'autre chose, mambo ya congo inausu nini kagame kuleta vita kwetu congo
@mkanjimamkanjimamkanjima20433 сағат бұрын
Me nadhani hao M23 wanapaswa kupigwa na kusambaratisha kabisa makundi yote ya wahuni wanapora mali na kubadirisha na silaha ili wacongo wawe huru na nchi yao pia nchi zungine majirani waende kongo kujumuika na wenziwao wa huko
@mkanjimamkanjimamkanjima20433 сағат бұрын
Hivi mtanzania akizaliwa Malawi kutokana na wazazi kwenda Malawi kimajukumu na badae wazazi kufariki au kurudi kwao nawe kubaki Malawi ni lazima uanzishe uhasi kwa kuwa umezaliwa Malawi ikiwa wazazi ni tz?
@josephkajumulo19942 сағат бұрын
Halafu huyu Trump cjui yukoje asee? Yaan kila siku ni mtu wa kuleta taharuki tu Duniani asee! Cyo mtu poa kabsaa huyu mzee
@josephkajumulo19942 сағат бұрын
Hivi vikwazo vya Trump kwa ICC nadhani nyuma yake ipo Israel hasa ukizingatia hv majuzi tu waziri mkuu wa Israel alifanya ziara huko USA.
@albertmushambarhwa64164 сағат бұрын
17:58
@VumiMoise5 сағат бұрын
M23 niwanyarwanda Rwanda sio wo kongo ao
@MargaretMathiote5 сағат бұрын
Banyamulenge
@salehkhamis-ob8ln3 сағат бұрын
Rwanda inatengenezwa iwe kama izrael kujitanulia maeneo kwa manufaa ya wamarekani na England na magharibi yote
@silvadebaba97694 сағат бұрын
Jibu nihapana nikusema congo ina mamlaka yote 100% yakufanya jisi inavyo jisikia. d'autre chose, mambo ya congo inausu nini kagame kuleta vita kwetu congo