MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA

  Рет қаралды 74,809

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Mary ameeleza safari yake ya kutimiza ndoto yake ya kupata Mzungu, alitoka mwanza kwenda Arusha kutafuta Mzungu. Alikutaka na wazungu wa honyo lakini mwisho akakutanana na ambae bi mume wake na sasa anaishi Belgium.
Alinyanyasika na kudharaulika sana na kuitwa maijina mengi mabaya kutoka kwa familia lakini aliwaacha mdomo wazi baada ya kufunga ndoa.
Thank you Mary for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 240
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Tiktok: mickymary
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 5 ай бұрын
A office dating assistance
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 5 ай бұрын
Hi
@KADOGOFOUNDATION
@KADOGOFOUNDATION 5 ай бұрын
Hello madam Im from kenya Pia Mini niko Germany nataka siku moja nitoe Safari yangu nilipo Anzahl mpaka kufika ulaya
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 5 ай бұрын
Shera Mungu akubariki Asante kwa kwa kuanzisha shuhuda hizi sinazo husu maisha,sinatufundisha sana,dada msukuma umenikumbusha mengi nilipitia magumu yanaendana nayakwako kidogo japo yanatofautiana, Mungu nimwema sana ametuvusha kwa mengi.
@neophitalukiringi8260
@neophitalukiringi8260 5 ай бұрын
Asante sana Shena. Mimi nina miaka 52 nimekuwa nikikufuatilia sana story zako nami Mungu kunijalia nimepata Mume mtarajiwa . Asante sana.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Hongera sana sana Glory to God Karibu sana kwa kipindi 🥰🥰🙏
@ashaidei5680
@ashaidei5680 5 ай бұрын
Glory to God❤❤asichoweza Mungu hakipoo💪🏼👏👏👏🙏🙏na ikawe yenye kheri Amen
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 5 ай бұрын
Umepata kupitia mtandao upi mamy tujuze
@zulekhamjungu7217
@zulekhamjungu7217 5 ай бұрын
Hongera sana Mungu akutangulie
@olivamaziku8692
@olivamaziku8692 3 ай бұрын
Hongera
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 4 ай бұрын
Wewe ulipenda upate mzungu mbali hukuomba Mungu akupe mwanaume mzuri sasa maji kayavulia nguo yaoge tu. From Kenya 🇰🇪
@haryanyawu640
@haryanyawu640 5 ай бұрын
Pole ssna kwa mapito uliopitia ila marafiki sio watù wema maana ukiwasaidia matokeo yake wakakusaliti Mungu akutunze daima
@GodliverYakubona
@GodliverYakubona 5 ай бұрын
Kwa nia nzuri. Nashauri anaotafuta, waume wawe wanapima afya kabla ya kukubali kujamiiana. Maana tangu nimesikiliza watu tofauti tofauti hapa sijawahi kusikia mtu anasimulia tukafanya vipimo kwanza vya magojwa hasa ukimwi. Kama huwa wanapima ni vizuri. Shena unafanya vizuri kuelimisha watu. Na unajua kumsikiliza mtu anajieleza mwenyewe. Humkatishi mazungumzo yake hivyo stori inanyooka vizuri. Na unajua kuuliza maswali vizuri.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Ushauri mzuri sana.. Shukran 🙏
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 5 ай бұрын
Kabisa wengine hawajui ku intaview wanakatisha mtu maneno intaview inakuwa gumzo tupu
@liannsambu7264
@liannsambu7264 5 ай бұрын
Hakika
@liannsambu7264
@liannsambu7264 5 ай бұрын
Sema pia da shena Kuna watu ANAKUWA free sana na Kuna baadhi ANAKUWA SI comfortable sana but bado da shena anafanya vizuri
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Yaani kwakweli mimi huwa nasema mara zote hapa,shena ni msikivu na mtulivu sana,anajua kumskiliza mtu na anauliza maswali vizur sana,yaani mskilizaji unaelewa kwa uzur kabisa aisee tumpe maua yake🫠
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 5 ай бұрын
Waooo mwanetu mtoto wa kihaya hongera sana mwenyezi mungu awatangulie
@rutahalima1400
@rutahalima1400 5 ай бұрын
Shena hongera kwa kazi yako nzuri
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 4 ай бұрын
Ushauri wangu wasichana msitamani maisha ya Mary muache tamaa Mary anacheka tu lakini amepitia magumu sana hayo sio maisha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
Kila mmoja ana namna yake,mapito yake So hatuwezi fanana mapito na Kila kitu
@SabihaRajab
@SabihaRajab 3 ай бұрын
Kwa kweli tamaa mbaya
@JoridarJosiah
@JoridarJosiah 4 ай бұрын
Hongera sana mwanangu ulipambana Mungu aku simamie ndoa yako idumu milele na mafanikio pia
@fortunenova6242
@fortunenova6242 5 ай бұрын
Shoga yangu Mary hatimaye.... this interview was so good 😊
@MaryMashalla
@MaryMashalla 5 ай бұрын
Yes dear😂🎉❤
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 5 ай бұрын
Pole sana kwa mapito Mary na Hongera mno kwa mafanikio ya Ndoto zako. "Baada ya dhiki faraja'.
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Shena wangu nakupenda sana kipenzi,hongera kwa kazi nzuri😊
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
Anafanana kama mama Tibaijuka.
@upendogreutert199
@upendogreutert199 5 ай бұрын
🤭 wewe nawe 😂
@annasolomon9855
@annasolomon9855 5 ай бұрын
Ni kweli😊
@Oliva_Meela
@Oliva_Meela 5 ай бұрын
Na yeye ana damu ya kihaya
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 5 ай бұрын
Ndiyo
@liannsambu7264
@liannsambu7264 5 ай бұрын
😂
@upendogreutert199
@upendogreutert199 5 ай бұрын
Duniani Mapitoo jamaniii lakini Mungu ndie kimbiliooo
@neemaseiler1122
@neemaseiler1122 5 ай бұрын
Interview nzurii,asante Mary. Hongera pia,uko kwenye honeymoon period Enjoy❤
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 4 ай бұрын
Mungu Awabariki wewe na Family yako.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 5 ай бұрын
Hayo maisha sio salama kabisa huo ni udangaji na wazungu kudanga kisa kuolewa na mzumgu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
Kumbe huyu dada hiki kitu kiko kwenye damu yao Baba ake akishakuwa na mzungu😮 Shangazi wote wameolewa na wazungu Safi sana
@Mazoea
@Mazoea 4 ай бұрын
Ila wabongo washenzi sana.na wanawivu na wanapenda sana
@queenofireland898
@queenofireland898 5 ай бұрын
Rafiki sio watu wazuri bora uwe peke yako hatupendeleani mema kwa kweli
@rutahalima1400
@rutahalima1400 5 ай бұрын
Haqika, mufaransa husema “ mieux être seul que mal accompagné “
@Mazoea
@Mazoea 4 ай бұрын
Mimi nimeamua kutokua na marafiki.maraki wanawivu sana..
@vero57
@vero57 5 ай бұрын
Nimependa love story yako, hongera sana 💐🌺
@beatricechite3142
@beatricechite3142 5 ай бұрын
For her it's in her family line cause all her aunties are married by white people so it's a patter,so for her it wad something of sure bet.Tutasema ni mathabau ya ukoo.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
Yes Iko kwenye damu ​amesema baba Ake aliwahi kuoa mzungu,mfinland
@rachelmuhehe7789
@rachelmuhehe7789 3 ай бұрын
Mimi navyopenda mwanaume mweusi (wa kiafrika) kwakweli mzungu mimi hapana kabisa.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 5 ай бұрын
Aisee hongera sana dada yetu
@gra8098
@gra8098 3 ай бұрын
Hapo kwa club na waterfalls, afu mtu anasema alikuwa hadangi😢😢
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 3 ай бұрын
Kwa hiyo kwenda club ndio kudanga? Sasa unatafuta mchumba wa kizungu si utampata waterfalls, mbugani, club, hotel, beach, etc ? acha negativity mzungu humpati sokoni wala buchani
@leahkatinde859
@leahkatinde859 5 ай бұрын
Jamaani msukuma kabisa mpaka anavyo ongea 😂 wakukaya
@anethcharles5443
@anethcharles5443 5 ай бұрын
😂😂😂confidence hana masikin ila amepitia changamoto nying yan 😢haya maisha ad utoboe jua umepitia meng sana
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 5 ай бұрын
Na muhaya pia
@BERLINHENRY-tc8em
@BERLINHENRY-tc8em 3 ай бұрын
Ila wasukuma na Sisi 😂😂na Mimi nijnitoe story yangu mpaka kupata ndoa na mzungu😅😅
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 3 ай бұрын
Hongera sana. Ushauri mzuri ❤❤❤👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽🙏🏽.
@atuamohamed9664
@atuamohamed9664 5 ай бұрын
Ahsante kwa maelezo ya upendo
@emmanueliirungu2339
@emmanueliirungu2339 4 ай бұрын
Asante kwa elimu yako,kupima iwe kanuni
@rutahalima1400
@rutahalima1400 5 ай бұрын
Hongera binti wetu karibu europe bienvenue Na mi niko france huwa na kuja Belgique nikija natakutafuta Je te souhaite beaucoup de bonheur dans ton foyer Félicitation Coralie
@ByonaBirungi
@ByonaBirungi 5 ай бұрын
Kweli binti yetu umepitia mapito hongera saana
@viarneytairo2543
@viarneytairo2543 3 ай бұрын
Mungu alikuwa tayar amekupangia. Ongera sana na pole kwa changamoto ulizopitiaa. Nitafutie na mm mthungu sasa
@gillianwilliam5688
@gillianwilliam5688 4 ай бұрын
Hongera dada nimependa unawapa mda wa kujielezea story zao.....😊
@talentshow2024
@talentshow2024 5 ай бұрын
Hongera
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Dada shena ni mtulivu na msikivu pia😊Mungu akutunze
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 3 ай бұрын
Nilimpata mmoja ni kituko and am glad am a mama of one beautiful baby girl, still waiting for God's time right now. I will find a white man special for me.
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 3 ай бұрын
Mm naomba mungu nipate tu mume wa maisha yangu anisomeshe kingereza maana simua na wakunisomesha nimeishia la saba
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Wewe msichana shunjaaaaa oyyyy nakupenda msichana mzuri sana KBS 🥰👍👏🔥
@upendogreutert199
@upendogreutert199 5 ай бұрын
Yaaani sisi watu weusi sisi hatupendaniiii 🙈🙈
@verynicemoshi9959
@verynicemoshi9959 5 ай бұрын
Nampa ongera sna kwa kutimiza ndoto yake
@negwamwaipopo6467
@negwamwaipopo6467 5 ай бұрын
Nice story
@johnmaulilo9564
@johnmaulilo9564 5 ай бұрын
Wow wa kwanza kucoment
@tumainisamwel2925
@tumainisamwel2925 4 ай бұрын
Lovely story
@MakameSimba
@MakameSimba 29 күн бұрын
Me naomba kuuliz uwo mtandao link yke
@dayana5513story
@dayana5513story 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mrembo ❤❤❤
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 5 ай бұрын
Story nzuri
@adolfmashele4959
@adolfmashele4959 3 ай бұрын
Hongera..kuhusu club...nadhani ilikuwa ni njia yakutafuta kumpata mtu anayemuhitaji tu..but pia kila mtu anahaki yakuwa na yoyote tu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 5 ай бұрын
😂Mery anachekesha. Lakini Mashaallah kapambana hasa ❤
@liannsambu7264
@liannsambu7264 5 ай бұрын
Hakika anachekesha
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 5 ай бұрын
Mwenyezi mungu akutangulie
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 ай бұрын
Huwa najiuliz mnavyokutana na wazungu ghafla mnalala nao hata hamwogopi maradhi?au ndio pata potea?
@happinessjohn4581
@happinessjohn4581 3 ай бұрын
Kinga si zipo jmn hata wao hawakubali mpka mpime yan hata mbongo ukicheza nae vibaya kama ana maradhi anakupa so ni kuwa makini tu
@sarahbuberwa7219
@sarahbuberwa7219 5 ай бұрын
Hallo Shena hongera sana kwa kipindi chako nielekeze jinsi ya kudownload Tinda
@pendo8082
@pendo8082 3 ай бұрын
Inter view nzuri sana
@simplycaren375
@simplycaren375 5 ай бұрын
Anaeleza vizuri
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Pole sana msichana 🫢 nihatari kbs dunia Kwisha KBS ndodunia hiyo mzunguko ila mngu anaweza yote 🥰
@zidatv1122
@zidatv1122 5 ай бұрын
Wanawake pasua kichwa
@cleopatrahenry7541
@cleopatrahenry7541 4 ай бұрын
Merry ananifurahisha kuwapa na ukoo wote 😅😅😅
@JoyceChacha-i3w
@JoyceChacha-i3w 3 ай бұрын
Hongera Mary
@ErickJuma-e6j
@ErickJuma-e6j 4 ай бұрын
Mimi naitwa Erick wa Arusha Fanya mpango tupate connection ya kazi
@gracendumbaro5196
@gracendumbaro5196 4 ай бұрын
Mpaka haya kazi njema
@marykisoka4233
@marykisoka4233 Ай бұрын
Kweli shoga hata m nilikua natafuta anafanana na nani😂
@rhobigwesso3308
@rhobigwesso3308 3 ай бұрын
Hongera Umefunguka umesaidia wasi hana wengine maana. Mhhhhh.ni kipengele TZ😊
@bibianamarwakesanta5799
@bibianamarwakesanta5799 Ай бұрын
Jamani, mimi nisaidieni nipate mzungu
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
❤wewe unatisha KBS waliku pendaga saan 🥰😊👍
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
Sababu ya kutafuta mzungu ni nini haswa?
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Hayo maisha ya shida nila Zima tupambane nakia njaribu huku kuwa kitu ninacho endelea kupotrza wavinjana wa easichana mnayatizo KBS 👏😊
@ErickJuma-e6j
@ErickJuma-e6j 4 ай бұрын
Hongera kwa Hilo dada,,xaxa tufanyie connection ya kazi huko
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
😂
@nurumustapha2448
@nurumustapha2448 5 ай бұрын
Hatimae nimemuona ndugu yangu wasukuma oyeeeeeee
@basumaadam2686
@basumaadam2686 2 ай бұрын
Oyeeeeeeee nipo hapa na me Nina mzungu wasukuma tuna nyota na wazungu ❤
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov 4 ай бұрын
Kwa sisi ambawo tunaitaji mme wakizungu ila kingereza hatujui tufanyeje?
@TeddyMussa-e6h
@TeddyMussa-e6h 2 ай бұрын
Nimpenda merry dada
@HhRt-m5z
@HhRt-m5z 5 ай бұрын
Fanyeni video kwaufupi zinachosha kusikiliza
@carolinekara7603
@carolinekara7603 4 ай бұрын
Ukichoka ondoka.....
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
😂😂​@@carolinekara7603
@felismbithe4761
@felismbithe4761 4 ай бұрын
Hongera dada.
@Tabitha-g7p
@Tabitha-g7p 4 ай бұрын
Wazungu,naukai,hata vile unakaa,you are beautiful when they are using you
@aby21111
@aby21111 3 ай бұрын
African napenda naroga wazungu.😎🇺🇲
@blandinamrusha-pj2ro
@blandinamrusha-pj2ro 4 ай бұрын
Nakupenda Marry wangu 🎉🎉🎉🎉
@nancyg8664
@nancyg8664 5 ай бұрын
Mashuka ya guest ndomana yamefubaa kumbe mnayapondaponda😂😂😂
@geez5076
@geez5076 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 5 ай бұрын
😅😅😅
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 ай бұрын
😂😂
@banguha
@banguha 5 ай бұрын
Wahaya ndivyo tulivyo hata mm kwenye posa walikula had leo hawasahau kwetu hakuna shughuli ndogo
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 ай бұрын
Sielewi kwanini wadada wanapenda sana kushea mambo yao na marafiki. Jifunzeni jamani.
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
MuNGu njoo shefu 🙏🙏 njamani furahi siku zote. KBS ubarikiwe San 😊😊
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Ulikuwa sio mtu wa kuona mbele:ulipata fedha nyingi badala kujenga ukawa unagawia ukoo akili finyu sana. Lakini stori nzuri sana🎉🎉🎉
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Mili kuwa na enjoy 🎉👏 🔥
@DoreenMwanga-dg7xp
@DoreenMwanga-dg7xp 5 ай бұрын
Je Tinder alilipia....shena hilo swali unasahau kuuliza
@issajumaali4009
@issajumaali4009 5 ай бұрын
Nimependa utambulisho wake huyu dada, "Kwa jina......"
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 5 ай бұрын
Jaman ninempenda merry anaongea vizuri
@HellenMendard
@HellenMendard 3 ай бұрын
Yaani mimi sipendagi wazungu ata kidogo,
@kithajungu1389
@kithajungu1389 4 ай бұрын
Nimekupenda sana bi mery unaongea ukweli nimependa icho kitu,ukweli ukweli ❤
@gracemasawe7646
@gracemasawe7646 4 ай бұрын
Mm huwa nawapenda wazungu jaman
@MONICAHMAINA-k4x
@MONICAHMAINA-k4x 3 ай бұрын
The time you pray God for marriage just tell God the type of a man you want because when you call God to give you a husband he can give any man sababu uja sema ni wanaume mgapi ata mlevi utapata juu haja yako ni bwana 😂 monicah from kenya 🇰🇪
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 ай бұрын
Hata mm natamani mzungu jamani lakini hii process duuh!!naogopa matapel wa ngono
@basumaadam2686
@basumaadam2686 2 ай бұрын
Ni wengi mno matapeli ila ni kuomba Mungu utapata
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 5 ай бұрын
Dada napenda sana kipindi chako wow ni mimi Simba Abdul Amsterdam Holland
@viarneytairo2543
@viarneytairo2543 3 ай бұрын
Nitafutie na mm Mzungu kwa kwelii
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Pole jee huku waita wote. Inamana huku njuwa mapema wazingu sio wema ni ukweli KBS ushauri mzuri sana USi muaminie mtu awaye yote KBS 😊🥰
@mimiinvestments8406
@mimiinvestments8406 5 ай бұрын
Jama Mary kumbe Mama yako ni Mhaya! Duh! Nimefurahi mno! Na mimi natoka BK.
@DM_15
@DM_15 4 ай бұрын
Masela njooni hapa msikilize ujinga za wanawake hapa
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 4 ай бұрын
Dada shena nakupenda huna papara unamuacha mtu anajimaliza mwenyewe wengine wanaingiliaga katikati
@MariaLimbu-g9f
@MariaLimbu-g9f Ай бұрын
Yaani Mary tumefanana kila kitu jina, kabila mpka historia ya maisha
@khadjamhozya
@khadjamhozya 4 ай бұрын
Mzungu nini
@loveness09-k
@loveness09-k 5 ай бұрын
Tinda gharama shs ngapi?
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Jamani tusubscribe tumfikishe shena 30k na hatimae twende hadi 100k maana shena anatuletea watu wazuri na wanatuelimisha na tunapata story na kucheka pia😊
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Shukran dear Ahsante sana kwa support 🙏 Kweli tukue zaidi 🥰🔥
@ruuh_august
@ruuh_august 5 ай бұрын
Ana aibu mashaalllah 😂🤣
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 4 ай бұрын
Si tuko nap ila hawa eleweki KBS 👏 hiyo niu shauri mkubwa kwetu njamani 👏
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 5 ай бұрын
Inatakiwa ujiendeleze kimasomo dada angu usibweteke
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Ila marry jamani mbona nini nini nini nyingi sana😂
@iantussa9064
@iantussa9064 5 ай бұрын
😂
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Anafurahisha marry wetu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 ай бұрын
Ndio ongea yake wewe chukua madini yake
@nicekweba9920
@nicekweba9920 5 ай бұрын
Mimi sijasema kwa ubaya mpendwa,nimefurahi tu,nimependa anavoongea,kufurahi ni kawaida 😊,sorry kama umekwazika
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 47 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
TULIKUTANA ONLINE | DEPRESSION BAADA YA UZAZI NILIKAA HOSPITALINI MIEZI 3
41:55
Official Dating Assistance
Рет қаралды 14 М.
TZ ❤️ USA | TULIKUTANA MTANDAONI
51:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 10 М.
RAFIKI AKAWA ADUI BAADA YA KUJUA MUME YUPO UK |MTANDAO UNAVYOSAIDIA KUANZISHA MAHUSIANO
1:35:30