No video

NABII MEJA AWAGEUKIA WANACHAMA SIMBA|MSIKURUPUKE KUTAFUT MCHAWI HILI JAMBO MTAJUTIA

  Рет қаралды 1,379

SPORTS MAX

SPORTS MAX

Күн бұрын

KWA HABARI NA MATANGAZO
TUPIGIE SASA
0753393036 CALL
0625466848 WHATSAPP

Пікірлер: 16
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990 2 ай бұрын
Huyu kashakuwa chawa tayari, yaani bongo dhhhuuu njaa mbaya
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 2 ай бұрын
Meja una akili sana yaani MTU akikusikiliza unatoa madini ya mana sana
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 7 күн бұрын
Sasa hv Yuko yanga 😂😂😂😂😂
@user-gb2pl3ln9m
@user-gb2pl3ln9m 2 ай бұрын
Dah si ndo anasemaga viongozi wajiuzuru kimemkuta nini tena Mungu atusaidie jamani
@gaspernsajigwamwaiswagha6071
@gaspernsajigwamwaiswagha6071 2 ай бұрын
Bora ife lkn hao watu waondoke
@MussaMussaYusuf
@MussaMussaYusuf 2 ай бұрын
Tatizo mashabiki na wanachama wa simba amueleweki au amna msimamo munatka nini uyu jamaa kashabadiri Sasa ivi
@AbbasiMdabwa
@AbbasiMdabwa 2 ай бұрын
Meje kwahapo sikuungi mukona acha waondoke usiws tetee
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 ай бұрын
UNASEMA MO HAFAI NANI UMEMUANDAAA
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 2 ай бұрын
HUYU JAMAA NAMUELEWA
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 7 күн бұрын
Sasa hv Yuko yanga 😂😂😂
@geofreynyarusy2448
@geofreynyarusy2448 2 ай бұрын
Acha kuongea upumbavu kama huwezi kuongea media miaka ipi waliofanya vzr Toka wameingia wamevikuta vikombe na Mataji vyte wamevpoteza achia mike boya we
@VicentHaule-vm9eo
@VicentHaule-vm9eo 2 ай бұрын
Huyo jamaa mjinga
@PierreTembele
@PierreTembele 2 ай бұрын
Ivi sisi mashabiki wa simba tuna shida gani ndani ya mwezi miwili yakujiandaa na msimu ujao tufumue kikosi chote tusajili wachezaji miezi hii miwili mwataka viongozi wajiuzulu miezi miwili club iende preseason Sasa hapo club mnataka ishike seemu ya mwisho sasa msimu ujao au fungukeni akili nyie vp?
@shukranionesphoro7744
@shukranionesphoro7744 2 ай бұрын
Na ww meja kuwa na akili, shabiki hayupo Kwa kupongeza nafasi ya tatu ww juha, hafu Kila mtu anamtazamo wake, umeongea pumba
@ZuberiMlanzi
@ZuberiMlanzi 2 ай бұрын
Ww unaonekana ni chawa ushapewa mshiko ili uwe upande wa Mangungu ww hujui Simba ila nawe ni chawa fungua timu na Mangungu hatufai Mangungu hebu FUNGA domo lko. PUMBAVU
@gaspernsajigwamwaiswagha6071
@gaspernsajigwamwaiswagha6071 2 ай бұрын
Sisi tunawajua ninyi mmesha pewa vitu vyenu mmeanza uchawa wenu na uongo uongo wako huo miaka minne ipi waliokuletea mafanikio, kipindi kile cha miaka minne tulikuwa vizuri kwa ajili ya nguvu ya mzee wetu hans pope na akina barabra baada ya mzee wetu kwenda mbele za haki nini kimefanyika? Tatizo la wabongo hususani nyinyi watu wa dar, mkipewa kitu kidogo mmechanganyikiwa hao watu hatuwataki, hatuwataki tena hatuwataki.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 27 МЛН
GB 64 KWA HASIRA AMVAA MANGUNGU, SIMBA INAANGAMIAAA! MASHABIKI TUNAUMIA
20:23
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН