THANKS ALOT FAM...ENDELEA KUENJOY MADINI FOR FREE....WHY ALWAYS ME AUDIO INAPATIKANA KUPITIA @BOOMPLAYMUSIC @MDUNDOMUSIC.COM STREAM & DOWNLOAD #NyasubiNdaniYaMbanyu 🧠👍✍️📖🙏💪
@hassanamimu18922 жыл бұрын
Sawa
@baswarimohamedi27662 жыл бұрын
Mkali Sana wa hiz kaz
@danifordjonh51272 жыл бұрын
Pamoja
@KeliKenya2 жыл бұрын
Nakukubli kaka
@harunamroboto80292 жыл бұрын
nacha unajuwa kaka
@P-blackAlbino6 ай бұрын
Nani anafuatilia hichi kitu mpaka sku hizi 2024 kama mimi? Mnipe likes zaku hapa ✅
@MoonKhaled-b1bАй бұрын
Pamoja
@anthonymaganga66082 жыл бұрын
Tunaosubiria tujuanee NACHA GENIUS ✊
@mpilingayoga75822 жыл бұрын
Kubwa alafu ni kubwa zaidi, nzuri alafu ni nzuri mno, tamu alafu tamu mpaka basi kibu, kiburudisho cha masikio yangu
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
KIPINDI MNAENDEKEZA UZINZI NA UASHERATI/NDO KIPINDI NIKO ZANGU TANDIKA NIKIUZA MIGUU YA KUKU KASHATA NA KALMATI/NIKIJENGA FUTURE YANGU MAMBO YA KIPUUZI MIE SITAKI #WhyAlwaysMe 🙏🙏
@johnnabie5445 Жыл бұрын
"Njia pekee ya kuwapunguza marafiki ni kuwatangazia kuwa una shida."💥💥💥💥
@amirpheymousug16542 жыл бұрын
NACHA WEWE NI SUPER STAR TENA MKUBWA SANA NAAMINI KWENYE KILA KITU CHAKO
@dennizoclassickenya12952 жыл бұрын
We ni mkali mwanangu natoka kenya 🇰🇪 napenda kazi yako sana,,njia pekee ya kupunguza marafiki ni kutangaza una tatizo💯💯💥💥💥
@innocentshonga54502 жыл бұрын
Ukitaka kumwelewa Nacha inabidi uwe na akili ya ziada 🔥
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@luganomwambulutukutu50002 жыл бұрын
Kabisa
@francombaruku402 жыл бұрын
𝒂𝒎𝒊𝒏𝒊𝒊 𝒌𝒂 𝒎𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂𝒂𝒂𝒂 𝒖𝒚𝒖𝒖𝒖 𝒎𝒕𝒖𝒖𝒖 𝒃𝒘𝒂𝒏
@SalimNgude Жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana unajua jembe langu, umetoa elimu n ujumbe umeufikisha.
@owenmadeve2212 жыл бұрын
Najivunia kua na uraia moja nawe wa East Africa am proud of you bro much love from +254
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@mirambojonasi36262 жыл бұрын
Isee huyu nacha ni kiboko siku zote lazima niksikilize nyimbo zako kaka hongera sana
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@ebenezerprosper97962 жыл бұрын
Hujawahi kufeli hata siku moja ila wachache ndo hua tunakuelewa mwamba weka na daresa huru🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@mzalendojoshua98562 жыл бұрын
Young Legend!! Really Hiphop Artist
@bulikidittu33612 жыл бұрын
Wimbo huu unatakiwa upigwe Kila siku asubhi na usiku kabla ya kulala, na media zipige bfr taarifa ya habari. This is poetry bro 🔥🔥
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@missmwayway47042 жыл бұрын
@@shukurumsemwa5992 kwahyo ni kweli amenyongwa?
@shukurumsemwa59922 жыл бұрын
@@missmwayway4704 coment ili ilikosewa iyo sorry
@missmwayway47042 жыл бұрын
@@shukurumsemwa5992 ok
@sbkide86242 жыл бұрын
Mpo wachache Sana tz mnaofanya hip hop Kali kama hizi you are most of the best bro ,nacha
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
💪💪💪
@officialvestertz53032 жыл бұрын
Muziki WA Hip Hop Ndo mziki wakuongea Ukweli. Bro 💥💯 tumechoka Kusubiri trust the process
@newima_27282 жыл бұрын
Nakukubal sana💪💪💪💪🔥🔥🔥
@denyoentertainmentcompany15592 жыл бұрын
Huyu jamaa ana deserve zaidi sana daaah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@sandeolango9122 жыл бұрын
I don't just comment on music videos...but as a poet lover I have to appreciate this spoken word. IT'S A PIECE BROTHER
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Why Always Me
@merryrichie96082 жыл бұрын
Poet yako nimeielewa bro, salute kwako
@karimchindema98232 жыл бұрын
Unanisaidia sana kwenye ufundishaji wa poetry darasani... Thanks bro
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@francombaruku402 жыл бұрын
𝑱𝒂 𝒃𝒍𝒆𝒔𝒔
@ghostelmendez72062 жыл бұрын
King kaka in bongo 🔥🔥💯💯one love nacha
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Why Always Me
@raimajimoto11222 жыл бұрын
Tupengezane Panapostahili.👏👏👏👏Ongera Jamaa Fulani kutoka Nyasubi ...Umeupiga Mwingi Kaka
@lusatomichael79732 жыл бұрын
Lile shindano la freestyle waliona huwezi wale washikaj zako wa kahama wako wapi walichana saana ile ngoma ya nyasubi support them bro
@pabloalmaskoba34082 жыл бұрын
Only new generation can understand you. Salute Nacha 🔥
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@BJSTV-bl5tq2 жыл бұрын
Nacha baba lao jamn Yan nime kusikiliz mpk mwish unajuw San Yan
@elimringimoshi5902 жыл бұрын
Huu ndiyo wimbo wangu bora2022/23
@francombaruku402 жыл бұрын
👊
@francombaruku402 жыл бұрын
@@Nacha_ousam tishaaaaaaaa
@patrickgeorge65752 жыл бұрын
Bro we ndio mwandishi bora wa Mashahili kwa kizazi hiki salute kwako
@warlenjerome3472 жыл бұрын
Nacha Genius 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kuna nacha mmoja tu Tz
@donardrobeth61432 жыл бұрын
Jamaa anajua sana huyoooo aisee god bless you 🙏🙏 nacha uendeleee kutupa ujumbe
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@davidmwampagama83392 жыл бұрын
Huu utata ni wakigeration Nacha!! Godspeed
@DogoCharlie2 жыл бұрын
Hands up Mr Nacha🙌🙌
@official2kbill650 Жыл бұрын
Ebu jaribu hizi verse tukutambue we ni mnoma kwa spoken word pia hehe 😁
@pascalmax52892 жыл бұрын
Much love and respect ..... Manzee. ....ww Ni mwalimu wa fasihi .... Keribu Kenya bro ...tunaitaji kuwa karibu naww utuelimishe ..... Big up ....
@pascalmax52892 жыл бұрын
Karibu Kenya bro .....
@siddyoneonlinesi54332 жыл бұрын
Acha Mambo yako sisi wenyewe bado tunashida naye
@isackmanumbu32052 жыл бұрын
Sawa Kaka tumekubali🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nyasubi ndani ya mbanyu
@boysondeniclousTv2 жыл бұрын
When it comes to artists who feeds our brain with what it needs for the recent time,, NACHA I give you the Crown. You're Brighting our brains on what is in our society. Keep moving Mzee, we are with you together. Let your music shines more🌍
@youngsamaritan64482 жыл бұрын
nobody like your self actualization🙏🙏🙏
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@pascalmax52892 жыл бұрын
You're a teacher indeed..... Ngoma zako zitumike shuleni E.Africa maze .... Ni fasihi simulizi men
@eliamtanzaniaog6380 Жыл бұрын
UhakikA kakA
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
MSIACHE KUONJA MBOGA EVEN CHUMVI KAMIKSI LAIZA ✔️💪✍️🧠
@mordenboyTz2 жыл бұрын
😄😀😂😂🙏🔊 🎤🎤wakat wao wanaxhkwa vichwa🎧 kwa midundo ya mapenz💏 et MTASUBIRI SANA🎵 Sis tunamsikiliza🙇 NACHA ili tumpate DARASSA🖍️ na MAARIFA🔦 ili tujue nn chakufnyaa 🤔🎵 Wakt unafurahia et OKA na UKWA ipo no 1 on trending🎵 Me nakaa chin na kutafakar nyimbo ya Nacha👉""WHY ALWAYS ME✳️🎵 Lengo;✍️ To knows how I can using my skills inorder to " ""GROW UP💯🔰🎵🔊✊,,,,, more respect brother♨️♨️♨️ NACHA OUSAM 🇹🇿🇹🇿🥰🎶🎶🎶🎶🔊
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@jeromesamwel85942 жыл бұрын
We jamaaa nakukubal cku zote fund
@allansprian91702 жыл бұрын
Daaah sina chakusema umetisha sana brother @nacha
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
💪💪💪
@mpmakunja2 жыл бұрын
@nacha always utabaki juu na kipenzi Cha watu kwani nyimbo zako zina touch 🔥
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@mrmmare67032 жыл бұрын
Mob love from Kenya.. Hii ndio Hiphop halisi. Nacha and Fid Q are my favourite East African Poet artist🔥🔥🔥
@chrissdeosdedity74462 жыл бұрын
i wish nifanye interview na wewe hapa rabbi television nimekufatilia sana utunzi wako you are next level genius poetry MAY GOD BLESS YOU TO SHINE
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@peterndutu2492 жыл бұрын
My brother you always you touch my brain you learn me how I can trust my self for real big up my brother ✊✊✊✊
@saidinanyani30192 жыл бұрын
Nyasubi Worldewide Up Straight To The Sky! 🔥🔥🔥
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@chiefgimbo47932 жыл бұрын
Umeuaaa saaana mdogo wangu more Skills More Firee
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
💪💪💪
@mudrickabdallah72512 жыл бұрын
Siku zote naLike tungo yoyote ya na NACHA hata kabla ya kuangalia.. Sababu najua leo najifunza kitu kipya.. Huyu ndio aina ya wasanii tunaowahitaji.. Wanaofundisha na si kupotosha.
Zaidi ya mara 5 nimeskiliza..Talented Sana bro Kweli nimepata Madini na shule bila Ada✌️
@moni-sniper2 жыл бұрын
The real meaning of literature 👊🏼👊🏼 big up sana NaCha 🔥🔥🔥 I
@MrLabadias Жыл бұрын
This young Man has just done right to poetic injustice. He's articulated, updated on modern day politics n He's just a huge power house n I would love to see him with King Kaka or Ambwene do something in future.
@luqmanomary35582 жыл бұрын
nakubal mkali keep going we need streer lectures like this full content
@saidizuberiissa72862 жыл бұрын
Dah!!! bro umeimba sana haswa nimependa pale kwenye mwakinyo mana watanzania wanatabia kumshusha mtuu kumpandisha mtuu
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@JaylocaOgEr2 жыл бұрын
Nacha never disappoint 🔥🔥
@momaxtv28192 жыл бұрын
Kaka umeupiga mwingi sana nakukubali sana👂💥💥
@sheyowilliam9922 жыл бұрын
I real appreciate you bro ..big up ✋✋✋👊👊👊
@jabirysadick16772 жыл бұрын
Kazi ya sanaa ni kuburudisha nakuelimisha jamii na msanii ni kioo cha jamii kwa vizazi na vizazi una stahili vyote damu yangu Video haina mtu anatwerk wala nin na ujumbe uko mahala pake Punch za kushiba na rhymes za ujazo wa bahari Akili mingi 👊🏾👊🏾👊🏾
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@tajirimwanaharakati41542 жыл бұрын
Unajua bro respect nakusikiliza sana kwenye simu yangu nakuombea 2🙏🙏🙏
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
💪💪💪
@mockymedia83712 жыл бұрын
Keep it up hii siyo nyumba ndogo au sugar sugar, amazing song we should like and not dislike
@kelvinwilliam51452 жыл бұрын
😪😪😪😪 Tujali familia zetu ,Tuwe wa Mungu kwa roho ,moyo wa kweli
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@dstarofficially7252 жыл бұрын
My gee ur a king mashairi hayachosh skio kuskilza it's like chakula cha uzima jaah bless you 🗽🗽
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Why Always Me
@dstarofficially7252 жыл бұрын
Resp3ct mabro we go on top5 on tranding soon 🙌🙌🗽🗽
@lukizatv2 жыл бұрын
This poet is the best in this generation.
@maleek11flacko2 жыл бұрын
💫👊👊yea
@kibangulateddy53092 жыл бұрын
Keep it up bro @nacha..... From Burundi messages nzuri sana.
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@normanmoriasi492 жыл бұрын
Always when i listen to nature i have to replay his work..... Rich in wisdom.
@jogejoboy31592 жыл бұрын
Kaka nakufatilia sana nyimbo zako zinafundisha sana sema ni watu wasoelewa mziki ndoo watasema huwezi ili ww ni namba moja kwa rapa wa hapa bongo nakupa %%%%%%%%%%%1000000
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
💪💪💪
@Photogenicboy672 жыл бұрын
Appreciate bro 💯💪 more life More blessing more talented 🙌🙏
@anoldamoni93032 жыл бұрын
Safsana mwanangu 💪 Always nakwambia go goo🤛🤛
@Richy-Blaze2 жыл бұрын
Love from Kenya 🇰🇪 😍
@nestellprince77942 жыл бұрын
Salute sana mkuu you deserve your crown katika uandishi wa mashairi
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@e7tzjr6642 жыл бұрын
Nacha! the big brain who educate the new generation
@allyhilal16722 жыл бұрын
Yes yes leo nimetumia Mb's kuskiliza ya msingi 👏
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
💪💪💪
@mloleclassic-2542 жыл бұрын
WATU WANAFAAA KUMSIKIZA HUYU JAMAA ANAELIMISHA SANAA HIZI NDIZO NYIMBO ZINAFAA KUSIKIZWA NA WAZAZI NA WATOO HUYU JAMAA NIMKALI SANAA KWA UANDISHI NAMPER NUMBER MOJA LIKE KAMA UNAMKUBALI 🎹🎹🎹🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@JanethJaneth-b5f5 ай бұрын
SAHIHI
@daynesalex9112 жыл бұрын
Nacha dizasta vina na toxic aisee mnajua sana🥰nawakubali mnoooo
@jumannengoe27572 жыл бұрын
Let's Go bro Trust The Process 🙏💪
@barakaamosalex91612 жыл бұрын
Mara nying sana huwa napenda sikiliza ngoma za nacha ninapoamka na nipolala hunifany niamke kwenda pambana na niposikiliza usiku hunifanya niwaze na kufkiri kuhusu Kesho angu....# bro....unaongea reality ...more than reality
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@henryurembo99802 жыл бұрын
All new generation can appreciate it ✊🤞
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Please Watch & share WHY ALWAYS ME LINK 🙏🙏✍️👑🧠
@innocenth96672 жыл бұрын
Wee ndio mbali wao, salute
@MOTHERFLOWERS3852 жыл бұрын
Kijana anajuwa mpka anakera😭😭😭😭😭Ndugu kuna siku wataelewa unachokifanya
@jamesgissima5042 жыл бұрын
Hujawahi kufeli big up broo
@mankidu75842 жыл бұрын
Big up NACHA Good Song 🎵
@selemanialbani50452 жыл бұрын
Ila we jamaa unanifundisha vi2 vingi xana.nikixikiliza hii ngoma na Who I Am /. Grow up / Darasa huru /My god. Ww ni mwalimu toxha na mm ni mwanafunzi wako 👏👏👏👏
@johwarhymes57772 жыл бұрын
NACHA OUSAM 💥💥 hii tunatrend broh🙌🙌 let's support this poetry..
@Nacha_ousam2 жыл бұрын
Thanks Alot... Enjoy WHY ALWAYS ME ✍️📖✍️
@sevenafrica2 жыл бұрын
Nacha Nacha Nacha Nimekuita mara 3, Hakika Mungu akubariki na akupe maisha malefu bro uzidi kuwapa watu madini kama haya 👏