Nafasi 600 za ajira nje ya Nchi: Mwenyekiti BRAVO awatangazia watanzania kuchangamkia fursa hiyo

  Рет қаралды 3,459

Gilly Bonny Tv

Gilly Bonny Tv

Күн бұрын

Mwenyekiti wa Bravo ametangaza nafasi za ajira 600 nje ya Nchi huku akiwataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo

Пікірлер: 26
@ukhutyruuyuu3394
@ukhutyruuyuu3394 27 күн бұрын
Nashida na kazi lakin sijasoma nimeishia la Saba
@japhetchirimi
@japhetchirimi Жыл бұрын
Asante mama Samia Suluhu Hassan kwa kutukumbuka wanao pia tunashukuru Mzee kwa fursa ya ajira kupitia AL-MARAI
@ameirmanzi2684
@ameirmanzi2684 2 жыл бұрын
Ivi kwa Tanzania kuna nini vijana ajira hawana leo inatokea wanazuwia mbona Kenya Uganda Ethiopia wanazitumia Sana nafas za nje
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Aslm aleyku naomba no zenu Kwa mawasiliano
@gabrielcna8201
@gabrielcna8201 Жыл бұрын
Hebu nitaxamie kazi ya ufundi ujenzi nje ya nchi kama Rwanda sauthi africka Namibia mozambikyu
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Sema mlizuiwa na mwendazake alaaniwe huko aliko yule mzee sijui kama ni binadamu wa kawaida
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Mwendazake alaaniwe yule mzee alizuia kila kitu Yan alaaniwe huko aliko
@peacemwesiga
@peacemwesiga 5 ай бұрын
Wewe unayelaani nawe utalaanowa na kizaxi chako kama unadiriki kutikana mtu ambaye ametangulia mbele za haki je wewe uko salama !! ?mrudie Mungu wako kaombe toba.
@busholaseseko4905
@busholaseseko4905 2 жыл бұрын
Nchi gani
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 жыл бұрын
Saudi Arabia
@DavidYusuph-hd9xw
@DavidYusuph-hd9xw 9 ай бұрын
Naitaji kaA
@brunompolle1404
@brunompolle1404 2 жыл бұрын
Toeni contact ili kuweza kufika kwa urahisi huko ofisini kwenu
@NasrahMohhamed
@NasrahMohhamed 2 ай бұрын
Mawasiliano ya simu
@Official-Songa
@Official-Songa 2 ай бұрын
Mwaka huu hakuna ajira tena
@AnnoyedBooks-kn5pm
@AnnoyedBooks-kn5pm 5 ай бұрын
Wew ulisema mzee alizuia kazi za nje siku ukienda ukapata mateso nd 4:19 io utajua mwarabu siondugu yako ❤
@honoratharaymond-vm3jh
@honoratharaymond-vm3jh 11 ай бұрын
Ndugu yangu mr Abas Lumumba kubwa sana ofisi yenu ipo kwenye jengo gani au karibu nanini au nipate namba zenu nipaulizie
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
Safi sana
@peacemwesiga
@peacemwesiga 5 ай бұрын
Jamani mnaotuma ms za kaxi tangulizeni neno kwanza naomba naomba ni ishara ya nidhamu.ili kufanikisha jambo.sio nataka kazi!!!nataka namba!! HATA BARUA HUWA NI YA MAOMBI KHA😮
@user-kr7ux2dw5l
@user-kr7ux2dw5l 2 ай бұрын
Tunaomba mawasiliano
@mariamushi6411
@mariamushi6411 Жыл бұрын
Jamani mbona mnapendelea umri tunaomba muongeze umri hata miaka arobaini basi iwe ndiyo mwisho tafadhali sana
@mariamharoon1840
@mariamharoon1840 11 ай бұрын
Naitaji kazi huko ya nyumba ni
@jmasutv2228
@jmasutv2228 Жыл бұрын
Nataka kazi
@HasanihashimZayumba
@HasanihashimZayumba 7 ай бұрын
Naomb Kaz ya viwand nimeishia four lkn
@azizamussa9817
@azizamussa9817 10 ай бұрын
Nahitaji kufika ofisini kwenu nifike wapi
@aishbintlulu6748
@aishbintlulu6748 Жыл бұрын
Namba zao tunazipataje
@RoseKadope
@RoseKadope 6 ай бұрын
Elimu
NDOTO YAKO YA KUPATA AJIRA NJE YA NCHI SASA IMETIMIA...
4:45
Global TV Online
Рет қаралды 578
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 161 МЛН
WATANZANIA WANAZIDI KUZIPAMBANIA FURSA WAKIWA CHINA
17:01
Millard Ayo
Рет қаралды 51 М.
Ukiwa na Passport ya TZ, Unaweza kuingia nchi hizi bila Visa
4:34
JINSI YA KUPATA KAZI NJE YA NCHI BILA KIGEZO CHA ELIMU
18:59
Kiswahili ni Urithi
Рет қаралды 4,3 М.
NJOO TUKUFUNZE UPATE AJIRA BANDARINI
4:37
Nguhulla TV
Рет қаралды 12 М.
Hizi ndizo Kampuni Zinazoajiri na kutoa Visa na Usafiri Bure UK
7:23
Dennis Magessa
Рет қаралды 12 М.
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН