Mungu akuhifadhi shekh yusuf ww n mtu muhimu wallh katika jamii acha n seme hvo ليهلك من هلك عن بينة ويحيى من حي عن بينة
@abbaspaziaog2188 Жыл бұрын
MASHA'ALLAH
@zanzibarspice8686 Жыл бұрын
Shehe umegonga nukta Mimi Nilioa Mke wangu kila asubuh mama mkwe anapiga simu Umekula mchana tena umekula nini usiku tena umekula nini mama mkwe huyu pia akawa anamuuliza mke wangu saa ngap nimeingia kila siku nikawa sina amani sina furaha nikichelewa ktk pirika zangu aliwahi kuambiwa nina mwanamke... Mama mkwe huyu huyu akawa anataka kujua kla kitu ktk ndoa yangu ikatokea safar ya kusafir kwenda Kikaz Dar miezi Mitatu mke akawa anatoka nje ya maadili ktk mavaz mama mkwe kupelekewa lawama akasema ndivo alivomlea... Mke wangu aliwahi kuniambia hata ukiniacha mama kasema kama sijaua chumba changu kipo..... Wallahi ndoa haikudumu Nkaamua kuvunja ndoa.... Wazazi sisi wa kiume haya yanatokea huwa tunanyamaza Kimya😢