NAFSI EPISODE 73

  Рет қаралды 3,182

WAKAWAKA MEDIA

WAKAWAKA MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@MohamedSurenge
@MohamedSurenge Күн бұрын
Mumependezana sana kandele na msomali tunasubiri ndoa sasa❤❤❤❤
@KambiJr-s1c
@KambiJr-s1c Күн бұрын
Kandele mwambie Radhia zamu yake sasa akapewe dawa na mganga bambuto😂😂😂
@MonicaNathanael
@MonicaNathanael 13 сағат бұрын
Toba aisha umeingia kwenye mfumoooo
@AyshaShaweji
@AyshaShaweji 12 сағат бұрын
Radhia mapenzi hayajaribiwi,imekula kwako
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r Күн бұрын
Jmn .kumekucha 😂😂😂huko gwambuto sada and agi mikofi kama yote msomali na kandele mamba yanataradani ndewa jmn upunguze hiyo michepuko...
@NikwisaSimtowe
@NikwisaSimtowe Күн бұрын
Ndewa pray boy wa mjii
@LoiceLoice-c1b
@LoiceLoice-c1b Күн бұрын
Ila ndewa mbingun huend ksbisaa😂😂😂😂
@Sadiq-lu8xs
@Sadiq-lu8xs Күн бұрын
Nakubali ndewa unavo wachanganya
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 Күн бұрын
Nawakubali sana ❤❤❤❤
@ClementinaSanga-u2x
@ClementinaSanga-u2x Күн бұрын
Kwel jmn mapenz hayajalibiwi🎉🎉
@ashurafundi2873
@ashurafundi2873 Күн бұрын
Ndewa jaman kwa hiyo wajina wangu hukumpenda 😂😂😂😂😂
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg Күн бұрын
Nataka nidhangae ndewa acpite na Aisha do kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
@ashurafundi2873
@ashurafundi2873 Күн бұрын
Yaan aisha kitendo cha kumpa namba ndewa ushaisha ana mistari huyo huchomoi
@AminaSada-h4p
@AminaSada-h4p 2 күн бұрын
Ndewa acha uselebu utulie na mwanamke mmoja
@MariaDonati-d3c
@MariaDonati-d3c Күн бұрын
Tunasubiri ndoa Kandele na ole wake abadilike msomali nitamroga mimi😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 күн бұрын
Ila ndewa hadi unasingizia binamu kaugua wazimu 😮...sada ukajichanganya kumskiza rahma,hujui kama alijinyonga huyo😂😂😂 akili hazimo 🙌,nawe wajina wangu usijichanganye na ndewa uko mafya
@KeristiStel
@KeristiStel Күн бұрын
😂😂😂😂😂ety Ali jinyoga akili hazimo aliziacha mochwari 😂😂😂
@AnnoyedCircuitBoard-mp8vn
@AnnoyedCircuitBoard-mp8vn 2 күн бұрын
Mambo nifaya jmn ❤❤❤❤ ❤ tumetoka kwakina candy tumeingia kwaina ndewa
@Lucy-v3y
@Lucy-v3y 2 күн бұрын
Ndewa kazi unayo weeeh hiyi yako kali
@Fathmaabubakar-q2c
@Fathmaabubakar-q2c 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤twawapendaa sanaaa from kenya
@asyaomar-b9v
@asyaomar-b9v 2 күн бұрын
Ndewa ukacha uongo na utapeli n
@furahaalfani
@furahaalfani 2 күн бұрын
Towa fujooo msomali nyoooooo sumemukata 😅
@umaima1178
@umaima1178 Күн бұрын
gamboto kala magumi 😂😂😂😂😂
@ZZawadi-s5v
@ZZawadi-s5v Күн бұрын
Sada ww yaan huwezi jiongeza jamani😂😂😂😂😂
@BlessAnaniasPhilipo
@BlessAnaniasPhilipo Күн бұрын
Lete mamboooo sada jamani, hahaha
@KeristiStel
@KeristiStel Күн бұрын
Bwambuto amekula makonde yakutosha😂😂😂😂
@HappyJumwa-h9e
@HappyJumwa-h9e Күн бұрын
qwambto utajua hjuiii makofi mpka bs😂😂😂😂😂😂
@RoseBaby-y2g
@RoseBaby-y2g 2 күн бұрын
Twend kazi mambo moto❤❤❤
@kandeleMsuya-xo4gr
@kandeleMsuya-xo4gr 2 күн бұрын
Dah mambo ni 🔥🔥🔥🔥nainjoy jaman
@AnnAnn-i4x
@AnnAnn-i4x 26 минут бұрын
Mwanaume muongo ni hatari 😢😢😢hufai kumsikiza
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 2 сағат бұрын
Tumetoka harucni kwa kibendu,tumekuja huku tuangalie hawa wambea kina mapunda mnyama😂😂😂😂
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 2 күн бұрын
Du na mm nimekuwa 5❤❤❤❤❤❤❤ NAFSI wapo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 kweli kweli
@yyuu-ye5bp
@yyuu-ye5bp Күн бұрын
Like zangu kwa mganga hongera sana kwa hiyo kazi ya kupaka dawa 😂😂😂😂😂
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 2 күн бұрын
Sada umenikwaza😂😂xna kwl😢khaaa rahma amekupotosha😂
@Byaunda-zi7ue
@Byaunda-zi7ue 2 күн бұрын
Sada humepata kitu kizito dada yangu bwamboto ATA kuwacha namimba huwe makini sada baby agy ali pata mimba nawapenda sana ❤❤❤❤
@Pendo-m1s
@Pendo-m1s 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂 gwambuto hello there
@BbydollMohamed
@BbydollMohamed Сағат бұрын
Malizeni hii tamthilia mlete nyengine imekosa hamu sasa ...mapenzi mingi na umbea tu
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 2 күн бұрын
Mapemaaaa kazi nzr sana❤❤❤❤
@BbydollMohamed
@BbydollMohamed Сағат бұрын
Tamthilia ina mambo mengi inje ya maudhi
@Nyangondeog
@Nyangondeog 2 күн бұрын
Kazi nzuri 👏🎉❤❤❤❤
@MwanajumaNdegwa
@MwanajumaNdegwa 2 күн бұрын
Wakwanza🎉🎉🎉
@tausifautini407
@tausifautini407 2 күн бұрын
Sada jiandae kubeba mimba ya gwambuto Maana hujui kujiongeza Natena upate mapacha 4 mjaze kilinge😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 күн бұрын
Wafungue shule
@Nyangondeog
@Nyangondeog 2 күн бұрын
😂😂😂😂​@@aishaomar2287
@Holyandunique1721
@Holyandunique1721 2 күн бұрын
Waliopewa muda mwingi kuigiza hata hawajui, hebu tizama kandele, msomali, razia, wambuto wanaigiza vitu vyenye uhalidia fulani siyo hao ambao hata kuigiza kulia mtu hajui anatoa kamasi tu, hao wanaomtafuta chatu ndo hola kabisa Hawana uhalisia wwte
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 2 күн бұрын
Gwambuto umenifanya ni comments mwenyewe nilikua nangalia tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sada na aggy nyinyi mapenzi yataua😂😂😂 usiku mwema
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@Fathmaabubakar-q2c
@Fathmaabubakar-q2c 2 күн бұрын
😂😂😂😂maskin bwambuto
@susanchebet3298
@susanchebet3298 2 күн бұрын
Gwambuto utakoma kwa hicho kichapo 😅😅
@HappyJumwa-h9e
@HappyJumwa-h9e Күн бұрын
😂😂😂 yaan nmechka yngu ytee
@JosephPaulo-r5h
@JosephPaulo-r5h 2 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s Күн бұрын
Bwambuto😂😂😂😂😂
@ayshajeffa7343
@ayshajeffa7343 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s Күн бұрын
@@ayshajeffa7343 c Kwa kupigwa huko jmn😂😂😂😂
@djbngudukwimba5682
@djbngudukwimba5682 2 күн бұрын
Kitambo
@HadiaAmiri-y8z
@HadiaAmiri-y8z 2 күн бұрын
𝚢𝚊𝚗𝚒 𝚗𝚒 𝚋𝚊𝚗𝚍𝚒𝚔𝚊 𝚋𝚊𝚗𝚍𝚞𝚊 𝚝𝚒𝚖𝚎 𝚜𝚝𝚛𝚘𝚗𝚐 𝚙𝚒𝚐𝚊 𝚕𝚒𝚔𝚎 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚞𝚖𝚎𝚝𝚘𝚔𝚊 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚝𝚊𝚜𝚑𝚊 𝚞𝚔𝚊𝚓𝚊 𝚞𝚔𝚞
NAFSI EPISODE 74 #housegirl #busatitv #candy #filmdrama
17:51
WAKAWAKA MEDIA
Рет қаралды 1,6 М.
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 99 МЛН
CHINI KWA MPALANGE - EP - 03
13:14
Tanzania Film Factory
Рет қаралды 2,5 М.
WHAT IS LOVE EPISODE 5 ♥️
24:23
MHINA +
Рет қаралды 9 М.
PLAN B EPISODE 27
3:13
LUCAS
Рет қаралды 21 М.
NAFSI EPISODE 70 #housegirl #busatitv #candy #filmdrama #babajoan
22:32
Pete lazima isafishwe- Pete | Maisha Magic East
4:03
Maisha Magic East
Рет қаралды 93 М.
NAFSI EPISODE 72 #housegirl #busatitv #candy #filmdrama #babajoan
19:55
HOUSE GIRL EP 69 | S3 | LOVE STORY 💞💕
20:25
BUSATI TV
Рет қаралды 82 М.