Рет қаралды 904,449
Wimbo huu wa nafsi yangu ni moja ya nyimbo zilizopo kwenye album ya nyimbo za kuabudu inayoitwa Uwepo Wako
*****MANENO YA WIMBO HUU ****
Nafsi Yangu Yakutamani,
Roho Yangu,
Yaona Kiu,
Kama Ayala,
Atafutapo Maji ya Mto,
Baba Nafsi Yangu,
Yakutamani.
Nijaze Roho Mtakatifu,
Niweke Karibu Nawee,
Nirejeshee Furaha ya Wokovu.
Baba Nafsi Yangu Yakutamani
Mawasiliano zaidi.
Email:simonmdamiano@gmail.com
Tel:0717171473
facebook:Simon Damiano
Instagram:simmydamian