Hongera sana nimezifanyia mazoezi hizo chords zimeniongezea kitu kikubwa sana kwenye muziki wangu! Umekuwa mtu ninayejifunza mengi kwako katika muziki! Barikiwa sana!
@emmanuelmauya5125 жыл бұрын
Munguakubarikisana bro kwahudumayako
@CJMusic5 жыл бұрын
Amen. Asante sana napokea. Ubarikiwe pia kwa support yako!
@richmalvinm.66663 жыл бұрын
Waouuuh Burundi tunafurahiya sana iy hatuwa so asante sana we love you CJ muzidi kutumia hiyo way yakutuonyesha chords na vingi na jinsi yakuzitumia sana sana ata kwa nyimbo asante sana
@CJMusic Жыл бұрын
Amenn
@KoinoniaGlobalIntl2 жыл бұрын
CJ....am really blessed...with your lessons.....I have really improved in all keys
@CJMusic2 жыл бұрын
Thank you!!
@gelardlugendo29174 жыл бұрын
Mpendwa mungu azidi kulinda karama yako kusonga mbele Safi sana
@CJMusic4 жыл бұрын
Amen. Asante sana
@samguna5 жыл бұрын
This is great talent. It is adding value to good learners. Thanks for this great input..nitapractice kabisaaa!!🤗🤗
@Nathan-th7rf4 жыл бұрын
Broooo God blesss yuuu! So nahtj maaawasilian na ww
@damsontenga68035 жыл бұрын
Kaka ongela kwako na Mungu akubalik sana kaka kwa kazi unayo fanya
@CJMusic5 жыл бұрын
Amen. Asante sana
@damacjohn67144 жыл бұрын
You're so good bro ....I like the way you play
@CJMusic4 жыл бұрын
Thank you so much
@johnalbert83375 жыл бұрын
Brother you are of super help to my C# piano learning! Big up bro
@CJMusic5 жыл бұрын
Thank you. Yo welcome
@elishajoshua48924 жыл бұрын
This is dope.! Bless you Caleb.
@CJMusic4 жыл бұрын
Thank u brother.
@florahmusicministry18715 жыл бұрын
We learn alot from you... Be blessed caleb
@CJMusic5 жыл бұрын
Amen. Thank you for supporting
@jimmymwita81055 жыл бұрын
dooh bro!!! you are talented😱
@CJMusic5 жыл бұрын
Amen. Glory to God! Asante sana
@gabrielbanda80144 жыл бұрын
God bless..blue is okey but read can be much visible..other wise this is powerful
@CJMusic4 жыл бұрын
Amen. Thank you
@praiseyohana37835 жыл бұрын
Amazing
@midastymiwaynedasty26815 жыл бұрын
Excellent tutorial. I do follow and learn from you. Please consider to do tutorial in English or put on a subtitle as this will benefit those of us not from SA. God bless you. Greetings from Scotland 🏴
@CJMusic5 жыл бұрын
Thank you so much for the support; i will consider that!
@midastymiwaynedasty26815 жыл бұрын
Appreciated brother
@samuelkusinyi53215 жыл бұрын
Nice one
@CJMusic5 жыл бұрын
Thank u
@micreuben9825 жыл бұрын
God bless you caleb i also learn from you 😁
@CJMusic5 жыл бұрын
Amen. Thank u
@amanwilliamsanare89102 жыл бұрын
Kaka request ya wimbo wa twakuabudu,twakuinua, kwenye c Major
@ivankabendera95705 жыл бұрын
Tisha sana
@CJMusic5 жыл бұрын
Asante sana
@isaacmgaya18395 жыл бұрын
CJ Music kaka anajuwa kuekeza
@pianistluckyson13245 жыл бұрын
Waoh,great tutorial.......... I've loved it keep on doing more but as you teach don't be so fast
@CJMusic5 жыл бұрын
Thank u.
@samguna5 жыл бұрын
I guess he does not leave us hanging anywhere. Pause and replay for abundance in understanding/grasping what he is teaching.
@princemelkiory14605 жыл бұрын
Naikubali kazi yako
@CJMusic5 жыл бұрын
Asante sana..
@zvikomboreronyakuchena21292 жыл бұрын
Can I please have that loop of urs..
@yohanalaiser26675 жыл бұрын
Kaka Caleb nimeweka kengele kabisa baada ya kusubscribe yan ukipost tu mimi alarm inaita kabisa 😂 Umefufua mziki wangu baada ya kuwa dormant kwa muda mrefu kutokana na kukosa lessons....sasa najifunza tena kupitia video zako na mziki wangu unakua. ASANTE SANA !! 🙏🏽🙏🏽
@CJMusic5 жыл бұрын
Aseee.. asante sana kwa feedback hii. Nafurahi kusikia kuwa nafanyika msaada kwako kwa namna moja. Hilo ndilo lengo hasa, endelea kushare na wengine pia kuhusu channel hii!!
@yohanalaiser26675 жыл бұрын
I will share bro....hao wazungu labda tuwasaidie subtitle tu ila usibadili lugha....swahili content ni ngumu sana kupata mtandaoni katika ubora huu so big up !! I can help you with adding English subtitles ukitengeneza video....nipo Dar
@CJMusic5 жыл бұрын
Asante sana kwa moyo wako wa kusupport hii kitu. God bless u. Ntajitahidi kufanya swahili mwanzo mwisho lakini pia ntaona namna ya kuwasaidia hao wa english! Me niko arusha sjajua kama tutawza fanya izo sub maana files zinakuwa kubwa nikimaliza kufanya edditins..
@yohanalaiser26675 жыл бұрын
Ahaaa Arusha 🔥🔥🔥 Nimekusoma bro ! keep up the good work...
@CJMusic5 жыл бұрын
@@yohanalaiser2667 thanks man
@manuellafutila3535 жыл бұрын
may the lord gives you more knowledge
@CJMusic5 жыл бұрын
Amen. Thank you so much!
@dancanmgata63603 жыл бұрын
Vizuri sana Mwlm, lkn kitu ambacho ningeshauri, kama ungeandika kidogo mizunguko ya huo wimbo, coz kwa maneno kuu catch up inakuwa tabu sana kwa sisi biginers...........lkn juuu ya yote GOOD JOB
@CJMusic3 жыл бұрын
ASante sana.👍👍
@rifumomushwana37054 жыл бұрын
Helpful thanks👊, please do a video on LOVE by Indlovukazi South Africa please
@CJMusic4 жыл бұрын
Will check that
@rifumomushwana37054 жыл бұрын
@@CJMusic Thanks bro👍
@shalomchaula44202 жыл бұрын
Ukifanya na F# bro Kwa Kila break down unazozifanya Mara nyingi ,but unafanya kazi nzuri mno mno
@teamfocusfunny9665 жыл бұрын
Respect
@CJMusic5 жыл бұрын
Thanks👍👍👍
@Frankstakus-lu6oyАй бұрын
😢
@PetroSlaa-t2xАй бұрын
😮
@sethmudau29334 жыл бұрын
You've been so helpful. Thank you bro. Could you please make some breakdown on "Hope arise album by Takie Ndou " it's really dope.
@CJMusic4 жыл бұрын
Ouk sir.
@CatherineLuhwago11 ай бұрын
🙄🤣🤣🤣💪😋😋 excellent brother by Erasto mongo from mbeya city 🏙️
@CJMusic11 ай бұрын
🤝
@mcablenty19565 жыл бұрын
Kaka keep it up ni kitu watanzania wengi hatufanyi kwa manufaa ya kizazi
Nicheck kwenye email yangu, kalebujulius7@gmail.com
@jeroznaugawaseb9325 жыл бұрын
Plzzzz can you do tutorials in English
@CJMusic5 жыл бұрын
Oh yes. I will surely consider that too,
@manuellafutila3535 жыл бұрын
but im still waiting for my song bengingazi
@juliusbenedict21354 жыл бұрын
Bro unapatkana wapi
@CJMusic4 жыл бұрын
Arusha Tz
@gadufiteyesu96363 жыл бұрын
Babaaaa sijui niongee Nini juu yakoo huwa unanibariki sanaaa naa kwa ukwelii you're so talented mungu azidi kukuinuwaa tena zaidii!! I love you from Rwandaa. May l get your WhatsApp nbr??