Naibu rais Rigathi Gachagua anamtaka rais mstaafu Uhuru Kenyatta kushirikiana naye

  Рет қаралды 165,585

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

29 күн бұрын

Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anamtaka rais mstaafu Uhuru Kenyatta kushirikiana naye kuhakikisha kuwa mlima kenya inasalia imara. Gachagua aliyezungumzia haja ya watu wa Mlima Kenya kudumisha umoja amesema haya huku migawanyiko ikiendelea kushuhudiwa miongoni mwa viongozi wa Mlima Kenya.

Пікірлер: 256
@johnmamati532
@johnmamati532 27 күн бұрын
Gachagwa should not just call Uhuru to join him, he should apologize for all the false accusations he labeled against Uhuru and the Kenyatta family and return what he joyfully snatched from him thinking he was making him weak. Usimtukane mkunga na uzazi ungalipo.
@marybuteka2376
@marybuteka2376 25 күн бұрын
Hahahaha 🤣🤣 ukweli uusiache mbachao Kwa msala upitao,umekumbuka Uhuru mapema
@mkenyammoja1
@mkenyammoja1 27 күн бұрын
He has now realised Uhuru said the truth about Ruto
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 27 күн бұрын
Ando Oooo...😂
@tophawktvtophawktv6101
@tophawktvtophawktv6101 27 күн бұрын
Now I accept that mt..kenya is in opposition for the next 10 years.....na ametoka mapema..hii imeenda.
@normanthenormand7554
@normanthenormand7554 27 күн бұрын
You wish. Vote of no confidence loading. .....
@kentosh120
@kentosh120 27 күн бұрын
​@@normanthenormand7554Gachagua unlike Ruto as DP has no numbers in parliament.
@Kim_8077
@Kim_8077 27 күн бұрын
😂😂😂
@harrynjenga
@harrynjenga 26 күн бұрын
Who cares! Hii mambo ya Ukabila na mtu wetu doesn't put food on people's table. Hata wakue Kwa serikali ama wasikue it doesn't help or matter to the local mwanainchi. Wakenya sio wajinga siku hizi. Wameanza kuchanuka mdogo mdogo and it will show in 2027. Wanasiasa wengi watastuka sana
@normanthenormand7554
@normanthenormand7554 25 күн бұрын
@kentosh120 All those from Mt Kenya are Gachaguas plus some Azimio. If Gachagua decides Ruto could be home early in the Morning.
@naomiwangarikariuki742
@naomiwangarikariuki742 27 күн бұрын
The effects of Limuru 3 are evidently showing
@bernardoduke5496
@bernardoduke5496 27 күн бұрын
His disrespectful behaviour will costs him.
@Mi3mi266
@Mi3mi266 27 күн бұрын
@ScholasticaAbednegoWaah! Are you sure ruto really really respected uhuru. Kwanza he was his down fall, ruto sabotaged uhuru kisawasawa he has never recovered till date.
@johnmuiruri876
@johnmuiruri876 27 күн бұрын
Gachagua wachana na Uhuru. Wacha apumzike; akiamua kurudi, he doesn’t have to be called. He was a man of character during his presidency.
@Liveforhealthq
@Liveforhealthq 27 күн бұрын
After insulting Kikuyus on behalf of Ruto, after insulting mama Ngina now this clown has the audacity to demean that uhuru works with him No brother you go to the back of the line and let the loyal Kikuyus take charge in dismantling the mess you helped create
@cjoruznjoroge3870
@cjoruznjoroge3870 27 күн бұрын
He's now desperate 😂😂😂 after smelling danger in their party, he's now looking for Uhuru
@antonynjoka7318
@antonynjoka7318 27 күн бұрын
Too little too late for DP unfortunately mountain has only one kingpin
@patrickkariuki9542
@patrickkariuki9542 27 күн бұрын
Karibu azimio
@ngurenjoki9796
@ngurenjoki9796 27 күн бұрын
Hapo sawa mr gachagua we need uhuru back we need our unity
@cjoruznjoroge3870
@cjoruznjoroge3870 27 күн бұрын
After insulting Uhuru Infront of delegates during inauguration now he wants him back 😂😂😂😂 you trusted Ruto now your smelling danger that's why your looking for backup😢😢 wembe ni ule ule tulia unyolewe umelia mapema😂😂
@PreciousJ-ur9ou
@PreciousJ-ur9ou 27 күн бұрын
After Rigathi insulting uhuru anataka Nini leave him alone
@JulixYung-kw2tr
@JulixYung-kw2tr 27 күн бұрын
Gachugwq mbona hukuenda Limuru 3 na uliakwa? Acha zako kaa kando ama ujiunge na wenzako
@BabaZoey
@BabaZoey 27 күн бұрын
Amerudisha kondoo za uhuru? 😅😅
@japhetchambo7874
@japhetchambo7874 27 күн бұрын
arudishe kwanza kondoo 😂😂😂😂
@rhodahkisabuli9438
@rhodahkisabuli9438 27 күн бұрын
😅malipo ni hapa hapa duniani. Ahera twaenda hesabu
@user-oc5ds7wg9o
@user-oc5ds7wg9o 27 күн бұрын
Hopefully atafanya hivyo kwanza😂😂😂
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 20 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 20 күн бұрын
Hatari na nusu
@wycliffechisaina1187
@wycliffechisaina1187 27 күн бұрын
sasa naona Ruto akienda home vizuri
@Victor62.
@Victor62. 27 күн бұрын
😂😂😂stop smoking that thing
@RickyEric958
@RickyEric958 27 күн бұрын
😂😅sio rahisi hivo
@javanngotangoma3617
@javanngotangoma3617 27 күн бұрын
Huyo ni professor hawezi enda
@wycliffechisaina1187
@wycliffechisaina1187 27 күн бұрын
2027 its not far lts waite and see
@wycliffechisaina1187
@wycliffechisaina1187 27 күн бұрын
@@Victor62. tumia lugha nzuri ndungu yangu
@davidpulei1762
@davidpulei1762 27 күн бұрын
Uwezi kukula dopper za mtu ,alafu kikuramba unamtafuta
@wabannah9009
@wabannah9009 27 күн бұрын
"Nilisema Mlima Kenya uko na Wenyewe Nikiwa Mmoja wao"!!!.
@dicksonkarithi5637
@dicksonkarithi5637 27 күн бұрын
Good result after prayers.thanks sir
@Listenwell-wq8pn
@Listenwell-wq8pn 27 күн бұрын
Not really 😂😂. Anyoroshwe na ruto .
@ngugirahab6733
@ngugirahab6733 27 күн бұрын
Hypocrisy...sasa uhuru amegeuka?
@moneymay4771
@moneymay4771 27 күн бұрын
Mambo imekuwa ngumu turudi kwa dynasty.
@rinchozosto5266
@rinchozosto5266 27 күн бұрын
😂😂😂😂
@CNyabera
@CNyabera 27 күн бұрын
😂😂😂😂
@kentosh120
@kentosh120 27 күн бұрын
Azimio reload!
@user-qu5qj4lk2l
@user-qu5qj4lk2l 27 күн бұрын
😂😂😂😂 dynasty mbaya,mbayaa
@Kim_8077
@Kim_8077 27 күн бұрын
😂😂😂
@amosmurithi9494
@amosmurithi9494 27 күн бұрын
Witchcraft is real, Ruto had done something to Gachagua....now he's able to open his eyes en see the light......
@user-vo3ni9so7e
@user-vo3ni9so7e 24 күн бұрын
Welcome back my brother count my vote .
@mariarimanto906
@mariarimanto906 27 күн бұрын
Very nice
@jimnjugush4310
@jimnjugush4310 26 күн бұрын
Wise move Dp...we support you.
@jeffchurum1431
@jeffchurum1431 27 күн бұрын
Uhuru a better combo than Ruto Kasuku.
@user-yj8pe7gj3x
@user-yj8pe7gj3x 27 күн бұрын
Ati kasuku 😂😂😂
@johnbrown3235
@johnbrown3235 27 күн бұрын
you mean chicken thief masquerading as chicken seller??
@pacificabaursch4430
@pacificabaursch4430 27 күн бұрын
Better to work together with Uhuru.
@cjoruznjoroge3870
@cjoruznjoroge3870 27 күн бұрын
Ooh Gachagua is smelling danger in uda now he want Uhuru 😂😂😂 atulie tu wembe ni ule ule hawapangwingwi😂😂😂
@moonjam.7714
@moonjam.7714 27 күн бұрын
Great work all what we need in the house of Múmbi. Wendani ukíríte gutonga.....
@user-zq2pw8xv7f
@user-zq2pw8xv7f 27 күн бұрын
Congratulations DP. Take action and lead.
@vincentogoye
@vincentogoye 27 күн бұрын
Who should join one another.....Uhuru to join Gachagua or Gachagua to join Uhuru....mnacheza na Raila utaona uda ikiisha design ya kanu 2002
@japhetchambo7874
@japhetchambo7874 27 күн бұрын
even uhuru hawezi kuungana na huyu fala
@Celebio_KM
@Celebio_KM 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂Kwani raila ni nani?
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro 27 күн бұрын
Mlima kenya we are united
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 27 күн бұрын
Nonesense 😂😂😂😂😂
@georgeodhiambo2118
@georgeodhiambo2118 27 күн бұрын
Kwani mmeingia opposition??
@kentosh120
@kentosh120 27 күн бұрын
United in Azimio!
@raydeemed
@raydeemed 27 күн бұрын
In politics their are no permanent friends and enemies 😂😂😂😂
@simonkaranja3465
@simonkaranja3465 27 күн бұрын
Ng'ombe aki vunjikia marishoni hukimbilia zizini
@njorogerobert7405
@njorogerobert7405 27 күн бұрын
Alete mbuzi kwanzaa halafu atubu matusi na madharau aliomfanyia uhuru iwe in a public place . Plus atubu kwa kutuuza kwa ruto cheap.
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 27 күн бұрын
MBIO ZA SAKAGUNI UISHIA UKINGONI UKISITAAJABU YA MUSA UTA YAONA RIGIGG NA SHERE HOD YAO 🙆‍♀️🙆‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
@feltonmwashighadi8670
@feltonmwashighadi8670 27 күн бұрын
Ati yeye anamtaka uhuru ashirikiane na yeye. He should withdraw this statement instead aseme anamuomba uhuru washirikiane pamoja
@ManderaBlogger
@ManderaBlogger 27 күн бұрын
Na ulikuwa unatusi yeye the last year 4 years Ushajua yeye ni ndio simba wa MT kenya
@SwalehSaleh
@SwalehSaleh 27 күн бұрын
Ukabila tu kenya
@danielmuindi527
@danielmuindi527 27 күн бұрын
Am the first person here..❤❤
@jairuscr7310
@jairuscr7310 27 күн бұрын
Kalonzo 2027 fresh bila wasiwasi
@estheralusa8598
@estheralusa8598 27 күн бұрын
Kwa ndoto
@jairuscr7310
@jairuscr7310 27 күн бұрын
@@estheralusa8598 unajua kila MTU anaota , maybe kwako ndio ndoto , so usiletee watu , wewe utota na wako ,pia mm niote na wangu , haàaa
@susanwangare1046
@susanwangare1046 19 күн бұрын
Karibu Azimio Mr Dp ...
@alfredorek5446
@alfredorek5446 27 күн бұрын
Ndoa imevunjika na gachagua ametoroka na kitanda na kuwacha Ruto na masufuria!
@Gorgeousij
@Gorgeousij 26 күн бұрын
We are behind you mr.DP the truthful man
@kadzitsacharo1465
@kadzitsacharo1465 27 күн бұрын
Ukiona simba amenyeshewa usione ni paka hayo ni matamshi ya uhuru, waliona ni mchezo sasa ndio watatambua na kutafasiri
@peacemakhanu7158
@peacemakhanu7158 27 күн бұрын
I wish you would keep quite
@user-lk1bw2gj9c
@user-lk1bw2gj9c 27 күн бұрын
Never fight your brother.
@user-yj8pe7gj3x
@user-yj8pe7gj3x 27 күн бұрын
Now this man was killing us with noercy now he wants our co leader to assist him can he be trusted ?
@user-wb6lm2qk3s
@user-wb6lm2qk3s 27 күн бұрын
What goes around comes around c ulikuwa unamtusi
@johnmararo1559
@johnmararo1559 27 күн бұрын
Now you made me ☺ smile mr. Gachagua, good move. It's not too late to salvage whats left in this government of Wiltax Samtax rutax
@nalasnal3581
@nalasnal3581 27 күн бұрын
Mimi kama thuraku ya mlima will never support gachagua untill he apologizes to uhuru's family, pay back the stolen sheep 🐑 and the destroyed trees
@daniel-rf8dd
@daniel-rf8dd 27 күн бұрын
I can see gachagwa working with Uhuru
@susanawairimu9826
@susanawairimu9826 27 күн бұрын
After all the abuse. Wachana na uhuru bado hakijakuraba poa ni kiojo tu.
@profAKILI
@profAKILI 27 күн бұрын
Ruto amemwambia mambo ni matatu, sasa anatoroka kwa uhuru.....bure kabisa
@joeukim2173
@joeukim2173 27 күн бұрын
Why is it news, ruto met raila and they are friends now why is it bad when gachagua meets uhuru...
@kentosh120
@kentosh120 27 күн бұрын
Ruto never insulted Raila.
@alusach
@alusach 27 күн бұрын
Na huyu amepiga u-turn mapema 😂😂ataezana na William
@johnonkoba740
@johnonkoba740 27 күн бұрын
Na ile matusi yote!!
@jonesogachi5760
@jonesogachi5760 27 күн бұрын
Hahaha....after kutemwa? Nway karibu azimio.
@johnbrown3235
@johnbrown3235 27 күн бұрын
wakikuyu watakula mafi mpaka watashangaa.
@jennifergithaiga5702
@jennifergithaiga5702 27 күн бұрын
This guy!
@Pmooli
@Pmooli 26 күн бұрын
I predicted this and was sure of it. Prepare for PEV and Rutos win cha lazima.
@WillisAli
@WillisAli 27 күн бұрын
Huyu amepotea...... ruto awezi kubali, Gachagua asizani favour itakuwa side yake
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 27 күн бұрын
kwanza ata mzima kama mushuma
@collinskimorgo8069
@collinskimorgo8069 27 күн бұрын
Arudishe Kondoo kwanza
@mulicharlesmuli
@mulicharlesmuli 27 күн бұрын
Riggy G is back to his senses😂
@isaacmuiruri6334
@isaacmuiruri6334 26 күн бұрын
You can't despite a legend
@ogumajane
@ogumajane 27 күн бұрын
Let him to return mama Ngina's sheep and to plant the tress first.. kesi badaye selfish goons
@profAKILI
@profAKILI 27 күн бұрын
Then he should wait for the trees to grow to their original height
@alicejumaa89
@alicejumaa89 27 күн бұрын
😂😂
@perispinkrose7452
@perispinkrose7452 27 күн бұрын
​@@profAKILIhapo Sasa.
@euny.m
@euny.m 27 күн бұрын
​@@profAKILI😂😂😂😂
@dismasmithamo8087
@dismasmithamo8087 26 күн бұрын
Thats good to realize. We all make mistakes Rigy G na urimu niguo wanjagia. Now settle your diffrences with Uhunye tuwe kimoja.
@julietambuvi1151
@julietambuvi1151 27 күн бұрын
"Nyinyi mnajua Ruto kuniliko"😂 wacha kiwarambe.
@geoffreykariuki9730
@geoffreykariuki9730 27 күн бұрын
Now expand gema community and invite AKamba, Abagusi, masaai, and those with similar dialect like people from the coast. Just like Kalenjins.
@ephraimatunga9098
@ephraimatunga9098 14 күн бұрын
intact haitanishangaza kuona Uhuru akimsupport, aki mkikuyu
@aaa64sa13
@aaa64sa13 27 күн бұрын
🇰🇪❤❤❤🎉🎉🎉
@Elibuk
@Elibuk 27 күн бұрын
The sheeps were cursed by elders 😂😂😂
@ivesaidit2464
@ivesaidit2464 27 күн бұрын
As for Gachagua, all I can say is: Pride comes before a fall! Na bado, this is just the start of kupangwa 😅
@eddahjep2102
@eddahjep2102 27 күн бұрын
So mlima Kenya save us from taxation.
@user-ww4eh1yq7c
@user-ww4eh1yq7c 27 күн бұрын
Karibu nyumbani tufukuze shetani.
@dianahprincess7781
@dianahprincess7781 27 күн бұрын
Kondoo Rudisha Kwanza ndo uingie odm
@user-bd7te1iw8m
@user-bd7te1iw8m 19 күн бұрын
I thought he said Uhuru should retire
@wamaiwachira4829
@wamaiwachira4829 27 күн бұрын
Seems Gachagua might join the Jubilee Party Soon
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 27 күн бұрын
Mbona mapema mno?
@lawrenceokaki489
@lawrenceokaki489 27 күн бұрын
Time has Vindication Uhuru
@kennedykijogi2547
@kennedykijogi2547 27 күн бұрын
Nyanza,Rift valley, coast,western against Central community is shaping
@user-ul8xh7dk5p
@user-ul8xh7dk5p 27 күн бұрын
Nothing to be proud machokora niwengi huko kwenu😂😂😂
@tujutuju2567
@tujutuju2567 27 күн бұрын
The guy you humiliated during inauguration?
@stephenkitheka8524
@stephenkitheka8524 27 күн бұрын
Rig G before uhuru joins you please tell us shida ikon wapi ama ni tax unaifeel kweli?
@lynnedarling1135
@lynnedarling1135 6 күн бұрын
Riggy G should apologize to Uhuru first to then make peace
@Dennis_Okelo
@Dennis_Okelo 27 күн бұрын
Benny Hinn kweli aliombea hawa waachane
@robisammeytv7547
@robisammeytv7547 25 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣now you need him after fasting.
@Destinykenya2030
@Destinykenya2030 27 күн бұрын
How fast and easily Kenyans are jeopardised It's like being a politician is being a small god 😂😂😂
@benardmakori6924
@benardmakori6924 26 күн бұрын
Kenyatta family is =to kikuyu=to kenya.
@jmkamau6263
@jmkamau6263 27 күн бұрын
If you are going to be united we will be United against you and you are president we cannot Raleigh behind a leader without a vision for the community no it cannot it will not happen😂
@dianakiki533
@dianakiki533 27 күн бұрын
Kuna game , gachagua ako kwa ruto bado, ni strategy ya kupitisha tax bill.
@cassandraakinyi3399
@cassandraakinyi3399 27 күн бұрын
Why now?After the insults n blame games?
@tabithamuthoni9840
@tabithamuthoni9840 27 күн бұрын
The way people comment about Politicians that's their career concentrate with yours
@user-ul8xh7dk5p
@user-ul8xh7dk5p 27 күн бұрын
What goes around comes around
@donmushiri
@donmushiri 26 күн бұрын
Now that he thinks it will benefit him 😂
@periasakimba7892
@periasakimba7892 22 күн бұрын
Uhuru Kenyatta has got a lot of influence when it comes not only in Mt Kenya politics but in Kenya at large,uhuru managed to run the government during covid time and despite the economy of the country having gone down but we finally made it and our economy revived again, so whoever fighting him he/she is out of his senses
@robertokeyo2877
@robertokeyo2877 27 күн бұрын
Umefukuzua kwako Uda au umetoroka,?
@cjoruznjoroge3870
@cjoruznjoroge3870 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂 after smelling danger he's running away from their uda house n want Uhuru's backup
@njerubernard1515
@njerubernard1515 26 күн бұрын
Nani anaomba Sasa?
@francisagilo5333
@francisagilo5333 27 күн бұрын
Kushirikiana na wewe kivipi??bado hajawacha pombe 😮
@anastanciajebichi975
@anastanciajebichi975 27 күн бұрын
Dopper zimeisha ama vipi? Hamukuenda kukojoa hapo ichaweri😮😮?
@user-ip9ni9yd9w
@user-ip9ni9yd9w 27 күн бұрын
Apologize to Raila and to Uhuru. Gikuyu oigire hita ngithii no ndukahite ngichoka.Uhuru akuhitire tene ukirega kuigwa.
@kennethagaya6769
@kennethagaya6769 27 күн бұрын
Tooo late Kikuyus have messed this country.
@phoebetaylor8089
@phoebetaylor8089 27 күн бұрын
Gachagua will never change. Uhuru will never forgive him for what he did . Let him swallow the pride.
@harrynjenga
@harrynjenga 26 күн бұрын
😂😂😂😂 hio unity ya Mt Kenya inasaidia nani?
@hilarymatheka5048
@hilarymatheka5048 27 күн бұрын
Rudisha kondoo zake kwanza
@alloycejames5285
@alloycejames5285 27 күн бұрын
Kenyans lets isolate these tribalists and vote 42 against 1 in the next elections..
@ParkyRio
@ParkyRio 27 күн бұрын
Who cares
@obungafelistas960
@obungafelistas960 27 күн бұрын
Kura lazima zitaibwa.
Would you like a delicious big mooncake? #shorts#Mooncake #China #Chinesefood
00:30
Naibu rais Rigathi Gachagua akiri anakabiliwa na matatizo ya usafiri
2:26
DAY BREAK | Finance Bill: Concessions or Reason?
56:20
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4,7 М.
Rais Ruto afanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta
2:23
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 200 М.
Rais Ruto na naibu wake Gachagua warushiana vijembe
3:20
KTN News Kenya
Рет қаралды 217 М.
John Mbadi: Kenya Kwanza is behaving like pickpocket | Finance Bill
7:59