No video

NAIBU WAZIRI WA MICHEZO MWANA AF ATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA CHAMA NA SIMBA KIKAO KILIVYOAMUA LEO...

  Рет қаралды 57,020

BATTLE TV

BATTLE TV

Күн бұрын

#BATTLETV

Пікірлер: 21
@mohamedngatika
@mohamedngatika Ай бұрын
Viwanja vya ccm vikalabatiwe na ccm wenyewe haiwezekani vikalabatiwe na pesa ya serikali ambayo ni mlipa kodi baadae ccm waende kuchukua mapato hiyo itakuwa sio haki
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Ай бұрын
CCM walivipataje hivyo viwanja vinavyoitwa viwanja vya ccm --- je,walivijenga kwa fedha zao ? Kama ndivyo mbona hawajengi vingine ! Lakini hata kuvifanyia ukarabati vilivyopo,kwanini wanashindwa,ikiwa walivijenga wao !
@Machozihussen-er8cp
@Machozihussen-er8cp Ай бұрын
Safi sana maelezo yako, some people wavivu kufikiri na wepesi kuongea bila ya kujali wanachokiongea
@hilarylaurian7896
@hilarylaurian7896 Ай бұрын
Vile ni viwanja vya serikali
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Tumejenga cha MKAPA na tunajenga tena DODOMA.
@khalidmasoud1323
@khalidmasoud1323 Ай бұрын
Viwanja nimali ya ccm hapo yatakiwa chadema nao wajenge vyakwao tenaingekua vizuri kwasasa kuelekea mashindano ya afcon
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Ай бұрын
Atauza mechi tena au asicheze kabisa akiwa simba 😂😂😂😂😂
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Ай бұрын
Aback benchi kama akirud
@subiraaddo864
@subiraaddo864 Ай бұрын
Hatumtaki simba, aende huko huko utopolo
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Hata katiba ya CCM hakuna mahali wamejenga uwanja
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Ай бұрын
Mwana FA ni mtumwa na kibaraka wa yanga tena chawa akiwa michezo ya yanga anavaa jezi yanga, akiwa ktk mechi za smba anavaa jezi ya taifa huyo ni mnafki mkubwa mwanya kama shimo la panya,
@salmamustapher5611
@salmamustapher5611 Ай бұрын
hiyo ni mali ya serikali cyo mali ya sisiem jamani hiyo ccm ilitoa wapi hizo hela za kuje ga hivyo viwanja??? hiyo ni kondi ya wanyonge msitulishe matangopor
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
Tulikua tunachangia ccm wakati tunasoma hivyo viwanja vinatskiwa viwe vya serikali
@jumanneally3303
@jumanneally3303 Ай бұрын
ayo magari ya VAR yakatumike kwenye uchanguzi 2025
@adilhabib8988
@adilhabib8988 Ай бұрын
Ahahhahahhahahahahha wala sio uongo
@tjenruzoka7814
@tjenruzoka7814 Ай бұрын
Fact...
@BaiterMkepule
@BaiterMkepule Ай бұрын
Kweli mpira cyo maneno ni vitendo
@user-ff1it9og8y
@user-ff1it9og8y Ай бұрын
Ccm ni kichwa cha serikali hivi wewe unamtoto ama watoto wako usiwatume kufanya kazi muone tumia hekima.et Tz natawaliwa na siasa na wajenzi ni Ccm wangine watulie Amani ipo
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
CCM ichunguzwe juu viwanja wanavyodai nivyake.kuanzia ujenzi .sijaona kuwa CCM walijenga uwanja Bali uporaji walipora mali za wanainchi
@user-cu8dm6eh3g
@user-cu8dm6eh3g Ай бұрын
Bax kama watabak 12 bax fanyeni kwenye mchezo watumike wachezaji 6 tu pamoja
KESI YA SOKA, VILIO VYATAWALA MAHAKAMA KUU
6:22
JAMBO TV
Рет қаралды 778
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 13 МЛН
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,6 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 10 МЛН
what will you choose? #tiktok
00:14
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 3,5 МЛН
Ng'wana Kang'wa _ Kisima Official Video HD.
10:57
Ng'wana Kang'wa
Рет қаралды 375 М.
NAIBU MPYA ACT WAZALENDO AANZA KAZI NA MSIMAMO MKALI
16:26
Marhaba Online TV
Рет қаралды 24
ALI KAMWE AMCHARUA SIMBA SC KISA FEI TOTO
11:08
M15 TV
Рет қаралды 197
Video za Michezo | Burudika na Ubongo Kids | Hadithi za Watoto kwa Kiswahili
29:25
Ubongo Kids Kiswahili
Рет қаралды 2,2 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 13 МЛН