KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
WAZIRI MKUU AAGIZA NIFFER AKAMATWE, NIFFER AJIBU “SIKULAZIMISHA WATU WACHANGE”
7:12
NGWENGWE MASTA afunguka kuyapenda mahuasiano ya CHADO na KIDEM JAU (NAJMA)
20:09
Family Love #funny #sigma
00:16
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
00:17
一碗水真的能端平吗?不能也得能!#四小只吖 #日常 #搞笑 #搞笑家庭 #姐弟 #家庭生活
00:19
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
NAJMA au KIDEM JAU atoboa siri nzito kuhusu mahuasiano yake na CHADO MASTA
Рет қаралды 132,787
Facebook
Twitter
Жүктеу
1
Жазылу 143 М.
NYUNDO TV
Күн бұрын
Пікірлер: 265
@rizikikivumbi6499
Ай бұрын
Masha Allah najma mwangu nakupenda sana yaani umefanana na mwanangu hivyo hivyo kweli duniani watu wawili wawili 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@TheresiaThadei-yc2ls
Ай бұрын
Hee kumbe ndo ilivikawa hivyo 😂
@HawaHadhidha
20 күн бұрын
Nampenda maisha ya kidem jau na chado
@Emiliamercy
Ай бұрын
Kwanza niandike kwa herufi kubwaCHADO MASTA UR PERFECT IN YOUR ARTS
@GlennAspin-jn3is
23 күн бұрын
From Kenya Najma ❤
@RaiyyanAli-sl4fs
Ай бұрын
Mmh sikuzani km mama ngwngw n dad yko najma Allah awajlie Kil l kher ktk kz zenu mupo vzr xn nawpend xn ❤😁😁😁
@PreciousJonas-q8q
Ай бұрын
Ni dada yake kwel mie nilianza kuwa na TikTok walikuwa wanatengeneza content kitambo
@NusuraYohana
29 күн бұрын
Aaa najma hongera mamy. Unaweza kuigiza vizuli saana an. Big up to you
@Ashamwandoto
6 күн бұрын
Twakupenda sana pia sisi Najma baby love you soo much
@MawazoJustin-fw2ws
Ай бұрын
Nawapenda sana kweli mungu awazidishiye nguvu muzidi kuwa pamoja na chado
@Scalpa952
Ай бұрын
Najma keshapata mpenzi... ambaye ndo Mimi hapa🥰🥰🥰, nmpenda sana Najma💖
@TwahaNgemba
Ай бұрын
❤❤🎉🎉ongerekwakanzii nzurii najima
@arunaAmiss
21 күн бұрын
Najma uko muzuri san mbona aukuoneka a mu flm problem❤
@AbdallahSakarani
Күн бұрын
❤ big up chado and najma kidemjau
@GirukwishakaSerenie
25 күн бұрын
Tunamupenda sana bit I ongeyaa
@NeilahJuma
Күн бұрын
Tuseme ukweli najma kaendana na chado tunawapanda sana mashallah
@RizikiZiki
Ай бұрын
Maskini kumbe Najima ni mdogo wake na Anifa masha Allah❤hadi raha
@tatusultan-t2q
18 күн бұрын
Najma kazi nzur ww na Chado
@defaufulacksonmwashfungwe
21 күн бұрын
hi imeenda kabisa bila mba mba mba
@SofiaChaels
Ай бұрын
Nakupenda Sana najina ujalie chado saww❤❤❤❤
@HusnaNalyamba
4 күн бұрын
umeweza hongera sanaaaaa
@ZainabuAlly-o2q
18 күн бұрын
Ok vizul nimependa
@TanashaDona-t1r
Ай бұрын
Even in the fure this lady she is a hero akiii ❤❤❤❤❤❤
@Iddychuna
21 күн бұрын
nawakubalii mnooo
@AbigaelKombi-v8m
20 күн бұрын
Nawa penda sana ma chizi wangu na kitu moya imeni furaisha Niku shauriya wanafunzi,masomo mbele mapenzi baadae
@fatimafatuma4848
Ай бұрын
Nakupenda sana dada najma mungu atakutia nguvuu inshallah ❤❤❤❤❤❤❤❤
@BarakaNganyoli
13 күн бұрын
Chadoo ee munguu azidi kukubark saana p1 saana
@GirukwishakaSerenie
25 күн бұрын
Tunataka mwendereshe filim tunayipendasana
@MishiNizer
24 күн бұрын
Nakupenda sana najma aky
@DOTTOMRISHO
Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤nakupend sana najma ila chado mueshimu sana mbarikiwe kila lakheli❤❤❤❤
@SeifAbdallah-ol5lu
15 күн бұрын
Cwaping chado master gang❤
@ClarenceGaudence
Ай бұрын
NAJMA KIPENZI. WEWE NI BEAUTIFUL SANA. ❤❤❤❤❤ NAKUPENDA KINOMAAAA❤❤❤
@geldamkama5625
25 күн бұрын
Pambana sana Najima my son
@IreneIsambi
Ай бұрын
Alafu najma kumwita kaka chado unatukela😅😅
@Magret-fi2gs
Ай бұрын
😂😂😂Hujaelewa ni kka mpenzi😅
@IreneIsambi
Ай бұрын
@@Magret-fi2gs Tena in chado voice 😁
@jamilahally9171
Ай бұрын
😅😅@@IreneIsambi
@RamlaThabit
Ай бұрын
Nyie uyooo😂😂😂
@RehemaRashid-p4w
Ай бұрын
😅😅😅
@KhadijaChande-z8l
Ай бұрын
Kazi nzur najm❤❤
@IssaHamisi-k3x
28 күн бұрын
love najma nimeikubaliiiii sana mission impossible
@MustafaMgundwilo
Ай бұрын
Wao mnapendeza kweli najma na hanifa ila mnaweza kazeni buti mtufikishe mbali bongo movie
@Scalpa952
Ай бұрын
Mob love from Kenya... Namoenda sana najma, niunganishe naye mkuu🙏
@AnastaziaHassanmmnapandaSimbaK
Ай бұрын
Nampena sana najima jisi anavyo cheza firam mungu akujalie ufanikiwe kidem jau
@ShavannyTitch-z1q
Ай бұрын
She is very talented big up❤❤❤
@AtmahJuma
20 күн бұрын
Mambo naaa
@rukiachuma-x9r
Ай бұрын
Mtangazaji me na marafiki zangu maybe na mafans wengine tunapenda anachofanya mdogo wetu najma kama tumtumie hata bukubuku hivi kushow love jaman ❤😊
@MwajeyMo
10 күн бұрын
Namm natamani kujiunga kwenye tasinia
@BucumiErick
Ай бұрын
Tunashukuru sana wapendwa na kuendelea kutufurahisha na wapenda sana mastaa chado
@ErnestoJonasNakatemboNakatembo
Ай бұрын
Mimi Niko msumbiji alafo nampenda sana uyo Najma, naitwa Ernesto ongera sana Najma usiaje kuigiza unapendesa sana.
@gadinamahukuluroberto8875
Ай бұрын
Kidemu jau noma sana nawapata kutoka🇨🇩 Lubumbashi ❤
@TIGERTiger-e9g
Ай бұрын
Kazi nnzuri mungu akujaalie lakini kwenye movi ningependa uolewe na kitengo
@RidhaaAhmed-j5s
Ай бұрын
yeah mm pia sikudhani kuja jua kama hanifah n dada yako wa kwli allah awaajalie vipaji vyenu
@AliceAthumani
Ай бұрын
Chado masta naomba nifanye kaz naww mm nimsanii ila naomba nikutane naww nimeipenda kaz yako nahisi nikiwa chini yako kila kitu kitakuwa saw❤🙏🙏
@khadijaacute
Ай бұрын
Sa unamtafta huku kweny meseg unafikilia ataion mesej yako😂😂
@AdelinaMgaya
Ай бұрын
Tena@@khadijaacute
@kapologweeve442
27 күн бұрын
@@khadijaacute mpe tu suggestion advice on jinsi ya kumfikia
@AsmaLugaya
Ай бұрын
Jaman bas mfikilie chado mbona mmeendan 🎉
@MohamedSuleiman-i4f
28 күн бұрын
Najma kiukwel waendana sana na Chado Master
@carolinejumaoloo
Ай бұрын
Chado masta mbona kibindi inajelewa sana ivo sisi tumeshasoeya icho kibindi sana😂😂😂😂😂
@IreneMuronji
Ай бұрын
Kweli inachelewa saana
@Augustineshikanga
Ай бұрын
Hapo Kwa Najma kuwa mdogo wake mama Ngwengwe imenipunga! Familia iliyobarikiwa!
@SabinaCharles-s5w
Ай бұрын
kiukwe wamewez mbk wamewez tena ❤❤❤
@BucumiErick
Ай бұрын
Tunashukuru sana wapendwa na kuendelea kutufurahisha sana na mstaa chado
@ashuraamour3288
Ай бұрын
Najima kazi nzuri hongera🥰
@FatumaMasood
Ай бұрын
Nimefurahi Sana kusikia najima akijibu majibu yake vizuri
@rugaya_tz
Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅 hatar sana chado master
@TIGERTiger-e9g
Ай бұрын
Kazi nnzuri mungu akujaalie lakini kwenye movi ningependa uolewe na kitengo😊😊
@shavakhantz7960
Ай бұрын
Kbla ya yote wewe mwandisha unajua kuhoji 🎉
@RahmaIddiy-x1t
Ай бұрын
Anajua sana mungu amsaidie atafika mbali sana 🙏
@RehemaBakari-u7x
Ай бұрын
Najima nakupenda unaweza
@AsiaKileo
Ай бұрын
Saw lakin uskazie san kwa chado jamn unatukera😅😅
@AminaLikolovele
Ай бұрын
Nampenda huyo najma anavyotabasamu kwa utulivu jmn ❤❤
@MiradjiAsina
Ай бұрын
Najma weee acha kwenye kumuita chado kaka samahani 😂
@humudjuma9036
Ай бұрын
Inapendeza sana chado master familia
@IreneLonjino
Ай бұрын
Najma muongo sana kila kitu kanasema hakuna changamoto wee Huogopiiiii
@khadijaacute
Ай бұрын
Kwahiy we ulikua unataka awe na changa moto au😮😮
@ImaniMethod
Ай бұрын
Najma jnatisha sana mdogo wangu pambana😅😅
@RatifaMwitike
28 күн бұрын
❤❤❤❤ nakupenda najima
@HabibaMasudi-v3h
8 күн бұрын
Najma wajna wa mwanangu nakupenda hulingiiii
@ClarenceGaudence
Ай бұрын
Nimefurahi sana kusikia ukweli huu🎉🎉
@SandraBoss-g8u
Ай бұрын
kumbe mama ngwengwe yuko sur yes 😀
@JustinaWilliam-nq8ft
Ай бұрын
Keep going kadada upo vinzur sana❤❤❤
@Nihenya
Ай бұрын
Wako vizuri 🤝 tunawapenda sana ❤❤❤❤
@Aishayahayaswarehe
Ай бұрын
Kweli ban situnataka tuona wapo kwenye mahusoano arafu anasema kaka we jau san
@Dama-w8f
Ай бұрын
😂😂❤❤napenda sana m, za chando
@goriaAlexndar
28 күн бұрын
Jaman eeeeee mm napenda kusoma comment za wat watu wanachapia hatari 😂😂😂😂😂
@ChachaMatoka
Ай бұрын
Mimi nimekupenda nataka niwe mpenzi wako❤❤
@FaridaAbdalla-py8pw
Ай бұрын
Salimia chado master nampenda sana
@rugaya_tz
Ай бұрын
Nakukubali sana chado mastar nam nataman nitimiz ndoto
@AmusedCoyote-yn2ms
Ай бұрын
Hakika mungu akubariki najmaaa hakika umeitendea haki nafas yako
@husnaabdullah3009
Ай бұрын
Nawakubali Sana ila ingekua vzr ungeweka siku ngap kwa wiki kuliko hivo mfano saivi mnachelewa kutuwekea alafu inapita siku 3 mfululuzo huja weka
@SalmaSaid-ng9rn
Ай бұрын
Sio kwl antoa muvi kwa wakat kabsa na haipiti ckutatu n kila baada ya siku moja
@HoHo-l1r
Ай бұрын
Mie nawapenda sana pia tunajifunza kitu kutoka kwenu ❤❤❤
@IdirissaHabibu
Ай бұрын
Ety dada najima dada yake mama ngwengwe❤❤❤
@AlhajiMlugu
Ай бұрын
nafurahishwa na najima sana
@abrahamsifa4322
13 күн бұрын
Nice❤
@WangiraCollins
Ай бұрын
Yaan wee najma nakupa maua yako Ila chado anakufaa
@MwaishambaKipanga
Ай бұрын
Mashaallah Allah mubariki Kidem jau na dada ako hanifa
@MariamJaberi-g5y
Ай бұрын
Nakupend san najm kaz nzuri ❤❤
@RashidimoshiMkumba
25 күн бұрын
Najma akichekaga huwa namimi ananichekeshaga sana
@TrishazMoses
Ай бұрын
Sema bado hawezi kujieleza but big up uko vzur
@saloomidd1084
Ай бұрын
Anaonekana ni binti mtulivu mwenye stara na aibu,sio mcharuko
@Winfridankalupia-t8d
Ай бұрын
Tuna,wapenda sana kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@seifhamood8993
Ай бұрын
Hanifa 😂😂😂 kambonyeza asisiseme kama ana mahusiani 😂😂😂
@pkhanboytz-v1o
27 күн бұрын
Kichwa njichoooo
@JemimaJonas-y7f
Ай бұрын
Naomba kazi na Mimi napenda kuigiza kama naweza kuingia
@HappinessFelixJr
Ай бұрын
Najima anatuaribia mov kusem chado msitar ni bro me naangaliaa kwaajili ya mausiano yaoo sasa 😢😢😢
@AlAslanTV1
Ай бұрын
oya nyundo mulete mzeee wamisumari
@ZubedaShekali
Ай бұрын
Kwa kwer moves nzuri 😅
@mohammadmusa328
Ай бұрын
Mniekee namba za najma tafadhali
@AminaDudu
Ай бұрын
Nawapenda San wote❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@webnet5652
Ай бұрын
Nc Najma na chador❤❤❤
@snaida-h6n
Ай бұрын
i love you guys so much ❤️ na wapenda bure
@SuzanaTalwa-x2x
Ай бұрын
Mm nawakubali 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@MaryamJuma-q3r
Ай бұрын
jmn najma ata ulipoximia sehemu ile hukupata uxito kila kitu apana 😂😂😂
7:12
WAZIRI MKUU AAGIZA NIFFER AKAMATWE, NIFFER AJIBU “SIKULAZIMISHA WATU WACHANGE”
Millard Ayo
Рет қаралды 24 М.
20:09
NGWENGWE MASTA afunguka kuyapenda mahuasiano ya CHADO na KIDEM JAU (NAJMA)
NYUNDO TV
Рет қаралды 55 М.
00:16
Family Love #funny #sigma
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 61 МЛН
00:17
The Ultimate Sausage Prank! Watch Their Reactions 😂🌭 #Unexpected
La La Life Shorts
Рет қаралды 7 МЛН
00:19
一碗水真的能端平吗?不能也得能!#四小只吖 #日常 #搞笑 #搞笑家庭 #姐弟 #家庭生活
四小只吖
Рет қаралды 4,7 МЛН
00:33
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
Family Games Media
Рет қаралды 46 МЛН
21:58
Tazama CHADO MASTA alivyo mfanyia surprise NGWENGWE kwenye birthday yake
NYUNDO TV
Рет қаралды 93 М.
21:09
MR MONEY_EP18
LIKOMA
Рет қаралды 184 М.
11:07
NAJIMA AU KIDEMU JAU AFUNGUKA UKWELI KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA CHADO MASTAR/NILIPENDA ALIVYO NIBEBA
GAMBA TV
Рет қаралды 17 М.
37:31
CHADO MASTA atoboa siri kuhusu mahuasiano yake na NAJMA au KIDEM JAU
NYUNDO TV
Рет қаралды 84 М.
7:48
"MWENZANGU ALIBANWA NA MATOFALI NIKASHINDWA KUMSAIDIA" INANIUMA SANA AISEE NALIA JAMANI
COSTA TV
Рет қаралды 17 М.
8:42
ANGALIA NGOMA NAGWA ALIVYO MCHIMBIA MKWALA BAGA MTEME,AMUITA KINEGA.
BONGO 24
Рет қаралды 42 М.
8:02
Ona WAZIRI MKUU akitoa heshima kwenye sanduku la kijana huyu huzuni tupuu😭😭
NYUNDO TV
Рет қаралды 179
19:34
UTAPENDA MAISHA YA NAJMA ( KIDEM JAU) MAHUSIANO YAKE NA CHADO MASTER
Mbengo Tv
Рет қаралды 213 М.
21:14
DUNIA (Ep 20)
ASMA FILMS
Рет қаралды 199 М.
2:38
MAMA DANGOTE Afunguka Kuhusu VIDEO Yake na DIAMOND INAYO-TREND
Wasafi Media
Рет қаралды 153 М.
00:16
Family Love #funny #sigma
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 61 МЛН