UTUKUFU UZIDI KUWA MKUU MUNGU MWENYE KUTUPA NEEMA YA KUMTUKUZA
@barakasilayj98292 жыл бұрын
Mchungaji kuna mda mwingine hauja tutendea haki kwa sababu ule wimbo wa mahali ni pazuri haujaimba mpaka leo ninaomba utuimbie maana ni kazi uliyoitiwa
@cymone61592 жыл бұрын
Barikiwa pastor unaugusa sana moyo wangu
@patrickziro3336 Жыл бұрын
Hii nyimbo hunifariji kila wakati, Dunia ikaribu bwana unilinde 😢
@rebecachristian52072 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, huwa na barikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako.
@glorydismas22662 жыл бұрын
Barikiwa sana Mchungaji kwa nyimbo hizi hakika tunabarikiwa
@VoH-Official2 жыл бұрын
Amen
@williamnassary60192 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Mtumish umenifanya nikajua kuimba nyimbo nying za kitabuni
@micamathew25952 жыл бұрын
Ahsante sana jmn!! Ninaimba huu wimbo hadi nalia machozi!! Amen!! Yesu asifiwe sana!! Nampenda Yesu!! Hakika nitamtumikia Yesu wakati wote wa maisha yangu. Amen. Zaburi37:5.
@manuelykimaro99952 жыл бұрын
Sitaogopa vita nikikufuata🙏
@rabilubinza76612 ай бұрын
Siipotezi njia ukiniongoza baba.Nikikufuata siogopi vita nankatika kila vita nipe kushinda baba yangu.Amina nakupenda Yesu nakupenda rafiki yangu naomba nivute karibu na wewe.
@meshackntoga15662 жыл бұрын
NIPO NKUHUNGU YA DODOMA - Safi saana saana barikiweee
@hildamushi18612 жыл бұрын
Libarikiwe tumbo lililokuzaaa na mikono iliyokulea
@kryptonmmanga483Ай бұрын
Nabarikiwa saaaaaana
@AmaniNjokah Жыл бұрын
Hakika mch.wimbo huo unapoimbwa kwa utaratibu wake,unaniweka mahali pa kuutafuta uso wa kristo....barikiwa mtumishi wa Mungu.