Thank you for recognising out GOAT, Chris Brown... Shida ya Kenya ni artist anataka kua kila kitu, one-man-show, we must embrace authenticity.
@aquinnasmuya21 сағат бұрын
Kenya wako na culture mbaya hawezi lambisha music writers ka producers wanalia hawapata royalty Kwa Ngoma hit Wana produce.
@F2mnoko20 сағат бұрын
Kitambo ulikua unawaita burinyas 😂.. Kwani uliacha kutumia hiyo term😂😂
@YuccaBoyKE19 сағат бұрын
ongea about hii ngoma ya masauti na jaymelody ni ya juzi
@legit_nation20 сағат бұрын
Great points... Mimi ni producer na artist pia. Niko na melodies kali sana na bado nadelevelop talent underground. Sabato SG ako na point. Kenya artist, hata watu hawana jina bado wako na kujitakia sana. Anyway, watu wako interested reach out tushikane tutoe hits.. Umoja ni nguvu.
@latimOTG7 сағат бұрын
✍️facts
@kingfestus20 сағат бұрын
they can't compare to Oluwa si kwa ubaya
@fittyblack254921 сағат бұрын
Nime repeat apo kwa sijui lakini izo vitu zote ni zake😂😂😂but iyo sio point yangu,bro ambia awa wasanii waskie ju pia wako na za ovyo sana
@ConventionalViews8 сағат бұрын
Decimal production comment
@elvis738121 сағат бұрын
Sauti ya ground pia tuchapie kuhusu hii song ya nikita, scar na ndovu kuu
@ConventionalViews9 сағат бұрын
Any comments musyoka producer?!
@vonmotions159620 сағат бұрын
SAUTI NI MOJA, SAUTI NI YA SABATO NA NI SAUTI YA GROUUUUNDD!!!
@Mc_polycarp22 сағат бұрын
Lakini hiyo si point...tunangoja ngoma ya willy punyeto na kabahanye
@justustiego.tiego.3654 сағат бұрын
Manze unasaidia wasanii mbaya sana.... Unawapiga some free expensive tips, i hope waskie hii na wafuate!
@amoskesh122312 сағат бұрын
Ati kumbe size 8 alitoa Ngoma ya new year
@jerrysensei12 сағат бұрын
sabato naonanga unaeza kuwa manager mnoma sana have you ever considered that?