Video ni MUONGOZO kuhusu NOVENA YA SAA 15 KATIKA SHIDA KUBWA #novenayadharura #shidakubwa #beatusbenedicto
Пікірлер: 107
@TullyMlele9 күн бұрын
Tumsifu Yesu Christu mtakatifu Rita wa kashia naomba uniombee maisha mema ktk kazi yangu nifanikiwe zaid nipate customer zaidi ambao wapo active 🙏
@PriscaDalus13 күн бұрын
Tmsf yesu kristo, Mtakatifu Rita wa kashia si kwa maamuzi yangu bali nakuomba uniombee kwa bwana wetu yesu kristo nipate kufunguliwa vifungu vyangu vya shinda zangu mbali mbali nipate kuingezewa mshahara na kumaliza ujenzu wa nyumba yangu na biashara yangu
@josephinachipa392823 күн бұрын
Kupitia novena ya mtakatifu rita wa kashia kupitia maombi haya nikafanikiwe mwanangu kuacha bangi.na kusoma kwa bidii afauru five na six na apate maksi nzuri.na mwanangu apate kazi kiurahisi sana
@BeatusBenedicto50723 күн бұрын
Amina Amina Amina ❤️
@happymangesho1139Ай бұрын
Naomba kupitia sal hii watoto wangu wafunguliwe kwajina la Yesu
@BeatusBenedicto50729 күн бұрын
Amina ❤️
@Maryigumo2 ай бұрын
Mt. Rita naomba uniombee mm Mary Igumo nipone madonda ya tumbo Amina
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina
@juliethjulius1707Ай бұрын
Mt. Rita naomba uniombee mimi julietha Julius nipone maumivu ya kichwa na mwili mzima Amin
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Amina
@elizabethmartin8542 ай бұрын
Mt Rita muombe mwanangu mungu amjalie uzao wenye baraka
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina🎉
@user-rk4ld7qz7c2 ай бұрын
Naomba mtakatifu Rita niombee nipate mtaji na biashara
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
🌹❤️❤️❤️🥰
@StellaJohn-dz6gv2 ай бұрын
Mt Rita uniombee mm stella nipate mtu wa kunisaidia 🙏
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina, Omba Sana Utampata Dada
@donathahaule484227 күн бұрын
Mt Rita naomba awaongoze watoto wangu kt kutafuta kazi na wafanikiwe kuajiriwa.
@BeatusBenedicto50725 күн бұрын
Amina
@VictoriaKitoki2 ай бұрын
Mt.rita niombee nifaulu leseni yangu na nipate mchumba mwema🙏
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina 🥰🎉
@user-br1cd1tf6yАй бұрын
Naomba family yangu naukoo wote tulio na magonjwa miilini utuponye namama apone miguu yani mwili wote na presha amen tupokee baraka zake zawatakatifu wote kwajina lababa nalamwana naroho mtakatifu ameen
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
🙏🔥
@canaanmhoja36782 ай бұрын
Mt.Rita kwa maombezi yako familia yetu iwe na amani kati yetu na watoto wetu.
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina 🎉🥰
@ElizabethIshengoma-mb2zoАй бұрын
Amen naomba kujua katika kusali hayo masaa 15 inasali mfululizo kuanzia saa uliyoapanga au,Au kila saa ullkimaliza unaanza teba lisaa linalofuata
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Unachagua muda wa kuanza,unaanza lisaa la kwanza,la pili...n.k hauruki saa hata moja Hadi uyamalize masaa yote 15, mfano ukianza saa Moja kamili Asubuhi utamaliza saa tatu kamili usiku.
@rozkiwale912Ай бұрын
Mungu wangu ninakuomba uwakomboe wototo wangukatika mikono ya maadui walioteka uchumi wa watoto wangu na mume wangu
My Rita naomba uniombee nipone madonda ya tumbo Amina
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina
@user-ww3iy5rt1qАй бұрын
Mr.Rita kwa maombezi yako namwombea mwanangu Nelson aliyekwenye mitihani ya kidato cha sita umjali ufaulu wa division one
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
🙏🔥 Mungu mwenye Huruma kwa Maombezi ya Mtakatifu Rita wa Kashia akutoe katika matatizo yote, Amina
@flaviesmile37412 ай бұрын
Ameeen
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina 🙏🥰🥳
@MaryVicensioАй бұрын
Eee mwenyezi mingu kupitia novena ya mt Rita wa kashia naomba ulinzi juu ya familia yangu na utuepushe na kila baya.
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Amina,Mungu atulinde kwa njia ya maombezi ya Mtakatifu Rita wa Kashia
@Regina-fc1kc2 ай бұрын
❤mt. Rita🙏🏿
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
🙏🥰
@gundesilayo8614Ай бұрын
Naomba Kwa maombezi ya mtakatifu riter biashara yangu ikue na kuongezeka
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
🙏🔥
@veronicahermaniАй бұрын
Mtakatifu Rita naomb uniombee sherehe ya mtoto wangu ya Komunyo ya kwanza iende vizuri
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
🙏💗
@user-ww3iy5rt1qАй бұрын
Kwa maombezi yako naomba kesi niliyonsyo iishe
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
🌹🙏❤️
@user-rl9sd8hl5o2 ай бұрын
Mt.Rita utuombee
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina
@hamimwaliki2326Ай бұрын
Naomba uponyaji wa mwanangu George ameuguwa kifafa zaidi ya Miaka 14 Hadi nami nikapata plesha, mama yangu aponywe Figo na Mme wangu aponywe kisukari na dada yangu Cristina aponye kifua anaumwa zaidi ya Miaka 36 niponywe yote Kwa kupita Mt Rita amina
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Mungu ni mwema tusali Kwa Imani kubwa wote watapona
@christinaraphael235125 күн бұрын
Kupitia maonbi ya novena ya mtakatifu Rita nifanikiwe kila kitu, ndoa, watoto nizae, Shughuli zangu nifanikiwe . Niondolee maradhi yote kweny e mwili wangu, shari, husuda, chuki, uongo, roho mbaya ya wivu.
@BeatusBenedicto50723 күн бұрын
Amina Amina Amina ❤️
@BeatusBenedicto50723 күн бұрын
Amina
@AshaBay-xg7wpАй бұрын
Mt rita niombee niwe baraka kwA wote
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Amina🙏
@user-jv1jx2qi6c2 ай бұрын
Mt Rita utuombee
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina🙏
@canaanmhoja36782 ай бұрын
Mt Rita naomba umuombee bint yangu aweze kusoma na kuandika.
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Amina🎉🥰
@lulumkongwe998726 күн бұрын
Samahani mtumishi mbona mm nimeshasali mara mbili hii sala lakini sijajibiwa jamani?
@BeatusBenedicto50725 күн бұрын
Wakati wake Mungu ukifika atakujibu,uwe na Imani Siku zote
@lulumkongwe998724 күн бұрын
Amen
@NeemaOnesmo-rd3nc2 ай бұрын
hii sala ipo kwenye kitabu gani cha mtakatifu Rita? maana nimeitafuta mpk basi
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Kwenye kitabu kinaitwa NGUVU YA SALA (Toleo la Pili) by Angela Benedict Kessy
@mussaananiasmyonga727Ай бұрын
Acheni kabisa. Novena ina nguvu sana hii ya mt. Rita wa kashia... Ushuhuda ninao majibu... Hayakawiii
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Ubarikiwe Sana mpendwa nafikiri watu wamepata uhakika sasa
@mussaananiasmyonga727Ай бұрын
Amina
@JosephineFelicianАй бұрын
Ee Mt Rita naomba unitegulie mitego yote ya shetani
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
🙏❤️
@janethjerald17372 ай бұрын
sijaelewa saa 15 inamaanisha masaa au??
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
MASAA 15
@janetnjeru49622 ай бұрын
Rita niombee ni pone heart disease
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Pole Sana Dada Yetu, nakuombea upone jamani
@philiplangat4467Ай бұрын
Nipe tafauti ya kusali masaa 9 na kusali masaa 15 Novena ya Mt. Rita tafadhali
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Novena ya masaa 9 na novena ya masaa 15 ni njia mbili za kusali kwa Mtakatifu Rita wa Kashia, lakini zina tofauti katika urefu na mara nyingine katika maudhui. Novena ya masaa 9 inahusu kusali sala maalum mara tisa kwa masaa matatu mfululizo, wakati novena ya masaa 15 inahusu kusali sala maalum mara 15 kwa masaa matano mfululizo. Tofauti nyingine inaweza kuwa katika sala zilizotumiwa na muda uliotumika kusali kila siku. Ni muhimu kufuata maelekezo ya novena husika kwa ufanisi bora. Tofauti nyingine ni kwamba novena ya masaa 15 ni kuheshimu miaka 15 ya utume wa Mtakatifu Rita,wakati ya masaa 9 ni kuheshimu Huruma ya Mungu Kwa Mtakatifu Rita wa Kashia
@hamimwaliki2326Ай бұрын
Inaanza saa ngapi na unakuwa wapi kanisani au nyumbani
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Unaweza kuanza muda wowote unaopenda na mahali popote
@HighnessEmmanuelАй бұрын
Naomba kuuliza kwa ulazima kusoma hvyo vyote sio ukirudi mara 3 ukimaliza na ameen inatosha
@BeatusBenedicto507Ай бұрын
Ni lazima kurudia Mara tatu, hiyo Mara tatu Ina maana yake kitheolojia
@DainesFrank28 күн бұрын
Kupitia sala hii ukaniponye na mgonjwa yanayonisumbua
@BeatusBenedicto50728 күн бұрын
Amina,Mungu akuponye kila aina ya maradhi
@sabasaloyce25342 ай бұрын
Hicho ni kitabu gani nikitafute
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
Nguvu ya sala
@user-zu7mc9zh6zАй бұрын
Nyayo za Mt Ritha
@magretrobert13092 ай бұрын
Amina
@BeatusBenedicto5072 ай бұрын
🙏🙏❤️
@NebrixLimitedShinyanga2 ай бұрын
Mt. Rita naomba uniombee mm Mary Igumo nipone madonda ya tumbo Amina