@@prenciaiqram9382 njoo nikupe like kubwa … si unapenda like ?
@asha_homedecorations Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Namtaka Huyu Namlia Asali Nampiga Pa Pa Pa 🙌
@paulmwanyika7622 Жыл бұрын
😀😀😀😀
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti sana. Joti umechenji gia juu kwa juu😂😂😂😂👍.
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Jotiii ety nimeamini hii familia hawatutaki, bro never disappoint 👊🏼 👊🏼
@salomeblack0 Жыл бұрын
Tulio amka na joti gonga like 😍😍😍
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
Nishai yule kabisa hata mi naku support she is so beautiful!! Love from Burundi 🇧🇮
@agnesbasistian9248 Жыл бұрын
🤣🤣🤣ushaharibu tayari mtaka yote kwa pupa hukosa yote 🥰😘
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Hakitoka King 👑 kiba kwenye mziki anakuja king joti 🎉 kwenye comedy anaweza mpaka anaweza tena ongerah kaka mungu akusimamie kaka❤❤🙏
@thomguy2766 Жыл бұрын
Umeongea point
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
King kiba??? Ok
@stevekasawala2315 Жыл бұрын
No doubt mkuu
@albertkadyanji97227 ай бұрын
Apo kwenye king wa mchongo kibamia mmmmmhhhhh misipooooo
@Vincentksang277 Жыл бұрын
Wakenya tunahumia na watoto wazuri wa kitanzania❤😊heshima nayo
@sikitu8957 Жыл бұрын
Wabembe tupo wengi Tanzania Wengine ni wana siasa wakubwa kabisa siwezi kuwataja ni seme Tz is our Secord one we love you our brothers tukijikata Na Kongo sud Kivu yote itakuwa TZ
@mlewazitotv Жыл бұрын
Mashabiki zetu wa joti TV tunawapenda sana 🤗 #mlewa
@octavianmasala3862 Жыл бұрын
Joti always deserves to be a GOT 🤣🤣🤣🙌
@richardscofeld9136 Жыл бұрын
😂😂nimecheka nusu nife ,huo mkoti/pisha nijambe, nakukubali sana joti
@mozespatnam7469 Жыл бұрын
Joti unafaaa unge andaa tqmthiliya maaana team yako ni hatari sanaa ipo good good sanaaa✌️🔥🔥
@ibrahimadam8623 Жыл бұрын
This is now therapy by entertainment, quality delivery. Well done Joti team
@merrynancesimon1562 Жыл бұрын
Mtombagile 😂😂😂😂😂😂😂joti😂😂😂😂😂❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤nawapenda wote Tim joti❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shafiikhamis2336 Жыл бұрын
Baba mtu na mtoto mtu wote wahuni...si kwa majina hayo🤣😂😃
Joti ongera mimi ni mkonkomami kabila yangu ni mbangu mbangu sisi wa kongo ni ndungu na watazania tuko pamoja ❤❤❤❤
@luckyjasho1083 Жыл бұрын
From Italy, you are so creative. What I watch on my free time
@catherinemuhagama7338 Жыл бұрын
Lucky Italy uko sehem gan
@luckyjasho1083 Жыл бұрын
@@catherinemuhagama7338 Florence
@lewimontaz1373 Жыл бұрын
Nishai, ndio king of comedy, amebaki, Tanzania,❤❤❤❤
@BrysonMayunga-lc6mq Жыл бұрын
Naitwa Lukas Charles nkingwa Niko nyuma yako Lucas mhuvile unani inspire Sana joti ila natamani Sana nikufikie na nikupite❤❤❤hongera umeweza Sana u r my favourite comedian
@hajiakbar724 Жыл бұрын
Daah eti naenda kuongea na wapumbavu wanzangu, joti unaniuwa mbavu zangu ndugu yangu
@amsiabbas3809 Жыл бұрын
😀😂😂🤣🤣🤣 Joti kakutananacho leo hadi wazee wa Kyuba wamemkataa kabisa
@abdillahsalim1623 Жыл бұрын
Joti the genius
@JudithDaniel-sw4og2 ай бұрын
From uk 🇬🇧 penda sana jotiii
@elikanateonest3126 Жыл бұрын
Muhogo mchungu katisha sana utambulisho na jina la pili la joti wametisha Sanaa🔥🔥
@djpatruick Жыл бұрын
Joti Mungu akuweke myaka mingi kwa kweli uzidi kututowa stress🤣🤣🤣🇧🇮
@ericknjowoka4245 Жыл бұрын
JOTI LIVE LONGER....YOU'RE THE BEST
@mohamedikamwana9308 Жыл бұрын
Daa joti hatare
@pastoraile7195 Жыл бұрын
This best comedy in Africa nice team good group
@Hassmith910 Жыл бұрын
Hapo kwenye jina la joti nimecheka kwa sauti kubwa😄😄😄
@lyrics_forum Жыл бұрын
Nawaambia huyu Jamaa ni Kanumba wa Pili katika Scripts na Story Writing.. Kazi nzuri sana Mr Joti AKA Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo😅
@kaisarimbisso50118 ай бұрын
Kanumba wa pili? Mtu akifa anasifiwa zaidi ya uwezo wake halisi
@benjaminkangolo2017 Жыл бұрын
Nyote wa shenzi sana 😂😂😂😂😂 good job guys big up keep going
@saidifrancismyombo4949 Жыл бұрын
J0ti mm Kwa upande Wang wew kw Tz hii. Wew ni mchekeshj No 1
*Mnaect vizuri Ila kabila zawatu msizisimange kiasi hcho wakwele wamewakosea Nini hawana Huo upuuzi muwaombe RADHWI*
@angelicaflorian8189 Жыл бұрын
Ila joti 😬😬😬🙌 anaulizwa mshenga anajibu yeye Eti wao ni watu wa cuba na mtoto wao ni wa cuba 😁😁😁
@nangitv5209 Жыл бұрын
Joti Hawa wazee wa Cuba wahuni sana wataniuwa😂
@Seifbrown Жыл бұрын
Mze ku toka Congo 😅😅😅😅 mobimba😂 ❤❤kama una wa kubali gonga like basi 😂tu enjoy
@openmindtz Жыл бұрын
Najiulizaga why X wangu was attracted with this tarented guy.... Nikimuonaga this guy remind of Happy nyakyusa gal whr u are.. Those moments am greatful stay safe with the princess u have
@nurdinikilapo4264 Жыл бұрын
Daaa joti na hii timu umeonyesha unajua zaidi Congratulations Nishai🤝
@athenaramadhani8889 Жыл бұрын
Wabembe tujuane jamani abenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@saidymatejoe2212 Жыл бұрын
Uyooo mzee kofia sas kama kichuguuuu
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Hata mimi.nisngkubali.yaan alete Dem mzuli skubali😊
@caponevado1353 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Joti 💪💪... Long tym I didn't see mjogo mchungu #Legend 💪pale ITV 😂😂... You guys always make my day.
@dayana5513story Жыл бұрын
Like father like son 😅😅😅😅😅
@debrastudio8213 Жыл бұрын
Wabembe wenzangu njooni hapa😃😃
@josephinebaran1099 Жыл бұрын
Joti ujaigiza km mwanamke cku nyingi,huwa inapendeza sn,keep it up
@estatekisombola9251 Жыл бұрын
Hawa majama ni wabembe wa nyumbani😢 taratibu tuna wajuwa ❤
@samwelimoshi5614 Жыл бұрын
Na hvo walioonesha yote yapo hvo au
@malaikamzuri6604 Жыл бұрын
Pale mwisho mbavu zimetaka kutoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@officialQuanEmpire Жыл бұрын
Aty nyama nyamani "😂 jamani wabongo mtatumaliza
@kilasibashari8931 Жыл бұрын
Jot 😂kumbuka humwezi mtukufu wa Ramadhani tuache kidogo bro, dah! 🙌 respect comedy yako🧏🤦🔥🔥🔥
@zackygomez1241 Жыл бұрын
Ambao leo ni birthday yetu tujuane hapa 🙏🙏🙏
@roi2554 Жыл бұрын
Joti kajipanga sana aisee 😂😂😂😂
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
Mafundi wamekutana 👏🏻👏🏻👏🏻🤣🤣🤣
@malataogtz2080 Жыл бұрын
Mastaa watupu ndan ya house salute sana Joti
@destinydesire3796 Жыл бұрын
Prime minister of comedy in Tanzania Good morning Mr Joti
@Godmaletz Жыл бұрын
President
@sabahabdallah5791 Жыл бұрын
😆🤣🤣🤣🤣 asante nzuri saaaana. From Drc Congo 🇨🇩 🤣🤣🤣
@wilsonjonas5481 Жыл бұрын
Ww sio mkongo ni mkwere tu🤪🤪
@abbashussein-hz4dr Жыл бұрын
Nimecheka km fala aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@destinkabike5474 Жыл бұрын
Zaïre mobimba 😹 ba bangubangu 😹
@plamedihassandor-kk2uw Жыл бұрын
Wabembe wenzangu njooni hapa tujuwane 😂
@ejmonline206 Жыл бұрын
Hapo 7:55 ila Joti bana mwehu sana😂😂😂😂😂😂
@Elimunamalezi Жыл бұрын
Akili kubwa sana ,yaani unateleza tuu ,hakuna cha tanthiliya Bali wazee wamekubali kuingia kazini na joti na kazi iendeleee Safi saana tena saana