NANDY NA MFANYAKAZI WAKE AFUNGUKA KUMUIBIA, KUMPA UMAARUFU, KUMTESA MTOTO NA KUMLIPA KWENYE VIDEO

  Рет қаралды 34,493

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@TeresiaMazengo
@TeresiaMazengo Күн бұрын
Kama una mkubali Millard ayo na habari zake basi onyesha upendoo hapaa
@noraazan9124
@noraazan9124 20 сағат бұрын
Ila zake hatoi Hadi asaidiwe na Mange
@DjMswati
@DjMswati 9 сағат бұрын
atumkubar
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 5 сағат бұрын
Nandy ana moyo mzuri sana jaman mungu ambariki sana
@JamesJamesbogwa
@JamesJamesbogwa 23 сағат бұрын
Habari bora za uhakika
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 23 сағат бұрын
Napenda interviews za Nandy huwa naiona kabisa maturity yake kwenye kujibu vitu najifunza vingi
@achibelatotolakijaka4687
@achibelatotolakijaka4687 7 сағат бұрын
Back ground music too loud we can't hear you guys clearly.
@rosemsafiri7568
@rosemsafiri7568 6 сағат бұрын
😅najua mm kila siku sio WA kwanza wa mwisho lkn jmn nipeni like na Mimi nijione kama nna wazazi jmn hata kumi too is so sad wallah wengine to unainsta miaka km kumi tuna followers mia mbili tu jmn watu mna roho mbaya hata kwa like sijapenda jmn tupendane maisha mafupi😅
@IddyNchama
@IddyNchama 23 сағат бұрын
hongera nandi umetuweza hiyo imeeda
@TeresiaMazengo
@TeresiaMazengo Күн бұрын
Leo mimi nime kua wakwanza kabla waomba like haja fikaa
@kamarhelo
@kamarhelo 23 сағат бұрын
Kwaio unata kuniambia wew hutaki like 😂😂😂😂
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 6 сағат бұрын
Mimi naipenda millad ayo maana habar zao za ukwel tunawapenda sanaa ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 сағат бұрын
Hahaha mzee wamichano amesema ukweli kwenda huko
@Amina-ig3jw
@Amina-ig3jw 6 сағат бұрын
Ni kama heshima hata Mimi nikiwa na boss wangu siwezi kuwa huru Nandi Yuko sahihii
@doreenlema7612
@doreenlema7612 9 сағат бұрын
Nandy big up
@Oliver_philemoni
@Oliver_philemoni 22 сағат бұрын
Kabisa mtu ukiwa unamueshim inakua ivyo nandy umeweza
@OrestaMsigwa-je6by
@OrestaMsigwa-je6by 12 сағат бұрын
Nandy anaakili sana
@BarackaNgasala
@BarackaNgasala 13 сағат бұрын
Huyo. Dada. Hadi. Watu. Waseme. Ndio. Abadilike.
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 20 сағат бұрын
Heshima
@nasraswakala
@nasraswakala 23 сағат бұрын
Kwangu mm naona ni kawaida sana kwani nina mtt wa dada angu huo ndio ukaaji wake yaani utazani anaonewa
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 23 сағат бұрын
From 🇧🇮 mimi naona sara njo alikuwa mke ila wangine ni matapeli tu 😂😆😆
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 сағат бұрын
Bwana kweli alikuwa anamfuja kimemchoma naakwende huko
@oneandonly9816
@oneandonly9816 23 сағат бұрын
Hakuna mtu anamwamini dada wa kazi huyu Nandy anamtumia tuu!!
@Benny318m
@Benny318m 21 сағат бұрын
Wivu tu em mhudumie dadako wa kazi huwezi ishi na mtu usiyemuamini, mtu anaejua unakula nini utavaaje na utalalaje kuhusu usafi mda wowote anaweza kufanyia chochote emu muamini dadako wa kazi uwe salama 😂😂😂😂
@uiptv365
@uiptv365 15 сағат бұрын
Ndomana wengi uwa wanawatenda vibaya maana mna wa treat kama sio binadamu 😢 Poor mentality Tu
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 12 сағат бұрын
Sema wewe usituchanganye wengine Kwa sasa sio wafanyakazi ni ndugu kabisa
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 11 сағат бұрын
Kwenda huko na wewe sio kila mtu ana roho nyeusi kama wewe
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 11 сағат бұрын
​@@uiptv365ukiona hivyo yy ndohaamini naana roho mbaya.nikweli kuna watu wanaroho mbaya lkn sio wote
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 сағат бұрын
Hakuna jipya
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 10 сағат бұрын
Lilichoma kuambiwa anamfuja ukweli unauma siku zote alikuwa wapi mhh kilimchoma
@Mina.15
@Mina.15 17 сағат бұрын
She has name call her by her name Memo.🙄
@HawaAhmed-yj8wo
@HawaAhmed-yj8wo 10 сағат бұрын
Nandy ndo alikosea kwa alivyojibu kwa kusema kamloweka mtoto kwenye JABA
@Igauf3
@Igauf3 19 сағат бұрын
She is a domestic engineer. Moving forward, please address her by her name, and refrain from using the term ‘Dada wa kazi.
@Mina.15
@Mina.15 17 сағат бұрын
Right
@abuwaleed01
@abuwaleed01 13 сағат бұрын
House manager sounds best
@RukiaHassan-go8sx
@RukiaHassan-go8sx 17 сағат бұрын
Anaweza fanya kama Diana bahati na wafanyakazi wake.
@husnasalim9614
@husnasalim9614 4 сағат бұрын
Safisana
@angelaron8977
@angelaron8977 7 сағат бұрын
😂😂😂 ila Vido
@Sarah_mseke
@Sarah_mseke Күн бұрын
😢😢😢😢😢
@nancyg8664
@nancyg8664 11 сағат бұрын
lkn asije badae akaacha kazi kwa nandy then akaanza kumsema sema mitandaon maana sisi binadamu hatutabiriki😅
@DanstanMpiluka
@DanstanMpiluka 21 сағат бұрын
Sasa kunawatu na vi media vyao wilianza kuzusha mara oo... kamuibia mume.
@Oliver_philemoni
@Oliver_philemoni 22 сағат бұрын
Me naomba kazi kwa frida Amani
@MSWAKIMSWAKI
@MSWAKIMSWAKI 22 сағат бұрын
Some here ❤ 😂
@ZainabSaid-tz7hs
@ZainabSaid-tz7hs 22 сағат бұрын
Itabidi n sisi tutafute kazi Kwa wasanii😅😅😅😅😅
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Күн бұрын
Taifa stars ili iweze kufika mbali watafute goli keeper mwingine bora. Ali Salim hatoshi, wako bora zaid yake wengi. Coach sikia ushauri namaanisha.
@taseleli9181
@taseleli9181 21 сағат бұрын
Mmmmmmhhhhh
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q 20 сағат бұрын
Hahahaaaaa
@khamisgube4179
@khamisgube4179 4 сағат бұрын
Ally Salumu amefata nn huku😅😅
@TatuTatu-f1v
@TatuTatu-f1v 19 сағат бұрын
Kwelikwani roho inabadilika
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 66 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 11 МЛН
USIKUBALI KUTAPELIWA, HIZI NDIO ALAMA ZA USALAMA ZA KUTAMBUA FEDHA HALALI
15:15
Ndalini Media Solution Limited
Рет қаралды 1,1 М.
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 66 МЛН