Nani wa kulaumiwa Solai?

  Рет қаралды 37,061

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Saa chache baada ya mkasa wa solai kutokea na kusababisha vifo vya wakenya zaidi ya 30 maswali chungu nzima yameibuka kutokana na namna mabwawa ya kibinfasi yanavyojengwa na iwapo kulikuwepo na sheria zilizokiukwa
Saa chache baada ya mkasa wa solai kutokea na kusababisha vifo vya wakenya zaidi ya 30 maswali chungu nzima yameibuka kutokana na namna mabwawa ya kibinfasi yanavyojengwa na iwapo kulikuwepo na sheria zilizokiukwa
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.co...
/ citizentvkenya

Пікірлер: 31
@wambuafidel3067
@wambuafidel3067 6 жыл бұрын
may god help solai people may be hawajatubu thambi lakini poleni sana na mungu awasamehe na awasaidie sana kenya ilivuta bangi
@mealibakari3759
@mealibakari3759 6 жыл бұрын
Poleni familia mungu hawape wepesi na subra kwani kila litokealo mungu kashapanga haliepukiki zidi nikumshukuru yeye tu..Alhmdulillah
@erastusrajab3205
@erastusrajab3205 6 жыл бұрын
Tears incoming out of my eyes
@berybery5208
@berybery5208 6 жыл бұрын
Kenya nilazima tutubu thambi zetu ,mafuriko ajali za Mara kwa Mara,arthi kupasuka mporomoko wa ardhi,Moto jameni wakenya tunahitaji NATIONAL PRAYER DAY tumririe mungu atuondolee haya madhara(praying & fasting)
@jamesobonyo6332
@jamesobonyo6332 6 жыл бұрын
Fasting and prayers is the solution to all this
@davismate6999
@davismate6999 6 жыл бұрын
Bery Bery ...Mambo mengi haya hayana uhusiano wowote na maombi au kuomba dua. Kiini cha mengi haya ni upotevu wa nidhamu, vile twafanya mambo ovyo bila kujali mipangilio inayohitajika. Hata tuombe mungu na tufunge, tutaendela kuyapata haya haya, mpaka tuwe watu wenye nidhamu na mipangilio yenye busara.
@salomewanyoike4177
@salomewanyoike4177 6 жыл бұрын
Bery Bery we need to stop corruption!!!!!!
@rumpelstiltskn5574
@rumpelstiltskn5574 6 жыл бұрын
...rubbish! Kwani mtaomba mpaka lini!? Watu wajisaidie kwani unalipa ushuru ndio nini ifanyike!?
@josemogaka609
@josemogaka609 6 жыл бұрын
bolen kwa family simebiwa na u mukasa God as u amina,
@zainabumnyika9724
@zainabumnyika9724 6 жыл бұрын
Tunaitajika tumuombe mungu msamaha kwa ajili ya dhambi zetu umwagaji wa damu zisizo na hatia wakenya.
@godsproperty2956
@godsproperty2956 6 жыл бұрын
How do you build a dam without a spillway to control water levels?? Hata ignorance n.a. negligence iko kwa hii mkasa
@thevineyard7149
@thevineyard7149 6 жыл бұрын
God's Property For 40yrs sasa ndio wanaongea?
@jactonelumadede9893
@jactonelumadede9893 6 жыл бұрын
Pole kwa familia
@miriampatrick5409
@miriampatrick5409 6 жыл бұрын
Nahuzunika sana watu wa kwetu Solai Poleni!!!!!
@eunicenjeri125
@eunicenjeri125 6 жыл бұрын
Lois kim
@willylaizer3003
@willylaizer3003 6 жыл бұрын
Mungu mkubwa kazi ya mungu haina makoxa
@andersonpyaban8042
@andersonpyaban8042 6 жыл бұрын
200 million litres of water on such a structure?
@josemogaka609
@josemogaka609 6 жыл бұрын
Kenya must burey,
@vicklynecherono8398
@vicklynecherono8398 6 жыл бұрын
Maandilisi gani?
@marygatumi6019
@marygatumi6019 6 жыл бұрын
So sad.Poleni sana.
@suzimwangi4174
@suzimwangi4174 6 жыл бұрын
Uuii tumemkosea mungu nini jameni
@samuelmbugua502
@samuelmbugua502 6 жыл бұрын
Huyu muindi anatakiwa kushikwa na kuwekua njela miaka mingi sana,sababu ujenganji kama hi inatakiwa ujuzi mukubwa wa water eginears and approval by the central goverment for safety. Kutuambia ati anawabatia mikate na ugali hio si kazi yake sasa hawa watu wanataka pole not mikate au ugali na maharagwe. How could he build such a project without the goverment knowing it?
@aymanbashir1276
@aymanbashir1276 6 жыл бұрын
Samuel Mbugua òœ
@aymanbashir1276
@aymanbashir1276 6 жыл бұрын
Samuel Mbugua l
@amirsab1158
@amirsab1158 6 жыл бұрын
Mizimu ya siasa
@lilianadhiambo9691
@lilianadhiambo9691 6 жыл бұрын
kenya maali tumefika sasa tunaitaji maombi
@fajuali1514
@fajuali1514 6 жыл бұрын
Patel awalipe fidia waathiriwa
@MrMborokubwa
@MrMborokubwa 6 жыл бұрын
kazi ya wahindi bure kabisa.
@sharifsayyid5808
@sharifsayyid5808 6 жыл бұрын
maandalizi ipi stupid
@jactonelumadede9893
@jactonelumadede9893 6 жыл бұрын
Pole kwa familia
The Surprising Solutions to the World's Water Crisis
24:02
Bloomberg Originals
Рет қаралды 68 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 27 МЛН
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 107 МЛН
Riding Cheapest African Handmade Scooter for a Living
20:02
TEKNIQ
Рет қаралды 6 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 583 М.
Mkurugenzi wa mashtaka aagiza uchunguzi wa mkasa wa bwawa la Solai
2:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 1,5 М.
Rappers Who NEVER Feared Diddy
22:46
Music Vibe
Рет қаралды 2,9 МЛН
What REALLY Caused the Split Between Sunni and Shia Muslims
17:03
The Islamic History Hub
Рет қаралды 305 М.
Baadhi ya wakazi wa Solai wadai wapendwa wao hawajulikani waliko
2:42
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,2 М.
Gachagua Impeachment: No Gachagua… no Ruto
3:05
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 17 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН