Kamugisha your The Best broo ilike the way unavyo fanya movie
@nairaidid49362 жыл бұрын
Wacha waoeane.....Mama ona kiuno lol 😂😂😂😂😂 kaazi kweli kweli
@rachelkihaka92042 жыл бұрын
Asante chumvi iendeleze hiyo vibe ya kinyambe 😂😂😂😂😂😂😂
@abdallahomary23482 жыл бұрын
Mnatisha tena mnatoa kaz nzur sana hapo mmeweza Lakin hizo bit zinaboa sana kama hamjui nibola mara ×100 msiziweke
@robathcarlos80682 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 kiazi kweli chumvi
@abelfrancis84372 жыл бұрын
Chunvi ulivoigiza kama kinyambe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mr_convex2 жыл бұрын
Sapota from Houston texas USA 🇺🇸 Movie tamu sana ila Sound effect ipo juu sana Afu aina huzuri wowote
@mpayufilm2 жыл бұрын
Tutaboresha mkuu tusapoti kutuma link kwa wengine uko mkuu
@jakayajakab22522 жыл бұрын
Mchezo mzuri ila tusiish na mwanamke au mwanaime pika pakuwa na mkaitana mke na mume kabla hamjaowana dini hazitaki neno lililotumia naoa tena kwa maana mwanzo alimuoa kisha akaja kuoa kwa maranyingine ihali mwanzo walikuwa wakiish kinyumba dah sio poa ila movi imeisha bado wanaendelea kuzini na mimba ya Mtoto wa nje imeingia mngetuonyesha japo shella b harus na bw. Harus tukaona kaoa na muv ikaisha.ila nimependa ubunif wote mnashawish .mtu kuendelea kutazana ahsanten karibun visiwan zanzibar.
@ramadhankakai73032 жыл бұрын
36.05 yaani Chumvi alivyomuiga marehemu kinyambe😂😂Jamaa kapatia ile mbaya
@mustafamollyhouse93472 жыл бұрын
Kwa nn chumv usichukuw sifa z kinyamb hp ume uwa broo
@ندوش-و2ك2 жыл бұрын
Jmn leo sauti hamuna ngomatu
@abelfrancis84372 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣wahaya munasifa kamugisha
@jumakandy20752 жыл бұрын
Kazi nzuri chumvi nyingi
@abedyomary24532 жыл бұрын
Mziki jau uoooo aaa au bas😃😃😃😃
@TALLUBOY2 жыл бұрын
Movie kali saaaaaana
@u-thantmaijo51342 жыл бұрын
aisee,we chumvi ni noumaaa,😂😂😂😂maan nimecheka kwenye grocery hapo,na hiko ki cheus mangala nacho ety mi waiter😂😂😂😂,aiseee chumvi we nama na kamgisha,Mungu azidi kuwatumka katk fan yenu,maan mnafanya tuna enjoy
@c7claus7502 жыл бұрын
Good nimeipenda iyo
@aineaelias84302 жыл бұрын
Ila chumvi fala Sana
@TALLUBOY2 жыл бұрын
Alie sound FALA mkubwa sana aujui hata kidogo
@niyonkuruemery49712 жыл бұрын
Nagupenda sana chumvinyingi
@mesohilary92302 жыл бұрын
sound effect iko juu sana lakini movie iko fine
@josephinekomba2810 Жыл бұрын
Nice
@josephinekomba2810 Жыл бұрын
Merry Muhoya
@jacklinejohn2222 жыл бұрын
Hio mi sound inaboa
@abdallahbadawy11982 жыл бұрын
Movie iko poa ila mlitakiwa muelimishe jamii kuwa kuongeza mke katika dini yetu ya kiislam haina maana mke aliopo ana madhaifu bali ni kutimiza sunna
@abdallahomary23482 жыл бұрын
Suna kwel ila hatawahaowanaouliza tatizo lakuongeza mke wanafanya makusud hawaju tena suna kwel na inashindikizwa na kuzid kwa nguvu za chin mkemmoja noma
@LovelyCows-dq2uv6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ngoshaog12552 жыл бұрын
Movie nzuri lakin inakelele sana
@mohdsururu33352 жыл бұрын
Hiyo miziki inabowaa
@husseinbakromar58652 жыл бұрын
elimisheni jamii kwanjia sahihi kuowa tena sio kwenye mapungufu kwa mke wa kwanza ila ni amri ukiweza oweni wawili watatu au wannre
@mesohilary92302 жыл бұрын
mjomba alifaa mkojani
@Dundo-tv60052 жыл бұрын
Chap kwa
@ngoshaog12552 жыл бұрын
Tatzo huo mziki sio poa
@allyidrissa29122 жыл бұрын
Inaonekana bado mnajifundisha kazi yani si tunawaona mnaonge nyie mmetuekea mzikii