Allah atutiliye Tawfiq tuweze kuwasaidia ukhty yetu . Na Allah amjaaliye shifaa ya haraka Ameen yaa RABB 🤲🏽
@kassimhassan842617 күн бұрын
ALLAH atawasahilishia
@aminabashir743917 күн бұрын
Ameen
@zahraomar617217 күн бұрын
Ya Raab tusahilishie ummah wa Rasul saw...leo waislamu tungeshikana na kuwa na battle maal tusingekuwa wahitaji wakuchangishiwa...tuinukeni ummah wa Rasul saw