Mungu tulinde wenye tuko warabuni, mungu awatie nguvu wazazi wa sabina
@dapiliharun79784 жыл бұрын
Aamin
@salmakhasim18274 жыл бұрын
S
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Hivi hizo upereshen wanazo fanyiwa wakenya huko saudia nizanini
@milkahmosoba30614 жыл бұрын
Baba Sabina Mungu akulinde na kukupa amani,Dennis & your group asante kwa kazi nzuri BT JUMA & his group Matthew 18:18 yale yote yamesemwa na wenzangu through comments God knows
@ااجج-ط5د4 жыл бұрын
Pole sana mzee mwenyezi mungu akujalie moyo wa subra na akufanyie wepesi kwa kila jambo in shaa Allah.na marehemu mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema palipo na wema
@angiewamuchomba81064 жыл бұрын
This is soooo Painful, Uhuru can’t you close the Embassy of Saudi Arabia 🇸🇦 Surely.,Coz this pple Akina Juma does nothing....
@Tinatina-qg5pp4 жыл бұрын
Kweli kabisa embassy very rude😯😯
@sheilachepkorir27114 жыл бұрын
I support you
@mumblessed0014 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mimsbaibe6mimsgul7374 жыл бұрын
Akifunga tutaumia sio wote wabaya nkama kenya tu kuna wazuri n wabaya
@dollyciku36364 жыл бұрын
Kweli saudi ni hellllllllllllllll
@belindabelinda19184 жыл бұрын
I cant hold my tears...... mungu apumuzishe roho ya sabina mahali pema mbinguni......baba sabina am taking ur namba i will be buying sabina's baby milk start from septmber...... this is too painful
@carolinewanjiru1424 жыл бұрын
So painful...watching from Saudi...mungu atulinde juu huku tulikuja kutafuta..baba Sabina be strong nimekuhurumia
@reginawambuiwawadeve28454 жыл бұрын
Can't hold my tears😭😭😭😭😭😭😭😭 Especially when I see sabina father there,May God continuos giving him strength and all shall be ok in jesus name.We know God make a way where their is no way am praying and believing sabina body will jet soon in jesus name And he will wipe your tears
@vailetjunior27084 жыл бұрын
Juma mbona unasumbua watu wewe lakini 😭😭😭😭😭😭watching kutoka Saudia pia
@marymary83134 жыл бұрын
Pole baba waja mungu afungue njia ata mimi niko saud, mungu akuongeze nguvu ya kuvumilia
@jovinakomba31923 жыл бұрын
Pole sana mzee mungu akutie nguvu kwakwel
@blessofvictory2504 жыл бұрын
Aki mnyonge hana haki,,, people are after money kumbukeni hakna jambo halina mwisho,,, David and your company mlahaniwe sana
@doreenbochere48954 жыл бұрын
Walaaniwe sana...huyo David amewahi nbembeleza niende uko nkakataa akh I thank God so much
@Valentinelifestyles4 жыл бұрын
Agents!!!! Agents.....you always betray as aki😩😩😩😩....mnatubembeleza at first mkilipwa mnatusahau😔😭😭😭....mlaaniwe nyie
@marypeter32724 жыл бұрын
Wallah miezi ya kwanza wanatubembelezanga ati tusiwatie hasara baadae anakuona kama mavi.........walaaniwe in Jesus name.
@cooldaddy58844 жыл бұрын
Agent anaingilia wapi hapa
@janifferasidanto99014 жыл бұрын
@@cooldaddy5884 agent akiambiwa shida hafuatilii kupigia ofisi mtu akasaidiwa
@perrygeorges4 жыл бұрын
Woiyee hii story inauma sana may God comfort and strength her family, woiyee na mwenye ako na utu ya kusaidia anaeza tumia huyu mzee Ata kama ni 100 naona naba yake apo kwa screen, RIP sabina
@sarahwawuda51644 жыл бұрын
@@marypeter3272 AMEN
@ildahogutu10754 жыл бұрын
Pole sana mzee Mungu atatenda makuu na mwili wa Sabina italetwa.
@simbanasa56004 жыл бұрын
Pole Sana mzee and your entire family,God will be in your side.let us join our hands to help Sabina's family to bring her back home
@alicenalulwe844 жыл бұрын
Poleni sana.thax Deno.
@priscillamoige54464 жыл бұрын
Pole mzee kwa kupoteza msichana wako am from nyansiongo Kijauri but am in Saudi
@abcdg19954 жыл бұрын
Dennis Iam so proudly to support your channel BRO greetings from Santa Monica's California USA Locked Thank you so much for uploading this Attachment we are following in KZbin channels Congratulations Excellent content RIP dear antill we meet again some days in heaven Rest in perfect eternal life
@divinahvomwebu73184 жыл бұрын
am shocked .... am shedding my tears .. office s za saudia zifungee kabsaa........ mungu saidia hii family wapate mtoto wao .. mungu ako na nyny
@obadiahhosea914 жыл бұрын
Poleni sana .. inauma sana mwanao kufia nje kisha uletewe maiti 😥😥😥. Mungu awafungulie njia ya kuupata mwili wa mwenzetu nyumbani .. God be with us we are tired ooh
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Sana yani mungu atulinde jamani
@irenekerubo97914 жыл бұрын
Pole mzee mungu akutulize roho ata sisi nikujikaza2 apa majuu
@Nyar0664 жыл бұрын
This father is almost crying only that he's trying to hold the tears 😭😭😭😭😭
@hisiazamoyoni18464 жыл бұрын
😭😭😭😭niuchungu haki😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mwendapoleee3 жыл бұрын
Mtoto wako anakufia inchi ingine aki!
@obirinaom96114 жыл бұрын
😭😭😭😭😭tiz is so saaaaad, may God help us who are working in gulf so that we can reach home safe to meet with our families
@franciskabiru85604 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏may our Good God b with us as always
@sheilachepkorir27114 жыл бұрын
AMEN
@mumblessed0014 жыл бұрын
Amen
@sarahwawuda51644 жыл бұрын
AMEN
@nancyflorence66412 жыл бұрын
Poleni sana mungu awape nguvu
@mtesookabaka37574 жыл бұрын
This has reminded me of my friend by the name Cate Wangeci from Nakuru who was killed by the brother to her employer na mwili ukawekwa morgue na wakawekelea amejinyonga.Wale tuko salama huku Saudi let's thank God and pray for the one that are going through hard time.Na kwa wale mko home u should be watching these news na muache mambo na nitumie pesa....
@julicenyabaro52912 жыл бұрын
☑️☑️☑️☑️
@dothomwandaliw40573 жыл бұрын
Jamani Nimechelewa Kujuwa Na cjui ni ya mwaka gani? Hizi nchii za warabuu sio nchi nzur kabisa sababu watu wengi na hasaa wa Kenya 🇰🇪 wanalalamika sanaa sanaa kwani nini mnaenda kwenye hiyo hizo nchiii watu hawana huruma wamekuwa kama wanyama. Yani Kama Ningekuwa Na Ndugu Yangu Agent UNGEWAJIBIKA mnawachekea hao maagent washanzi wakubwa
@keeleymorgan86784 жыл бұрын
What bothers me is, wakenya tunaskia Saudi Arabia vile kuko, na bado tunaenda,wacha tukae kwetu ata kukiwa na shinda gani please.
@justinemachuma69544 жыл бұрын
True bro,,,agree with you saudia is a no go zone ,, Wana roho kama ya unyama Binguni wataionea kwa Viusasa
@jacklineksgey12214 жыл бұрын
N plz waschana tusijifanyie Mambo peke yetu husisha wazazi juu hao ndio wanaumia sana wakati Kama huu
@irenekerubo97914 жыл бұрын
Shida ndio utupeleka majuu
@vivianatieno62174 жыл бұрын
Usiseme ivo brother i rather kuja niumie nikiomba mungu but watoto wangu wasiumie na shida
@eunicendinda54054 жыл бұрын
@@vivianatieno6217 exactly we live under God's grace ad may His protection be upon our lives cz atuna otherwise na atyezi kaatuagalie watoto wetu wakikosa masomo na uku kuna job.tuvumilie tu ad God wil see us through. Pole to our dia sista sabina may her soul rest in peace
@elizabethwangeci96693 жыл бұрын
Pole sana baba Sabina..please girls just work in kenya no matter what..leave this idea of going to these places of ukoloni mambo Leo.
@nyarokeyo4 жыл бұрын
Ooooo my God may you help us in soudia,,,, watching from Medina
@sarahogama95404 жыл бұрын
Madina kuko aje kupoa ama
@nyarokeyo4 жыл бұрын
@@sarahogama9540 ni kupoa but most of the pple dont like their wanasema ni mashamba,,,,,kuko locall
@monnyhustler62124 жыл бұрын
God with us 🙏in madina too. R. I. P sabina
@sheilanambala43804 жыл бұрын
Waah take heart baba... GoD knows everything..
@anaksa44124 жыл бұрын
Rip sabina, its heartful😭😭😭😭, wacha mungu atulinde, hii safari n ngumu lakini mungu atuonekanie😔😔😔
@janifferasidanto99014 жыл бұрын
Amen
@mwendapoleee3 жыл бұрын
Wooiiiyeee aki watu wanateseka.
@dollyjimmydollyjames14974 жыл бұрын
Aki pole sana
@wairimuwakago12534 жыл бұрын
Dio maana wakenya wanakeboi🏃♀️🏃♀️🏃♀️na nyinyi ma agent kazi yenu mkikula amla hamfutilii mtu nkt..ni wachache tu wafuatilia mtu akieda gulf..serekari ya kenya hao maagent wote wafungiwe izo office zote..hao ni mahaiwana
@Sandra398234 жыл бұрын
Pole sana babangu, Mwenyezi Mungu atapingana na wewe, malipo ni hapa duniani Mbinguni ni malipo, naisi maumivu yako, pole daddy, Mwenyezi Mungu akupe uvumilivu na nguvu babangu.
@aselamer82613 жыл бұрын
May God comfort this family 🙏🙏 God gives and takes,, MUNGU tusaidie
@florenceluyanje72154 жыл бұрын
Pole baba wazazi wetu mungu awatie nguvu akietendeke
@raziaidd23924 жыл бұрын
So painful rip Sabina mungu awalinde wenye mko Gulf
@jessietyson6004 жыл бұрын
It's Soo painful to the family 😭😭 more Soo to the little kid,baba jipe nguvu mungu ako pamoja nanyi.Ooh dear God protect us from any evil while we're outside the country.
@khadijahmohammad76442 жыл бұрын
Mungu tulinde ,tuhifadhi ,utufunuke kwa mengi,RIP MY lovely sister,blessing of God and joy be with parents forever,
@jerubetjoan204 жыл бұрын
Juma you can't have peace can you imagine the pain baba Sabina is going through can you put yourself in that shoes. Dady take heart may God comfort you.
@damahkwamboka64924 жыл бұрын
Hakuna siku wala day Juma utapata Amani, machozi yenye tunalia juu yako, wacha mungu akutane n itaji letu, wenzu wanatezeka huku Saudi n wewe uko tu hapo kukula poa 😭😭😭😭😭😭take heart baba Sabina hawa watu n wengine mungu tu atusaidie
@anngakii20174 жыл бұрын
Pole baba safina mungu wetu ni mkuu atasikia kilio chako
@millicentnyaboke54154 жыл бұрын
Yaani hakuna mahali Juma hawezi kosa😭😭😭😭😭😭😭😭😭yule si binadamu kabisa
@liztallmaagirl61464 жыл бұрын
Juma alinibrock😭
@damahkwamboka64924 жыл бұрын
@Saum Salim wish ningekuwa nafanya kazi za inje ningemwendea hapo embassy
@damahkwamboka64924 жыл бұрын
@@liztallmaagirl6146 haha amewai kukucal vida cal, juma akikucal n vedio cal apate wewe zi msupuu hapo unakula block Mara tat tat😃😃😃😃😃
@maryamia94734 жыл бұрын
A heartbreaking💔 en painful story 😭😭may God comfort this family and may Sabina's soul rest in eternal peace 🙏
@jobjobhazard24 жыл бұрын
Juma ooiiyeee Yaani wasichana wamekufa ukiwa kwa Embassy, Na Sasa ujue karma is watching, you will pay for it. Na salary za hao wasichana wote wamekufa, zinafaa kutumwa zikiwa za 2yrs contract kwa Familia zao. Embassy yafaa kupigania hizo salary zao. 😢
@salomenzioka23014 жыл бұрын
plZ those agents shame on you mnanangaya watoto wa mungu awaona
@janewanjiruwanjiru84024 жыл бұрын
Juma. .ile radi itakugonga utanjua hunjui..Mungu wetu halalangi..God give this family peace and strength
@kajoakother60414 жыл бұрын
pore baba mungu akutiye nguvu
@judysondara76544 жыл бұрын
Pole sana, sina la kusema ila mwenyezi mungu hawafariji familia.
@damariam74974 жыл бұрын
Hizi ofisi zinahitaji kuchukuliwa hatua, watakao peleka watu na wadhulumiwe kiac cha kunyimwa matibabu, wafunguliwe mashtaka. Cant hold tears 😭😭😭 pole mzee na familia kwa jumla. Nn kazi ya embassy kama sio kusaidia wananchi wake???
@gracieleo19874 жыл бұрын
Mr Saidi Juma God is watching....Mungu alinitoa kutoka hell and I came home safely
@morganmilan97364 жыл бұрын
Kuna mwili ya watu Saudi lakini embassy yetu wame kataa kusafirisha mwili za watu wame kufa... Mr juma God is watching you , Kama wewe ni mkubwa wa Saudi embassy ya Kenya na hauwezi saidia wakenya wenzako kumbuka pia ww uko na familia lakini huyu mungu mwenye tunamwomba atakuona
@maccajuma96854 жыл бұрын
Think you should form an insurance group and leaders and when something happens like sickness or death you contribute. This is what we do here in Egypt. We only need involve the embassy when it comes to documents
@naomiadika49614 жыл бұрын
President uhuru kindly pls remove this Juma on that place of embassy... His doing nuthng and our pple are dying here pls 🙏🙏🙏🙏🇰🇪r. I. P sabina
@carolineshivoche8854 жыл бұрын
What's his other name?
@everlinenyabokenyantika33964 жыл бұрын
Juma Juma Juma Juma Juma Juma Juma😭😭😭😭😭God is watching you, yaani unakula na kulala kwa amani ila wenzetu wanaumia????
@mremmm59024 жыл бұрын
Alimshikisha mwana ndio hii tabia zake zijulikane... Huyu shetani Juma mungu amuone... Alisema ati anafanyagia watu wenye wako kwa contract kazi kwa nn hakumfanyia Sabina maskini ya mungu.... Juma cku yako inakuja tu
I can't hold my tears😭😭😭😭 its so remorseful to loose ur lovely daughter take hrt God is in control.
@denisomwoyo29514 жыл бұрын
So bad I feel to cry ak pls wacha tukae Kenya yetu ata Kama n jaa wacha tukae
@fabyscarl4 жыл бұрын
I can feel the pain of a parent 😭oh God just intervene in this situation and make a way for this family.
@carolinebosibori83054 жыл бұрын
So painful... May Almight God strengthen the family of Sabina during this hard times.. Dance with the angels Sabina😭😭... My condolences
@carolinebosibori83054 жыл бұрын
Watching from +964..am happy for our prophecy TV, more so Bro Deno. God bless you abundantly
@hdnas43644 жыл бұрын
So sad😭😭😭rip
@nancynyakeriga96434 жыл бұрын
Ooh my God nilikua nackia ety akirudi 🇰🇪 kumbe ako uku saudiarebia pole kwa family take heart
@rispermoraa88754 жыл бұрын
Poleni Sana famillia ya Sabina,, it's so painful 😭😭😭😭😭
@elizabethmuia98394 жыл бұрын
Dennis God bless you soon much.
@catekatrina62404 жыл бұрын
Poleni sana ,God will fight fr u
@alphonsinesingirankabo62744 жыл бұрын
Pole sana Mungu ailazeroho ya marehemu mahali pema peponi pole baba
@felistusomari2314 жыл бұрын
Woiyeeee 😭 😭 😭 😭 kumbe ni jirani yangu na sijui😱😱😱eeeeeh mungu mwenye huruma tuhurumie. My condolence to the family and nyagenke village at large
@samsonogembo93474 жыл бұрын
my dear ata ww ulienda uko
@veemlulu53314 жыл бұрын
Ni ukweli mwili imesafirishwa
@sheilachepkorir27114 жыл бұрын
@@veemlulu5331 yeah 😭😭😭
@Io-xz8bi4 жыл бұрын
@@samsonogembo9347 yap tuko huku
@samsonogembo93474 жыл бұрын
it's ok endelea kumuombasa mngu ata wasaidia
@carolinelipesa10564 жыл бұрын
Very painful. Take heart baba Sabina. God help us that we are in middle east we go back home safely.
@irenekai77174 жыл бұрын
Omg huyu Dada hajawai patikana,, 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu wape nguvu wazazi wake daaaa huku tunaishi kwa neema to,,, juzi nashkuru mungu kwa kuniondolea ugonjwa wa covid karibu nife😒😒😒😒😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@lizzynjeri98374 жыл бұрын
Before even corona juma alikataa kupeana makaratasi so that Sabina body ipelekwe Kenya juma mungu anakuona you will pay this one day
@nathankebiro5894 жыл бұрын
This is soooo sad and painful 😔 may Sabina's soul rip and may our almighty God take great care of our brothers and sisters who are out there....i really feel the pain mzee is undergoing.
@eunicenyaboke72214 жыл бұрын
Poleni mzeee walk with God because he is the king of kings mungu anajua mbona sabina amekuaja namungu alinde mtoto wake nalewale ambao wanajukua wasichana Saudi kwa sababu ya pesa na kutojali maisha Yao kule saudia wanapoteseka mungu awazaidie sana
@betybety82954 жыл бұрын
Poleni sana familia
@Valentinelifestyles4 жыл бұрын
Eeeeh Mungu tuzingire kwa damu yako huku arabuni🙏🙏....Sabina rest in peace.....my condolences to mzee and his family at large 😪😪😭😭😭😱😱💔💔
@asmahanyally32254 жыл бұрын
Pole sana baba yangu najua waumia sana
@maggiechepkorir75654 жыл бұрын
Poleni baba ,mama Sapina na familia, Mungu awe na nyinyi.
@jshahshsh23834 жыл бұрын
Mungu atukumbuke tulie saudi aki waaah sikujua kuko ivi saudi mungu tukumbuke
@heyumi23404 жыл бұрын
saudia hakufai kwa kazi
@mumblessed0014 жыл бұрын
Poleni sana kwa family Embassy mnasema mko hapa saudi kusaudia wakenya???watu wakiongea ukweli mnasema mnaharibiwa jina shame on you all Embassy Saudi Agent shame on you all Yote mnayo tendea watu mjue hio machozi hitawapa amani kwa maisha yenu hadi vizazi zenu mungu c athumani Baba sabina we thank God mwili umefika nyumbani Denno mungu akubariki sana good job unafanya
@hylineongera16384 жыл бұрын
May God help our lives here in Saudi Arabia na tunaomba serikali ya Kenya ifanye Jambo tupate kutoka hapa
@vanessalaizer43634 жыл бұрын
Mlienda kufanya nini si mngetafuta kazi nyumbani ata za kuuza nyanya
@hylineongera16384 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 unaongea aje Kama mwenye hufikilii bana si ungenipea hiyo kazi nifanye think twice before you talk
@janetmusau42804 жыл бұрын
@Saum Salim akwede na huko ni kazi ngani Hio anasema tufanye huko kenya
@franciskabiru85604 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 if I were you I couldn't av stopped to comment nonsence on such a painful story,,,,Yu're just silly
@sheilachepkorir27114 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 NKT!hw silly are you, this is a painful story stop this nonsense
@diphinahonsongo15184 жыл бұрын
It is really painful,,,so sad,mungu awasamehe ,,let her shine on her way one day one tym we shall meet
@pollynyoks40154 жыл бұрын
Juma Juma Juma your days are numbered, condolences to the family of Sabina
@beckybundi45464 жыл бұрын
Who is this juma
@evanschaedirectoreffortcon62644 жыл бұрын
Does it mean Kenya has no embassy in Saudia. My condolences to the family and friends
@felisterkinyanjui98554 жыл бұрын
😭😭😭😭So sad may God clear ur cry
@mremmm59024 жыл бұрын
Mwenye alikuwa anashugulikia wakenyans huku Saudi alikuwa mwana Mary Onyango na tayari ameshikizwo na Hao wanaembassy ati anawaharibia kazi Yao na alikuwa amekuja kazi ya driver huku... Leo hii hata mwenye alikuwa akitusaidia huku Saudi hatujui pale alipo ameshikishwo... Saasa wacheni tuombe mungu amlinde cjui venye watu WA Embassy wanasaidiaga watu... Watu WA Embassy wanatakaga pesa Hongo.... Nliskia mambo ya huyó mtoto wako na alitesekea huku sana kabla ya kifo chake.... Juma na wenzako mungu halali... Cku yenu itafika tu
@pamellasindani34404 жыл бұрын
Mary mwana wa onyango alikuwa chap chap
@janifferasidanto99014 жыл бұрын
Naomba mungu ampiganie safina yeyote aliyehusuka nakifochake mungu afanye mapenzi yake so sad warabu wanauawaschana juu serikali ya kenya haishikilii
@janifferasidanto99014 жыл бұрын
@@pamellasindani3440 unamjua mungu atamlipizia kisasi naskia nimeboeka
@joicmartin70124 жыл бұрын
Give full names for that man, so that pple can air on media...
@mangalekambi62903 жыл бұрын
Mungu awalinde walioko warabuni ..ameni
@edwinnyangaresi31454 жыл бұрын
Pole Kwa familia.#sabina must come
@bndrbndr42234 жыл бұрын
Pole sana mzee hao watu wa office hawana huruma mwajie mungu awalipe chenye utapanda ndio utafuna kwa familia yako
@lidiammbone61264 жыл бұрын
Waaaaa wacha tu nkakae hapa kenye saudia siendi Kama ni iviiii eshiiiiiiii
@faithkemunto71914 жыл бұрын
So sad haki😢😢😢😢this man needs councelling juu ako deppressed na mungu afanikishe mwili hurudi ndo aridhike I pray to those who are in foreighn to be safe
@sheilachepkorir27114 жыл бұрын
Amen. Pray for us my dia
@mumblessed0014 жыл бұрын
Amen thank you
@theresiavirginia90844 жыл бұрын
Amen..pray for us
@esthernyokabi854 жыл бұрын
Unless you were born in a rich family,,,,,, you don't know how poverty bites.
@JJones-oh3dd4 жыл бұрын
May God intervene for this family...pole sana Daddy😭
@terrysimon6764 жыл бұрын
Uhuru Pliz our prezzoo why you can't cross the embassy of saudia ,wasichana wanaangamia, lkini nitasema hivi ata mkiwafukuza, yesu atawakubatia embassy ikiwachoka yesu hatuchoki, take heart Dad
@socute74354 жыл бұрын
I can't believe sis umelala but I hope one day we shall meet again
@AnnKk-sj8ij4 жыл бұрын
Kwa family ya sabina pole sana, mungu awafariji ,jipeni nguvu. Tuko saudia but ni mateso tu tunapata coz eti corona iko eti hakuna vile tutafanya.
@maggiechepkorir75654 жыл бұрын
Baba Mungu akubee nguvu.
@mercymusundi52894 жыл бұрын
Pole baba maisha ya huku ni kubahatisha
@margaretmugo22353 жыл бұрын
This left my heart broken into pieces 💔😭😭😭😭😭😭😭😭😭,, may her soul rest in paradise 🙏🙏😔😔
@ruthchepleting84884 жыл бұрын
Poleni sana.... Sabina nliskia kitambo sana alikufa last year
@joywanjiku36833 жыл бұрын
Pole Sana baba Sabina.
@daisymajima57214 жыл бұрын
Pole sana mzee na familia yako Mungu awepe nguvu,,,am praying God mwili ifike Kenya 😭😭😭😭
@gracengendo15434 жыл бұрын
Rip sabina mungu atulide wale wote wako saudia🙏🙏🙏
@shnzishanzi52204 жыл бұрын
Kabisaa,hii Saudia inatupeleka babaya
@faithmmotivation61994 жыл бұрын
Amen Aki this people are so inhuman..Mungu atulinde🙏
@irenekai77174 жыл бұрын
Mungu awasaidie aky,,, thank God Qatar kuko better
@تبميالنبنب4 жыл бұрын
Amen😢😢😢
@lynelee58464 жыл бұрын
@@irenekai7717 ehh Qatar is the best place to be
@millmine32554 жыл бұрын
Mzeee I'm very sorry God is in control 😓
@تبميالنبنب4 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭 eee Mungu tusaidie sisi waja wako pole sana BABA inauma sana
@priscalunyili48894 жыл бұрын
Sorry for the lose dady Nawaliyohusika kumsababishia shda Mungu atawalipa