NAPE ADAI HAKUNA WIZI wa BANDO, MUSUKUMA ACHARUKA, SPIKA TULIA AINGILIA

  Рет қаралды 280,560

Wasafi Media

Жыл бұрын

NAPE ADAI HAKUNA WIZI wa BANDO, MUSUKUMA ACHARUKA, SPIKA TULIA AINGILIA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: wasafitv || wasafifm
TWITTER: wasafitv || wasafifm/
FACEBOOK: wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 575
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 Ай бұрын
Spika mungu akupe.imani...usipepese macho...mbeya wanakutegemea
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Mh. Nape tunazungumzia bando si ticket ya kusafiria. Ukweli ni kwamba tunaibiwa wananchi. Utaratibu gani wa kuumizana na utaratibu unaweza kubadilishwa. Tusaidieni ndugu zetu wanaojali wananchi na Mungu awe nanyi tunawaombea🤲🏿
@papaadialoo
@papaadialoo Жыл бұрын
Nape nilikuwa naamini mwana mapinduzi lakini kwa hili, ameulizwa swali gumu, amejibu majibu mepesi mi sjamuelewa kabisa,
@misanjolivigha2396
@misanjolivigha2396 Жыл бұрын
SPIKA UPO VIZURI SANA,TATIZO BAADHINYA MAWAZIRI WAKISHAPATA FURSA WANAJISAHAULISHA SANA kuwabwasingeingia bungeni bila sisi WAPIGAKURA walalahoi
@gulledhassan380
@gulledhassan380 Жыл бұрын
Wiziiiiiiii wakubwaa...Na Nape kwanzia kwa Magu nakutiliaa mashaka sanaa
@adorchmassimba4413
@adorchmassimba4413 2 ай бұрын
Nilijiunga bado la wiki 1 nikaingia mtandaoni mida ya usiku nilitumia kama masaa 2 bado likakata nikatumiwa msg kua mb zangu zimekwisha hata mie nahisi tunapigwa kwenye mitandao nahakuna wa kututetea waziri mwenyewe anaitetea mitandao kua haiibi kunanini tena yeye hana shida nawala haimuasili kilichobaki kwa watanzania wanyonge ni mwenyezi Mungu tu atutetee Amin
@sadatistai575
@sadatistai575 2 ай бұрын
mimi nilijiunga bando la mwezi,ndani ya siku 4, likawa limeisha.
@papaadialoo
@papaadialoo Жыл бұрын
Mbona Zambia bei Iko chini na makampuni ni hayo hayo, waziri tetea wananchi wako
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 Жыл бұрын
Mhe. spika Nakuona Mbali Sana ,Ukigombea Urais Ntainuka Kukuombea Ushinde Ni Mwanamke Mwenye Misimamo Ya Kiume ,Hongera Sana
@amour5535
@amour5535 Жыл бұрын
Mm pia na nitajitolea kumtangaza popote pale
@maswamills3161
@maswamills3161 2 ай бұрын
Yeeeeeeees ❤
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Жыл бұрын
Huyu my spika ana akili Sana
@swedywamba5535
@swedywamba5535 Жыл бұрын
Nape kuna fungu lake katika mitandao ya kijamii sijaona akitetea wananchi hata sku 1 kwenye malalamiko ya mitandao
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 Жыл бұрын
Kabisa
@amiria.mustafa9859
@amiria.mustafa9859 Жыл бұрын
Sema spika, nakuombea pepo kwa allah, hakika unatutetea sanaaa na serikali yako unaijua sanaa🙏🙏
@besaevod7306
@besaevod7306 Жыл бұрын
Hakika tumuombee Tulia
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Bunge hili Mh.Spika uko vizuri sana.
@gametongwe3539
@gametongwe3539 Жыл бұрын
MWESHIMIWA SPIKA MITANO TENA NAKUBL 🔥🌏🚀🙏
@skateweaver
@skateweaver Жыл бұрын
Kabisaaaaaa
@juliusmhando4558
@juliusmhando4558 3 ай бұрын
Hi likikatwa linaendaga wapi?
@gerry_macopper3808
@gerry_macopper3808 Жыл бұрын
Inasikitisha sana sana kuona waziri mwenye dhamana anasimama kumtetea muwekezaji ambaye anaibia watu wa Taifa lake, nchi ngumu sana hii
@yacobosonda3843
@yacobosonda3843 Жыл бұрын
Spika unatupambania sana wananchi hongera
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 Жыл бұрын
Jembe JPM mzalendo mwana Africa 🇹🇿💪🔥 lala salama
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Kuna pesa wanapata hawa viongozi siyo bure wanataka ifike mahali GB1 iwe elfu 10
@emmanuelbonifas2804
@emmanuelbonifas2804 Жыл бұрын
Rip jpm mungu akupe raha ya milele yote haya uliyaona na ndio maana uliwablock watu kama hawa
@andrewmanaku
@andrewmanaku Жыл бұрын
Kweli kabisa ndio maana magu akumtaka huyu
@AdamFundikira-kk5oj
@AdamFundikira-kk5oj Жыл бұрын
​@@andrewmanaku ni majizi makubwa
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel kabisa magufuli alikuwa hayataki haya majizi
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd
@HASHIMUMKUNDA-pz1wd Ай бұрын
Kwani magu si ndiye aliyewaweka hawa bungeni"
@Dolomitemusic
@Dolomitemusic Жыл бұрын
Tunaibiwa sana waziri badala akili kuwa atalifanyia kazi yeye nae Bado anawakingia kifua watu wa mitandao wanatuobia sana tumechoka paka tunamkumbuka baba etu magufuli angekuwepo angewanyoosha mana mama yeye nikama anawaogopa da,😭😭😭😭😭😭
@bakarimhina4133
@bakarimhina4133 Жыл бұрын
Mheshimiwa Nape Asitetee Makampuni Pekee,Afahamu Makampuni Yanatuumiza Waziwazi. Haitoshi Mheshimiwa Nape Akumbuke Yeye ni MBUNGE WA KUCHAGULIWA Hivyo Asilale Kwenye Nafasi ya Waziri Pekee. (Kutekeleza Makato Bila Tangazo Halijabadilika Huo ni WIZI).
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
afu unamuitaje mh wakati hajiheshimu Kaka...tunaumizwa Sana na wizara yake
@maswamills3161
@maswamills3161 2 ай бұрын
Hajasomea mitandao labda.
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
Huyu nape ndo maana alitumbuliwa Kwa mgufuri akili hana
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo Күн бұрын
Waaaah nice
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Жыл бұрын
Asante Mbuge wangu 💪💪💪
@misanjolivigha2396
@misanjolivigha2396 Жыл бұрын
Makampuni ya simu yaliyopo Tanzania YAMETUIBIA SANA WATEJA.Serikali itatetea kwa sababu inanufaika kwa TOZO kwa kila kona kutoka kwa WATANZANIA WALALAHOI.
@radojembe7347
@radojembe7347 Жыл бұрын
Asante kiongoziii boraaa
@rafaelikimati4276
@rafaelikimati4276 2 ай бұрын
Mhe Spika hongera sana sana kwa kazi nzuri sana
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Rip JPM
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 Ай бұрын
Hongera sana Mh. Francis.
@herrysonk.edward609
@herrysonk.edward609 Жыл бұрын
Ndoto yangu ilikuwa kuiongoza nchi nlipenda sana kuishi kifalme niitawale na watu wangu na watoto wangu wapate nafasi za juu za uongoz niwanyooshe watu wanaopenda kutetewa maana mm sio mtetezi wa wanyonge mm napenda utajiri kuliko haki hata nchi ikikosa manufaa ilimradi mi namiliki mali mm hanihusu jmn si mtachagua nikigombea hebu gonga like kama unaniunga mkono
@geja8708
@geja8708 Жыл бұрын
Mimi zantel wamenichukulia 2000 hadi leo sijapata bando wapa pesa haijarud, ukiwapigia kila siku wao FANYA SUBRA INSHA ALLAH
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 2 ай бұрын
😂😂😂😂mm airtel walibeba buku yangu mpk sas wako kimy tu na simu yangu awapikei
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
Nyie ni wezi shida watanzania wengi hawamjui adui yao
@hoseaseif6602
@hoseaseif6602 Ай бұрын
Mbadilisheni kitengo waziri Nape sense wizara nyingine mama yetu Samia onamajibu yambunge wahabarinamichezo haleti ufumbuzi kuusu bando
@everever2807
@everever2807 Жыл бұрын
Magufri kayafukunza huyu mwanamke kawarudisha
@ghostballcone531
@ghostballcone531 Жыл бұрын
Dada Tulia wewe ni bora kuliko Ndugai angalau unawabana hao wa 10,%
@masanjamakunga65
@masanjamakunga65 Жыл бұрын
Inauma sana
@edwinjohn6334
@edwinjohn6334 Жыл бұрын
Watu kama wakina nape hafai kuludi bungeni tena ni watu wa hovyo
@amontv8628
@amontv8628 Жыл бұрын
3000 dk 55 G1 kweli dah wanaona tuna pesa
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Tatizo hata hiyo G1 inakwenda kama upepo...!
@misanjolivigha2396
@misanjolivigha2396 Жыл бұрын
MAKAMPUNI YA SIMU inaelekea wanatoa cha juu sana kwa baadhi ya viongozi wa serikali , kwa nini huu mfupa wa hii wizara unakuwa mgumu kiasi hiki? SINA IMANI NA HII WIZARA.
@universaldesign4295
@universaldesign4295 Жыл бұрын
Always kk.
@gabrielmpanda9709
@gabrielmpanda9709 Жыл бұрын
Huo ni ukweli kwa 175%
@haruntongo6703
@haruntongo6703 Жыл бұрын
Kila.ariye.achwa.na.malehem..kwamba.hafai..hafai.kweli.
@Mishellymlugu
@Mishellymlugu 2 ай бұрын
Well done
@sautiyangu1
@sautiyangu1 Жыл бұрын
Wooow Wooow mh. Speaker 🙏🙏🙏🙏😁😁😁
@hope30807
@hope30807 Жыл бұрын
Wanatuibia sana kwa kweli..mtu unaunga bando wanakata unaweka bando wanakata ukiwapigia cm wanakwambia tatizo la kimtandao ukiuliza mtanirudishia bando langu maana sijatumia kabisa wanakwambia hairudi ila tutakufanyia setting unga tena .😢😢wanatukosea sana Yan sanaa kwakweli hope one day nikuwe na pawa nisaidie wa Tz wenzangu
@huseinhamidu7367
@huseinhamidu7367 Жыл бұрын
Hili bunge laccm tu linatuumiza Sana kwakweli
@kenedynedy2615
@kenedynedy2615 Жыл бұрын
Waizii haooo pumbavuuu namtakufaaaa subili
@rithaurassa
@rithaurassa 2 ай бұрын
Uko vizur Mh. Mmbunge huo bado ni wizi mkubwa. Jee watu wadogo tufanyeje. kwa hiyo tuwaogope hao watu wakubwa?
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 Жыл бұрын
Bando wananchi wananyonwa na mwenye nacho! Kodi mwananchi analipa kwa kila kitu hata mawasiliano analipia tozo ya bado ni kodi namba 2 kwa mwananchi inayotwa bada ya 1.kununua simu Kodi 2.Kupiga na kupokea au kuunga Internet ni kodi pia!
@barakanestory3521
@barakanestory3521 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe nikuweka Hela wanakata miambili Kila nikuweka,nchi hii Kila mahali ni shida!! Tunaibiwa sana!!! Kunashida kwa viongozi wetu!!!
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Mmmh napita kazi kwenu
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 2 ай бұрын
Tumechoka sanaa wizi wa mitandao,ila majibu mtajibu kwa MUNGU,
@SudyMgeni
@SudyMgeni 2 ай бұрын
Wezi Sana mamangu waziri mzushi.
@petrofrank2805
@petrofrank2805 Жыл бұрын
Nape anajikanyaga kanyaga tuu,,,, et ni utaratibu,,, hebu watuambie tofauti ya utaratibu na sheria mbn ipo wazi sheria ni utaratibu sasa aseme utaratibu n nn hahahhahaa,,, TULIA ACKSON I NEVER EXPECTED THE WONDERS U DOING ON BEHALF OF US,,,,,,
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Spika unaaaaakiiiliiiii sanaaaaaa spikaa
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Жыл бұрын
Hili swala ni tatizo sn ni kweli kabisa
@mozejcs9160
@mozejcs9160 Жыл бұрын
Huyu jamaa anafungu lake hko kwenye makapuni ya simu! Apaswi hata kdg kuwa kiongozi huyu mzee wa 10%! Hawa ni wapiga dili ndo maana mzeee aliwapiga chini
@joycerenard6179
@joycerenard6179 Ай бұрын
Good
@hoseaseif6602
@hoseaseif6602 Ай бұрын
Saffi sanaaa spika wabunge kuhoji bando kwawananchi wanyonge wasiibiwe
@leonardgodliver9043
@leonardgodliver9043 Жыл бұрын
Huyu mbunge ana akili sana...Good presentation
@user-sz2ci8rd3l
@user-sz2ci8rd3l Ай бұрын
Mh Tulia akili kubwa sana nakupenda mpk naumwa wallahi
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Жыл бұрын
Nnauye mbona huna huruma na wanainchi wako!!
@jafarisospeter8743
@jafarisospeter8743 Жыл бұрын
Tulia nimekukubali. Hongera kwa kulipigilia nyundo hilo
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Жыл бұрын
Hii nchi tumeizoea, wizi njemje wala hawaogopi na wala hawana Hofu ya Mungu.
@bestchanga3729
@bestchanga3729 Жыл бұрын
Huyu Waziri hayupo tayari kutete watanzania zaidi Sana yupo kimasrai katika kuwaibia wananchi, maana hakuna jambo lisilo badilika.
@barakasegugu5494
@barakasegugu5494 2 ай бұрын
Kweli kabisaa
@user-cg3px3fc2q
@user-cg3px3fc2q 4 ай бұрын
Shikilia hao hao mdikuma yumechoksa kuibiwa mungu akubariki
@kangaelias7782
@kangaelias7782 Жыл бұрын
Najivunia kuwa na kiongozi Kama huyu spika wetu wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, sio Siri unafaa Sana Tena Sana Mama yangu, TULIA
@MbwanaKisoro
@MbwanaKisoro 2 ай бұрын
Wale ndio walileta matatizo makubwa ktk nchi hii, kunamtu anaitwa Music's alimwambia Jpm hivi, ( nanuku ningekua raisi ningefuta hii mtu akiweka vocha anapewa nabando ) baada kamaya wiki ukatolewa huu utalatibu, matatizo mengi yaliaza apo ikiwemo kikokotoo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Ай бұрын
Tunaibiwa sana mpaka leo tunaibiwa sana. Na huyo Nape ndiyo aliye wasiliana. Haja tufanyia haki Voda kuna mahali. Kwahiyo sisi tupoteze pesa kila wakati.ninyi wakina Wizara na wzkina Nape wanapewa chao.
@user-uq7kk4dw2o
@user-uq7kk4dw2o 8 ай бұрын
Sanaaa,tunatabu kubwa mno,kuhusu bandoo
@anethphilip
@anethphilip 2 ай бұрын
Yaah yaah semaaa👍
@doctorz1954
@doctorz1954 Жыл бұрын
Ni kweli kuwa ni tatizo la ufahamau au ni kibri ya kuendekeza dhulma kwa faida ya binafsi. Kweli kwenye bundle za simu kuna wizi. Ukinunua LUKU unapata units za kiasi ulicho lipia. Lakini ifikapa mwezi mwengine zile units zilizo bakia huwa zipo kwenye Mita yako na utazitumia. Sasa kwa nini ninunuwe bando la wiki na ifikapo wiki hata ukiongeza kununuwa bando huunganishiwi kile kiasi ambacho hukutumia? WIZI KWENYE BANDO UPO.
@allymwilu8089
@allymwilu8089 Жыл бұрын
Yani magu alikua anamaana sana
@moseskomba7705
@moseskomba7705 Жыл бұрын
Ohfh
@kephasieto8105
@kephasieto8105 Жыл бұрын
Asante sana mungu akubariki
@kabulukimati
@kabulukimati Жыл бұрын
Mwizi.apigwe.mawe.adi.ave
@awadhally1052
@awadhally1052 5 ай бұрын
Kwel hawa watu wa bado niwizi mkubwaa
@amanilyimo7427
@amanilyimo7427 3 ай бұрын
Kweli jamani
@Kanyawela
@Kanyawela 2 ай бұрын
Safi kabisa hii ni kweli kwa nini unipangie matumizi?
@naswabulusambi9808
@naswabulusambi9808 Жыл бұрын
Hafai kazi hiyo mtukufu rais mtafutie kazi ingine
@neemamwasomola8663
@neemamwasomola8663 Жыл бұрын
Nape acha zako enzi za ujinga zilipita
@haidarali839
@haidarali839 Жыл бұрын
Mh spika vizuri Sana
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Жыл бұрын
Tunaibiwa Sana unanunua 1000 wanakupa 800
@charlowmathew9762
@charlowmathew9762 Жыл бұрын
Huku +254 unanunua ya 50bob ambayo ni libuku ya huko kwetu Tz ni unapata mb 600 24hours
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
Nape yupo sahihi, ni utaratibu wa kibihashara. Kama soda, kila sehemu kuna bei yake na mtumiaji bila kulazimishwa anaridhia. Sema kwenye kupunguza mb ndio tatizo
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 Жыл бұрын
@@victaboy7273 yupo sahihi kwa lipi majambazi wa kalamu tu Hawa mbn kipindi cha magufuli walikua hawafanyi usenge huu Huku Toto Huku bando pesa hkn kz hmn shida tu mtindo mmoja
@victaboy7273
@victaboy7273 Жыл бұрын
@@mahamoudduchi3318 kaka nakuelewa, na pia hata mimi ni miongoni mwa wanao umia. Lakini kaka hebu twende sawa, mfano, kwenye kumbi za starehe au viwanja vya mpira, kuna VVIP, hii huduma siyo lazima. Isipokuwa mtu mwenyewe anaamua. Na pia hii mitandao inapunguza mabando kutokana na serikali kuongezea mizigo ya kodi na tozo. Sasa nini cha kufanya? Hamna cha kufanya kaka.labda maamuzi magumu kama nchi
@ambelejames1862
@ambelejames1862 Жыл бұрын
Spika makini sana ktk Bunge hili Mbona waziri ni kama yupo upande wa makampuni hayo
@neemahezron486
@neemahezron486 Жыл бұрын
Tunateseka sana na mabando yanatumia ela nyingi mno nawanakata balaaa uelew limeishaje
@greenwellnsyukwe4729
@greenwellnsyukwe4729 Жыл бұрын
Ni kweli bhanaaaaaa.
@ConnieJohn-ts9rp
@ConnieJohn-ts9rp 15 күн бұрын
Tunaibiwa sana jamani tena sana Nape umechemka hata hutetei wananchi wako? Mie nimechoka nawaza kuitupa simu bora nikae bila mawasiliano
@piuslugata4931
@piuslugata4931 4 ай бұрын
Kwa kweli tunaibiwa sana
@jasmineathanas9250
@jasmineathanas9250 Жыл бұрын
Mnatuchosha sana viongozi wetu
@MusaMasanja-ow9zz
@MusaMasanja-ow9zz 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@nyerere1259
@nyerere1259 Жыл бұрын
Nape hatoshi
@sulwajackson6906
@sulwajackson6906 Жыл бұрын
Jamani uwoni kweli?tunaibiwa sana
@emanuelchrisant8221
@emanuelchrisant8221 Жыл бұрын
Mnatuibia sana achana na bando hata ela zinazo baki kwenye muda wa maongezi.
@emmanuelreuben1863
@emmanuelreuben1863 Ай бұрын
Si bora likae hizi siku 7 !!!!! Linakaa siku moja brother
@abdallahally1309
@abdallahally1309 Жыл бұрын
Uwezo mdog Sana Baraza hili linapashwa kubadilishwa atulielew wananch apa
@abdallahally1309
@abdallahally1309 Жыл бұрын
Tunaibiwa pesa zetu wazir abadilishwe atumtaki wananch
@k2plusstudio858
@k2plusstudio858 2 ай бұрын
Sisi watu wetu masikini
@dodwiedwin3944
@dodwiedwin3944 Жыл бұрын
Nape c ndo wale wale wa mzoga group.
@eluidmorery6411
@eluidmorery6411 2 ай бұрын
Tunomba Maji na umme na barabar mkowa wa arumeru kijiji cha patanumpe
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 ай бұрын
Spika yupo vizuri mh nape badilisheni MFUMO wananchi tunapata pesa ktk mazingira magumu sana tuoneeni huruma na sisi ni binadamu
@elvilamwambambale950
@elvilamwambambale950 Жыл бұрын
Jaman wanaiba kweli Tena bando linatafunwa sanaa
@naswabulusambi9808
@naswabulusambi9808 Жыл бұрын
Nape aache kazi hawjibiki
@philimonigerevasi2187
@philimonigerevasi2187 Жыл бұрын
Uko sahihi kwanini hawa wabunge wengine awasapoti maneno mwanainji wa maisha ya chini
@user-dh3uf2ro2s
@user-dh3uf2ro2s 4 ай бұрын
Kwenye upande wa bando wananchi tunaibiwa sanaaa
@wampukamackdonald557
@wampukamackdonald557 Жыл бұрын
Hivi nape ameajiliwa na makampuni ya simu au wananchi. Huyu yupo kutetea wananchi au makampuni ya simu. Naona Ni Kama baloz wa makampuni anaejibia makampuni, anatakiwa afatilie Ni nchi gan iliyoendelea yeyota ambayo unaweka muda wa maongez halafu bado Lina limi5 ya muda. Ulivyo kwa wenzetu hata nçh za Africa nying tuu, ukiweka kifurushi utapewa muda wa Dak. Kama Ni dakika Mia lakini hawakubani ziishe cku kadhaa, hauwez kumpangia mtu atumie masaa24 dak100 hapana umempa muda wa maongez hauna mamlaka ya yeye azitumieje. Nape hajielew kabisa Kama anajielew bas sio wazir wa nçh n wazir wa hayo makampuni.
@beatricekapandila5386
@beatricekapandila5386 Жыл бұрын
Rushwa ni adui wa haki
@tz4ever579
@tz4ever579 Жыл бұрын
Hata mimi namshangaa sana NAPE.Yaani yeye hayupo kabisa na Wananchi.Nadhani kuna anachokipata kwenye haya makampuni si bure.
@hosenimwelekwa5367
@hosenimwelekwa5367 Жыл бұрын
Hatuzungumzii teket nape tunaxungumzia bando
@jakisonedison5115
@jakisonedison5115 Жыл бұрын
L
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Жыл бұрын
Ndiomaana kipindi chaJpm wapuuziwote nje
@JamesChrizestome
@JamesChrizestome Ай бұрын
Tafautisha bando na mfano ulitoa wa kusafiri wapi na wapi? Tatizo mkishakuwa huko juu mnajiona mnajua kuliko wengine aise basi tu
@everever2807
@everever2807 Жыл бұрын
Tcclo hadi nimeitupa line mhuni huyo nape mwehu kabsaa
@peterjohn8405
@peterjohn8405 Жыл бұрын
Kwanini NAPE anatetea sana Makampuni ya Simu? Amechaguliwa kama waziri , ayasimamie yasituumize wananchi. Yeye anasimama upande wao kuona kama wako sahihi. Hawa watu wanaingiza pesa nyingi sana .
@Dolomitemusic
@Dolomitemusic Жыл бұрын
Magufuli tunateseka baba yetu uku duniani jamaniii daaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭