Nasaha za Ustadh Haji Upepo kwa Sharifu feki Firdaus: Usitapeli watu kwa mwevuli wa dini

  Рет қаралды 11,071

Haji Upepo Online tv

Haji Upepo Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@mayimunanjeri8846
@mayimunanjeri8846 Күн бұрын
Maa Sha Allah shukran sana Sheikh Allah akujaze za duniani na Akhera
@Ommywhity7
@Ommywhity7 3 күн бұрын
Asante sana shekhe Mungu akupandishe daraja zaid ..uyu mtoto anakiburi na hana elimu na niutoto unamsumbua na chakushangaza kuna mazinge mtu mzima nae njaa imemsumbua anaunga mkono ujingaa .....shekhe malipo yako tana ALLAH kwa kutuelewesha
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 2 күн бұрын
Allah akuhifadh shekh Hajj. Ni aibu sana hii zaidi kwa Mashekh tunaowaheshim sana kumtetea huyu Mshirikana ,Tapeli na Mpotoshaji.. Tunaomba Mashekh zetu wajitafakari na wawe mfano mzuri ktk jamii Tamaa zimewaponza sana Hajj Allah akudumishe ktk ukweli na haki
@shersaid7988
@shersaid7988 16 сағат бұрын
Allah akubariki umeongea maneno ya hekima. Firdaus hana ushekhe wala usharifu na wanaomuunga mkono wanajivunjia heshma yao.Matendo na maneno ya Firdaus si ya ushekhe wala usharifu.Lengo lake ni kuuchafua uislam.
@AllyHozza
@AllyHozza 7 күн бұрын
Maashaa Allah shekhe upepo umeongea haki Allah akulipe na sote mkono Kwa mkono mpaka peponi
@SaadIssa-c9o
@SaadIssa-c9o 6 күн бұрын
Sheikh ALLAH AKULIPE KHERI KWA KUELUMUSHA WATU,hawa ni matapeli tu wamesahau kuna kurudi kwa ALLAH
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 6 күн бұрын
JAZAKALLAHU KHAYRAN USTADH HAJI. UMEONGEA VIZURI SANAAA
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp 6 күн бұрын
Tukiwa na tabia ya kuikubali hakki popote ilipo bila kuangalia dhehebu ALLAH atatuongoza
@IdrisMwayama-hf2dx
@IdrisMwayama-hf2dx 6 күн бұрын
MashaAllah sheikh ustadh haji upepo Allah ukuhifadh ukujaalie kila la kheri
@omaryally3489
@omaryally3489 4 күн бұрын
Mashallah....asipo elewa safari hii awez elewa tena
@YussuphIsmail-qh2gg
@YussuphIsmail-qh2gg 5 күн бұрын
Shekh nakubali Sana nasaha zako
@IbraFareed
@IbraFareed 6 күн бұрын
Nimejifunza mengi lakini moja wapo “Bora nijipotezee muda mwenyewe, kuliko mtu anipotezee muda“ SHEIKH HAJI UPEPO
@AishHassan-p8l
@AishHassan-p8l Сағат бұрын
Kwahakika mashekhe mliojitolea kumrekebisha haka katoto kasharif Allah awahifad najivunia kuona mashekhe mnaosisima juu ya kuitetea haq na wanao mpongeza Allah awahidi awaoneshe haq
@mohamediddi5126
@mohamediddi5126 7 күн бұрын
Sheikh Hajji umenena vyema Alhamdulillah. Allah atuongoze kwenye njia iliyonyooka Biidhnillah. Ammin Yaarrabal Aallamiyyn.
@hafidhsalim9237
@hafidhsalim9237 5 күн бұрын
Allah ajaalie baraka ndani ya maisha yako, azidishe nuru ndani ya ilmu yako na akuandalie pepo ya kiwango cha juu kabisa pamoja na mtume wetu Muhammad s.a.w. Maoni yangu ni kua huyu kijana aitwe awekwe kitako na wazee na mashekhe, afahamishwe. Hizi nasaha za mtandao mtampoteza huyu kijana.
@badrudiniabdulkarim1059
@badrudiniabdulkarim1059 6 күн бұрын
Ustadhi ukiendelea hivi utapanda daraja sana mbele za ALLAH
@saiedabdulrazzak3180
@saiedabdulrazzak3180 6 күн бұрын
Allah ni mjuzi wakila jambo,atakuja kulipata kutoka kwa mola wake nimeenda from kenya 🇰🇪
@KasimusheshundaKasimusheshunda
@KasimusheshundaKasimusheshunda 7 күн бұрын
Allah akufanyie wepes na akuongoze kwenye haki
@MohammedBakari-pn9yg
@MohammedBakari-pn9yg 7 күн бұрын
Ustadh haji upepo umezungumza haki Allah akulipe
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 5 күн бұрын
Mansh'Allah baba Allah akulipe laiti ingelikua ote wanamuono kama wewe ingelikua ni kheri nawatanzania wengi ni wafumu waganga
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 5 күн бұрын
Mungu akuhifadhi shekhe haji upepo
@feizalmas
@feizalmas 7 күн бұрын
Mashaallah sheikh haji Allah akulipe Kila la kheri umekua mwalimu Bora na jasiri.
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 6 күн бұрын
Huyu jamaaa Allah amuongoe yy na sisi Yupo kwenye mtihan mzto
@أمنعمان-س4د
@أمنعمان-س4د 6 күн бұрын
Ni kweli sheikh,ukweli usemwe wanao mpinga sheikh kishki Allah anawaona
@HassanJabir-g2e
@HassanJabir-g2e Күн бұрын
Sheikh umesema kweli lakini Kuna masheikh wakubwa ndo wanmunga mkono
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf 19 сағат бұрын
Subhanallh , Mtihani
@MasengoIsmail
@MasengoIsmail 4 күн бұрын
Sheikh umezungumza mambo mazito. Allah akuhifadh.huy kjn ajuw chochot ktk uislam.
@saidmohamed6543
@saidmohamed6543 6 күн бұрын
Masha Allah sheikh umeongea vizuri sana lakin huyu firdaus hana elimu na hataki kufundishwa katika dini
@SuolFat
@SuolFat 7 күн бұрын
Ust..haji huwaga nakuelewa sana
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e 6 күн бұрын
Dah kwaleo nakuunga mkono ustadh umesimama kwenye hakki,alla akulipe na akupe ulimi wakusimamia hakki ivoivo
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 7 күн бұрын
Ustaadh umeongea kweli kwa hili Hongera
@IdrisseSumailAssumane
@IdrisseSumailAssumane 5 күн бұрын
Sio Kwa hili tu, acha kiriho sheck.
@IbrahimAllyDulle
@IbrahimAllyDulle 5 күн бұрын
Safi sana nyoosha wote wapuuzi wote kama huyu
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
Firdausi na Wapambe wake ni Wafuasi wa Masih Dadjjal
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 6 күн бұрын
Maasha Allaah umeongea huyu anajidhalilisha nitapel
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
Ni Mfuwasi/Wafuasi wa Masih Dadjjal wapo Kazini Kupoteza Waja Kwa Kivuli Cha Uislamu na Usharifu
@RashMash-l1b
@RashMash-l1b 7 күн бұрын
haji hapa umeongea ukweli huyu kijana amepoteza wengi,tamaa imemtawala sasa kuelewa mtu inaweza kuwa nzito sana,na kwanini mtu avamie tu kitu ambacho hana elimu nacho hapa leo haji umesema ukweli kabisa huyu kijana nilazima tumpe nasaha kwa njia moja au nyengine ,masheikh kwa hili nawasapoti sana kujitokeza kumnasihi huyu kijana.
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 5 күн бұрын
Sheikh Haji, Allah akubarik kwa nasaha hizi. Nasaha yangu kwako.. Angalia video zako picha zake wasinasibishwe Masheikh wakubwa haliyakua hawahusiki katika video hizo, Hususan Alhabib Sheikh Habib Ali Kombo
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 4 күн бұрын
Miongoni mwa Dhulma na Khiyana wanazofanya Vijana na wanatakiwa Wawe na TAHADHARI na Mitandao ni: 1.KUWEKA PICHA ILI KUPAMBIA Taarifa 2.KICHWA CHA HABARI KWA UTASHI WA MWANDISHI 3.LUGHA CHAFU IKUMBUKWE KUMBUKUMBU ZINAISHI KULIKO MWANDISHI. TUJITAHIDI KUONA HII PIA TUTAULIZWA SIKU YA SIKU
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
​@@alwiyiynmission2820SiKharamu, Si Dhambi na Si Hiyana kama yasemwayo ni yakweli na Kwa Lengo/Nia ya Kuwaelimisha Watu kutokana na Upotevu/Dhulma. Hivi yafanywayo na huyu/huyo (eti) Sheikh Shariff Firdous na Wapambe (Chawa) wake na WA mfano wake unadhani na Unaamini ni Dhulma Ndogo ni awa na Wanao wakosoa?! Unasikia anaitwa akosolewe/alekebishe Makosa yake hataki Sasa wafanyenye?! Kama anapoteza Watu Kwa Kujinadi Mitandao na hataki Kuitika Wito unashauri/Unataka itumikike/itumiwe Nja/Mbinu gani ilikuwanusuru baadhi ya Waislamu na Jamii ya Watu Wanaokufurishwa?!
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 6 күн бұрын
Sheikh Allah akuhifadh, Allah akulinde, kwa NASAHA zako. Hakika umeitetea DINI ya ALLAH.
@athumanali2969
@athumanali2969 6 күн бұрын
Munakasha vipi mbona kimya mumefikia wapi
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo 4 күн бұрын
ishaallah allah akulipekher ujumbe umefika alhamdulilah
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
Yaani amekuwa Mungu (hujuwa ya Ghaiyb/ya Siri) 🙌 Eti mtoto wa Shule ataendelea kuwa Kwanza Darasani hadi anamaliza Darasa la Saba atakuwa wa Kwanza !!!🤫🙆 Anajuwaje kama atamaliza Shule (anajuwa Uhai wake/Maisha yake)?!
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 19 сағат бұрын
Hapo sasa
@IbraFareed
@IbraFareed 7 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@mayimunanjeri8846
@mayimunanjeri8846 Күн бұрын
Akujaze kheri za duniani na Akhera
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 3 күн бұрын
❤❤❤
@Mariam-ke4og
@Mariam-ke4og 5 күн бұрын
Huyo Firdaus ni Sharifu Fekii na nijeuri na kiburi na wanaompa kiburi ni hili genge lake anajinasibu kwa kuwadanganya watu na anapokea pesa za zulma na mungu atamuona wacha atapeli watu zitakuja kumtokea puani
@Ummunajma-i2c
@Ummunajma-i2c 5 күн бұрын
MAA SHAA LLAH, KIJANA UPEPO UMENENA YALIYO SAWA KABISA,ALLAH S.W AKULIPE DUNIANI NA HUKO AKHERA, MASHEKH SEMENI UKWELI JAPO KM UNAUMA .HUYU TAPELI ,FIRDAUS.NA WATETEZI WAKE.. ATAWAANGAMIZA WATU WENGI SANA. HASA WANAWAKE WASIO JITAMBUA NDIO WATEJA WAKE WAKUBWA ,NA NDIO WANAJAA KTK MIHADHARA YAKE.
@IssaLuhindi
@IssaLuhindi 6 күн бұрын
Kwenye hili Sheikh Haji Upepo ameongea ukweli. Allah Amhifadhi
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
Huyu Shariff Fake na WA mfano wake (Wafuasi wa Masih Dadjjal) Wanauaibisha Uislamu na Waislamu na anawadharirisha BAKWATA/wanajidharirisha 🙌
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 3 күн бұрын
Haji upepo katika hili upo sahihi ila kwenye mauridi umefeli acha mauridi acha bidaah utakua umenyoka inshaallah
@DulayoOmary
@DulayoOmary 6 күн бұрын
Kweli sheikh
@mohammedamour4930
@mohammedamour4930 5 күн бұрын
Bakwata bakwata shida
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
Sana tu, wapo Kushadadia Kutangaza Mwezi Mwandamo tu
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 6 күн бұрын
Shenzi sana huyo kijana anachafua waislamu na uislamu kwa ajili ya maslahi
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 6 күн бұрын
Bismillah astghafirullah
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 6 күн бұрын
Hakuna cha Sharifu yule ni TAPELI
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 6 күн бұрын
Ulikosea ustadh.Ungemskiliza kwanza kuna faida ungeipata au ungempa nasaha.
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 6 күн бұрын
Kakoseyawapi mbonanyeye hmmunajifanya hamuhelewi namnahelewa kishakwabiya I anamupingiya simu ashiki kwahiyo
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 6 күн бұрын
Asheleweshenasaha naniwajibukwayoyokunakufa umahuti utapomkuta ajafikishanasaha Allah atamjibunini
@balkissMuhammad-sk1ic
@balkissMuhammad-sk1ic 6 күн бұрын
Sisihotetukokatibuyake ni Kheir kumnasihi astghafirullah
@nassor6333
@nassor6333 6 күн бұрын
😂😂😂 huyo ni kijana wenu wa kisufi.
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 6 күн бұрын
Nimekuelewa vizuri kaka yangu tatizo Kuna watu Wana piga pesa nyuma yake Mwaipopo 😂😂😂😂😂 maslai mbele 😂😂
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 6 күн бұрын
Anajuwa anacho kifanya. Na kwa Uwongo na Utapeli wake huwo ndio anachuma kipato chake humo. Na keshaona matunda yake. Kuwacha sio jambo rahisi. Ni sisi tumuachishe kinguvu. Vipi? Tuelimishe jamii tricks zake anazo tumia na watu wakishajuwa hawataenda kutapeliwa tena. Watanusurika.
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 5 күн бұрын
Cheikh unanichekesha eti nimuongo kbs mufunge alienda ata sehem wasipo mjua ataibiya watu
@saidsalim4524
@saidsalim4524 Күн бұрын
Yule nitapeli waislamu hebu tuamkee jamani kwanini tunamuacha mtu anautumia uislamu kutapeli
@KasimuKiduba
@KasimuKiduba 6 күн бұрын
Hapa leo umenena ukweli mtupu
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 17 сағат бұрын
Analindwa na mufti na sheikh walidi, kwa sababu anawapa pesa
@LinconLopez
@LinconLopez Сағат бұрын
Kabisaa nilivyokua namuamini walidi lakini kwa hilii kulitetea dhairi nimemshusha kabisaa
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 6 күн бұрын
Leo nimekusikiliza ndug yng umeongea dini
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 13 сағат бұрын
Mwenyewe anaonasifa haoni haibu kuwahajui anakosea naanasoma mbelezawatu. Sijuiana matatizo.kichwani huyo firdaus
@binshabalomar-f7r
@binshabalomar-f7r 12 сағат бұрын
asalam alaikum. kuna jambo unafaa ufahamu kielimu kwamba elmu ya tiba wala haitegemeani na elmu ya lugha almaaruf nahau
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 6 күн бұрын
Hujamuonea hata kidogo Haqqi kusemwa ndio sifa ya uislamu
@AbdallahMchaga-e5q
@AbdallahMchaga-e5q 4 күн бұрын
Hakika shekhe
@AliFadau
@AliFadau 3 күн бұрын
Yule sio sharifu yule ni tapeli katoka kwenye ukristo kaingia kwenye uislamu Kawa sharifu mtihani
@tashwakotaii3632
@tashwakotaii3632 3 күн бұрын
Uyu tapeli anastahili hata viboko
@aminikassimu4313
@aminikassimu4313 7 күн бұрын
Kuna mashekhe manamtia kibri huyo wanamuunga mkono
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 19 сағат бұрын
Kabisa
@AbasHabimana
@AbasHabimana 6 күн бұрын
Huyo kijana Firdaus ni tapeli tena mshirikina na anaonesha washirikina zahiri masheikh mpigeni vita huyo mpaka akimbie nchi anazalilisha uislam huyo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 13 сағат бұрын
Watu wanamsikiliza. Hana haya macho makavu sijuiwote hao pia hawajui anachosoma wamekaa wanamuangaliatu. Baada wamchape vibao. Iliatulie kwao huko.mjingahuyo tapeli firdaus
@ThabitisalumJuma-o9l
@ThabitisalumJuma-o9l 2 күн бұрын
Mtume amesema tukiona uovu basi tuondoshe kwa kutumia mikono yetu kama hatuwezi basi tuongee kma hatuwezi kuobgea basi tuchukie huo uovu na kuchukia ni udhaifu wa imani sasa sisi tunaongea sana kuliko kufanya vitendo
@ahmedseif-cu4ex
@ahmedseif-cu4ex 4 күн бұрын
Na rafiki yko Yusuf Diwan umwambie pia tapeli
@MusaKidagwe
@MusaKidagwe 22 сағат бұрын
Wewe mwenyewe mwizi tuna kujua mfilaji sheikh upepo nyamanza
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 19 сағат бұрын
Kweli?
@theknightking5345
@theknightking5345 4 сағат бұрын
Muogopeni Allah kukashif viongozi wa dini vibaya hivo unasrma jambo la kumkashif huyu sheikh utakwenda kuulizwa una hakika nalo
@AminaIbrahim-qh2gn
@AminaIbrahim-qh2gn 4 сағат бұрын
Ashawahi kukuingilia? Au unaemtu alie fanywa ivo?
@azizhamed6320
@azizhamed6320 Күн бұрын
Sharifu fake huyo ni njaa mbaya jamani laana ya mola ipi juu yake na machawa wake
@binshabalomar-f7r
@binshabalomar-f7r 12 сағат бұрын
kwenye tiba hakuna mahusiano na lugha. tenganisha fani unapozichanganya fani kwa mizani hizo unazozibeba utapoteza mantiki na maudhui ya fani hizo
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 6 күн бұрын
Kweli huyu ni tapeli anawaiga wachungaji
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 4 күн бұрын
Na Ajabu/Cha Kushangaza nikule Kuwapoteza/Kuaminiwa na Baadhi ya Masheikh wa BAKWATA!!🙌🤫🙆
@FaridMaganga
@FaridMaganga 3 күн бұрын
Hawa wanawake zetu ndowamezidi kwel Yan
@JanureyShaibu
@JanureyShaibu 3 күн бұрын
Hizo ni chuki tu kishki kakupa sh.ngapi kama yeye aliongea hadhali elimu yake ndo ilisema mtu akikosea mseme adhalan
@josephbwire1232
@josephbwire1232 5 күн бұрын
Nasaha zako ni za kheri lakini je,umepata wasaha wa kumuona au kumpigia simu huyo sharifu ukamnasihi unaongea nae kwaajili ya Allah au umeona kuseng'enya kwenye mtandao ndio bora zàidi ILI kupata followers Allah atukinge na kusemasema mitandaoni, ushauri wangu pigianeni simu tembeleaneni mpeane nasaha inshaallah
@woah.africa99
@woah.africa99 7 минут бұрын
Alimpigia hapokei
@HusseinNguto
@HusseinNguto 3 күн бұрын
Wewe mwenyewe tuna kujua ngoja video zako wewe mwizi Huna ushekh upepo habali zako tunazo
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 7 күн бұрын
Kitabu hiko sichamawahabii mbona mashekh wenu wanakifundishaa? Ww wavipiga vitaa
@NassoralawiKhamis
@NassoralawiKhamis 6 күн бұрын
Ibn qayyim hakua ashaairah na kwanini atumie kitabu chake wakati uyo ibn qayyim ni mwanafunzi ibn taimiyah au uyo mwalim habib alikua wahabi na yeye
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 7 күн бұрын
Hicho kitabu kumbe wavikubaliee
@HemedSerious
@HemedSerious 6 күн бұрын
Chuki haijifichi.....
@ZuweinaSalim
@ZuweinaSalim 4 күн бұрын
Wajinga ndio waliwao wache watapeliwe siwatt wale
@hajisimaikhatib9002
@hajisimaikhatib9002 6 күн бұрын
Watu wa bongo ndo hujapata huu muongo zanzibar
@SuleMuntalikilumbi
@SuleMuntalikilumbi 6 күн бұрын
Acheni chuki nyie wapuuzi
@mussachichajr
@mussachichajr 2 күн бұрын
Kasome kwanza
@abdulmaliktalib1944
@abdulmaliktalib1944 7 күн бұрын
UPEPO MASUFI AYO MAMBO NDIO YENU YA UGANGA WA KISHIRIKINA . HAMUSOMI TAWHEED .MUNASALI MISKITI YENYE MAKABURI .MUNATASSAL KWA WAFU. KWAIYO UYO FIRDAUS NA YUSSUF DIWANI NYOTE GENGE MOJA LA KISUFI
@IbraFareed
@IbraFareed 6 күн бұрын
una makosa mengi ya uandishi sita base nayo kabisa ila nataka niku nasihi ndugu yangu Wote tunajua Mtume Muhammad ﷺ Kaburi lake lipo wapi الحجرة النبوية الشريفة tukiyafanyia kiasi haya maneno yako Kwa hiyo wanaoswali mule wote ni washirikina kwa maelezo yako, MCHE ALLAH cha pili MTU AKIWA MSHIRIKINA KASHATOKA KWENYE UISLAM Sasa nakuomba sana uepuke sana. kuongea haya maneno, ikiwa masufi sio washirikina na hao uliowataja kwenye hayo maneno yatakurudia wewe mwenywe إذَا قَالَ الرَّجُلُ لأَخِيهِ : يَا كَافِرُ ، فَقَدْ بَاءَ بِهَا أَحَدُهُمَا ، فَإنْ كانَ كَمَا قَالَ وَإلاَّ رَجَعَتْ عَلَيْهِ
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 6 күн бұрын
Kwa hiyo ww unataka ushirikina usikemewe au vipi
@darajanida
@darajanida 6 күн бұрын
lete dalili inaosema ukiswali msikiti wenye kaburi ni ushirikina mawahab mumejivisha vazi siolenu mtakwenda juta
@darajanida
@darajanida 6 күн бұрын
lete dalili inaonesha kuwa kuswali katika msikiti wenyekaburi ni ushirikina
@HemedSerious
@HemedSerious 6 күн бұрын
Chuki zitakuua mshenzi😂😂
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
The Silent Pattern Crushing Your Faith | Islamic History & Habit Systems
14:08
Ayyu A | Habit Systems
Рет қаралды 2 М.
MACHAWA WA SHARIFU FIRDAUSI WAMVAA SHEIKH NURDIN KISHK "WEWE NI FEKI"
14:41
MTOTO WA BACHU NI PUNDA ALIE BEBA VITABU VINGI BILA KUYAJUA YALIOMO NDANI YAKE
1:14:48
Sheikh Mselem awekwa kwenye mizani na Ustadh Haji Upepo
16:18
Haji Upepo Online tv
Рет қаралды 18 М.