Mimi sio msomi wa Quran wala sijui kiarabu lakini katika ujahilia wangu na miaka miwili tangu kuslimu nimefanikiwa kusoma suratul Fatiha "...iyaka na'abudu wa iyaka nastaeenu" nashangaa sana kuna waislamu wenye elimu wasioelewa hili
@Jabir-v7jАй бұрын
Nyie wanafunzi wa abubakar na Umar Bado sana njoo kwetu wanafunzi ally tuwafundishe kazi kukakamia shafii,hambali nan kawapa uimam hao maimam zenu hao
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Sheikh wangu Ali ABubakar nakupenda kwa ajili ya ALLAH
@fadhilizomboko459 Жыл бұрын
Mash'allah sheikh wng nakupenda kwa ajili ya dini na pia aunaga kupepesa macho
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Shukran jazzakka ALLAH kheir
@pakashume725 Жыл бұрын
Kweli inaumiza, mashaallah!
@alijabal5323 Жыл бұрын
Baaraka allahu fyka swadaqta.
@AbduulAli-c2h11 ай бұрын
Ushasema ustadh
@thedriver.michael.3975 Жыл бұрын
Ujue ujuavyo u Islam illaaa qalilaa
@AbasiShariffАй бұрын
Hiyo aya umeitafsir makosa سيقول السفهاء ww wasema wanasema wapumbavu je hio siin س inakaz gan hapo usjtafsrie Qur'an kiuhunu soma fanni kisha ndio utafsir Qur'an
@yahyamaulana7791 Жыл бұрын
SAYAQUULU SSUFAHAAU MINANNAAS tafsiri yake ni wanasema dooh hii tafsiri ni ya wapi
@TheTruth10071 Жыл бұрын
Jaman daawa si HVO ,daawa Ina buguza tupu Kila siku sijui Hawa watu wafany hivi wafanya vile ,hamuoni km ni chuki kwn Kuna alie kamilika hapa ulimwenguni ,kwa nn hamustiriani waislam daawa za kifitna hizo na kujion Bora ,hii ndio kaumu alioitabiri mtume km watakuja watu wataziona Bora sala zao,funga zao kuliko za wenzi wao