Hayeee Abawa huyambo nakuliza uko kenya tuna harusi kama uko kenya nikwite upige harusini kwetu mimi pia niko kenya nakuja harusini
@kizare12 жыл бұрын
Siko kenya nisharudi
@mombasaraha12522 жыл бұрын
Oooo sisi ndio tunkuja nitumie no yako ikiwa yamwanangu ni kwambie na mapema tuskizane ni vipi mimi niyule jama yao mume wa Amina mumewake yusuf bisharo sasa pia yuko kenya sijui ushanikumbuka
@mustaniraomar41353 жыл бұрын
Umeweza boss kubwa 💋💋💋💋
@uiavajiwgav54413 жыл бұрын
Wow imeweza abawa👍👍👍👍💝
@fatmaabdillahi57523 жыл бұрын
I really love ur songs,,keep it up
@saadiyaabdallah19103 жыл бұрын
WE ARE PROUD OF YOU.... TUPE RAHA KIZARE... YOU TOOK IT TO THE NEXT LEVEL... 👨🎓👨🎓👨🎓🏆🏆🏆🥇🏅🥇
@bossladymame46733 жыл бұрын
Asantaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥leteee raha
@aishamakii3720 Жыл бұрын
LOVELY SONG.MASHAA'ALLAH
@aishamakii3720 Жыл бұрын
THANKS ALOT. KIZARE MOHAMMED
@yahyaally98652 жыл бұрын
I love so much your songs💜
@abuuh-sultan25463 жыл бұрын
Wewe umeishiwa huna lolote kwanza hii ngoma si ya kwko kwanini uimbe??
@msemakweli55063 жыл бұрын
Salaaaaaaaa hii Ngoma no copy pest, Yani said B ameimba na wewe umeimba Kwa hivyo hivyo😭😭 ndugu yangu kizare jaribu kutunga vitu vyengine, sio kuigiza mpaka beat pia🤣🤣🤣🤣
@halimayusuf85353 жыл бұрын
Mueleweni jmn ameeona hij nyimbo ya side ime hit sana na vile yy apotea ameona wacha ni copy hii nijiinue nayo
@0scarnaizaoscar4803 жыл бұрын
Hehehehe wamecopiwa wengi we apo ni copy ya budako na mathako wamepest ukaja wewe sasa tatizo nini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saadiyaabdallah19103 жыл бұрын
SAIDI B AMFIKIE WAPI KIZAREE .. KIZARE NI PROFESSOR NDIO ANAMFUNDISHA YATAKIKANA KUIMBWA NAMNA GANI... KIZARE HOYEEE HE IS FROM ANOTHER PLANET
@umiahmed11883 жыл бұрын
We enda bana pambana na hali yako
@didally27763 жыл бұрын
Hahaha. Hini ndio Bajuni atakao naye.
@timasaid30723 жыл бұрын
Mwenechu abawa ukokwapi. Sanità.
@halimayusuf85353 жыл бұрын
Kizare amepotea na akizuka amezuka na kuimba nyimbo ya side b mpka mdundo basi asalala hapo umechmsha na kutuangusha jaman tutawambia nn mashabiki wa said b kizare
@abuuh-sultan25463 жыл бұрын
Kachemsha kusem la kweli
@ahmedmohd39073 жыл бұрын
Abawa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hajjbobo78283 жыл бұрын
He is back with a banger😍😍
@rukiaosman183 жыл бұрын
Woooow mashaallah
@skrtelkhalid83613 жыл бұрын
Wee umeishiwa banaa ngoma Ya Said B ndo unatuwekea mambo gani haya🤦🏾♂️🤦🏾♂️
@umiahmed11883 жыл бұрын
We acha kumuingilia mjomba wangu huyo said mwenyewe hamfiki hata nukta
@ahmedmohd39073 жыл бұрын
Usivaweee
@BAJUNIRECORD3 жыл бұрын
Vah vah ajab
@bilqerinacabdiqadir2 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰💋💋💋💋💯💯💯
@yotesawatu3 жыл бұрын
Hatar lakin salama...junkaa🤘
@zeinabhaikal29923 жыл бұрын
I love your songs a lot 😍
@umaraboud3 жыл бұрын
Bajuni Hoyee👌
@abuuh-sultan25463 жыл бұрын
Kama mnabisha andika SAIDI B BAJUNI ngoma inaitwa nshindo mmoya mmoya kaishiwa kaona aimbe ya mwenzie 😠😠😠😠
@0scarnaizaoscar4803 жыл бұрын
Nawe kaimbe presha za nini babuu
@mymunagikunju97482 жыл бұрын
@abuuh-sultan2546 wewe Ni Hasidi kitako,Hasidi Wa Motoni hio nshindo mmoya kizare aliimba kitambo Na SAID B
@0scarnaizaoscar4803 жыл бұрын
Filiiiii utulivu
@MohammadNassir3 жыл бұрын
Eeeeeeeh mwanaeeee
@aymanbuka23193 жыл бұрын
Zgeb gebaas👌
@kizare13 жыл бұрын
Scobafe
@abdalsalim91433 жыл бұрын
🔥🔥✌💗
@kautharaboubakar5783 жыл бұрын
We missed you here 😌
@karimayusuf63093 жыл бұрын
🔥 🔥
@saidoohfadhil13623 жыл бұрын
Bajuni all the wayyyy!
@anwarsudais29913 жыл бұрын
K.Z ulipotea wpi.??
@abuuh-sultan25463 жыл бұрын
Kwa wale wasiojua huyu jamaa kaishiwa hii ngoma ni ya SAIDI B BAJUNI amecopy kila kitu
@abk11273 жыл бұрын
Mdundo Kila mtu anacopy hata huyo said b bajun pia amecopy kwa vugo la matondoni. Kwahivyo muhimu ni mashairi. Hakuna chà kuishiwa
@hajrazedi37323 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@rajabumussa93383 жыл бұрын
Kz
@skrtelkhalid83613 жыл бұрын
Mimii kama fan wako umenidissapoint xana kutuwekea ngoma ya said B kwa ninii 🤮🤮
@abuuh-sultan25463 жыл бұрын
Wewe umeishiwa huna lolote kwanza hii ngoma si ya kwko kwanini uimbe??
@abk11273 жыл бұрын
Ngoma za vugo watu wote wanaimba. Kila mtu anacopy, la muhimu ni mashairi. Hata said b bajuni pia nyimbo sio zake
@msemakweli55063 жыл бұрын
@@abk1127 sijakataa bro, but hio beat sio ya matondoni..Na mbona hizo Ngoma (beats) za kizare na Saidi B hazifananiiii, mpaka alietengeza hio Ngoma ya Saidi B namjua Mimi 🤣🤣🤣🤣🤣
@msemakweli55063 жыл бұрын
@@abk1127 nyimbo sio tatizo kuiga ila huo mdundo ndio ameuiba😅😅😅😅
@abuuh-sultan25463 жыл бұрын
@@msemakweli5506 Ama kweli ukajiita msema kweli 💯
@halimayusuf85353 жыл бұрын
Mueleweni jmn ameeona hij nyimbo ya side ime hit sana na vile yy apotea ameona wacha ni copy hii nijiinue nayo