Serikali inampa mtoto tangu anazaliwa pesa hadi miaka 16. Sasa ile pesa unaweza ukaitumia kuwa saving ya mtoto tangu mdogo hadi 16 then anaweza anza itumia kwa vitu vya shuleni, anzisha biashara, invest etc.
@happinessmisanga49443 күн бұрын
Great topic as usual mdogo angu
@OfficialDatingAssistance3 күн бұрын
Thanks dear
@regulashine88543 күн бұрын
Hellow Shena nimefurahi sana umeongea ukweli watoto kuanzia miaka 14 wanafanya kz kipindi c'ha Summer, family ni babà m'ama na watoto. Hakuna kuchangishana Arusi sendoff rambirambi nk wazungu hapana kabisa. Km ni arusi watakupa zawadi siku ya arusi. Rambirambi watawaletea mauwa au hela ni km sadaka kanisa.
@OfficialDatingAssistance3 күн бұрын
Shukran sana, yani mambo za michango hawazielewi kabisa 😁
@AdolphinaKabelege3 күн бұрын
Love you Sana mdogo wangu
@OfficialDatingAssistance3 күн бұрын
❤️❤️🙏
@shahnazwillis39312 күн бұрын
Shukran sana kwa kutowa elimu nzuri sana kwa s Familie. Huku kwetu hayo hakuna. Vile vile TAMAA ni kitu kibaya. Na vile vile ni wasia mzuri kwa watu ambao wanatammaa kuolewa na wazungu kuwa anatowa pesa nyingi. Tanzania,zanzibar
@OfficialDatingAssistance2 күн бұрын
Shukran sana kwa ujumbe mzuri
@ednaJF10283 күн бұрын
Sauti kama inakatakata au ni kwangu tu?
@OfficialDatingAssistance3 күн бұрын
Yani network imeleta shida I will go again live kuzungumzia this topic 🥰
@chayogasperi97832 күн бұрын
Shenna You look tired , restless , unhappy , sad . Please before coming infront of camera make sure your Ok .
@OfficialDatingAssistance2 күн бұрын
Nilipokua sipo sawa nilijipumzisha na mtandao na sikuonekana kabisa hapa.. Mpaka unaniona hapa means i’m very fine , nadhani ni muonekano wangu tu pengine baadhi yenu haujawafurahisha.
@PureSoul-rf4xd2 күн бұрын
Sauti yako ilikuwa inakatata sana
@OfficialDatingAssistance2 күн бұрын
Yes network haikua nzuri naona
@hildajoel53 күн бұрын
Right topic at the right time 😅Shena leo umeongea kitu kikubwa sana huwezi amini umenisaidia mnooooo hujui TU.
@OfficialDatingAssistance2 күн бұрын
Shukran dear All the best
@sadiqmwafrica67592 күн бұрын
Salaam, vedeo inakatakata, hebu isikilize mwenyewe mwanzo mwisho baadhi iko ok, baadhi inakatakata, lkn ushauri inaeleweka pale mwanzo
@OfficialDatingAssistance2 күн бұрын
Naona network haikua nzuri Pole kwa changamoto
@being_niimah49833 күн бұрын
Du siehst irgendwie traurig. Was ist los?
@OfficialDatingAssistance3 күн бұрын
Nadhani ni uchovu tu lakini sio huzuni, thanks for asking 🥰