Baada ya kusikiliza wimbo huu mara kadhaa, sina cha kusema zaidi ya kwamba LB mbarikiwe sana kwa tungo nzuri yenye kuburudisha, kutia moyo na kubariki. Endeleeni hadi nafasi yenu ipatikane katika kwaya kubwa ya mbinguni.
@ernestkaji9640 Жыл бұрын
Mungu azidi kuwatangulia
@lindahonyiego8493 Жыл бұрын
Wooooooooooow☺☺
@JoshuaIbrahimu-vn4mx Жыл бұрын
mungu atunze sauti zao amen
@deborahkemunto1433 Жыл бұрын
There is just something about this song...
@boazmusumba7949 Жыл бұрын
Mtamu saaana, naruka angani na malaika wa Bwana kupitia wimbo huu.
@jacksonkasika Жыл бұрын
Waimbaji mzidi kubarikiwa zaidi mnavyo zidi kuhubiri kwa njia ya nyimbo nzr mkiwa na nyuso zenye nuru . Bwn azidi kuwaendeleza zaidi mfike mbari kw njia nyimbo zenu Ameina
@elikanakingu7771 Жыл бұрын
God is good. I like it
@richakilo Жыл бұрын
Mbarikiwe watu wa Mungu light bearer choir. Wimbo mzuri sana..
@dineod6830 Жыл бұрын
This has become one of my favorites.....my cup of coffee! Such sweet voices,i can imagine how wonderful heaven will be when we sing the song of Moses and the lamb. God bless you❤🇧🇼
@CryptopiAlert Жыл бұрын
Nimesikiliza wimbo huu mtamu mara nyingi sana. Ujumbe mzuri na wenye tumaini tele. Nafsi yangu inafurahia na kuridhika na ujumbe wa wimbo huu, ila nina tatizo moja hapa. Masikio yangu kamwe hayataki kuacha kusikiliza wimbo huu. Sasa nimeona isiwe tabu. Now, I have glued my earpods on my ears. Mungu awabariki sana LB. Kwa hakika mnagusa sana maisha ya watu hususan katika ulimwengu wa roho. Yesu Kristo awe nanyi daima. Amen!!
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amina na ubarikiwe unapozidi kusikiliza zaidi na kuelewa zaidi kuhusu kutembea nae Yesu tunayemuamini.
@FestoCod Жыл бұрын
Kweli kabisa
@JohnMwakalonge Жыл бұрын
Perfect peace, with best combination of great message and sweet melody
@PaulJohn-hl7wt Жыл бұрын
Naamini kuwa nyimbo ni moja ya sehemu muhimu katika maisha hasa nyimbo za kumsifu MUNGU hata ninapokua kwenye huzuni ninaposkiliza nyimbo kutoka sda ninafarijika sana lakini ni moja ya kitu kinacho nifanya nienende katika njia iliyo sahihi mbalikiwe sana light bearers kwa nyimbo nzuri.
@jamestossy5653 Жыл бұрын
Kusema ukweli nawapenda sana mnaimba vizuri sana.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Barikiwa sana.
@mselengemdegela3900 Жыл бұрын
Asante kwa wimbo mzuri sana. Voice harmony is your greatest strength! Mungu awabariki. 😊
@Gideon_CK Жыл бұрын
Beautiful solemn piece... And a delight to notice the KICC background making the song homely for your Kenyan followers😅😅... Barikiweni sana 👏🙏
@thelightbearerstz Жыл бұрын
👏😃😃 Amen! Be blessed.
@ernestkaji9640 Жыл бұрын
Barikiweni Sana,mnanibariki Sana pia
@ses9003 Жыл бұрын
Amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@josmalmalugujr6210 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri umenibariki kwa kweli *Natembea na Yesu mikononi mwake ni salama*
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMINA! Ubarikiwe zaidi.
@rommelmauma8081 Жыл бұрын
Sina hofu hata nikitembea mabarabara ya miji ya huku ughaibuni niliko, sina hofu kwani ninatembea na Mwokozi wetu, Yesu Kristo!
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed. 👏😊😊
@anicetmutsunga9524 Жыл бұрын
The Light Bearers Mungu azidi kutukuzwa kwa huduma yenu nyimbo. Nawasikiliza toka Goma DRC 🇨🇩: Mbarikiweni; stay blessed; soyez bénis
@miindaignatius Жыл бұрын
I love your songs but this particular one is of it's kind, the harmony is top notch, calm, tuneful and above all spiritually enriching and Blessings our souls. Keep spreading the good news in this generation.
@DanielJames-of7yr Жыл бұрын
Wimbo mzuri unamtukuza Bwana
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMINA! Na atukuke yeye daima.
@triplem5038 Жыл бұрын
Be blessed LB what a sweet song 💕🙏
@ibprostudioztz6105 Жыл бұрын
Hakika Bwana ni Mlinzi wangu👏 Barikiweni sana Lb.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Barikiwa.
@CynthiaIrakoze-nr2pk Жыл бұрын
Amen and Amen,Woooow I like this rithm song utafkir ambassador's of Rwanda mbarikiw maneno yny matumaini tele
@releiabby6201Күн бұрын
Your tenor is sooo soothing!! Keep praising the most High God. Be blessed
@deograsiagissamo407 Жыл бұрын
Waoh! Nice song ever🥰
@gospellighttanzania Жыл бұрын
Tunabarikiwa sana kwa kazi yenu nzuri. Mfike mbali. Injili isilale hadi Yesu arudipo.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Na tubarikiwe sote.
@amosmapendo3614 Жыл бұрын
That Harmon ❤
@mpeaceful1 Жыл бұрын
Amen! Mubarikiwe
@jonathankalua7929 Жыл бұрын
This is extra beautiful Light Bearers - Mwenyezi Mungu awajaze na mibaraka daima - Stay Bleesed. again this is supper beautiful
@FaithKerubo-jj3sc Жыл бұрын
Happy Sabbath 🙏🙏 barikiwa sana wimbo tamu 🙏🙏🙏🙏🙏mim napenda nyinyi
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed. 👏😊😊
@SeciliaKomba-nj2cs Жыл бұрын
Nakuona Aneth hongeren sana kwa wimbo mzuri
@charitymwendwa95358 ай бұрын
Love your song's guys ❤❤ Keep on going .God bless you for all
@prAlmodad Жыл бұрын
I just cant get enough of this! Nimesikiliza karibu mara mia (Pr. Moda)
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@ombatitim Жыл бұрын
Beautful rendition! Can't say more May God keep guiding you.
@vickyawuor3971 Жыл бұрын
Wow.. beautiful uniform
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed.
@eliadaroswe5025 Жыл бұрын
Amina . mbarikiwe , Bwana azidi kuwainua
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMINA!
@johnsengerema4258 Жыл бұрын
Ni mwanafunzi GEITA ADVENTIST Mungu awabariki kwa kutuhudumia vizuri makambi haya
@Amshaafya Жыл бұрын
Be blessed abundantly
@perisbosibori2249 Жыл бұрын
WOW! WOW! So nice and soul lifting song that one will never get enough of it. Be blessed abundantly the Light Bearers.
@MsaniiRecordsEastAfrica Жыл бұрын
What a beautiful song. May God bless you.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed for the beautiful Video.
@Charles_nhungo Жыл бұрын
Very perfect melody composition and awesome vocal alignment
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed.
@leonardselubwa2635 Жыл бұрын
Alietunga alivuviwa Na waimbaji mmevubiwa nimewapenda Sana hakaika mtanimalizia MB zangu aiseee love u so much
@esthersekiete2976 Жыл бұрын
Amen 🙏
@yusuph1547 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ,chorus is my favourite
@thelightbearerstz Жыл бұрын
And let it be your reminder to follow him always. ☺☺☺
@MukokomaDanielMuhindo Жыл бұрын
🇨🇩Nzembo oyo etiki n'a tala miso na miso Maboko ya nzambe,biso nyoso nde a gangelaki farafara🇨🇩
@PumlisaDamoyi-dl9ex6 ай бұрын
What a melody I know you don't disappoint keep it up 🔥 🔥 🎉🇿🇦
@edwinaabuta92533 ай бұрын
Beautiful harmony! beautiful rendition! the vocals blend in so well!! bless your souls
@SarahKillian-lw4rf6 ай бұрын
❤😊🎉 Wow!😮🥰 OMG! Very amaizing
@oswardrupiah5510 Жыл бұрын
Wow, wimbo nzuri sana. Director amefanya kazi njema pia. This among ur most quality video. God bless you
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed.
@FloNatureLover4 ай бұрын
Natembea na yesu siku zote Na maisha yangu ni memkabidhi
@anitamahwago4374 Жыл бұрын
Amina Amina.
@lutemahindiakaje5046 Жыл бұрын
Watumishi endeleeni KUJIHUSISHA Hadi Arudipo Yeye ni mwema kwetu siku zote.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@Owuorsamuel Жыл бұрын
Nice song, good message, good arrangement. Mungu azidi kuwapa hekima na kuwainua katika kazi take. Love from Kenya🇰🇪 b
@jdm1459 Жыл бұрын
AMINA
@jacksonpetro9558 Жыл бұрын
Nimebarikiwa na wimbo🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤
@felisterbusungu2677 Жыл бұрын
Waooo kazi nzurii mbarikiwe wapendwaaaa
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@cedawilium-jg4lx Жыл бұрын
❤ very beautiful song be blessed❤
@morningstarschoir4836 Жыл бұрын
This is beautiful brethren. Waiting for a Luganda version for this song. It is too touching
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Be blessed.
@nakupenda9392 Жыл бұрын
This song is so uplifting i wish you all the best
@lahelmichael4173 Жыл бұрын
Amina
@eliaElia-m3t6 ай бұрын
Lb , big up sanaaaaa aiseee mnajua 🎉
@razacbalomi885 Жыл бұрын
Vitamin Music ndo hii sasa❤❤❤
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@MablePhiri-lk8dx Жыл бұрын
It hits differently❤thank God for you Light bearer's
@PaulJohn-hl7wt Жыл бұрын
I like to hear songs from light bearers sda and i'm very proud of you
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@azizimisango2233 Жыл бұрын
Wimbo niupendaoo zaidiii...Barikiweni
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMINA! Na ubarikiwe.
@joycetayo2178 Жыл бұрын
Good job team. I looove this song. Barikiweni sana.
@debbiejoy7 Жыл бұрын
It’s the harmony for me. Praise God!
@mosetidouglas8277 Жыл бұрын
Praise be to God.
@Machoirmachoir Жыл бұрын
Hiyo Ngoma ni Kali ⚡
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@cedawilium-jg4lx Жыл бұрын
Be blessed ♥️
@ThisisOumah Жыл бұрын
Ninajua Yeye ni mlinzi wangu.... Amina
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed. 😊😊🙏🏽
@johnmichael9381 Жыл бұрын
Be blessed 🙏
@joshuanelson3446 Жыл бұрын
Amen, wabeba nuru mbarikiwe sana, we l appreciate and obeyed for your effort. Josh from Ukonga
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@NairobiCosmopolitanConference Жыл бұрын
Asanteni kwa wimbo mzuri. Mbarikiweni .... 🙏
@muhozajanet4577 Жыл бұрын
Amen🙏be blessed
@hellensingoey2269 Жыл бұрын
This is so wonderful 💯! The rendition is awesome. Thank you for the message in song
@alvinangode6748 Жыл бұрын
You always bless me with your songs. Mbarikiwe
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN!
@KevinOnchwari Жыл бұрын
I love this song so much
@JoshuaOgola-df4jj Жыл бұрын
Amen. Kwa wimbo mzuri wenye tumaini ndani yake
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed.
@rehemaondieki3462 Жыл бұрын
Always my best choir fron TZ
@farajamaduhu1981 Жыл бұрын
venturing through KZbin this morning, as I drive to sabbath, I found this notification which informed me that 13 hrs ago, this sweet melodious piece was been released. When I played it, I recalled last two sabbath in our Local Church (Mzumbe) that this is that item, I witnessed you by my eyes doing it. Infact you guys are a blessed people! I remember how I said that this is that number which was the most soothing harmony and highly arranged song. It was the best for me of all songs that U played us. Guys, your service is so uplifting. To God be the Glory. Asanteni sana nyote hasa hasa sana Captain Fred Kirya kwa kazi nzuri. U always never disappoint.
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@EdinaElihudi-b6vАй бұрын
Hongereni sana❤
@123Thomas Жыл бұрын
Mziki mzuri
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@avelinathomas3840 Жыл бұрын
Barikiwa watu wa MUNGU.
@mwitachacha9785 Жыл бұрын
Fredy hapa ulitulia sana sijawahi sikia hii kitu kutoka kwako ameen
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@namsifumaduhumwita2495 Жыл бұрын
Glory to God
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen be blessed Sister Namsifu.
@judithonsomu4472 Жыл бұрын
Amina
@monicaelifuraha403 Жыл бұрын
Aiseeeeeee be blessed for this song naupendaga sanaaa
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed. 😊😊🙏🏽
@mosesibrahimmagiza5446 Жыл бұрын
Mmbarikiwe sana
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@enockmichael-tl9yh Жыл бұрын
Ninajua anilinda Bwana na wala sijutii
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed. 😊😊🙏🏽
@florenceclifford2579 Жыл бұрын
Ninajua Bwana ni mlinzi wangu anilinda daima sina hofu tena, yeye ni mwema kwangu sijutii kamwe naambatana na Bwana siku zote🙏❤
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@hariethkaitira5588 Жыл бұрын
Melody tamu,sauti tamu,ujumbe mtamu,waimbaji makini yan kwakweli nimebarikiwa sanaaaaaa......Mungu awainue zaidi kwaajili ya utukufu wa Jina Lake 🙏
@thelightbearerstz Жыл бұрын
AMEN! Be blessed.
@ElijahELiud-r9t3 ай бұрын
Be blessed
@SeedsandSunsets Жыл бұрын
Amen, barikiwa
@thelightbearerstz Жыл бұрын
Amen! Be blessed.
@gloriadunstan7190 Жыл бұрын
Wimbo ugusao moyo,ukusogezao karibu na Yesu,daima tutembee naye hatatuacha ,,,,barikiweni sana LB