For the first time nmekubaliana na diamond..hii ngoma nmeikubali...npate likes za #wasafi.
@zainahali12746 жыл бұрын
👍👍👍
@willeydavid21084 жыл бұрын
Nimeamin ukimshirikisha diamond platnumz kwenye nyimbo yko lazim upande juu ujue HII ndo nyimbo pekee yenye views Weng kuliko nyimbo zote za navykenzo
@josephineisdory39916 жыл бұрын
ahaaahaa uwiiii ukiimba na #diamond lazima umkumbushe kua Ngoma ni yako maana unaweza #katika😋😋
@accusciusanderson54666 жыл бұрын
Josephine Isdory umeona eeh😃😃😃
@josephineisdory39916 жыл бұрын
accuscius anderson saaana dea
@bonifacenyongesa88966 жыл бұрын
Hahaha
@moodrahdule44356 жыл бұрын
Haaaah haaaah hatar sana
@josephineisdory39916 жыл бұрын
moodrah dule mambo ni hiviii yan khatareeee😜😜
@alexanderkiplangat49846 жыл бұрын
From +254 ...Yaani ukipiga kolabo na Simba toka tandale lazima ngoma lenyewe lipendeze...gonga likes hapa kama unakubali kazi nzuri
@swedymabrouk97286 жыл бұрын
Najisikia furaha wasanii wa Tz wakitumia ukubwa wao kuipeleka bongo international #Wcb_4_life #Katika
@chrisbreezy83865 жыл бұрын
Huyu jamaaa anaitwa Mondi lazima tu ukimshirikisha kwa song lazima tu itahit lazima juuu hauna sababu kukosa kuhiiit Katika very nice song big up Naaaavy Kenzo for this
@bakaribakari_6 жыл бұрын
Simba kam'maliza AY kwenye Zigo remix, akaja akamkanyagia Patoranking kwenye Love you Die, Kisha akamtosa Konde Boy kwenye Kwa Ngwaru na sasa kawaua Navy Kenzo kwenye #Katika.. Unapo mweka Simba kwenye nyimbo yako, basi jua Si yako tena Simbaaaa 🔥🔥🔥🔥
@faridamin63836 жыл бұрын
Bakari K. Bakari. umesahau ya flavour pia kapewa kipande kidogo lakini kamgaragaza jamaa hahaha
@stephanjohanes20746 жыл бұрын
Enhe na waje
@sashacurts85486 жыл бұрын
umesahau moja.kawamaliza mbosso na lavalava kwenye JIBEBE.
@georgebarran5596 жыл бұрын
yeah
@raphamganga8506 жыл бұрын
Na kwenye nyimbo ya Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari, Mondi ameimba Kiswahili na Kishona. Lakini hata kwenye Kishona Wazimbabwe wanakiri Mondi ameimba vizuri zaidi kuliko Jah Prayzah -:)
@allymwihuva74736 жыл бұрын
Aliemuelewa vizuri Aika kwenye ndizi nyama agonge like hapa😂😂😂✌🏼
@AMAli-ct5df3 жыл бұрын
kumeeleweka saaana..
@fowziaali70656 ай бұрын
0l000l. X v@@AMAli-ct5df
@StevenAthuman-g7uАй бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@StevenAthuman-g7uАй бұрын
Nakupenda sana dada katika
@StevenAthuman-g7uАй бұрын
🎉😢😢😢
@onelovesomalia79876 жыл бұрын
bongo wanatisha kma umekubali hi ngoma Fanya like one love Somali people
@faisalal-miskry46697 ай бұрын
Jamani jamani jamani verse ya Aika. Halafu Diamond kaitendea haki hii featuring. Nyimbo 100%.
@briankebut82376 жыл бұрын
Diamond ako kwenye ligi yake ya kipekee... Jamaa huyu amtu azidi kutoa Hit baada ya ingine. Hongera Chibu👑
@kissykennysmatt6 жыл бұрын
Lakini hii sio yake. Wee vipi
@ricksamthecrow6 жыл бұрын
#hitsonly
@ricksamthecrow6 жыл бұрын
@@kissykennysmatt lkn uwepo wake nd umefny iwe hit... Angalia nymbo zao nyngne fananish na hii.. Au nend channel y hamonize kaangalie nymbo alzoimb pekeak au n wengn fanansh n alzoimb n mond. Nd mana hii ngm anaongelew mond kulko wny nyimbo
@kissykennysmatt6 жыл бұрын
@@ricksamthecrow cha msingi ni kuwa, wimbo sio wake. Unafafanua zaidi ya nini na upo nje ya mada
@dahatarey50186 жыл бұрын
@.
@BuyFromDubai6 жыл бұрын
I always though Ali Kiba ako na slight chance kumshinda Diamond. But with the current jibebe... and now this Katika. Yaaani diamond ako juu tu sana. Mashallah unaipeleka Africa mbele. Respect from kenyans
@machozietengya77862 жыл бұрын
Kmk I need nn
@machozietengya77862 жыл бұрын
Hjpvj
@machozietengya77862 жыл бұрын
Ioojj
@machozietengya77862 жыл бұрын
Ok ok ok no nm km km in lll
@korirdenniskiprono64546 жыл бұрын
I think I'm the first Kenyan show me love by liking please, alafu 3days ngoma iko na 1.1m views, Kweli Simba ni simbaaaaaaaaaaaaa hatareeeeeee
@michaelmagow6 жыл бұрын
Korir Dennis new music video on my page lets get it 🇺🇬
@januarymichael82686 жыл бұрын
ukisianenokatika like
@sophialwila8886 жыл бұрын
I
@jleen635 жыл бұрын
Maneno ya Aika kwenye huu wimbo yanaweza fanya umuache demu wako aisee.......amazing lyrics,perfect songwriting
@browngreen71696 жыл бұрын
Ndoto yangu imetimia finally, kuona colabo ya wanaojua yaani producer mkali kakutana na mtunzi mkali, Sasa Sijui na hii Cloud Wataigomea... 🙏
@robertmabele53436 жыл бұрын
Duh! Kweli hilo nalo swali ndo nacho sbiria.
@isackbaton97596 жыл бұрын
Dah hilo nlikuwa nalisubiri kwa hamu
@ashabundala32986 жыл бұрын
Pop
@geoffsk99176 жыл бұрын
Mmh kweli clouds wako juu.yaani wasafi wako na bifu na media nyingi bongo lkn watu mnawasema clouds tu..mbn amsemi akna eatv and their allies.....
@huddahmunny54826 жыл бұрын
Itabidi wameKatika tu
@kudratmattar3086 жыл бұрын
Simbaaa toka mbuga ya tandale 😉😉. ..hua hakoseagi. ...hizi sauti za watu wa 3... so poa. .😎😎..drop ur like.km hili goma limekukamata😋😄#katika
@osianaelia47876 жыл бұрын
Kama kuna mtu kamuona mbosso gonga like hapa
@fidmashobeats6 жыл бұрын
Dimond ni icon ya bongo flavour Tanzania japo wapo ma legendary Kama una mkubali diamond kwa anacho fanya gonga like
@sanaaeabtar63335 жыл бұрын
Cv marok
@LwangaAloys11 ай бұрын
Who's still watching 2024? 🤩
@anneanitah801411 ай бұрын
Me
@DivineMercyCatholicParish11 ай бұрын
Guilty
@MariatuKoroma-l4e10 ай бұрын
Me oo i even remember it and search
@marynyambura622510 ай бұрын
Me ❤
@SayyidSaid-n1b10 ай бұрын
@@user-cb5ol8pt4x 𝒎𝒆
@emmanuelpatrick14236 жыл бұрын
Ngoma kali sana saluti navy kenzo huku mtaani ni moto katika 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sylvakahungu496 жыл бұрын
Kari sana
@hafidhnasri95766 жыл бұрын
Alikiba ndugu yang kwa balaa hili la mondi una haki ya kucheza mpira daah sikuluamu tena umefanya maamuzi mazuri sanaa
@djphero11866 жыл бұрын
hahahahaaaa
@ruwaidamohd19656 жыл бұрын
Hafidh Nasri ha
@hafidhnasri95766 жыл бұрын
@@ruwaidamohd1965 kweli lakin
@bernardmabagala23416 жыл бұрын
hahahahahaha
@rasaam77016 жыл бұрын
Achana na alikiba ,akae kwa amani
@avitrujweka21136 жыл бұрын
Daaah! Kaka nyimbo kama yako! Umeua baba, yaani umefunika khatari! Mikogo kama yoteee! Kwa style hiyo anayekushirikisha kwenye nyimbo ajipange kweli, tena ajipange haswaaa! #SIMBA 🦁🦁🦁 Wapi LIKEs zake...! #WCB4LIFE
@paskalimawonje19456 жыл бұрын
Diamonv
@mwanakijijini66042 жыл бұрын
Bwana Simba wewe Ni bora sana
@bernardmongi56426 жыл бұрын
Mondi Ulicho Wafanyia Navy Kenzo Ni Kama Hazard Mbele Ya Mabeki Wa Liverpool 😂😂 🙌🙌
@mgayamakori15646 жыл бұрын
Hahahahahaaaaaa umetisha mkali hhuhuhuhuuu
@josephmongo916 жыл бұрын
Bernard Mongi beki moreno... moreno sasa hivi Analia kwa kk ake Robertson, watakachofanywa Chelsea weekend ndo utoe mfano...
@yohan_2546 жыл бұрын
Bernard Mongi popopopooooooo
@abdulrazaqayubu8946 жыл бұрын
Tooobah yaani unataja Liverpool wakat wenyewe tupo hapaa
@bernardmongi56426 жыл бұрын
@@josephmongo91 hahaa Liverpool hana uwezo wa kuifunga Chelsea
@pascalgodfrey6866 жыл бұрын
Rraah! This is Tanzania Afr-Dancahall, hawa jamaa nimeanza kuwafuatilia muda sana unweza sema sio wabongo...ktk hii ngoma, hilo guiter linavyochalzwa ni noma and Chorus balaa. hapo engemweka Dully ingekuwa balaa zaidi...A big Tune
@albanbros72106 жыл бұрын
Video zao zipo unique sana yaani huwezi fananisha na mtu yoyote bongo.
@mussa54616 жыл бұрын
Mtakubali tu hta kinafiki
@Premanbtz6 жыл бұрын
Tz tupo juu bhana😅😍😛 m soo proud 2 born in Tanzania😎 #katika the baddest flavour🙌😭😚
@warrensantana15704 жыл бұрын
Nakumbuka huu wimbo ukichezwa Kila mahali wakati ukitoka Kwanza hiyo Verse ya Diamond Platnumz,,waaaa!! 🔥🔥🔥🔥🔥 siku zote hi ngoma itapendwa Sana
Daaah nimependa na Nmeangalia sana huyo dem aliecheza part ya Diamond so Serious😉🇹🇿
@fatmarashim63536 жыл бұрын
😁😁😁✌️
@dicksonassery50836 жыл бұрын
Sure
@mwasXD6 жыл бұрын
Uyo dem anajiita aje ig
@manenoshabani34566 жыл бұрын
😂😂😂😂ofcooooz
@fatma-uu2gi6 жыл бұрын
Hhh
@artsandentertainment45346 жыл бұрын
Daaahhh verse ya mond mwisho tu hatareee na swaga kama zote mond hatareee 😀😀😀😀😀
@joshjoe14853 ай бұрын
This guy is a beast when it comes to music.... Diamond 🔥🔥🔥 what a masterpiece 🇰🇪
@younginspired38996 жыл бұрын
Tunaopenda mziki mzuri like zetu hapa..#katika..🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
@saidmakono18756 жыл бұрын
Mondi he is complete artist, hata ukiangalia anavyocheza na kujitoa ameuaa. kuangalia video tu inafurahisha ameiremba kwa vituko. appreciation is key to success, lets appreciate big achievements ambazo amezileta kwenye muziki wetu. big up for another heat.
@khalekichambo11313 жыл бұрын
He's a born entertainer, watanzania tumebarikiwa
@edwinsagalesore40452 жыл бұрын
Diamond Is performer
@elizabethmwanake81216 жыл бұрын
Mondy anakuaga na sauti poa wasaaa👏👏
@dailyxiin4 жыл бұрын
LibaaXyadii soomali ahayd heestan way ku yar yihiin.... From 𝙨𝙤𝙤𝙢𝙖𝙡𝙞𝙖🇸🇴
@pinchezmuyahll43966 жыл бұрын
Navy's wife verse.... Best of her I love it.. Like zije kama kawaida
@mungunimwema39956 жыл бұрын
*MB ZANGU HAZIJAENDA BURE SICHOKI KUIANGALIA HII NGOMA* *SEMA DIAMOND UNA MANENO YA SHOMBO HATWAAAARE ETI TUNGULI ZA HAMISA😂😂😂😂* HII NGOMA NIMEIPENDA SANA MAANA NYOTE MMETOSHANA NGUVU YAANI IMEJAAA SANA❤❤❤
@majaliwaramadhan78206 жыл бұрын
Mungu Ni Mwema diamond simbaaa ngoma zur
@emmanuellaizer45486 жыл бұрын
HAHAHAA tunguli zimenibambaee Mobetoooo(hii ngoma haki haijakaa sana ndani ni chap chap na ni motoooo;;;;;~
@huddahmunny54826 жыл бұрын
Inabidi ukatikee
@prameerse15863 жыл бұрын
Who's here 2021 I'm enjoying katika
@xaajixaaji1623 жыл бұрын
Zcsfd
@aanwangeci78133 жыл бұрын
Me
@smartwebtv81583 жыл бұрын
Ndani ndani 🔥🔥
@nzokogaming48713 жыл бұрын
Me too
@hashimrazakhokhar67153 жыл бұрын
xD I’m here
@danmillianoh89506 жыл бұрын
Jamniii naona mnasema mond tyuu lakni nahreel kaua beat na aika mwshon kamaliza vzr km unakubali gonga like twende sawa
@benjaminmike97786 жыл бұрын
Kwa huruma zako #dan hao pia wametisha ila ujue mond ana nyota kali sana
@danmillianoh89506 жыл бұрын
Ni kwelii kabisaaa asee
@ricksamthecrow6 жыл бұрын
@@benjaminmike9778 😂😂eti kwa huruma yako, mshenz kwl.
@sashacurts85486 жыл бұрын
undo la rosti rojorojo
@maxamedshiine23644 жыл бұрын
ozito place
@salummbega59276 жыл бұрын
Ngoma ya kwanza bongo Unacheza na kukatika bila kutoa jasho. Kama tupo pamoja gonga like twende sawa.
@mkwelemuud57976 жыл бұрын
Salum Mbega
@khalfanabdallah56386 жыл бұрын
Yani hii ngoma inaweza kuwa fanya clouds tv na fm wakapata vibe bila kujua kama simba yupo humu
@sandratumaini15496 жыл бұрын
ha ha ha ha
@isackbaton97596 жыл бұрын
Khalfan Abdallah watapata tabu sana
@noelmichael28556 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mufasamufas60236 жыл бұрын
Umenivunja mbavu zangu 🤣🤣🤣🤣🤣 Dah noma sana
@hemedmusa91706 жыл бұрын
Khalfan Abdallah umeona ndugu
@dianamchami272011 ай бұрын
Tunaend nayo 2024❤❤
@naimoahmed11246 жыл бұрын
Hiyo wimbo nitabihambaya sana mm nishabikiyake nafikira leo ako kenya am from somalia but i living in kenya i love tz people
@abdallahmatenga16544 жыл бұрын
We love you too
@najmaabdi42963 жыл бұрын
Runta waye wlh tabia mbaaya waye no hhhhhhhh tuta itazama watoto wakilaala
@acholmaker43916 жыл бұрын
Hii nayo lazima nikatike.... All the love from South Sudan 😍😍😍😍
@bakaribakari_6 жыл бұрын
Masharti matatu ya kumshirikisha #Simba kwenye ngoma yako...... 1. Usiache awe wa kwanza 2. Usikubali awe katikati 3. Usiache awe Wa mwisho Maanake kivyovyote vile, atakufunika tu. #SimbaBinLaden... #Mnyamaaa
@benjaminmike97786 жыл бұрын
Hayo mashart sio poa af n ya kwel man, inabid wakubal tu mana ukipga collabo nae tu ujue wanakujua mpak US
@hafsamasood62736 жыл бұрын
Hataa hivyoo vyotee bado amefunikaa
@afrodailytv43356 жыл бұрын
hahahahahah kweli
@linrosa88636 жыл бұрын
Bakari K. Bakari. 😂😂😂😂👌👌
@consolataemanuel72946 жыл бұрын
4rever.................
@hasanhuseyintas98744 жыл бұрын
Turks love Africans 🇹🇷 great song 💯
@tonybanks51096 жыл бұрын
Mbona comment nyingi ni kumhusu tuu Diamond???Kenzo pia Kaweza.
@wilsonmcs33696 жыл бұрын
Mbona ata aika NAreal wore wamua ile mbaya Huyu jamaa anajipendelea saana kwa beat Zake★
@ricksamthecrow6 жыл бұрын
@@wilsonmcs3369 ila hil bit angeliamsha kdg liwe amsha amsha ingekua ngm tamu zaid, mo naona hii ngoma ladha yake verses tu.
@jumannemfaume6 жыл бұрын
Hii ngoma jinsi ilivyo kali unaweza kuinyanyua meli ya mv nyerere hadi nje ya ziwa🙌🙌🔥
@betranarchard52596 жыл бұрын
JUMANNE MFAUME 😂😂😂😂😂😂usiniue mapema ase sna mbavu
@sebastianmasabha69416 жыл бұрын
Hahahaahaaa kka umeniacha hoi😁😁😁
@restcharles14926 жыл бұрын
🤣
@wamorotv6 жыл бұрын
😂😂
@mohamedirajabu98866 жыл бұрын
😁😁😁
@hassanovajunior69726 жыл бұрын
TUNGURI ZA MOBETO HAZIJAWAHI MUACHA MONDI SALAMA😂😂😂...LOVE YOU ZARI😘😘😘
@abdillahawaf61386 жыл бұрын
😂😂😂👌
@mgayamakori15646 жыл бұрын
Weweeee una matani na zar ety........
@ruwaidamohd19656 жыл бұрын
Hassanova junior Hahaha hatar yan
@maraimhaidari9926 жыл бұрын
😘😘😘😘😘
@mufasamufas60236 жыл бұрын
Noma sana 🤣🤣🤣
@stinetalksfootball61193 жыл бұрын
Who is here November 2021...enjoying katika...
@adeodumade12435 жыл бұрын
King of the EAST no one else! I’m a Nigerian but he’s one of my favourite🙌🏽👍🏽👏🏽👌🏽
@mauriceogola92436 жыл бұрын
Navy kenzo huwa hawaimbinkwa manenoya namna hii. Nahisi mboso kaandika huu wimbo. Duh, eti haichagui mwembamba au mnene
@samsonmusa76266 жыл бұрын
maurice ogola exactly
@kachilar6 жыл бұрын
🔥🔥 baada ya #kamatia ni #Katika dah!! lakini sijajua kama hili goma litatia maguu clouds media??? kama na wewe una swali kama hilo weka like za kutosha.
@mjanthony48646 жыл бұрын
wencheTV wasenge tuu hao na mwisho wao unakaribia. Soon tuu
@chambothedon35546 жыл бұрын
Je clouds wakiipiga wataika ile sehemu ya Mond au itapigwa hahahahaha
@stanleyvenancy1916 жыл бұрын
Hahahahahaga atarrr
@yohanalusaka84796 жыл бұрын
Viziri utawashka sana kwa katika watapata tabu sana
@KayanjaRonald-KR74 ай бұрын
Fans of Diamond Platinumz from all corners of the world. Navy kenzo where did you actually go???
@janewamboi31986 жыл бұрын
WHO is feeling the Lady Verse she killed it !! "ndizi kwa nyama"........ Dope 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hadijagere14116 жыл бұрын
Sichoki kuiangalia hii ngoma yani ni🔥🔥🔥🔥
@winzareendiamond89286 жыл бұрын
mim langu moko t naseeb ni icon from tanzania tumheshimu japo kuna baadh ya watu au media flan zinataka kumzima tulivyokua hatuna haya nasi tunashadadia nyimbo mbovu hawana viewers wanasema anaiba viewers tuzo wanasema wanampendelea kwan yey nan na nyinyi nan mpk awazid maarifa kias hicho yey c binadamu km nyinyi GO AHEAD NASEEB MORE LIFE BROO
@zuuhans52526 жыл бұрын
winzareen diamond 🔥🔥
@abracadabratz52946 жыл бұрын
winzareen diamond waambieee hawooo....
@zeituneogaga12184 жыл бұрын
Can we take a moment and recognize the talent in this video vixen....She puts everything together. Her moves are so coordinated and she spectacularly beautiful.
@crystaldaniels78664 жыл бұрын
Muchas gracias 🙏💙
@issamapoz46024 жыл бұрын
Ukweli yako
@AMAli-ct5df3 жыл бұрын
we need her ism
@ibrahimmwata10433 жыл бұрын
Love you crystal 💕💯🇰🇪
@_carol_becky_3 жыл бұрын
True🔥🔥💯
@princehancesam98926 жыл бұрын
Unajua nilitaman sana ije itokee collabo na navy kenxo na simba nione nan mkal na leo nimegundua nan mkali
@wamorotv6 жыл бұрын
Mkali ni nan sasa??
@ruwaidamohd19656 жыл бұрын
Prince hance Sam tuambie nan please
@abdulrazaqayubu8946 жыл бұрын
Hana jibu sahihi
@VASCOdaBENGAZ6 жыл бұрын
Big up to CHIBU nyimbo yenyewe inaonyesha uwazi.
@princehancesam98926 жыл бұрын
Wote nawapenda ila mkali simbaaaa
@hazjay46716 жыл бұрын
#Simba Anajua Kucheza Na Akili Za #Fans Wake Wallah Daahh...!!
@kennedymatonge25346 жыл бұрын
jaman nhurumien hata like kumi tu diamond n jitu kali haswaaaa
@side.s.idebare25976 жыл бұрын
Kennedy Matonge Nc
@stevenfabian22084 жыл бұрын
Katika ngoma nzurii isanaaa mond anapiga kazi vzr kama unakubaliana na mimi like yako twende sawa
@msodokitv28556 жыл бұрын
wanaokubali kuwa verse ya #Aika ni mwandiko wa #Mbosso gonga like twende sawa
@officialkdee356 жыл бұрын
Hapana blaza skiza vzr kwanzia dakika 1'41 hapo ndo utaskia radha za mbosso
@cleiddydasenior82716 жыл бұрын
Nani angependa Alikiba aendelee kucheza mpira 🙌🏽,Kama unakubali Simba ndiye king of Bongo nipe tu like moja kasonge💥
@akbarmpemba69906 жыл бұрын
cleiddy da senior 👍
@kissraymond33206 жыл бұрын
😇😇😇
@ruwaidamohd19656 жыл бұрын
cleiddy da senior Hahaha
@ekales_6 жыл бұрын
Wacha hatred. Penda wasanii wote
@fatmarashim63536 жыл бұрын
😀😀😀😀
@elzearselestine50006 жыл бұрын
ila mondi afai jaman Sa apo kakutana na mafund wenzake navy kenzo gonga like kam unakubali ngoma
@payasbadman25233 жыл бұрын
Hii nyimbo billa mondi isingekuwa hivii🤞💣🔥
@danielsamuel12786 жыл бұрын
we Tanzianian do it big... like if u think Tanzania toke the music to the next level .
@bryankatyz78805 жыл бұрын
daniel samuel
@vedabwashee63015 жыл бұрын
daniel samuel hata mbaba
@jobkogi63615 жыл бұрын
Wamlambeeeezzzzz!!!!!
@johnrogeo21616 жыл бұрын
Diamond hapumziki,lkn fanya kazi kabisaa uko sawa👍👍
@bahatedson9716 жыл бұрын
Sana mist
@makondefinest6 жыл бұрын
Kama unahisi verse ya Aika Navykenzo imeandikwa na Mbosso like hapa,burdabhai music wanaita.😚😚
@medytyson9556 жыл бұрын
Makonde Finest
@yamotomwinyi72176 жыл бұрын
Namuelewa sana huyu simba
@-thegreat-zawadimmasa3073 жыл бұрын
Mondi alitishaga sana katika hii song. Huyu jamaa level nyingine
@DIweni6 жыл бұрын
Hiz like mnazoomba za nn? ngoma kali,hasa diamond katsha kuliko wenye ngoma,sitak like,ila utajua wewe kusaport nilichosema.
@geofreyndibalema68826 жыл бұрын
D. Iweni ujielewi wewe xaxa katisha wa kimzidi nalili
@DIweni6 жыл бұрын
Geofrey Ndibalema sijielew tena,pumbavu sana mtoto.
@allystandardtz80176 жыл бұрын
Redio fulani wanapata tabu sana wanajiuliza wapige ngoma gani nzuri wakati nyimbo zote nzuri zinatoka wcb. Polen sana
@tajibetese55676 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@isackbaton97596 жыл бұрын
Wapige ile boringo
@charlesmashauri70276 жыл бұрын
Ally Standard saaaaaanaaaaa
@djdeniidenito6 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/o3PNZGmIgN-pjq8
@hemedmusa91706 жыл бұрын
Ally Standard umeona ee
@daudimalangu17086 жыл бұрын
Cjawahi ona video, Kali na maneno matamu kama humu...kama unaungana na Mimi , like twende sawa!!
@athoumanehimayat844 жыл бұрын
Le Sawahili le plus beau langue du monde🇹🇿 hongera Tanzania
@Jeremycole0436 жыл бұрын
Another hit wasafi classic baby am from 254🇰🇪🇰🇪🇰gonga like hapo hapa tuki support🇪
@anselmobigorobigoro97966 жыл бұрын
Simbaaaaa
@bbhgtdeoxygen55786 жыл бұрын
Guuuud sana kijana wangu mondy
@danielnganga80306 жыл бұрын
The lion king
@cribreactor6 жыл бұрын
Motooo... Check out this young killa kzbin.info/www/bejne/eYi9YoSXgLmJf8U
@graysonboniface57686 жыл бұрын
Hii nyimbo ni diamond ft navy kenzo au navy kenzo ft diamond coz naona simba kachakaza mume na mke wake
@michaeljeremiah6346 жыл бұрын
C uongo aiseeee
@benysamwellaw43136 жыл бұрын
Hahahaaaaaaah
@samsonmusa76266 жыл бұрын
Exactly
@raphaeltemba93066 жыл бұрын
Huyu Mondi atatutoa dam yani hii ngoma daaaaah ametisha saaaaana
@jamesmoses56256 жыл бұрын
mkiambiwa mchonge picha la Diamond muweke pale posta hamtaki basi weka like 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥💢🔥
@wamorotv6 жыл бұрын
😂🙌
@joycesamwel1658Ай бұрын
Ila chibu hana kazi ndogo 🥂🥂 kwa simba 2024..
@hehehehe71046 жыл бұрын
Katika❤❤ from somalia🇸🇴🇸🇴🇸🇴
@richthebest87595 жыл бұрын
Who is among us proud the fact that being African? Just like this post. All Haitian are the African. The land of my Forefathers. Stolen from Africa brought to America. miss my Forefathers land
@lucysakura784 жыл бұрын
Welcome home sometimes
@nazramaxamud40574 жыл бұрын
welcome home black guy 🏡
@jeybinsule33354 жыл бұрын
@@nazramaxamud4057 😂😂😂😂
@chepkoechkatam36644 жыл бұрын
Then come back and katika(dance) with us😂
@Shammy-Wa-Bobi4 жыл бұрын
Ooh but you are WELCOMEDback home
@badgalnana57306 жыл бұрын
Diamond utanioaaaa linii jamaniii nikuone mda wote unichekeshe mm😂
@dottoraphaery90396 жыл бұрын
Goma ZR xanaaaa yannn xio mbya wamejlib ila bd wanaiga kwa hodar mboxoooooo
@hassanjabdallah17726 жыл бұрын
Badgal nana 😂😂😂😂😂
@pascalgodfrey6866 жыл бұрын
ah ah ah njoo nikuoe mm
@sashacurts85486 жыл бұрын
hahahaha
@shekhekhandereizer5596 жыл бұрын
mm mdogo wake nikooapa tafadhali njoo madale niko narinda nyumba ya mama etu sandra
@bunny_dailylife4 жыл бұрын
Hii ndio wimbo wenye views wengi sana kwa nyimba za navy that's means nguvu ya diamond iko juu but utasikia bado ananunua views sasa hapa si ipo kwenye account ya navy
@darisimauridi81836 жыл бұрын
Diamond msenge unazid sana kuwaficha wenzko yan hata huwap mpenyo wakupumua wakikushirikisha kwel kk alikiba endelea na mpira huku jamaa ameamua kuifanya sanaaa kuwa yake
@Aaa-nh7gw6 жыл бұрын
Hahahahah tenaaa
@onesmokilimanjaro4236 жыл бұрын
mamake uyu jamaa anae itwa chibu anawaficha sana majamaa
@darisimauridi81836 жыл бұрын
Onesmo Kilimanjaro hatatokea msanii km diamond platnumz east africa huyu mtu n hatar sana
@nahashonkyalo6815 жыл бұрын
The girl in blue's move at 2:55 always takes my breath away. (Thank you guys... These are the most likes I've ever had on KZbin's comment section)
@nahashonkyalo6815 жыл бұрын
@Latif ouro-sama ,they're saying "katika"... That basically means dance...
@ibrahimamran5535 жыл бұрын
@Latif ouro-sama iiio
@jeannemmbongya54285 жыл бұрын
Exce
@alonsovillegas38995 жыл бұрын
Nahashon small anyone know the name of the girl in the blue dress and it’s the same girl in the red 🔥
@stanfordmassawe78885 жыл бұрын
Watu wamemwona diamond...na mm nimeona madem😂😂😂 hao madem ni moto🔥🔥🔥🔥
@roshmontanahroshein79906 жыл бұрын
KAMA ULISUBIRIA VESI YA DIAMOND PLATNUMZ EBU GONGA LIKE HAPA😍😍