Mapenz ayan samani ata kidog 😂😂😂anae kubali gong like ap🙏
@PhilomenaKangalawe Жыл бұрын
Jamn Hadi huruma mwanaume anamlilia mwanmke😂😂 njoo kwngu unililie
@muhaproduction3325 Жыл бұрын
bhailam nafatilia sana movie zako lkn nyingi huwa hazifaoki mwisho
@AmenaMm-r5t Жыл бұрын
Mapenzi shikamoo nayachukia mm mwenzen 😊
@LizikiHassani-vr2tv Жыл бұрын
Nimemiss kubemberezwa 😂 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nimutese mtoto wamut😂
@charleskarume6312 Жыл бұрын
Haaaaa imekula kwako hawapo sikuizi wa hivo
@jrgongo6348 Жыл бұрын
sawa Mlizoea
@ashamwanganzi6400 Жыл бұрын
Ila wanawake jmn mungu atusamehe tunayofanya 😢😢😢sio vzr hata kama humtaki usiwe zibala daaah
@saidbaraka8996 Жыл бұрын
Kwanza wewe angel kwa uzuri gani eti maokoto😂😂😂
@omelanuwiteka1276 Жыл бұрын
Jmn ukipata bahati ya kumtesa mwanaume mtese tu maana hivi viumbe😂😂😂😂😂nikipata wakunililia mbona nitamliza mpaka akili imkae sawa😏😏😏😏😂😂😂😂
@mohdchuma78 Жыл бұрын
Na mm nikijuw mwanamke ananipend weee!huwa nampelekesha sio poa
@mohdchuma78 Жыл бұрын
Ujue kuna wanawake wengn wana mapepo ya ngono yan yy akumwambia unampend haelewi yy anatak ushike mkono bas ukale mzg imeisha tu.
@dariuskasitu4083 Жыл бұрын
Me siwezi kumlilia mwanamke ata siku moja
@RachelJohn-cu1ms Жыл бұрын
😂😂😂😂
@RachelJohn-cu1ms Жыл бұрын
😢
@jospinsadiki4580 Жыл бұрын
bhailam weye nakukubali sana umeongeya kweli sana🎉
@LameckWillison8 ай бұрын
Tuna penda zaidi shetan
@JamilaMfalingundi Жыл бұрын
Jaman hv. Bado wapo wenye mapenz ya dhay.. Mpaka analia karne hii hii au
@HAWAMAULIDI-zl5xd Жыл бұрын
Imagine 😢
@KassimuMsabaha-v3q8 ай бұрын
Mwanamke ndo kiumbe Cha ajabu kuliko viumbe vyt
@komlaakomlaa7465 Жыл бұрын
Huyo mwanamke hajieshimu acha wamtumie
@samyabahatialhiani40110 ай бұрын
Bailam unazambi yamakusud nacukiya🇧🇮
@esterkimalio8846 Жыл бұрын
Duuuh mapenzi mabaya sana alooo
@ahmedmohammed9394 Жыл бұрын
The First viewer
@LameckJux Жыл бұрын
Big Up Comedy Plus
@jeffyasin2977 Жыл бұрын
Hivi unamliliaje mwanamke ambae unaona kabisa hakupendi asee sawa unampenda ila yeye hakupendi wa nini asee wanaume wengine wanaufala sana asee
@hamadijuma4047 Жыл бұрын
We hujui tu maumivu ya mapenzi bwana mdogo
@AnnahLusia-bz3lc Жыл бұрын
😂😂😂😂
@AnnahLusia-bz3lc Жыл бұрын
@@hamadijuma4047hajui kabisa huyo😀😀😀😀
@SakinaHassani-xm7ti Жыл бұрын
Usiseme hivyo au hujawai penda ww ? Maumivu yapo hatakama mtu akupend lazima uumie Kisha ndio uje uzoee
@Evarlne-gz8ou Жыл бұрын
Mapenzi yanauma sana tena sana😮😮😮
@adammodesto6626 Жыл бұрын
Bailam unajua San
@AsmaAmar-ok2gl Жыл бұрын
Mbona adi leo haujatoka huuu
@VanillaVictor9 ай бұрын
Bhailamu maliza movie jaman
@aishakassim75 Жыл бұрын
Mapenzi nyokoo 😏😏😏
@Alima-sl8jn Жыл бұрын
POLE SANA KAKA MAPENDO NI MAMBO TU 😂😂😂❤❤
@Alima-sl8jn Жыл бұрын
Asante sanaaaaa 🙏🙏
@maryd1538 Жыл бұрын
Kaz nzuri pole kaka❤❤❤
@OripaMosha10 ай бұрын
😮😮😮
@jrsaid4270 Жыл бұрын
Hio hela badala ubeti we unahonga
@RachelJohn-cu1ms Жыл бұрын
Jitaidini muwe munamariza movie zenu maana zote haziishi
@radjabuharerimana2538 Жыл бұрын
Nikozangu kando naskilizia tu
@AyishaOman-cw4xs7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@SeleMdosi-iv6ui10 ай бұрын
miyachukia kwel asa
@BrianMonicah Жыл бұрын
Love hurts men alot guys
@HAWAMAULIDI-zl5xd Жыл бұрын
Sasa bhailam umebaki kwenye ile nyumba ya zamani tena ?hapo umejichanganya sanaa ungepaswa kurudi kua jirani yake mbwela baada ya kusimulia mahusiano yako yazamani.