Nchi tajiri zadaiwa kutoa mikopo badala ya misaada kwa nchi za Afrika

  Рет қаралды 1,376

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Mikopo inayotolewa kutoka nchi tajiri kwenda nchi za Afrika, nini kifanyike kuhakikisha kunakuwepo uiano na matakwa ya viongozi wa Afrika.
VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
Jiunge na VOA Swahili:
» Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
»Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
»Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
»Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
»Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
»Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
»Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
»Tufuatilie katika X: / voaswahili
»Tufuatilie katika KZbin: / @voaswahili

Пікірлер: 4
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 ай бұрын
Dah noma sana
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 2 ай бұрын
Wewe umekuwa ombaomba za kipuuzi hujiongezi ruto
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 ай бұрын
🇿🇲 Zambia mnakwama wapi
@pauldangote4946
@pauldangote4946 2 ай бұрын
Mnaonaje tukitumia lasilimali zetu za ndani tuachane na hawa wazungu?? Viongozi wetu wanaitaji kushauliwa.. ili tujitegemee
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 5 М.
Duniani Leo
29:56
VOA Swahili
Рет қаралды 3,9 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 24 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 7 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
JARIDA LA WIKIENDI- AFRIKA KUSINI NJIAPANDA BAADA YA UCHAGUZI
30:02
Duniani Leo 07-20-2024
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 2,5 М.
Duniani Leo
30:01
VOA Swahili
Рет қаралды 6 М.
Duniani Leo 06-19-2024
29:31
VOA Swahili
Рет қаралды 3,2 М.
Watoto wa Mitaani Dar -VOA Mitaani
5:38
VOA Swahili
Рет қаралды 4,4 М.
The Story Book : Dikteta Omar Al-Bashir Na Vita Ya Sudan (Part 01)
32:35
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 24 МЛН