Mnachanganya mambo sana kaeni fasi moja msilete mzaa Mungu aziakiwi 😢😢
@user-nz4ff6dq4t6 ай бұрын
Dada nimekubaliana wewe opinion yako huku sahihi
@JacksonWaKizaziKipya-ul9fy6 ай бұрын
🎉❤nakubali sana wa bembe hoyeeee🎉🎉
@swaghili57834 ай бұрын
WOW, J'adore. Vous êtes formidables et performants. Nimetcheka sana surtout ule mwenyi ame jazwa ame amehanguka tchini. Marelle, mes bisous. Tu es aussi bonne comme tes frères chanteurs . Félicitations !
@FrankFidele-fh8xn5 ай бұрын
Mnahanza boronga tunatawachoka sasa mnahanza leta mzaa
@piscasassa29154 ай бұрын
💪 kibembe to the World Big up 💪 kwenu Guys🔨
@user-kz5hs8mz1b6 ай бұрын
Katika dunia akuna kipia viote vilitendeka tangu zamani, nawengine ni maremixy tu, ila remixy inashindaga origino; natunatakiwa kujuwa siyo hawo ambao wemejiongoza bali ni Mungu❤
Sisi ni WA CONGOMANI kabila la wabembe iyo ndomila yetu nanyimbo yetu ya kiruga wakimsifu MUNGU wetu❤ kama imekura acha kuhitazama nimetuma comment iyo kwa wale wote wanao sema kwamba vijana wamekosea sio kweli NI Mila yetu ila MUNGU ahilinde FIZI yetu na mila zetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hii ni ujinga, mumesahau kabla bado hawajakuja na yesu wao, tulikuwa na miungu zetu.
@FrankFidele-fh8xn5 ай бұрын
Kaheni hata mwezi amtowi nyimbo sio Lila Siku mziki ndo sababu mnahanza boronga sasa au cameramen wenu ni wa bure
@veronicamsambya73996 ай бұрын
Ujinga huu nawatu wana shangilia, Ndugu zangu Mungu haziyakiwi kama mmehamuwa kumtumikia Mungu basi msijanganye janganye mambo tafazalini san, Bible hinasema kwamba muovu naha zidi kufanya san uovu wake, namtakatifu na haziti kujitakasa
@davidrehani86396 ай бұрын
🤔🤔 Cousin, mbona mwachanganya mambo jameni? Je mume okoka ama mna mkashifu Mungu? You guys are jokers!