Рет қаралды 92
🔵🔴Ndayishimiye Youssuf Nyange anathibitisha kua atacheza katika mchezo akiwa na timu yake Team Nyange dhidi ya Team Saido kwenye mchezo wa kirafiki hiyi ijumapili katika uwanja wa Urunani majira ya saa nane mchana.
#akezasports #lesbeautesdecheznous