Рет қаралды 106
"Nimshukuru mkubwa wangu Saido, alipo leta wazo kama hili la kusaidia watu ni kitu kizuri sana kwasababu nafahamu maisha tulio yapitia. Kunahali fulani ninapo kua inje ya inchi nikiona napita naona kama msaada wetu unahitajika."
Aliyazungumza hayo katika kikao na waandishi wa habari alhamisi hii. Ikumbukwe kua wameuanda mchezo wa kirafiki kwa lengo la kusaidi waathiriwa wa mafuriko ya ziwa Tanganyika wa pande za Kajaga, Gatumba na Kinindo.
#akezasports #Lesbeautesdecheznous