Asalam alaykum. Jamani tusibadilishe dini kwa maslahi yetu. Ndevu ni Sunnah Kubwa sana. Na nguo inayopita kongo mvili za miguu kwa wanaume haifai. Tuihishe Sunna ya Mtume Muhammad Swala Llahu Alayhi Wasalam.
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mh
@khalifaallyibnadam9983 Жыл бұрын
Acha ushambaaa wewe
@alqaasim_a_tz2412 Жыл бұрын
@@khalifaallyibnadam9983 Kwahiyo mtume ndio mshamba eti ?? Subhaanallah
@omarjuma9172 Жыл бұрын
mmh sunna nn maan yk alf utajijibu
@yusufntamila541 Жыл бұрын
Upake na wanja usibague suna
@RayaRashid-dc2hn6 ай бұрын
Allah akulinde shehe mziwanda maana maadui ni wengi,nakupenda kwa ajili yaAllah
@EngAliMohd Жыл бұрын
Huyu Mziwanda apotosha umma watu warudi katika sunna sahihi.
@badarbinthabit2905 ай бұрын
ودخلا على رسول الله صلى الله عليه وسلم وقد حلقا لحاهما، وأعفيا شواربهما، فكره النظر إليهما، ثم أقبل عليهما فقال: ويلكما! من أمركما بهذا؟ قالا: أمرنا بهذا ربنا (يعنيان كسرى) فقال رسول الله صلى الله عليه وسلم: لكن ربي قد أمرني بإعفاء لحيتي وقص شاربي Hili halina ikhtilaaf njoo usome
@saidgawawa8519 Жыл бұрын
MashAllah!! Sheikh mziwanda Allah ,akuzidishie umbri wenye barka na afya tele..! Mawaidha Yako MashAllah tunakuelewa Kwa ufaswaha.! Dini yetu Al Islam ni nyepesi ila baadhi yetu, tunaifanya ngumu ,Allah atunusuru sote.
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv Tv
@mohammedamour4930 Жыл бұрын
Mtume saw anasema.atakae ishu muda mrefu ataziona ikhtilafu nyingi ktk dini.usalama wa kuepukana na hizo ikhtilafu ashikamane na suna zangu kama anavyoumia meno ya magego
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Mashallah ustadhi allah akulipe
@mujaahidk.kdatchi4052 Жыл бұрын
Mziwanda! Ni shekh niliekua nampenda zaidi ya sana,haya anayo yafanya sasa,alikua ni mmoja wa wanao yapinga, Ninacho jiuliza wakati ule alikua ni mwalimu,na alinisomesha pia,alikua ni mtu wa sunnah,sasa kilichofanya abadilike,ni :- Kuongezeka kwa elimu!? Kuifahamu haqi na kuamua kuifuata!? Au ni maslahi ya kidunia tu!? Ukimsikiliza baadhi ya mazungumzo yake,unafahamu kabisa kwamba kuna ukweli ndani yake anao tamani ausimamie,lakini kama kuna kinacho mzuiya kufanya hivyo!! Nitaendelea kukuombea mwalimu wangu,naamini kuna siku utarudi kule ambako ulikuwepo kabla ya kua hapo, Allah akuongoze mwalimu wangu mziwanda.
@alqaasim_a_tz2412 Жыл бұрын
AAMIIN AAMIIN 🤲 Nimeyapenda sana maneno yako . Namie namuomba Allah kwa utukufu wake atuhurumie pamoja na Madhaifu yetu Atukubalie Dua hii sheikh huyu Arudi katika Haqq , hakika nafanya Juhudi binafsi kutetea Baadhi ya Haqq sijajua haya mengine Anakumbwa na nini maskini, Dah , nikweli kwa anaye msikiliza kwa umakini anajua wazi kuna Haqq anataka aiseme ila mdomo unajaa maji maskini.
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Shekhe uyo tuna mkubali sana maputo alikuaanamisimao ya kweli kweli sasaivi anapamba pamba mambo huenda katishwa au kapewa donge nono
@alwiyiynmission2820Ай бұрын
ELIMU Haina mwisho, Tatizo la MASHEIKH wengi hupenda kujenga Makundi ya USHABIKI. HIVYO BAADA KUJENGA DINI MNAJENGA USHABIKI. SASA AKITOKEA SHEIKH AKAWA YUWASEMA KWELI BILA MAKUNDI HAPO UNAMUONA HANA MSIMAMO
@abdulhida8291 Жыл бұрын
Jazza Allah kheri.
@eidallyeidally5093 Жыл бұрын
Inasikitisha sana pale unapoona wanaonasibishwa na elimu nembo yao nikwemda kinyume na sunnah
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mtihani
@jimjam4148 Жыл бұрын
MASHA ALLAH
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@swalehabdulrahman4118 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh letu nakuelewa sana
@mohamedmussa5200 Жыл бұрын
Sheikh nyoosha maelezo: Kunyoa kabisa ndevu na na kuvaa isbali kwa ujumla haifai. Ni vyema kushikamana na sunnah kuliko kufuata yaliyo na mashaka.
@omarabdi36046 ай бұрын
mbona sunna muna ifanya kama faradhi lakin
@yousuphnzira3209 Жыл бұрын
Eti ni shekh wanayemtegemea huyu. Innalillah wainnailaih rajiun. Anapotosha umma
@omarabdi36046 ай бұрын
haya ww unajua dini tuelimishe ww
@kanjuonlinetv70814 ай бұрын
Sikiza uelewe usijambejambe hapo,
@heyumi2340 Жыл бұрын
shukran
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@rashidsalum4689 Жыл бұрын
Allah, akulinde na mafitna. Hakika ya darasa lako ni lenyewe kufunza kwa wenye akili ila haya mapo yoyo yasiyo sikiliza ya kakurupuka tu Kuandika mikoment isiyo ya adabu, kwanza haifai kwa muislam kumbeza muislam. Hiyo nitabia ya makafiri.
@feisal6592 Жыл бұрын
Aslm shekh nDevuu ni sunaa kubwa ikonafathila kubwa
@FatnaAlly-hp7kw Жыл бұрын
Allah tujaalie tunapo teleza utusamehe mola wangu kwani sisi ni zaifu yarabi
@chuichongo3898 Жыл бұрын
Hakika zilikuja Hadiyth nyingi zinazoamrisha kufuga ndevu kama kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) aliosema: قوله صلى الله عليه وسلم: أحفوا الشوارب وأعفوا اللحى. رواه الترمذي وقال: حديث صحيح Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Punguzeni masharubu na fugeni ndevu". وقوله صلى الله عليه وسلم: جزوا الشوارب وأرخوا اللحى، خالفوا المجوس. رواه مسلم Na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) aliyosema: "Kateni masharubu, ziwekeni kwa wingi ndevu, wapingeni Majuusi". وقوله صلى الله عليه وسلم: أعفوا. بفتح الهمزة: أي اتركوها بحالها لتكثر وتغزر؛ لأن في ذلك جمالاً للوجه وزينة للرجل، وهذا أمر صريح يفيد الوجوب كما هو مقرر في الأصول، ونص العلماء على تحريم حلقها، قال شيخ الإسلام ابن تيمية: ويحرم حلق اللحية Na kauli ya Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) "fugeni", Yaani ziacheni ziwe nyingi kwa sababu ndevu ndio uzuri wa mwanaume na hii amri ni ya uwajibu kama wanavyosema ‘Ulamaa wa Uswuwlul Fiqh. قال ابنُ عَبْدِ البَرِّ - رحمه الله تعالى (ويحرم حلق اللحية ، ولا يفعله إلا المخنثون من الرجال) [التمهيد[ Amesema Ibn ‘Abdil-Barri (Allaah Amrehemu): “Na ni haramu kunyoa ndevu, na hawanyoi isipokuwa Makhanithi katika wanaume”. Khanithi ni nani? Ni yule mwenye tabia za kike, anapenda mambo ya kike kike. قال الشنقيطي (أضواء البيان)، أعظم الفوارق الظاهرة بين الرجل والمرأة هي االحية Amesema Al-Imaam Ash-Shanqiitwiy (Allaah Amrehemu): "Vitofautisho vilivyo wazi mno baina ya mwanamme na mwanamke ni ndevu". قال ابن القيم (التبيان)، واما شعر اللحية ففيه منافع، منها : الزينة، والوقار مايرى على ذوي اللحى، ومنها، التمييز بين الرجال والنساء... Amesema Ibn Al-Qayyim (Allaah Amrehemu): "Na ama ndevu, basi ndani yake kuna manufaa (mengi), miongoni mwa hayo ni pambo na upole unao onekana kwa wafuga ndevu, pia (katika faida zake) ni kupambanua baina ya wanaume na wanawake". Wanachuoni wengine wanasema: "Kunyoa ndevu (jambo hilo) huzingatiwa kuwa ni kujifananisha na wanawake". Wanachuoni ni wengi sana waliozungumzia kuhusu uharamu wa kunyoa ndevu. Kasema Ibn Taymiyyah (Allaah Amrehemu): ((Ni haramu kunyoa ndevu)). وقال ابن عابدين في رد المحتار: ويحرم على الرجل قطع لحيته Na kasema Ibn ‘Aabidiyn (Allaah Amrehemu): ((Na ni haramu kwa mwanaume kukata nywele zake za ndevu)). وقال العدوي في الحاشية على شرح رسالة أبي زيد: يحرم إزالة شعر اللحية Na kasema Al-‘Adawiy (Allaah Amrehemu): ((Ni haramu kuondoa nywele za ndevu)). Baadhi ya Fataawa kuhusu uwajibu wan ufuga ndevu na uharamu wa kuzinyoa, kutoka kwa Wanachuoni wakubwa wa kutegemewa:
@thabitimkufi73886 ай бұрын
Shekh shukran sana sana sana Allah akulipe
@ShabaniAbubakari-kb3cd Жыл бұрын
allha akuifazi isiwe
@Allyngeleza7 ай бұрын
Mziwanda ni mshenzi
@BilalMuhammad-jt6sqАй бұрын
Kua na adabu
@rashid3562 Жыл бұрын
Uko strong ktk kujenga hoja zko japo kua mmbo yapo wazi huyataki tu
@alqaasim_a_tz2412 Жыл бұрын
Lazima hapo alete lugha lugha zake na nahw za kuokoteza ili afiche Haqq ilihali anajua anacho kifanya.
@dullahmbunda7570 Жыл бұрын
Allah amuongoze aijue haki
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Aijue Haki. Uijue Haki Au Tuijue Haki.
@omarathman180 Жыл бұрын
Mashallah,dini nyepesi munakimbiza watu kwenye dini
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@BinSwaleh7 ай бұрын
Hadithi gani unaonyesha ndevu ni sunna Hadithi zote ni za Amri wa Amru yaqtadhwi wujuub mpakaije qarina
@kijakazimussa2060 Жыл бұрын
Wewe si uwekeeee mzee baba
@HashimSalim-qj7zn6 ай бұрын
Hujanyoosha maneno kwenye ndevu hebu rudi uweke sw ufahamike
@nyandutozz2372 Жыл бұрын
Allha akulipe kwa nasaa nzuli
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
MZIWANDA UTAENDA KUULIZWA KWA KUWAPOTEZA WATU!! NAONA WANAOCHEKELEA SIKU HIYO WATALIA SAANA!! ALLAH AWAONGOZE PAMOJA NA SISI! MZIWANDA NA AHLU AZHAR MNAFUATA MATAMANIO YA NAFSI ZENU TU!!!
@islamseyffden7723 Жыл бұрын
Tulia ww hujui lolote
@allylusonzo7470 Жыл бұрын
Hiyo aliesoma Sheri kapinda mitume as huwa wanaenda na wakati wa muumba si wakati wa kidunia wa watu
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@omaryteddy535 Жыл бұрын
Mashaallah
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@nasibuathmani701510 ай бұрын
Mziwanda kumbe ae ni kilaza namna hii?
@mohamedhashim3235 Жыл бұрын
MashAllaah
@mirajihamza2892 Жыл бұрын
Shekh mche Allah,,,hadithi za isbaki sio kwa ajili ya wakati ule ila ni kwajili ya waislam wote wa mwanzo na wa sasa na mpaka mwisho wa dunia
@ayoubhamis7987 Жыл бұрын
Shekh anazungumza mambo kwa ujumla jumla ni hatari Sana,km unazungumza Jambo limalize lote kwa dalili zake ktk quruani na sunna. h
@badarbinthabit2905 ай бұрын
متفق على صحته، ورواه البخاري في صحيحه بلفظ: قصوا الشوارب ووفروا اللحى خالفوا المشركين وفي صحيح مسلم عن أبي هريرة عن النبي ﷺ أنه قال: جزوا الشوارب وأرخوا اللحى خالفوا المجوس وهذا اللفظ في الأحاديث المذكورة يقتضي وجوب إعفاء اللحى وإرخائها، وتحريم حلقها وقصها؛ لأن الأصل في الأوامر هو الوجوب، والأصل في النواهي هو التحريم ما لم يرد ما يدل على خلاف ذلك، وهذا هو المعتمد عند أهل العلم، وقد قال الله سبحان
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
Mashekh KWELI nyinyi mnajitambua Leo WAISLAAM wanahitaji Nini?mmebaki ndevu kanzu fanyeni utafiti UISLAM Leo unahitaji Nini?
@yussufhamad3721 Жыл бұрын
Dah sheikh yani sijui nisemeje kwakweli huyu anaeitwa shekh nikipofu au nikamawale waloenda kumpongeza yule nabii halafu wakasema hawajielewi hawakujua kama ni jaa au ni nini dah mtihani kwa kweli Allah atuongoze na awaongoze na wao ktk haki kwakweli kilamtu anatakakusema na kutafuta maslahi ya kidunia kupitia usheikh jamani tumche Allah mtume kasema zikitokea khilafu tushikamane na sunna zake na hadithi nyingi tena zawazi zinazolizungumzia shuala hili jamani tuache ushabiki tusome diniyetu ndo tutaithamini na kuipenda kama walivyokuwa maswahaba waliisoma dini hii wakaipenda na hawakuwa tayari kuipoteza kwa kitu chochote
@HasanHasann-z1b11 ай бұрын
Mawe hayawezi kukaa pamoja na mayai
@saidisalum-v2r3 ай бұрын
HIO ISTAU UMEONGEZEA TUAMBI NI MSIKITI UPI
@luqmanmtagwanya996910 ай бұрын
Swali muhimu,,tushikamane ktk nini ?maana dini alikuja nayo mtume ni moja na haki ni moja ,,sasa lazima tushikamane sawa hatupingi ,,ila tushikamane ktk nini ?
@saidisalum-v2r3 ай бұрын
SASA BILA KUA MSALAFI UTAKUA NA ZEHEBU GANI DOO
@khasimumalugu5895 Жыл бұрын
Sheikh Mziwanda Mche mola wako zungumza Ukweli usipotoshe watu hiyo ni dhima
@karimmkejina980 Жыл бұрын
Sasa hoja yako in nin kwaiyo ni sawa kumuambia muislam mwenzako mwanamke?
@alqaasim_a_tz2412 Жыл бұрын
@@karimmkejina980 SHEIKH huyo Kataka kusema ukweli ila Mdomo ukajaa maji sijui nini kinamkumba Allah amuongoze yeye na sisi, hakika huku ni kuharibu msingi. Inaonekana Sheikh huyu kasoma na Haqq anaijua vizuri na anacho kipindisha anakielewa Wala sio mjinga anajua wazi kua hapa napindish kwa maslahi flaani Subhaanallah.
@PabloPembe-ne7oy5 ай бұрын
Mnaompinga kwan kaongea kipi kibaya
@mosule9262 Жыл бұрын
Utuambie ni swahaba yupi au mtume hakufuga ndevu ?msifanye vitu kwaajili ya kuwafurahisha watu wakupenden au kwa khofu ya mfarakano maneno ya Allah na mtume inabidi msipindishe hata kama watu hatuyafanyi ila muwe mmefikisha kiukamilifu kama ilivo Quran na Sunna .Allah ndio mjuzi Zaid .
@abuushaukan6157 Жыл бұрын
Duuuuh
@abuushaukan6157 Жыл бұрын
Hujaelewa aiseee
@mhusinigau3231 Жыл бұрын
Kwahiyo ni ndevu tu eee mbona mengine hufanyi
@heyumi2340 Жыл бұрын
ni suna
@hasaniabdalah6148 Жыл бұрын
Kweli sheikh umesema kweli mi nachukia mtu anae wazarau watu na kuwaita majina mabaya
@yahyaibrahim4731 Жыл бұрын
Kanzu ndefu ni SUNNA ya bi Aisha kanzu fupi ni SUNNA ya mtume
@TahfifuAlly6 ай бұрын
Huy kapew fasaha y maneno lkn ni jaaaahil murakkab
Swala la kufuga ndevu na kukata suruali hili swala hakuna khilafu shekh ,sema nyie mashekh ndio inatakiwa muwe kipaumbele kuzihuwisha Sunna kama ni Sunna semen Moja kwa Moja HII ni Sunna kama sio Sunna semen sio Sunna msizunguke kwaajili nyie hamfanyi Sunna hiyo ,mbona maulid na khitma Huwa mnazisherehesha ? Muogopeni Allah mashekh .
@jumamtolo7821 Жыл бұрын
Umesema kweli Al habibi
@osos9073 Жыл бұрын
Nisipo fuga ndefu napata dhambi
@mhusinigau3231 Жыл бұрын
Duh, soma kijana ujinga ni aibu hakuna anayeridhia ujinga ila punda
@heyumi2340 Жыл бұрын
@@osos9073 hupati c faradhi ni suna
@alqaasim_a_tz2412 Жыл бұрын
@@osos9073 Ndio unapata dhambi kwa mujib ya hadithi sahihi za mtume.
@zulehaabubakar3574 Жыл бұрын
Naombeni namba ya uyu shekh alonayo au yy.mwenyew akiona hii sms.anitafute
@mkhandihealthcare5106 Жыл бұрын
Mpotoshaji mkuwa sana huyu
@ABDULLAOALI6 ай бұрын
Mh
@nambilili4269Ай бұрын
Makundi 73 mtume amesema yote motoni ispokua kundi moja
@omarykusah9719 Жыл бұрын
Ndevu ndio dini?
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mtihani
@Abuumuqbil4994 Жыл бұрын
Weye mziwanda Wacha kuongea pumba
@suleymanmohd3418 Жыл бұрын
Hivi kweli kabisa watu mnakaa mnapigizana kelele kwa sababu ya ndevu jamaani, Kwani hukumu ya Sunnah haijulikani....,!!!!? Kama sunnah hukumu yake ukiifanya unapata thawabu na usipo ifanya haupati dhambi wala thawabu kwanini watu wanakaa wanawatoa wenziwao kasoro.....,!!!!? Tuchukulie wale watu AMBAO Allah amewaumba maumbile yao kuziona ndevu zake mpaka umsogelee karibu na umuangalie sana ndio ujue kama ana ndevu,vipi huyu naye tumuweke katika kundi gani....,!!!? Wapi mtume kasema asiyefuga ndevu motoni na Hana maana kwa wengine....,!!!!? Tatizo kubwa ni uchache wa ufahamu katika elimu,watu wanasoma sana lakini wanafahamu kidogo na hilo ndio tatizo kama anavyo elezea sheikh hapo,watu kusoma hawataki wanafanya vitu kwa mkumbo na ushabiki tu. Hakuna atakayeingia motoni kwa sababu hakufuga ndevu ila wapo wengi wataingia motoni kwa sababu hawana swala na funga. WAISLAMU TUJITAHIDINI TUSOME. TUSIFUATE MAMBO KWA MKUMBO, MTUME ANASEMA "DINI NI NYEPESI NA HATOIFANYA MMOJA KUWA NI NGUMU HIYO DINI ILA ATA HARIBIKIWA"
@mustafaismail5622 Жыл бұрын
Usimtusi shehe kajenge hoja mshamba wewe
@abuuabdillahtv8457 Жыл бұрын
Ww shekh bado jahili ingia darasan usome
@abuswalhahal-zzinjibary6742 Жыл бұрын
Utakanini wewe? Wahukumu vp? Fanya uadilifu katka maneno yako. NDEVU WAJIBU WAAMBIE WATU KAULI ILIYO NA NGUVU USITAKE MAPEZI WEWE MWENYEWE UNAKUNDI LA MAULIDI KAMA NI MKWELI ACHA UZUSHI
@abuufawzan4289 Жыл бұрын
Unajitoa jasho la Meno kuwafurahisha wanaokuskiliza muogope Allah dini yetu inafuatwa Kwa mfumo wakimapokeo sio tafsiri ya maneno
@mwinyimohamed9746 Жыл бұрын
Wewe shekhe kunyoa ndevu kuna khilaaf mche Allaah wewe