In Shaa Allah itabidi tuandae dua zinazosomwa katika swala katika kila rakaa
@abedikapangasabiti5551 Жыл бұрын
Sahihi
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
@swalhashuaibu81493 жыл бұрын
Jazakallah khairan ya sheikh
@ahmedjuma26743 жыл бұрын
Kwenye kutoka katuka rukuu kunameneno ambayo tunayalete hpo sijui yamesihi kusema rabana lakalhamud
@elimusahihi3 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Ikhwa wa akhawaat tunapokea maoni ushari na mchango katika kufanikisha jambo letu la kueneza elimu namna gani kutatua changamoto tulizokuwa nazo Njoo WhatsApp 0719165474 Allah awabariki nyote
@japharamiry25823 жыл бұрын
Niipi Dua unayo Soma kwenye sijda ??
@hassanhhassan63093 жыл бұрын
Elimu inapotea ktk mazngra ambayo inaonekana inaimarika... Shehe tupe hadith yenye makatazo ktk hilo.. Shehe nitafute nikupe elimu
@rashidiabdul-aziz47913 жыл бұрын
Kuinua mikono sio bidaa ni kheri
@abuuissa16422 жыл бұрын
Wew jiaminishe sivyo ndivyo
@rashidiabdul-aziz47913 жыл бұрын
Dua IPO baada ya Sala kwa iyo tupe hadithi ya kukataza na sio lugha ya kiarabu
@zuwenababyvideos5483 жыл бұрын
Sisi hatusomi dua kwsabb hatuna dalili sasa wewe unaeleta duwa lete dalili ya kuleta...
@abdurahamanimatulano36963 жыл бұрын
Rudi dalasan apo amna kitu hoja yako aina mashiko
@swalehseifmuhammed8289 Жыл бұрын
Kusome wewe na kuona bado uko mbumbu
@elimusahihi3 жыл бұрын
In Shaa Allah itabidi tuandae dua zinazosomwa katika swala katika kila rakaa
@ukhtyhalimatz91213 жыл бұрын
Sheikh Km kweli aiswihi naomba dalili juu haya
@abuuissa16422 жыл бұрын
@@ukhtyhalimatz9121 Hivi nyie mnaanzaje kuomba dalili ... mmesoma dini?